Baba levo kwa nje utaona kama poyoyo fulan hiv Ila anadhahabu ndan yake. Nampenda kila nkiona mahojiano yake nainjoi Sana. Big up baba lestisia msalimie shost yangu letisia wa mapera na machungwa
Listening to your story makes me appreciate the freedom we enjoy in Kenya. Just a simple altercation with men in Uniform can ruin your life in TZ. Pole sana Baba Levo.
This IS THE FUNNIEST INTERVIEW here salama!!! for real this man is a real Life joke 😂😂😂😂😂 i laughed mwanzo mpaka mwisho! Even salama didn’t have to ask many questions
Bonge moja la interview, though jamaa anafurahisha but he talks very sense, ofcuz jamaa ni mtani sana ila he has big leading idea ndani yake, yani shule tu ndio kamisi Ila akili yake ni zaidi ya shule
Nimependa kipindi hiki,interview ipo vizuri. Muendesha kipindi na mgeni wapo huru. Sambamba na hayo,mic camera na location kwa ujumla na idea ya kipindi nimependa sana. I have a dream,bila shaka nitafuata nyendo hizi na baadhi ya mafunzo ili siku moja kiwepo kipindi kinaitwa RK....
Walee wanaomba baba levo arudi kwa interview mara tano tena nipe like
8
Anakwambia atamstajabisha salama kwa kula 😂😂😂
We aca ata mara10 nikiwaga na stress intarview yake haishagi kabla sijaceka
Baba levo kwa nje utaona kama poyoyo fulan hiv Ila anadhahabu ndan yake. Nampenda kila nkiona mahojiano yake nainjoi Sana. Big up baba lestisia msalimie shost yangu letisia wa mapera na machungwa
Yani huyu kaka anavoniacha hoi.we acha tu .anichekesha mno.napenda sana kumfuatilia.
I am Kenyan, and I loved this interview. This guy is so funny and real.
sijawahi kuangalia interview ya baba levo af nikanuna, daima huwa nafurahia sana tu, big up kwake and i like the way mnataniana na msechu
Na mimi
Sema baba level .hauchoshi unajitambua Sana 🤙 🤙 home to home ..muha musomi ..kg comedy #kigoma#kasulu tunajivunia kuwa na baba level.🌈🌈🌈☔☔
Nimependa Sana hii interview. Yaani naona kabisa mpaka salama mweyewe unafurahi tu why me!! Huyu levo acha tu.
Naisubiria siku salama na chid Benz 😀😀😀😀 siku hio salama uniambie mapema nijitayarishe kucheka.
Am from kenya nampenda sana babalevo nipen likes
Team+254 woyoooo
Unampenda kwa lipi na shoga huyo wa shilole Sofia
Wakenya amtulii kwenu
Team 254 napenda baba levo xana
@@kombemizinga4158 sawa
Diamond platinum,hujakosea kumsaidia baba levo. He's a nice guy. Asante sana . Inaonekana kabisa hana kiburi
Hahahahaaaaa baba levo mama yako acngekuzaa tungekosa vichekesho daaaa hatareeee
Mungu akupe maisha marefu nikija fanikiwa unihoji pia❤️
Baba Levo, mtu very confident! I like the show!
Jamaa anafani tatu,moja musician,mbili politician and comedian.
Listening to your story makes me appreciate the freedom we enjoy in Kenya. Just a simple altercation with men in Uniform can ruin your life in TZ. Pole sana Baba Levo.
Baba Levo ni free spirit....hawatofautiani na Shilole... great conversation, great wisdom and of course too funny 😂
Ndio maana wanaelewana wote mbili kasorobo 😁😁😁😁😁
Kabisa
@Youth Insider Thank youu
Aki Nampenda babalevo😂😂😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Uyu jama anafuraisha sana kuusu msechu
very interesting show. Baba level uliongea vizuri sana hii show. nimetamani kukusikiliza siku nzima
Okoka bila dukuduku..😁😁😁😁🙌 🙌🙌ila wewe baba levo sijui km utaenda mbinguni
😂😂😂
Nimeangalia epsod zote madam Kama kunanyingine ya babalevo weka tucheke all in all
😅😅😅nilisubiri mno kuona hii interview big baba levo
Kwa heshima yako Salama, naomba baba levo arudi at least one more time 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Mzee wa all in all yaani full comedy we mzee unajua 😀😀
Baba levo......... another brilliant interview
Msema kweli baba levo yupo wazi namkubali. Kijana hana unafiki. Mu gu hupenda watu kama hao.
