Simba ibebwe isibebwe au ifungwe isifungwe mimi siwezi kuama simba hata tufungwe goli 💯 na majimaji ya songea kamwe siwez kuama simba wala kuichukia i love simbaaa nguvu mojaaa
Vijana wa coastal walikuwa na uchu sana wa magoli ila simba walikuwa kama wamelidhika na yale magoli mawili... Kiufupi mnyama anahitaji juhudi kubwa sana la sivyo yaleyale ya msimu uliopita yatajirudia tena😅😅😅
Mimi niko sweden yule refa wa leo anatutia aibu anafaa kufingiwa tena mazima mazima yani anawatafutia simba mabao kisha simba anaenda kufungwa anamaliza mpira
Nliwah kusema simba n timu ya kawaida sana tukaambiwa n nzuri na kukatengenezwa propaganda kibao ila mpira hautaki ujanjaujanja unapelekwa kwa kufata njia.zake tusubir tutaona
Pumnzika mzee ikibidi Acha kushabikia mpira utakufa kama kweny akili yako timu iki droo ndio mbovu kua mshabiki hata wa netball tu mbona fresh hata ukuangalia magori yalio fungwa huwezi laum timu nzima ukisema timu ni mbovu sema wapi pa bovu ushauri tu shabikia hata netball tu au jiulize madridy ni timu mbovu ndio utaanza kuelewa nn maana ya fotball
Wewe Mtangazaji kiwango chako cha utangazaji ni Dhaifu Sana! Yaani wachezaji wa Simba wamechezeana one two na kuutoa mpira nje halafu unadai mpira umezuiwa njiani na wanaofaidika ni Lunyasi!!!
Niliwaambia kwa mwenendo wa ushindi wa Simba 4, 3, 2, 1, inayofuata ni draw 0-0 sasa 2-2 = 0 next -1. Hizo ni heasabu tu... Mwaka huu timu zote zimesajili vizuri, mnapotambiana mtunze maneno, kwani lolote laweza kutokea kwenye mpira. Leo Camara amekosa utulivu kabisa golini. Magoli aliyofungwa ni ya kizembe sana ukilinganisha na zile save za Al Ahli au ndo miiba imeanza kwa misifa mingi na wenzie wanajisikia vibaya.
Wanaosema kumeanza kuchangamka like zenu nizione apa chini 😂😂😂😂😂
Yanga bingwa button 💛💛✅✅
Nani anaangalia huku anatabasamu hii highlight😂😂😂😂
Sijawahi kuona simba mbovu kama simba ya leo tangu niijue simba💔
Jamani naomba like zangu, nimekuw m2 Wa pili,
Simba wamefunga magoli ya mchongo mchongo ila magoli ya coast yamenyooka
We mpira unaujua
Alieona jinsi refa alivyopambana kuwaokoa makolo njoo apa tujadili 😃😃😃
Hao nishinda
Kaka achawavulugwa
Kweli kapambana
Nimeamin ligi hii huchezwa kwa maelekezo asee, dk ya mwisho simba kamaliza mpira kwenye shambuliz
How?
Abdallah Starboy Alves nakuona mashaAllah ...Mombasa finest 🔥🔥🔥🇰🇪
Simba ni team ya kawaida sana tofauti ya simba na dodoma jiji ni ukubwa wa mashabiki tu ILA yaweza kuwa dodoma KUBWA uwanjani
😂😂
Sawa ndo ulipo ishia kufikilia
sawa chelechamp
Ww Hamiss ww
TO ME MAN OF THE MATCH NI REFAREE
MATOKEO YA SIMBA
1-Simba 4-0
2-Simba 3-0
3-Simba 2-0
4-Simba 1-0
5-Simba 2-2
6-Simba 0-3
Yaani magoli ya coastal union ni mazuri sana😂😂😂
Umesema kwer
@@happyvalence5352 hata lile la KenGold ni tam sana
Abdallah Hassan mtoto wa mombasa kenya mbaya sana
Tukiacha ushabiki WA Simba na yanga me naongea ukwel Simba alianza kubebwa tangu mechi na azam adi hii ya leo
Swadakta
Ndiyo
Ubaya uboya wamewekeza Kwenye marefa wajinga kweli hawa😂😂😂😂😂😂😂
