HII NDEGE NI HATARI DUNIANI, 2021: UWEZO WA AJABU/HAIJAWAHI TOKEA, S01EP20.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Ni matokeo na mafanikio makubwa katika sekta ya Uhandisi wa teknolojia za vifaa vya kijeshi na Anga na ni heshima kubwa katika Taifa la Marekani kwa ugunduzi utakao dumu katika viwango vya Ubora kwa zaidi ya miaka 40...hii ni ndege ya ajabu na yakipekee nayo ni "LOCKHEED MARTIN F-22 RAPTOR"
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24news@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24Tz
    ⚫️ Facebook: @dar24news
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #LockheedmartinF-22Raptor #Digitalengineering #Maelezo

КОМЕНТАРІ • 131

  • @carolmuchiri9921
    @carolmuchiri9921 2 роки тому +6

    Jameni Asemae Mungu Hayupo Ajifikilie mara ya pili, Sababu Uwezo huwo Wote ni hakili Mwenyezi Mungu Amempa Binadamu hakuna Mwingine, Shukran Kaka 4 Your explanation 👍🏿👍🏿👍🏿👌❤️🇰🇪

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 2 роки тому +3

    Ugunduzi wangu. NI kuunda kifaa kitachokuwa chini ya ardhi mpaka bahari kitachoweza kugeuza nchi yeyote yenye chokochoko. Na kutia maji wanadamu wote waliomo.
    Mwisho wa ugunduzi wangu

  • @allymwilu8089
    @allymwilu8089 14 днів тому

    Umeshakaliliahwq na jamaa zako wamarekani

  • @abdulnuruhassan8611
    @abdulnuruhassan8611 5 місяців тому +1

    My brother hasante kwa kutupa elimu🇹🇿🙏🏾

  • @fidelisinnocent7516
    @fidelisinnocent7516 3 роки тому +4

    F 22 raptor fire

  • @muichorekishagani1751
    @muichorekishagani1751 3 роки тому +1

    thanx my friend, hii ni habar nzito katika uwanja wa vita, vipi kuhusu ndege aina B 2 Bomber fighter mlaalamu wangu nigusie na hii kidogo . from Zanzibar

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 Місяць тому

    We noma

  • @PeterVictor-uc1eq
    @PeterVictor-uc1eq 5 місяців тому

    Hii noma sana

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 3 роки тому +2

    Pamoja na hayo Urusi wanawauzia Marekani wanaboresha tu Marekani hawana jeuri kwa Urusi

    • @amenyemwansile631
      @amenyemwansile631 3 роки тому +1

      Nani kakudanganya acha kumkosoa msimulizi

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 роки тому

      Unajidanganya mwenyewe 🤣

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 4 місяці тому

      ​@@amenyemwansile631Habari mbaya ni hiyo nIjua hadi mfumo ya uzuiaji ngoja tuone Urus katambulusha yake na marekani kapeleka Ukrne

  • @n.y.smedia4145
    @n.y.smedia4145 3 роки тому +1

    Uko vizuri kaka

  • @erickAfricatz
    @erickAfricatz 2 роки тому

    Heshima kwako @dar24 media

  • @kataninyido962
    @kataninyido962 2 роки тому

    Hongera sana America 🙋‍♀️

  • @leitichjob985
    @leitichjob985 2 роки тому

    Wah

  • @karimmveyange280
    @karimmveyange280 7 днів тому

    ZAMANI SAAANA. NIMATANUZI TU. UKWELI UNAONEKANA BILA HATA KUONGEA. MTU ANAONYESHA KWA VITENDO

  • @ananiamkasu8847
    @ananiamkasu8847 2 роки тому +2

    Hiyo imeshapitwa na F35 raptor

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 2 місяці тому

    Ni hatari mzee

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 3 роки тому +4

    Su35 ya Russia pia ni zaidi ya hatari.

