Yahya Sinwar: Kiongozi wa Hamas ni nani?auawa kikatili Tazama

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 26

  • @SaumHaji-l1r
    @SaumHaji-l1r 11 годин тому

    Mungu ata mlipa kheri

  • @SajeedaBilal-hg2ph
    @SajeedaBilal-hg2ph 3 години тому

    Kidume ktk ubora wake,Allah akujalie pepo ya firdaus.

  • @AnnaFaith-d3g
    @AnnaFaith-d3g 14 годин тому

    Yohana 8:12
    [12]Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.
    Yohana 11:25-26
    [25]Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi;
    [26]naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo?
    Yohana 14:6
    [6]Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

  • @MaurusMpinga
    @MaurusMpinga 22 години тому +2

    Nae kaua kikatili angalia maneno yenu

  • @paschalcharles3617
    @paschalcharles3617 День тому

    Yahya al-sinwar 🙌

  • @RobertBitambaOfficial
    @RobertBitambaOfficial 3 години тому

    Wanao chomesha ni waarabu wenzao ni washirika wa marekani.saudia

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 19 годин тому +1

    Ama kweli akuanzae mmalize

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 21 годину тому +1

    Aliua 1,200 kasababisha Israel iue 40,000

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 19 годин тому +1

      Japo una mawozo ya kikafir wenda mmoja wao.sinwar ameenda kula supu na mtoto wa mariamu aduwi wao ni 1 myaudi.

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 21 годину тому

    Sasa ameuwawaje mbona hatuoni

  • @binseif2216
    @binseif2216 9 годин тому +1

    Ipo siku mtakuja kuuona uhalisia wa muisrael na mmarekani endeleeni kuwashabikia

  • @JaphetJairos
    @JaphetJairos 16 годин тому

    Acha afe tu nayey kauwa sana kwa kuamini dini zao za visasi hovyo sanaa

  • @stonetown578
    @stonetown578 19 годин тому +1

    Mwaka mzima sasa mnapigana na watu wenye silaha hafifu.

    • @walker-96
      @walker-96 17 годин тому

      Acha wapewe dozing hapo wanapigwa waarabu wote na ugaidi wao.......
      Hapo ni nchi zaidi ya 10 zinapigwa

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 19 годин тому +1

    Kumbe lilikuwa GAIDI LILILOSHINDIKANA wacha apumzike, kaua wengi saaana

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 19 годин тому +2

      Majina ya wapenda haki wakitetea aridhi yao

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 18 годин тому

      Lakini hamshindi Nyetayau huyo ndo gaidi ameua wengi zaaidi ya yahya mungu ampumzishe mahali pazuri amani

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 18 годин тому

      @@halimamasai2234 ye anaua baada ya kuchokozwa,

    • @binseif2216
      @binseif2216 9 годин тому +1

      Wakristo na wuyahudi hawawezi kuwa karibu na waislamu QURAN ishasema kwahiyo sio ajabu na hasa hawa Wakristo wa kiafrica watumwa

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 8 годин тому

      @@binseif2216 💪💪💪💪💪❤️❤️❤️❤️❤️