Brother is a Change maker.....bonge la interview, huchoki kumsikiza..ana miakili na ana kupa na elimu yakutosha tu kwenye haya maisha....Salama asante kwa kumleta Jembe
Nilikua mdau wa njia panda sana, kina mama Derrick nawakumbuka sana. Nilikua mdogo lakini kipindi sikosi very nice. Ilisupport watu wengi sana big up Dr and the team.
Ila kwenye kipindi kiingereza kinazidi mvuto wa kipindi unapungua, hii show imezidi sana kidhungu, Bado best zangu ni ile ya MwanaFA, Madee walitumia sana kiswahili safi kabisa.
Hicho kizungu ndio kimefanya sisi wakenya tumekosa identity kabisa na sasa naona watanzania wakielekea njia hiyo...kukijua sio vibaya lakini mbona nchi zingine kama urusi,ufaransa,ujerumani na kadhalika wanaongea na kusoma kwa lugha zao na kuzienzi bila kuona haja ya kuzungumza kingereza??
This is a very good thing it inspires people and give them hope credits to that but just a small suggestion to make this thing better try to also balance in different categories for example footballers, politicians, iconic public speakers and so on, so that people might be inspired in different ways. Much Love:PS I LOVE WATCHING THIS ALMOST EVERYDAY KEEP UP THE GOOD WORK
Nilikua simjui kama huyu ni mzee wakipindi cha njia panda namjua jembe ni jembee aisee kumbe ndie alitutekaga kwenye kipindi chake jamani nilikua ikifika siku yakipind chake sitakagi kuitwa au kutumwaa tumwaa daah analisauti Baba huyu jamani mashallah
Je umeagiza GARI nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza, Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT / CONTAINER & MAGARI yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa.....Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa, Asante 1: IST old - 850,000/= 2: HARRIER New-1,000,000/= 3: HARRIER Old-950,000/= 4: RAV 4 - 950,000/= 5: RAUM - 850,000/= 6: SPACIO - 850,000/= 7: PASSO - 800,000/= 8: VITZ - 800,000/= 9: PREMIO - 850,000/= 10: ALTEZA - 850,000/= 11: SUBARU - 850,000/= 12: CARINA - 850,000/= ---------------------------------------- Gharama hizi zinahusisha malipo ya 1: Port Charges 2: Shipping Line 3: Walfage 4: Agent Fee 5: Plate no ---------------------------------------- DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876 Whatsap +255 653953900 Company: Mofaz movers Location: PSSSF Tower, Samora Avenue Dar es salaam, Tanzania *NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE *NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏 *NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA NI BURE🙏
Kimsingi huez furahia kila interview,kwasababu watu ni tofauti na madini wanayotoa tofauti next time utaenjoy..hata mm pia huwa naruka baadhi ya interview.🤷♀️
NAITWA HERO NAOMBA NIKUALIKE habari naitwa hero ni mwanamziki naomba nikualike kutizama video ya mziki wangu mpya nao zindua leo nipe SUBSCRIBE YAKO MOJA TU uwe umechangia mafanikio yangu ntashukuru GUSA HAPA KUONA ua-cam.com/video/kHp-9wK9Tyw/v-deo.html

Napenda interview kama hii😍 mtu anajielezea mpaka unatamani interview isiishe👍🏽 ahsante seba
Anajielewa
Brother is a Change maker.....bonge la interview, huchoki kumsikiza..ana miakili na ana kupa na elimu yakutosha tu kwenye haya maisha....Salama asante kwa kumleta Jembe
Huyu jamaa ni very bright usichoke kumsikiliza
Huyu jamaa ni genius aise acha awe na hela very genius
Dr. Sebastian Maganga big up. You are my roll modal.
Sebastian ndege mzee wa njia panda nilikusikiliza sana
Yaani huyu kaka ni mstaarabu, mzuri, ana sauti nzuri ana busara, hekima na yuko humble be blessed bro
Salama ur the best..ur interview are so in depth..seba is so bright
Jembe, you are smart (dressing and eloquence)
Nadhani baada ya interview ya Shangazi Fatma Karume ,hii ndio inafuata ,the guy is genius #inspired
its a very inspiring Story....i really enjoyed it and i have learnt somthing
BEST INTERVIEW EVER! Hongera Salama
Nilikua mdau wa njia panda sana, kina mama Derrick nawakumbuka sana. Nilikua mdogo lakini kipindi sikosi very nice. Ilisupport watu wengi sana big up Dr and the team.
Ila kwenye kipindi kiingereza kinazidi mvuto wa kipindi unapungua, hii show imezidi sana kidhungu,
Bado best zangu ni ile ya MwanaFA, Madee walitumia sana kiswahili safi kabisa.
