Sio kwamba mimi ni bora au ninafaa sana ila najua ni Mapenzi yako ee MUNGU MWENYEZI ndio maana naish hadi leo hii, naomba utimize lile kusudi lako juu yangu hapa duniani, na-siku ya kunichkua unipe mwisho mwema hapa Dunian. Amen
Nakumbuka walikuja kwenye usharika wetu kijenge Arusha,huu wimbo ulinisisimua sana na wala sijachoka kuangalia huu wimbo kwakweli Sina la kusema zaidi ya kumshukuru mungu
Good gospel song that ever existed,2024🎉❤
🥰🥰🥰
Walijua kuimba hasa walijua kutubrudisha hasa walijua kuhubiri hasa walijua kuleta farja ya kweli 😢😢😢😢😢mko wapiiiiii 😢😢😢
Wimbo huu unanibariki sana na unsnikumbusha mambo mengi saana kwa kweli huu wimbo Ilumebeba ujumbe mzito saana saana
Sio kwamba mimi ni bora au ninafaa sana ila najua ni Mapenzi yako ee MUNGU MWENYEZI ndio maana naish hadi leo hii, naomba utimize lile kusudi lako juu yangu hapa duniani, na-siku ya kunichkua unipe mwisho mwema hapa Dunian. Amen
Haijalishi Ni dhami gani umemtenda Mungu lakini Bado anakupenda.❤
Kama Bado Hujaokoka Amua leo ndugu yangu kabla siku zako mbaya zitakapokuja
Amina Asante yesu kwa upendo wako nimeimba wimbo huu leo Kama shukurani yangu kwa kunipa pumzi 🙏💯
NYIMBO BORA YENYE KUTUMBUSHA KUJISHUSHA NA KUNYINYENYEKEZA MBELE ZAKE MUNGU SIKU ZOTE ZA MAISHA YETU.
Nakumbuka walikuja kwenye usharika wetu kijenge Arusha,huu wimbo ulinisisimua sana na wala sijachoka kuangalia huu wimbo kwakweli Sina la kusema zaidi ya kumshukuru mungu
Mungu ni pendo
Ni mapenz yake Mungu 😊
Nyimbo hii inaujumbe mkubwa sana juu yako mimi na wewe tuliyo hai
Enjoyed your music when I was young🥺❤️❤️🔥... just came to remind myself how much i loved them🙏🏽🙏🏽🇿🇲🇿🇲
Hii song inakufikisha karibu na mungu
Nawapenda sana hawa
Good song
❤❤❤❤❤❤
🙏
🥰❤❤
🌹❤️
❤❤❤❤❤🎉