MKUTANO MKUU YANGA | Jezi mpya Yanga SC zishatua nchini

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • Jezi mpya za Yanga SC tayari zipo nchini na zitazinduliwa mwanzoni mwa mwezi Julai.
    Huyu hapa Ofisa Habari wa timu hiyo Ally Kamwe akitanabaisha zaidi.
    Ni Mkutano Mkuu ya Yanga SC ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC)

КОМЕНТАРІ • 31

  • @samsoniabeli
    @samsoniabeli Рік тому

    Thank you young

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 Рік тому +4

    Kweli uongozi huu uko makini sana.

  • @sharlynshabani6815
    @sharlynshabani6815 Рік тому

    Yanga oyeeeeeeeeee

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 Рік тому +2

    Na mm nitakuwa kiongozi,maana du!

  • @Prince-rafael
    @Prince-rafael Рік тому +4

    Moja ya CV yake kocha mpya wa yanga nikuwa ashawai kupiga picha na maradona🤣🤣Ila hii nchii hii jamanii aya m nko muhimbili apa naomba kazi yakufanya fanya kazi ya usafii kwa madarasa ya wasudani.

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 Рік тому +1

      Wewe yako ipo wapi uliopiga na messi

    • @jameschumbula7351
      @jameschumbula7351 Рік тому +1

      Mbna kama yamekuxhuka dadek😜🤪😜🤪🤪

    • @Octavinaelisa-fn6js
      @Octavinaelisa-fn6js Рік тому +1

      Ahahahaha

    • @pcpoint1224
      @pcpoint1224 Рік тому

      Usiombe kazi pewa kaze akupeleke mochwar ukasafishe miili ya wenye presha kama wewe kolo mmoja mwenye bp juu 200 chini 150 hakika unakufa kibu. du mbele ya wananchiiiiii

  • @99.3nyuradio3
    @99.3nyuradio3 Рік тому

    yanga tyamu sana jamani

  • @mariamemadoshi5540
    @mariamemadoshi5540 Рік тому +1

    Mbona makolo wana umia utafikiria nishughuli yao poleni makolo kwa maumivu nabado hiindiyo yanga hata nabi mlimponda wakati anaingia hatasishangai ni wivu unawasumbua miaka miwili mna hangaika nabado kaziyenu kutopoka sisi tunasonga daima mbele nyuma mwiko kocha la makombe chezea safisana wana yanga

  • @AbubakariMohamedi-p4x
    @AbubakariMohamedi-p4x Рік тому +1

    hapo kwenye jezi kuja mapema mmetupiga gape lkn kwny ubora naamin safari hii simba tutakuwa na jezi bora sana

  • @ibrahimkisombaki9579
    @ibrahimkisombaki9579 Рік тому

    💛💛💛💛🇧🇷🏆🏆🏆🏆🏆

  • @hijjaferrari331
    @hijjaferrari331 Рік тому +1

    Mikubwa mizima inakuwa mazuzu kwa mtoto mdogo

    • @espoti4300
      @espoti4300 Рік тому

      hahaha,mbona wewe mwenyewe zuzu

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 Рік тому

    Rose hayakuhusuuu

  • @MfikwaTimothy-bg5bq
    @MfikwaTimothy-bg5bq Рік тому

    Rais na viongoz wengene mdum

  • @pcpoint1224
    @pcpoint1224 Рік тому

    Robatinyo ni kocha wa minenguo na mikatiko, wakat profesa Nabi alikuwa kocha wa makombe na medali,၌၌၌၌်၏ဉ

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt Рік тому +1

    Mijitu ya utopolo inapenda kubebwa ujinga

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 Рік тому

      Mjinga wa kwanza wewe kufatilia yasiyokuhusu

    • @ibrahimkibela8096
      @ibrahimkibela8096 Рік тому

      Wana wivu Sana hao wala ngada

    • @hasanimohamedi279
      @hasanimohamedi279 Рік тому

      ila simb mbn mnateseka kwa mamb ambayo hayakuhusu😂😂😂😂

    • @KhadijaKiwambu
      @KhadijaKiwambu Рік тому

      Mjinga wewe uritumwa uwangarie

    • @JeainShafii
      @JeainShafii Рік тому

      mjinga wa kwanza ni ww uliokuwa unakiherehere chakufatilia mambo yasio kuhusu nyoko weee

  • @rosekaseswa5781
    @rosekaseswa5781 Рік тому

    Hawana lolote mavi tu

  • @paulsamwel1144
    @paulsamwel1144 Рік тому

    Utopol hamna kitu

  • @MeryChalres
    @MeryChalres Рік тому

    Yanga oyeeeeee