Sio mbaya simba❤
hongera simba
Nakubali kijana wangu Abdallah Hassan..mambo ya Bandari fc..#kulawao
Wananchi tujuane
Game zoote 3 walistahil kupata haya matokeo ila marefa wanajutahid kwa kila hali kuwabeba ila hambebeki
@@khamisameta5404 izo ni doriani baba haxibebeki na hazina siri zikiliwa😂🤣😂🤣😂🤣
Wamefungwa magoli ya kideo mpaka rahaaaa😂😂😅 naenjoy kuangalia miee
Magoli ya costal ni ya kiwango sio ya kubebwa kama ya simba 🎉🎉
Simba haibebeki mzigo ulomshinda mamae
Kipa anaguswa ila goli du kubebwa huku ni noma sana
Kazi ya vijana ni nzuri, Simba nguvu moja
Jaman mbn hata mpira mchezaji wa costal hajaunawa ila refa katenga tuta😄😄
😂😂
Mikeka imechanika lakini tuna furaha
Safi sana mangushiiii Kwa kazi nzr
Magoli ya cost matamu sanaaaaaaaaaaa
Wawooooo injoyiiiiiii kosta
Simba ni timu yakawaida sana hawana timu yakubishana na Young
Kuna wachezaji wakianza kufunga unajua hiyo cku sio nzuri
😂😂
😂😂😂
😂😂
Halal yetu kurudishiwa goli zetu sababu wachezaj waliwah kulizikika na matokeo pia waliudharau mchezo tunastahik adhabu hii
Bila dhuluma ya dodoma ingekuwa sure ya pili
Nani Yupo Apa
Refa bwege xn sema Mungu kasimama
spider kawa kobe leo haruka ata goli moja yote yanaingia anaangalia tu
Refa Refa Refa nimekuita mara 3 ujawafanyia poa costal mahaba Leo yalizidi sijui ulikasirika kuona mnafungwa sijapenda😢😢😢
Duuh! Huyu Camara Manula kashamsafiria nini😂😂😂
Simba ibebwe isibebwe au ifungwe isifungwe mimi siwezi kuama simba hata tufungwe goli 💯 na majimaji ya songea kamwe siwez kuama simba wala kuichukia i love simbaaa nguvu mojaaa
Utakufa kwa pressure
Naipenda simba mpk naumwa daaah
@@mwajumamande8477 hama tu nakushauri
@@FulgenceBundala hizi mbuzi zimeishiwa zinazurura tu hazijui zina comment nini. Akhera zimo dunia zinaranda tu
Zitakufa kwa pressure na mawazo
Magori ya coadt union 🔥 🔥
Safi
Hii simbaaa
Mh!, Simba hii
Magoli ya coastal union yote ni mazuri kuliko simba tena ya aibu 😅
Weng mnao comment mnacomment kishabiki io n penat waz
Kweli
❤ Mimi mushabiki wa simbaaaaaa ila ila Simba kweli wali bebwa😂😂😂
Ulibebwa ww
Vijana wa coastal walikuwa na uchu sana wa magoli ila simba walikuwa kama wamelidhika na yale magoli mawili... Kiufupi mnyama anahitaji juhudi kubwa sana la sivyo yaleyale ya msimu uliopita yatajirudia tena😅😅😅
Magoli ya costal yako bomba
Yaani wakicheza wanajiona kama yanga
Goli la kwanza ni ofside
Mimi niko sweden yule refa wa leo anatutia aibu anafaa kufingiwa tena mazima mazima yani anawatafutia simba mabao kisha simba anaenda kufungwa anamaliza mpira
Nimaajambu sana simba kupewa penati isio kua halali
Ni zamu ya manula kurudi langoni
Kweli kabsa na watamkataa huyo 😅😅😅
Ilo goli la kwanza angefunga Yanga ungesikia bahasha.
Kabisa yaani
Tatizo simba mnadharau timu ndogo kweli mnakatisha tamaa sàna
Furaha yenu ni ya muda mfupi tuuuu😂😂😂😂
COAST WAMEFUNGA MAGOLI YA VIDEO MATUPU SI MCHEZO
Refa amepiga filimbi ya kumaliza mpira baada ya kuona Coastal wanakaribia kufunga goli la tatu, Ni Sare ya kubebwa ilibidi coastal azoe points zote 3.