  • @user-vo9ew4kr2p
    @user-vo9ew4kr2p Рік тому

    Nice video

  • @samwelpalingo540
    @samwelpalingo540 2 роки тому

    Thanks for this

  • @babusadala5732
    @babusadala5732 3 роки тому +3

    Ukienda Google unazipata sifa zote hizo siyo lazima UA-cam 😏😏😏😏😏

  • @stanleymathias7877
    @stanleymathias7877 3 роки тому +2

    Yohana aliyaona hayo wakati wa siku za mwisho

  • @user-qg1iy5ov3u
    @user-qg1iy5ov3u Рік тому

    Kwanini binadamu wate hapa duniani kuvumbua dawa ya kifo kama kweli ipo basi watengeneze maana kwa mujibu vitabuvinasema vumbieni ili mpate kutengemeza

  • @allygoodboytzsdoneintanzan3970
    @allygoodboytzsdoneintanzan3970 3 роки тому +1

    Tanzania tunayo

  • @mohamedjakaya5355
    @mohamedjakaya5355 3 роки тому +3

    Mwongo, ndege bora ni amani na utulivu rohoni kwako, taifa lako na dunia nzima. Mbona marekani wameshindwa afghanistan

  • @PUTINN365
    @PUTINN365 Рік тому

    Mrusi saiv hashikiki

  • @ashmangold2469
    @ashmangold2469 2 роки тому +1

    Vizuri nipenda ulivyoelezea ila jitahidi kuzingatia kiswahili kwenye ufamishaji wako

  • @festotadeol3327
    @festotadeol3327 3 роки тому +1

    Kuna Chengdu j20

  • @saidchitanda2782
    @saidchitanda2782 3 роки тому +1

    Dupaaaa

  • @mshilamshila8841
    @mshilamshila8841 2 роки тому +1

    Umejaribu bro lakini Bado.

  • @bilalmuhammad859
    @bilalmuhammad859 3 роки тому

    Napenda I'd yako brother

  • @wardatiddi7845
    @wardatiddi7845 3 роки тому

    Kowthar from iran

  • @husseinbashir3904
    @husseinbashir3904 3 роки тому +1

    ndege hatari Ni f 35 dunia ya sasa

  • @josephsebastian9211
    @josephsebastian9211 2 роки тому +1

    Vep kuna mataifa yana dungua hizo ndege jet

  • @meckcassius3983
    @meckcassius3983 3 роки тому +1

    Nakubali dupa

  • @elianundu5669
    @elianundu5669 3 роки тому +1

    Umeacha B-2 SPIRIT OF AMERICA

  • @leahmgunda177
    @leahmgunda177 2 роки тому +2

    Sisi bado tunahangaika na chaguzi nyie gundueni zana za vita sisi tutaanza mwaka 6020

  • @SHommymusic1
    @SHommymusic1 3 роки тому +3

    Korea sio Taifa kubwa Duniani. Endelea kujifunza wee bado sana

    • @omarhababuu3159
      @omarhababuu3159 3 роки тому

      Mulize mmarekani kiduku chakorea Silaha zamangamizi alizonazo Korea sio taifa kubwa

    • @SHommymusic1
      @SHommymusic1 3 роки тому

      @@omarhababuu3159 korea hamna lolote . Kwani korea ashawai kumpiga nani ?? Ni mbwembwe tu na u dictator. Mmarekani alimuua kakaake Raisi wa korea kwan korea walichukua hatua gani?? 🙄🙄🙄 .

    • @bertha6322
      @bertha6322 3 роки тому +1

      Korea taifa kubwa sn kabla haijagawanyika kuwa Korea 2

    • @abbaslivene
      @abbaslivene 3 роки тому

      TV huna akili yaani kifo cha mtu mmoja ndio ukapigane vita......yaani ufai hata kumvusha mtoto barabara

    • @Jaydendecor007
      @Jaydendecor007 Місяць тому

      ​​@@bertha6322 ipo Siku atakwambia Marekani ni kubwa kuliko Africa

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu 12 днів тому

    Unamsifia marekani muambie Angie naye marekani mshenz tu na sera zake za ushoga atayeyuka wewe msifie tu huenda na ww

  • @seifqaboos4650
    @seifqaboos4650 3 роки тому +2

    Achana na SU57 & CHECKMATE hizo level zingine brother. Russia ya zaman sio ya sasa. Pia hakuna ndege ilikua salama mbele ya russian s400 & s500 air defence system kwa sasa.

  • @pascalmanyama2304
    @pascalmanyama2304 5 місяців тому

    ubora wa kwenye makaratasi!