Hicho kizungu ndio kimefanya sisi wakenya tumekosa identity kabisa na sasa naona watanzania wakielekea njia hiyo...kukijua sio vibaya lakini mbona nchi zingine kama urusi,ufaransa,ujerumani na kadhalika wanaongea na kusoma kwa lugha zao na kuzienzi bila kuona haja ya kuzungumza kingereza??
Huo ni MTAZAMO wako pia sio mbaya. Lakini jua watu wanatofautiana na iki NI kipindi cha kimataifa ivyo kuchanganya lugha sio mbaya.
Tanzania official languages (Swahili & English)
Very smart and bright
Hongera sana Mr.Ndege Product ya Azania sec.school( Mzee wa roots and shoots).
Mwanaume ana sauti nzuri huyu khaaa💕💕💕mkewe anarahaaa
Hana mke ako na watoto tu nasikia
@@joycejohn7754
Nakpendas
Hii interview wala sikujishauri mara mbili kuiangalia.
Brian hapa....hiki kipindi ndiyoo haswaaaaa salama Safi taake it to the next level
inaelekea kawacharaza wengi na kuwaacha njia panda maana tunafokewa tu bila sababu humu.
Energetic,Smart,Young,Trainable
Wonderful...... Kwa video za mapishi karibuni tujifunze
This is a very good thing it inspires people and give them hope credits to that but just a small suggestion to make this thing better try to also balance in different categories for example footballers, politicians, iconic public speakers and so on, so that people might be inspired in different ways. Much Love:PS I LOVE WATCHING THIS ALMOST EVERYDAY KEEP UP THE GOOD WORK
Very talented Daktari yaani nakuona Anzania Boy Kabisaaa well done Salama Jabir
Wow 👌🔥🔥🔥
Very wonderful
Seba anaongea vizuri sana , nice interview
MOJA KATI YA WATU nlowaota kuja kufanya naye kazi since NJIA PANDA and now still namfatilia kila hatua hope one day nitatimiza ndoto yangu.
Dada salama jabiri unajua sana dada yani you too confident yani unaongea fresh san umerelax yani ,creativity ndo usiseme
Chesco Mwana Matunda kutoka Africa Sana,, huyu mtu namkubali sana miaka hiyo 1997- 2000
I love this show
DAA! JAMAA NI GENIUS SANA 🙌🏾
Waiting...….!
Nilikua simjui kama huyu ni mzee wakipindi cha njia panda namjua jembe ni jembee aisee kumbe ndie alitutekaga kwenye kipindi chake jamani nilikua ikifika siku yakipind chake sitakagi kuitwa au kutumwaa tumwaa daah analisauti Baba huyu jamani mashallah
Amefanana sana na Zion yule mtoto Wa Dina Marious
Ni baba yk mkubwa
Seba fanya kirudi kipindi cha njia panda kilikuwa kizuri na cha hamasa sana please,salama your the best that's my opinion 👌🏿❤
Njia panda kipindi kipo clouds fm na muendeshaji ni Ayzaki maro.fatiliya na anafanya vzr pia.
Walosoma cjui kwa nn wana saut nzur, wanaongea vzr
Hahahaha
nice interview
Umemuacha aongee sana kuliko kuuliza maswali
Big up Kwa Sebastian Jembe ni Jembe
Sebastian Ndege mzee wa Njia panda
Roots and Shoots nakumbuka Dr Sebastian Ndege na Nazzar Nicholas wa Azania Secondary Janegoodal Foundation
Je umeagiza GARI nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza, Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT / CONTAINER & MAGARI yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa.....Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa, Asante
1: IST old - 850,000/=
2: HARRIER New-1,000,000/=
3: HARRIER Old-950,000/=
4: RAV 4 - 950,000/=
5: RAUM - 850,000/=
6: SPACIO - 850,000/=
7: PASSO - 800,000/=
8: VITZ - 800,000/=
9: PREMIO - 850,000/=
10: ALTEZA - 850,000/=
11: SUBARU - 850,000/=
12: CARINA - 850,000/=
----------------------------------------
Gharama hizi zinahusisha malipo ya
1: Port Charges
2: Shipping Line
3: Walfage
4: Agent Fee
5: Plate no
----------------------------------------
DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876
Whatsap +255 653953900
Company: Mofaz movers
Location: PSSSF Tower, Samora Avenue
Dar es salaam, Tanzania
*NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE
*NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏
*NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA NI BURE🙏
MANAGER👌💯
Tutafutie na samatta
About etiquette, Doc elimisha hao wa big g wakati wa interviews
Waiting
I also have an athma😔
Huyo jamaa ni noma sana
Nice1
Ila huyu salama huyu jamani
Ishi sana jembe
ɢʀᴇᴀᴛ
Ungemtengeneza harmoniz wako
Atamtengeneza mama yko
Jee lini atamuowa mzazi mweza wa aslay
Tupe ubuyu ...