Bebwabebwa fc😂😂😂😂
Goli la 2 la cost kagusa kipa na wachezaji 2 tuu wa ndani
Kimeumana 😂😂
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Coastal.magoli.safi.sana.ya.kiufundi
Maji na mafuta yameanza kujitengaaa😂😂😂 Deborah Fc
@@elishakayagwa9371 kweli muda utaongea
Nliwah kusema simba n timu ya kawaida sana tukaambiwa n nzuri na kukatengenezwa propaganda kibao ila mpira hautaki ujanjaujanja unapelekwa kwa kufata njia.zake tusubir tutaona
Kabisa
Pumnzika mzee ikibidi Acha kushabikia mpira utakufa kama kweny akili yako timu iki droo ndio mbovu kua mshabiki hata wa netball tu mbona fresh hata ukuangalia magori yalio fungwa huwezi laum timu nzima ukisema timu ni mbovu sema wapi pa bovu ushauri tu shabikia hata netball tu au jiulize madridy ni timu mbovu ndio utaanza kuelewa nn maana ya fotball
na kipa wao wakamnadi Sana...
@@FurahaAndrea-l8dtimu si ni mbovu kweli
Liambie hilo bwege tu ndo maana waliambiwa wenye akili wawili,@@FurahaAndrea-l8d
I prophecy Simba hii kwa Yanga historia itajirudia tenaaa😂😂😂😂5
𝗠𝗮𝗴𝗼𝗹𝗶 𝘆𝗮 𝗰𝗼𝘀𝘁 𝗻𝗱𝗼 𝗺𝗮𝘇𝘂𝗿𝗶 𝘀𝗮𝗻𝗮 𝗮𝗶𝘀𝗲𝗲𝗲
Sanaaa tew
magoli yote makosa ya kipa. naona kipa leo hakuwa kwenye form
goli la kwanza angefanyaje
Hii ndio simba nayoijua mimi😅😅😅
😂😂😂🙌 hii ndio mechi ya kwanza kuisha kimaajabu! Commentary mwenyewe kashangaa!!
Commentater
Nadhani ulikuwa unamaanisha "Commentator" lakini si "Commentary"!!!
Refa ashindwe na aregee alijaribu kuionea coastal Union
Simba wamebebwa lakini wapi kuwapa magoli ya bure wapi? Mungu ataki dhuruma.
Wewe Mtangazaji kiwango chako cha utangazaji ni Dhaifu Sana! Yaani wachezaji wa Simba wamechezeana one two na kuutoa mpira nje halafu unadai mpira umezuiwa njiani na wanaofaidika ni Lunyasi!!!
Uanja usharogwa sasa kazi tunayo
Imekula kwao wanaume ndo wanakuja tyu
Nchi imefurahiii😅😅
Kama Ra anataka kujifananisha, Diara
Goli la pili
Apakweli simba simba mjitathimini
Mh kiko wapi?
Hivi nyinyi simba mnauwakika kweli huyu ni kipa ama pazia
Vijora vimeanza mamae
Iyo attack ya mwisho ya coast cjaelewa😢😢, bongo tuncheza unfair football😢😢
Bila refa makolo walikua wanakula 7😂😂😂😂😂😂😂
Iyooo simba niya mchongo iyooo haiwez kuwindAaa
Kila siku nasema Simba bado sana
Niliwaambia kwa mwenendo wa ushindi wa Simba 4, 3, 2, 1, inayofuata ni draw 0-0 sasa 2-2 = 0 next -1. Hizo ni heasabu tu... Mwaka huu timu zote zimesajili vizuri, mnapotambiana mtunze maneno, kwani lolote laweza kutokea kwenye mpira. Leo Camara amekosa utulivu kabisa golini. Magoli aliyofungwa ni ya kizembe sana ukilinganisha na zile save za Al Ahli au ndo miiba imeanza kwa misifa mingi na wenzie wanajisikia vibaya.
Magoli ya coastal ni mazuri mnoo
Spiderman vipi
😂😂😂😂😂
Ila hakushika mpira bhana siyo penalty
Diara ni kipa bora
Refa kamaliza mpira ki puuzi sana
Hahahaha yani hawa panya rodi watatukoma tareh 19
Pamoja na kumzuia Lawi kwenye kambi ya timu ya Taifa ile hamna kitu 😂😂😂
Well refa kajitahidi kuwaokoa Makolo, marefa wetu wanachezesha kwa kufuata maelekezo. Mmh,,,,,,,, 3:09
Wameshenyentwaaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hii ndo Simba tunayoijua sasa🤣🤣
Kuna siku Hawa marefa watakuja kupigwa uwanjani
Tuwaulize wanasimba kuwa wanasemaje ?
Mabao ni mazuri sana Aseeee
Simba Kawa paka
Yani leo simba mumefanya utoto usiohitajika katika mpra
Yanga B imewafunga simba 😂😂😂😂