  • @ericksagara1719
    @ericksagara1719 3 роки тому +2

    We bado kidogo.
    Jifunze kwanza namna ya kusimulia.
    Usimuliaji mzuri, hunogesha story.

    • @mzeeomary5780
      @mzeeomary5780 3 роки тому +1

      Nenda ww mwenzako anafanya kazi ww unaleta utopolo

    • @ericksagara1719
      @ericksagara1719 3 роки тому +1

      @@mzeeomary5780 Sio kila anaemiliki smartphone anajua matumizi yake. Hapo kuna kosa gani. Ukweli ni kwamba kila mwenye akili anajua kuwa yuko kazini. Lakini usimuliaji wake sio mzuri. Jifunze kwanza namna ya kucoment

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 роки тому

      Acha roho mbaya wewe

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 Рік тому

    Weemwooongo

  • @muichorekishagani1751
    @muichorekishagani1751 3 роки тому +1

    vipi na F 35 maana na yenyewe ni hatari

  • @tumainiellyimo4657
    @tumainiellyimo4657 3 місяці тому

    Acha hz mambo kuna su 50,su 30 bob

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 2 роки тому

    Huu ndiyo mwisho wa kizazi Hiki umewahi kujiuliza nikwanini silaha nyingi kali zinagunduliwa nyakati hizi,Soma maandiko matakatifu utajua

  • @godfreyfrugence4176
    @godfreyfrugence4176 3 місяці тому

    Bro kuna ile ndege ambayo wametengeneza dizai ya yule ndege anaeitwa kipanga yule anayemaliza kuku sana vip hiyo mbona aljazera wanasema ni hatar san

  • @wardatiddi7845
    @wardatiddi7845 3 роки тому

    Bavar 373 khordad

  • @yusuphswai6851
    @yusuphswai6851 3 роки тому

    Ongera kw kutafuta habar ila kweny kuelezea bado sana fanya sana mazoez au tafuta mtu kukuelezea, unarudia palepale ulipo ongea

  • @ZHING.Tech.
    @ZHING.Tech. 11 місяців тому

    Sawa hatuja kataaa waipeleke rusia sas waone moto

  • @gauchogaucho7583
    @gauchogaucho7583 Рік тому

    F22vs chengdu j-20 f-35 VsSU75CHEKMATE ILAA SU-57 IMEKOSAA MPINZANII

  • @haronkariuki4692
    @haronkariuki4692 2 роки тому

    Yf 23 ni Northrop grumman

  • @kukujogooooo
    @kukujogooooo Рік тому

    Wenawe umebezi na us tu. Urusi. Ninoma lakin so wapayukaji Kama watu wako us. Ubishoo Sana Kama wwe. Urusi kazikazi

  • @kapendalubowa534
    @kapendalubowa534 2 роки тому

    Unauza you tube Hamna kitu hapo F 35 umeiacha wapi?

  • @dominiquedavid87
    @dominiquedavid87 Рік тому

    Ingekuwa kweli Usa angepeleka Ukraine

  • @mwakiroger4864
    @mwakiroger4864 Рік тому

    We muongo anza tena uchunguzi wako ili ugundue ving ila kwa apo amna kitu

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 3 роки тому

    Kaka vipi kuhusu b.1 nakuomba unipe uwezo b.1

  • @yahayaolomi1057
    @yahayaolomi1057 2 роки тому

    Story inayofata naipataje xx

  • @tresorkabongo8758
    @tresorkabongo8758 3 роки тому

    Uh umehacha wapi B-2

  • @bornfaceisaalivisonisaa7495
    @bornfaceisaalivisonisaa7495 2 роки тому

    Sasa kwahivyo bas tusiwe wakorofi na wazungu watatuangamiza

  • @sollomlimakifi1367
    @sollomlimakifi1367 2 роки тому

    Sory broo WhatsApps nakupataje

  • @babuloliondo5975
    @babuloliondo5975 2 роки тому

    Wewe kijana ujuzi wameiba Kwa adoff hitra ujerumani waringia kwenye kambi yake wakakuta popo Bawa wameiba Kwa jamani

  • @seifqaboos4650
    @seifqaboos4650 3 роки тому

    Jiulize kwa nn wamarekan wanaipiga vita russia from selling s300 , s400 & s500 air defence system to other countries.