This IS THE FUNNIEST INTERVIEW here salama!!! for real this man is a real Life joke 😂😂😂😂😂 i laughed mwanzo mpaka mwisho! Even salama didn’t have to ask many questions
Baba Levo all in all😀😀😀 and it's not a big deal😀😀😀huy jamaa anafurahisha Sana interview zake
All in all this guy is smart n funny. I see him far💪🏽
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Salama ungeweka part 3,yani huyu jamaa ni mkweli na muwazi kabisaa
Salama fanya kipindi na Peter Msechu, nimefurahia sana haya mahojiano
Baba Levo kichwa chake kina chumvi🤣🤣🤣🤣
Aahaa 🤣🤣
Tena wa mawe 😫🤣🤣🤣🤣, lmbao
Kweli👌
Anaemchukia baba levo mbingu ataiskia tu utajikaz usichek ila utachek tu 😂😂😂😂
Baba levo na msechnu ni watani;halafu wanatuzingua
Gonga like kama unataka behind the scene ya Salama na Baba Levo
Baba Levo wewe ni 🔥
@Salama that's nice interview he's cazy but he keep💯 i learn and understand most of things through life we living #muchrespect
Naomba Juma Nature atupe simulizi kuhusu tmk na game ya bongo ya zamani
Jamani baba Levo arudi tena
kweli kabisaa
Hizo DISLIKES ni za wale polisi.
😂😂😂😂
😂😂😂😂umeona eeeh
Kwel kbc
😂😂😂😂 nimecheka genuine
😂 😂 😂 😂
Okoka bila dukuduku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yani nimecheka uwezi amin😂😂😂😂
Had sasa Baba levo kaongoza kwa vyuaz ktk kipindi cha salama na . .
..
Toka kimeanzishwa
Wooow kwelieehq
Asante sanaa baba levo
Nilichokiona huyu jamaa ni chizi lakin ni chiz frex kuna mambo nimejifunza ki2 kutoka kwake
Tunamtaka Sir Jeff Dennis...
🤣🤣🤣🤣Baba Levo ile bangi aliyo vutaga zamni bado inatumika haya maneno sio ya kawaida
🤣🤣🤣🤣🤣
Uyu jamaa cjawai kuchoka maneno yake yaani daaaaaah kumckiliza ni zaidi ya show ya Michael Jackson dadadeki
Okoka bila dukuduku ila Leo salama kapatikana jamanii all n all
Interview hii ni best of all the interviews
nice interview
Okoka bila dukuduku 😂😂😂 baba levo wewe ni nomaaa sana
Bonge moja la interview, though jamaa anafurahisha but he talks very sense, ofcuz jamaa ni mtani sana ila he has big leading idea ndani yake, yani shule tu ndio kamisi Ila akili yake ni zaidi ya shule
Big up kwa salama na crew yote na huyu chizi sijui belevo baba
Hii interview ni sehemu ya unyanyasaji unaofanywa na polisi na mahakama. Kuna jambo la kujifunza hapa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣aki baba levo unadharau msechu akii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 uyu mwamba dah namkubari sana
Nimecheka saana,he’s so funny
asiposema all in all basi atasema its not a big deal....😂
Umesahau na ka SO anakapendaaaaa🤣😂😂😂😂
@@rahabumshani8671 @Rahabu....aniii huyu baba n noma 😂
Utasema anamaliza konklusion ya ese
😂😂😂😂😂😂
Daa uyu jamaa nishiidaa
Yani Wew KAKA Uwa nanifuraisha sana Ndungu yangu
Bi levo ba mtalaam fundi majumba🙌🙌🙌🔥🔥🔥
All in all nimecheka sana
Huyu jamaa yuko vizuri sana manake ana jiamini sana
Salama anajua interview nzuri haulizi swali lile lile kuhusu shilole.Big up Salama
Yea,atleast ametupilia mbali hilo swala coz kila mahali ni kuhusu shilole..interview nzuri.
