MHE.JERRY SILAA MWALIMU NITAKUPELEKA POLISI | HIZO NYUMBA TATU ZA NANI | WEWE NA MWENZAKO HAMNA HAKI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 31

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 4 місяці тому +4

    Super Mheshimiwa Jerry Waziri wa Ardhi unafanya kazi nzuri na haki

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 4 місяці тому +3

    Hpa mama kachagua mtu sahihi kwenye hii seckta yaardhi.Mungu amweke jmn mtu wamungu hyu.Mtu wamana kbisa jmn.Dhulma kwenye nyumba ardhi nimyingi sna,kubadilisha hti nikitu chakawaida sana.

  • @sundaystanley5322
    @sundaystanley5322 4 місяці тому +4

    Jerry Slaa,Mungu akusimamie aisee

  • @DevisDeogratus
    @DevisDeogratus 3 місяці тому

    Mama samia hongera sana kwa huyu waziri na mkuu wa mkoa mh Paulo makonda,,, nimekubali sana hawaonei mtu hata sekunde moja

  • @marystellah4532
    @marystellah4532 2 місяці тому

    Mheshiwa wetu waziri wa Arhdi Jerry Silaa kama ni haki unatoa Baba, Mungu akilinde 🙏

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 місяці тому +3

    WAZIRI UNAFANYA KAZI NZURI SANAA. MUNGU AKUBARIKI SANA.

  • @chedielimrutu6955
    @chedielimrutu6955 4 місяці тому +1

    Good Mheshimiwa Waziri umefafanua vizuri sana.

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 4 місяці тому +3

    Imagine huyo mama analia namachozi kumbe tapeli 😂😂.. Dah

    • @suleimanikirassahassan9711
      @suleimanikirassahassan9711 4 місяці тому

      Sio tapeli isipokuwa ameshindwa kujua historia ya vizuri namjua vyema wao ndio watu wa mwanzo maeneo ya kwakaheza!

    • @tabuomary1016
      @tabuomary1016 4 місяці тому

      Mama zake wamezaliwa hapo hapo , Waziri amepigwa changa la macho. Mchaga Mmasi mungu anakuona, Kamishna wa ardhi TANGA mungu anakuona na atamlipa mwalimu. Iko siku. Yaani hakuna hata chembe ya huruma, Eneo lenu unapewa kiwanja kimoja, Mchaga anapewa 15. Mungu atamlipa Mwalimu Tabu. Inshallah.

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 4 місяці тому

      ​@@suleimanikirassahassan9711acha story sikiliza historia. Nii shida ya familia zetu iyo inatupa wakeup call ya kuakiki maeneo yetu

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 4 місяці тому +3

    Mimi nahisi Silaa hatishii mtu ila watanzania Huwa hatupendi ukweli tunaongea Sana ndio Maana hata ukitoka nje ya nchi kama Kenya mtanzania ukikutwa na hatia hupewi nafasi ya kujitetea Maana tunaongea sana

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 4 місяці тому

    Huyu waziri ana kazi ngumu sana Allah amlinde

  • @user-qz5to1vn1z
    @user-qz5to1vn1z 4 місяці тому +1

    Tulio nunua viwanja kwa mwenye kiti tujuane 😂😂😂 na tupo nje yanchi nyie ntakufa mie

  • @EdnaMuro-tx8os
    @EdnaMuro-tx8os 3 місяці тому

    Akisema demarcation mama anaelewa kwel?

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 4 місяці тому +3

    MWAMBIENI ULE MGOGORO WAKE WA NYUMBA YA WAKHFU KULE K KOO,,,WATU WASHAYATIBUA TENA,,,,HII KAZI NGUMU

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 4 місяці тому

    🙏🙏🙏❤❤

  • @piusjuma7384
    @piusjuma7384 4 місяці тому +1

    Badala ya kushughulika na watumishi wa ardhi

  • @Bashitetako
    @Bashitetako 4 місяці тому +1

    Huyu mama ni mdhulumati kabisa kwakuwa yeye ni mrasimishaji

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 4 місяці тому

    MADAM MWALIMU KASOMA NA MPAKA SASA ANAFUNDISHA MBONA ANAJITOA FAHAMU 😂

  • @milley7185
    @milley7185 4 місяці тому +1

    Kuna wakina wanabishana kama wako na waume zao kumbe na mh ambaye anasimama kama mwamuzi au judge wkt wowote anaweza kuwatia ndani kwa kukiuka sheria ...

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 4 місяці тому +1

    Tatizo clip za Waziri hazina usikivu mzuri

    • @Rai_online_tv
      @Rai_online_tv  4 місяці тому

      Tutalifanyia kazi ili usikivu uwe Mzuri zaid

  • @Pelegrinoemanuel
    @Pelegrinoemanuel 4 місяці тому +2

    Slaa acha kutishia watu polisi

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 4 місяці тому +1

    Hpa mama kachagua mtu sahihi kwenye hii seckta yaardhi.Mungu amweke jmn mtu wamungu hyu.Mtu wamana kbisa jmn.Dhulma kwenye nyumba ardhi nimyingi sna,kubadilisha hti nikitu chakawaida sana.