    • @amenyemwansile631
      @amenyemwansile631 3 роки тому

      Jua kuwa marekani Ni mmbabe wa dunia ndiyo maana anaweza kuipiga Vita nchi yoyote ile duniani

    • @leonardgodliver9043
      @leonardgodliver9043 3 роки тому

      Russia wameuza nchini syria ila.bado F 15 Eagle fighter imeweza kudecoy S500

    • @kenethmwangoka981
      @kenethmwangoka981 2 роки тому

      Hiyo mitambo ni outdated kwa sasa ilipigwa na f-35 pale siriya kwenye kambi ya iran

  • @affordableothumanienterpri3006

    I love your story. but you try to copy jamal april. be yourself and unique brother

  • @abuumuadh5700
    @abuumuadh5700 3 роки тому

    nawe umekua jamal

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 2 роки тому

    TUMIA MENENO YA KISWAHILI TU PALE AMBAPO MENENO HAYO YAPO.
    Threat = Tishio
    Detect= Kunyambua au kugundua

  • @ndegeyaernest3101
    @ndegeyaernest3101 3 роки тому

    Kawaeleze wapuuzi wenzio pale wale wanapofanya kazi kufa ns kupona inchini mwao sisi huku tunawasaka watengeneza magobore kuwaangamiza ndio fahari ya watawala wa hapa kwetu na weee kusifia wengine

  • @salmaabdalla6029
    @salmaabdalla6029 2 роки тому

    huna jipy mpumbavu

  • @staydubai1915
    @staydubai1915 3 роки тому

    Kuna F 35 mkuu au hujui?

    • @nakeidepaulo2766
      @nakeidepaulo2766 6 місяців тому

      Hyo bado kwa f-22 n nyanya tuu ndo maana ni lightning yaani nyepesi

  • @shaabanbindawood6538
    @shaabanbindawood6538 Рік тому

    Kawaeleze wapuuzi wenzio hujui ndege wewe

    • @anastaziamathias8861
      @anastaziamathias8861 Рік тому

      Hata we mpuuzi sababu umeelezewa na umecomment ushaambiwa America ndo kiboko yao

  • @wilbatnyato425
    @wilbatnyato425 3 роки тому

    Russia ipo mbali sanaaaa Ina ndege na vifaru bora zaidi ht ICBM

    • @amenyemwansile631
      @amenyemwansile631 3 роки тому +1

      Wewe mwongo unaongea kishabiki bila kuwa na takwimu sahihi hakuna nchi yenye ndege Bora duniani Kama marekani

    • @ezekielkandonga9238
      @ezekielkandonga9238 3 роки тому

      Nafikii amekwenda kimtililiko katika kuelezea Revolution ya Ndege moja na nyingine hasa zile za Kivita Hatari na kwasababu Technolojia inakuwa sometimes sio Swala la kusimamia tu Rank,kwa Uzuri zaidi kaelezea Ndege iliyo hatari mpaka mwaka huu 2021,hivyo nawewe unaweza Ukaongeza Utafiti wako kwa Ufahamu zaidi Pengine kuja na Changamoto mpya hili kumchalenge Msemaji,ndio maana ya Utafiti,sio tu wewe Muongo

    • @wilbatnyato425
      @wilbatnyato425 2 роки тому

      Nafikiri wewe upo dunia ya miaka ya nyuma huko unafatilia stori tu husomi specification za kitu husika na kuingiza kwenye formula halisi
      Mfano: Unabisha ICBM za Russia sasa soma kipengele cha thrust force tu uone kwa USA ni ngapi na Russia ni ngapi?
      Pia jiulize kwa nini RD40 Rocket Engine huyo USA ananunua Russia miaka yote? Ishu ni kuwa hawajajua siri ya hyo thrust force kubwa inatengenezwaje
      Kwa sasa USA wanasema Space X imeanza kutengeneza Rocket Engine lkn fatilia ndani yake kuna mmarekani kwny vitengo Nyato vya technical.Technologia ni from UK na ndani yke kuna wataalam wengi from Russia
      Hata taaaisi ya mambo ya anga wanayoshirikiana Russia na USA ht wagombane vipi haiguswi maana usa anatoa fedha ila Russia ni technologia
      Kaa ujue walioijenga USA ni watu wa nyuma huko vijana wa sasa USA wanakula bata ht jeshini usa wanatoa raia toka nje vijana ni kula bata tu mababu zao ndio waliijenga usa wao wamerelux hapo ndio uSA inapitwa
      Angalia Hata takwimu tu wanafunzi wa PhD ndani ya vyuo vikuu USA utaona 70% ni from China
      Fatilia hotuba ya mwisho ya Netanyahu juu ya USA alisema vijana wanakula burger tu