Uko vizuri Baba levo
Asante salama kwa kuleta baba Levo hataa mimi Mecheka sana jaman
Interview inahamasisha kuisikiliza, saf baba levo
Chukua kimodo nawewe ukakionee, konkolo,kokonko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uwi mbavu zangu 🤣🤣🤣🤣🤣 mjinga sana wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤
😄🤣kumbe ime kuchekesha😳
Yaani baba levo anachekesha'sana🤣🤣🤣🤣🤣
Nilichogundua Dada Salama una Huruma sana,, naomba one day tupate lunch pamoja
Yaan hyu jamaa khaaa hafichi maneno🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimependa kipindi hiki,interview ipo vizuri. Muendesha kipindi na mgeni wapo huru.
Sambamba na hayo,mic camera na location kwa ujumla na idea ya kipindi nimependa sana. I have a dream,bila shaka nitafuata nyendo hizi na baadhi ya mafunzo ili siku moja kiwepo kipindi kinaitwa RK....
Baba Levo wewe uko sawa
Huyo mjinga Mungu amtangulie, maana hicho kitu alifanyiwa na hao mashetani wanatakiwa kulipa.
Dah namkubali sana Baba levo mkweli ATA km aibu yake haoni tabu kuisema wazi
Amazing interview from kenya Baba levo💋💋
Nakupenda sana babalevo am from bahrain ...npee likes
Ukimaliza salama mhoji Ismaili jussa ladu wa zanzibar
Baba levo fundi ma nyumba ,i say kiboko mshekeshaji
Yani baba levo nampenda sana yeye na msechu
All in all Baba Levo we ni nomaa.... natural comedian hutumii nguvu....
Baba levo mzinguaj sanaa 😂😂
All in all imekoma😂😂
Hahahaha ata usisiseme
All in all nakutafuta kumbe upo busy unamuangalia baba levo.😁😁😁All in all ukirudi nyumbani ni makofi tu
Judy mpaka huku jaman 🤣😂🤣🤣🤣 all in all bando letu halijaisha bure
Shauri. Yakoo
😂😂
Salama plz ongeza muda kidogo nimefurahi baba levo story haziishi, hapo mwisho kama umemharakisha 😆😆😆😆 love from Dubai 🇦🇪yallah
🤣🤣🤣🤣yaani baba levo na msechu jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona fupi hivi interview za baba levo ziwe 24hrs hazichoshi 🙏🔥🙏🔥🙏🔥
Kabisa
BORA HUKUWA MJESHI MAANA TUNGEKUWA HATUPATI BURUDANI JMN ALL IN ALL NA ENJOY
hakika nakupendaga sana baba levo nacheka sina mbavu
😂😂Msechu anaomba mpaka remot
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka sanaaa
baba levo bhana umejua kunifanya nicheke sana🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂 Uyu jamaa afadhali angekua comedian
Duuuh jamaa atari sana haboi kabisa kubabake adi bado langu nimeisha😂😂😂😂😂
The Best interview
ever
Salama asanteee .Ila bdo tunamtaka rommy galess msomalia wa bongo movie
Salama mimi nakufa mbavu hii interview yako na baba levo haaaaaa
Mimi ndo zimechanika zote 😂😂
I really appreciate content ni nzuri saaana sana huwa nafatiliaaaaaaa safi sana
I wish to live like Balevo stress free
Embu mtafute djaro wa rungu huyu jamaa nae anamchango wake katika bongo flavor yake ile ya wakati game inaanza atupe madini nae
Hhhh yani huyu baba levo akili yake anaijuwa mwenyew
All in All Bonge la show ....Baba levo B levo Bar
mzee wa all in all
Eti nikaamuwa kuyafulumusha
Nampenda sana Baba levo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Salama umeshikwa leo🤣🤣🤣🤣🤣
Baba levo namkubali sana kwa sababu ni mkweli sana