Maombi Ya Asubuhi
Maombi Ya Asubuhi
  • 6
  • 1 516 280
MAOMBI YA ASUBUHI | BWANA pigana nao
Fanya maombi haya kila siku asubuhi unapoianza siku yako mpya.
Zaburi 35:1-7 | Ee Bwana, utete nao wanaoteta nami, Upigane nao wanaopigana nami. Uishike ngao na kigao, Usimame unisaidie. Uutoe na mkuki uwapinge wanaonifuatia, Uiambie nafsi yangu, Mimi ni wokovu wako. Waaibishwe, wafedheheshwe, Wanaoitafuta nafsi yangu. Warudishwe nyuma, wafadhaishwe, Wanaonizulia mabaya. Wawe kama makapi mbele ya upepo, Malaika wa Bwana akiwaangusha chini. Njia yao na iwe giza na utelezi, Malaika wa Bwana akiwafuatia. Maana bila sababu wamenifichia wavu, Bila sababu wameichimbia shimo nafsi yangu.
Переглядів: 253 372

Відео

MAOMBI YA ASUBUHI | Nakutegemea wewe
Переглядів 94 тис.Рік тому
Fanya maombi haya kila siku asubuhi unapoianza siku yako mpya. Zaburi 18:18-19 | Walinikabili siku ya msiba wangu, Lakini Bwana alikuwa tegemeo langu. Akanitoa akanipeleka panapo nafasi, Aliniponya kwa kuwa alipendezwa nami.
MAOMBI YA ASUBUHI | BWANA niokoe
Переглядів 226 тис.Рік тому
Fanya maombi haya kila siku asubuhi unapoianza siku yako mpya. Zaburi 7:1-2 | Bwana, Mungu wangu, nimekukimbilia Wewe, Uniokoe na wote wanaonifuatia, uniponye. Asije akaipapura nafsi yangu kama simba, Akiivunja-vunja pasipokuwa na wa kuponya.
MAOMBI YA ASUBUHI | Nishike mkono
Переглядів 292 тис.2 роки тому
Fanya maombi haya kila siku asubuhi unapoianza siku yako mpya. Zaburi 37:23-24 | Hatua za mtu zaimarishwa na Bwana, Naye aipenda njia yake. Ajapojikwaa hataanguka chini, Bwana humshika mkono na kumtegemeza.
MAOMBI YA ASUBUHI | Sitaogopa
Переглядів 611 тис.2 роки тому
Fanya maombi haya kila siku asubuhi unapoianza siku yako mpya. Yeremia 1:8 | Usiogope kwa sababu ya hao maana mimi nipo pamoja nawe nikuokoe, asema Bwana.
MAOMBI YA ASUBUHI | Nitatoka Kwa Furaha
Переглядів 40 тис.2 роки тому
Fanya maombi haya kila siku asubuhi unapoianza siku yako mpya. Isaya 55:12 | Maana mtatoka kwa furaha, Mtaongozwa kwa amani; Mbele yenu milima na vilima vitatoa nyimbo; Na miti yote ya kondeni itapiga makofi.

КОМЕНТАРІ