@@josephk90 😄😄😄😄😄😄
🙏🙏🙏
Hivi Salama...hivi vitambaa kwenye mike huwa aim kufunika nini ? Anayejua Anisaidie...Nateseka bila sababu Mjue 🤣
1. Ulembo/stylish
2. Mwangi wa sauti. Kinazuia sauti kusambaa sana badala yake mic inachukua sauti vizuri.
Swali langu pia naona imekaaje sijui
Salama is a swagger lady kwa kila kitu
Asante kwa ufafanuzi
@@Ishengoma1 ivyo nivichwa vyawatu ..ivyoo kavifunika visipate vumbi 😎
Dr Ndege anaongea kama anataka kukupa ushauri
We Salama mbona unapenda kusema masikini unakariri neno moja wakati we ni professional mwandishi?
leo swahili speakers wamewezwa hahaha mwendo wa swanglish!
ungetafta msanii mpya sasa sio kubeba mmakonde ha ha habha
Account yako INA shilling ngapi.???? Acha majungu na kejeli hufiki hata theluth ya huyo unae mkejeli
Ni kweli. Kama anaamini kwenye kutengeneza vipaji kwanini asingemtengeza harmonize wake?
Leo ndio nimejua mzee wa njia panda ndio jembe ni jembe
Mzee wa njia panda Enzi hizo nulikua sikosi
✊
Speaking fleunt and eloquent queens english is not a measure of superiority,intelligence nor riches ni lugha tu kama kukiongea kiswahili sanifu.
Good
Lugha ni lugha Tu, km ingezidi nafikir hoja iyo ingefaa
Naked truth!
@Change Mindset we na ww acha unafki...kacheka wapi au hujajua alichokiandika???
Kimsingi huez furahia kila interview,kwasababu watu ni tofauti na madini wanayotoa tofauti next time utaenjoy..hata mm pia huwa naruka baadhi ya interview.🤷♀️
Interview nzuri saaaaaaaana ila watakaoelewa ni wachache sana maana yake KIMOMBO kimezidi🙄🙄🙄
Iyo linus naikumbuka
Salam tunapenda Sana kipidi chako lakini punguza matangazo ya mwazo yako mengi Sana
Kabla ya njia Panda kulikua na kipindi kinaitwa apex content ni kama za njia panda host alikua Taji
Jmn chagua lugha moja 🙄...
Sio rahisi hasa mtu aliezoea kuchanganya lugha mbili
Nik Binh hata hicho kingereza chenyewe hakijui . 😂🤣 interview ya kingereza ingempa shida
*SEBASTIAN NDEGE*
Kwann hizo mic mnazifunika na vitambaa? Haipendezi aisee
2001 nilikua Darasa la Kwanza we chuo mwaka wa Kwanza na bado unaonekana kijana Shikamoo Pesa
Acha tu ndugu yangu 😁😁😁
We katoto asee mi nilikua form 1
Pesa kwl sabuni y roho, mwezk mm nilikuwa drs1 ,lkn nimechoka htr km Nina miaka 40
Mim nilikuwa na miaka mitatu 😂
NAITWA HERO NAOMBA NIKUALIKE
habari naitwa hero ni mwanamziki naomba nikualike kutizama video ya mziki wangu mpya nao zindua leo nipe SUBSCRIBE YAKO MOJA TU uwe umechangia mafanikio yangu ntashukuru GUSA HAPA KUONA ua-cam.com/video/kHp-9wK9Tyw/v-deo.html
Jembe ni jembe
Huyu hata kabla sijasikiliza, ni MNAFIKI saaana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
hahahha kabsa
Acha chuki ww unajiumiza buree
@@MOJAZAIDI. we usiye na chuki umefika wap?
@@whatif..6961 haha sasa inakuhusu nini ndugu? Mm nakushauri Tu ili usiutese moyo wako na kujipunguzia siku za KUISHI. Ukiweza chukua huwez Acha.
Najua kiingereza ila sipendi mtu anaechanganya kiingereza na kiswahili. Nimeamua kulog out
Kizungu cha Jembe atakielewa shishi baby pekee yake
😂😂kaka huyu ni dr usisahau hilo
Hahaaaa 😄😄😄😄
Nadhani baada ya interview ya Shangazi Fatma Karume ,hii ndio inafuata ,the guy is genius #inspired
Ungemtengeneza harmonize wako