    • @wilbatnyato425
      @wilbatnyato425 2 роки тому

      Nafikiri wewe upo dunia ya miaka ya nyuma huko unafatilia stori tu husomi specification za kitu husika na kuingiza kwenye formula halisi
      Mfano: Unabisha ICBM za Russia sasa soma kipengele cha thrust force tu uone kwa USA ni ngapi na Russia ni ngapi?
      Pia jiulize kwa nini RD40 Rocket Engine huyo USA ananunua Russia miaka yote? Ishu ni kuwa hawajajua siri ya hyo thrust force kubwa inatengenezwaje
      Kwa sasa USA wanasema Space X imeanza kutengeneza Rocket Engine lkn fatilia ndani yake kuna mmarekani kwny vitengo Nyato vya technical.Technologia ni from UK na ndani yke kuna wataalam wengi from Russia
      Hata taaaisi ya mambo ya anga wanayoshirikiana Russia na USA ht wagombane vipi haiguswi maana usa anatoa fedha ila Russia ni technologia
      Kaa ujue walioijenga USA ni watu wa nyuma huko vijana wa sasa USA wanakula bata ht jeshini usa wanatoa raia toka nje vijana ni kula bata tu mababu zao ndio waliijenga usa wao wamerelux hapo ndio uSA inapitwa
      Angalia Hata takwimu tu wanafunzi wa PhD ndani ya vyuo vikuu USA utaona 70% ni from China
      Fatilia hotuba ya mwisho ya Netanyahu juu ya USA alisema vijana wanakula burger tu

    • @wilbatnyato425
      @wilbatnyato425 2 роки тому

      Nafikiri wewe upo dunia ya miaka ya nyuma huko unafatilia stori tu husomi specification za kitu husika na kuingiza kwenye formula halisi
      Mfano: Unabisha ICBM za Russia sasa soma kipengele cha thrust force tu uone kwa USA ni ngapi na Russia ni ngapi?
      Pia jiulize kwa nini RD40 Rocket Engine huyo USA ananunua Russia miaka yote? Ishu ni kuwa hawajajua siri ya hyo thrust force kubwa inatengenezwaje
      Kwa sasa USA wanasema Space X imeanza kutengeneza Rocket Engine lkn fatilia ndani yake kuna mmarekani kwny vitengo Nyato vya technical.Technologia ni from UK na ndani yke kuna wataalam wengi from Russia
      Hata taaaisi ya mambo ya anga wanayoshirikiana Russia na USA ht wagombane vipi haiguswi maana usa anatoa fedha ila Russia ni technologia
      Kaa ujue walioijenga USA ni watu wa nyuma huko vijana wa sasa USA wanakula bata ht jeshini usa wanatoa raia toka nje vijana ni kula bata tu mababu zao ndio waliijenga usa wao wamerelux hapo ndio uSA inapitwa
      Angalia Hata takwimu tu wanafunzi wa PhD ndani ya vyuo vikuu USA utaona 70% ni from China
      Fatilia hotuba ya mwisho ya Netanyahu juu ya USA alisema vijana wanakula burger tu

  • @nassorrashid2521
    @nassorrashid2521 2 роки тому

    Ndege bora ni F 35

  • @wardatiddi7845
    @wardatiddi7845 3 роки тому

    Kama haionekani waambie wakaijaribie iran tuone majibu yake Kweli haiknekani kwenye radar tuone sasa maajibu yake

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 2 роки тому

    Ugunduzi wangu. NI kuunda kifaa kitachokuwa chini ya ardhi mpaka bahari kitachoweza kugeuza nchi yeyote yenye chokochoko. Na kutia maji wanadamu wote waliomo.
    Mwisho wa ugunduzi wangu