Vita vya Ukraine: Ni nchi gani zinazoipa Urusi silaha? | China na Iran yatajwa!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • Ni nchi gani zinazoipa Urusi silaha? | China na Iran yatajwa!

КОМЕНТАРІ • 12

  • @salumabdallah2990
    @salumabdallah2990 8 годин тому +1

    Wao wanawekewa vikwazo na nani?

  • @lucasdeus5653
    @lucasdeus5653 7 годин тому

    Mambo mengine muwaachie wanaojua... nyie endeleeni kutaja mama enu

  • @shaibukhamis863
    @shaibukhamis863 6 годин тому

    Wapuuz nyinyi sas urus nchi ndog mpk ujiulze nan anawapa siraha amun maajbu nyinyi asaiv

  • @AbdillahRashidi
    @AbdillahRashidi 9 годин тому +1

    Nyie hamuezi kuongelea Global Politics, ni bora muongelee mziki na michezo

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 7 годин тому

    Hapa me sifahamu why marekani anawapa watu wengine silaha kma ukreni na haekewi vyikazo but Iran Korea na China wawekewe vikazo na kustumia wanatoa silaha. Hii dunia awe ni mmoja tu atoe silaha. Mbona marekani anatuma silaha israil hakuna anaesema. Duhh bora hii dunia ifudikikizwe . Waje wengine ata kama mungu mwenyewe akaeka kiumbe chchote .ila hawa mashoga basi

  • @babanadia3201
    @babanadia3201 8 годин тому

    Watu wa bbc unajua wanaunga mkono nato na Ukraine..naomba muache story za kudanganywa

  • @ALLIRAMADHAN-s6y
    @ALLIRAMADHAN-s6y 9 годин тому +1

    Mamluki wakubwa ninyi hambadiliki mkoloni akifa nisawa kabisa acheni putini aondoe ushoga duniani viva putin

  • @msafirimaulidi5054
    @msafirimaulidi5054 6 годин тому

    Nyie na vita wap na wap?

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 8 годин тому

    Baadhi ya Watoto wa Muhammad hawataki kusikia kabisa kuwa Urus kumbe nae hupewa Silaa na inchi zingine 😂😂😂 japo ndiyo ukweli wenyewe,
    Pia hakuna inchi Duniani inapigana yenyewe bila kuwa na washirika kunawakati Urusi ilikuwa inatakangaza nafasi za kazi za kijeshi Kwa watu walio inje na Urusi tena Kwa kuwalipa pesa kibao 😂😂😂😂