STEP FATHER | 05 | Love Story ❤️

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @Zebuu-kp
    @Zebuu-kp 2 місяці тому +174

    Unyama ❤❤🎉 sapoti zenu muimu kwake

    • @RuthNyatuka-qe3kd
      @RuthNyatuka-qe3kd 2 місяці тому +4

      Uko huku mrembo wetu❤❤❤

    • @Hilderkarema
      @Hilderkarema 2 місяці тому +1

      Kazi nzuri ❤❤

    • @ronyalkh
      @ronyalkh 2 місяці тому +2

      Kp wap Mr money jaman

    • @SamuelChirstopha
      @SamuelChirstopha 2 місяці тому +1

      Nataman bongo movie ya kp na kelvin na brouwn ❤❤❤❤❤❤

    • @AishaKadii-sb3tt
      @AishaKadii-sb3tt 2 місяці тому +2

      nlijua to kp Ako huku 😅😅 haya twende nalo

  • @NadiaRamadhan-q1m
    @NadiaRamadhan-q1m 2 місяці тому +41

    Yani Kelvin nijembe kbsa hongera kwakipaji kizuri na unatuelimisha jamii Zima na Duniani kote 🎉🎉🎉mungu ibarki kazi yako na kipaji chako na mikono yako popote uendako mungu akutangulie mbele yako iliazidi kukupa, mafanikio zaidi yaapo🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

    • @esterkimalio8846
      @esterkimalio8846 2 місяці тому +2

      @@NadiaRamadhan-q1m Amen and Amen kwaajili ya kelvin

  • @gladysosoro8963
    @gladysosoro8963 2 місяці тому +48

    Huyu kaka Nyuki ana perform hii part yke perfectly 💯

  • @Marlenapilikitsao-gk9je
    @Marlenapilikitsao-gk9je 2 місяці тому +11

    Cjawai boeka kutazama movie zenu Tamu mafundisho MEMA cnabundi kuwapa shukrani zangu kwambali mmenifikisha mungu akubariki sn 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @ChinyavuChidzeli
    @ChinyavuChidzeli 2 місяці тому +25

    ❤❤❤❤❤ leo nimekua wakwanza kutoka kenya hongereni wana donta 🎉🎉🎉

  • @MariaOgweno-n9c
    @MariaOgweno-n9c 21 день тому +2

    So nyce gudy work guyz

  • @RashidiSaidi-f9k
    @RashidiSaidi-f9k 2 місяці тому +7

    Huyu Nyuki anajua sana

  • @Diyo-u5o
    @Diyo-u5o 2 місяці тому +8

    Gonga like kw ajili y SADA na vidole vyke vy mkorogo😂😂😂

    • @SalomeKawogo
      @SalomeKawogo Місяць тому

      😂😂😂vimekuwa sugu atar bora angebaki na rangi yake tuu

  • @Guyfleury17
    @Guyfleury17 2 місяці тому +5

    Basi kaka kelvin cukua maua🎉 unajua kubeba mtoto vizuli❤

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 2 місяці тому +18

    Nyuki humu umezingua kwnn umemfanyia hvy Sada, kumbe ww ndo ulikuwa mwanaume wa kwnza kwa Sada kwnn sasa hv, sjapenda au bas,

    • @marymery458
      @marymery458 2 місяці тому +1

      Ila n uhalisia asilimia kubwa wa watu wanaotoa bikra hatuish nao cjaona kosa n uhalisia

    • @RahmaMutesi-s4e
      @RahmaMutesi-s4e Місяць тому

      😂❤🎉​@@marymery458

  • @malikahiribae
    @malikahiribae 2 місяці тому +2

    Hata kama ni movie kitambo iishe kelvin na mwanae bega litachomoka hilo 😅😅😅 hongera sana kumjali mtoto 🎉❤

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 2 місяці тому +2

    Yani mimi nikimuona Kelvin ktk tamthilia yoyote. Bac tafsiri yng, hio tamthilia ni nzuri sana na ina mafundisho makubwa. Namkubali na nampenda saana Kelvin. Nakutakia kl la heri wewe na wana Donta wooote.💕🌹🇴🇲

  • @NeemaMbuji-i7s
    @NeemaMbuji-i7s Місяць тому +1

    ❤❤❤❤Nawapend cn ila mapenz yanauma asikwambie mtu jmn kuachwa shikamoo

  • @NoorEesa
    @NoorEesa 2 місяці тому +3

    Much love from kenya ❤️❤️❤️❤️ ila jina ya hii movie basi muache kubadilisha please

  • @StellaKugomwa
    @StellaKugomwa 2 місяці тому +22

    Kwamala ya kwanza kuwahi nimewahi kidg naomba like japo moja tu

  • @antonyRuth
    @antonyRuth 2 місяці тому +5

    Huwo wimbo jaman naupenda

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 2 місяці тому +14

    Wa kwanza team strong hoyeeeeeeeeee 🇸🇦🇰🇪 team donta family maupendo kwa kelvin

  • @SalamaCharo-q6k
    @SalamaCharo-q6k 2 місяці тому +3

    Yaan kelivn ynatufunza honger ❤❤❤

  • @GahysonMakaya
    @GahysonMakaya 2 місяці тому +7

    Huu Wimbo ni wanani jamani naombeni jina niutafute

    • @Malesa255..1
      @Malesa255..1 2 місяці тому +2

      Hatujaupost

    • @GahysonMakaya
      @GahysonMakaya 2 місяці тому

      @@Malesa255..1 ndio niliomba kuujuwa t ni wanan

    • @liliy-u3n
      @liliy-u3n 2 місяці тому +1

      ​@GahysonMakaya melesa but aje post

    • @liliy-u3n
      @liliy-u3n 2 місяці тому

      ​@@Malesa255..1fanya upost

  • @MaSuzy-zf8ol
    @MaSuzy-zf8ol 2 місяці тому +8

    mimi wasita kucoments jmni kazi nzuri san

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 2 місяці тому +1

    Congratulations hongera pongez kelvin wee n mwanaume n nusu wallah ❤❤❤❤mola akuzidishie moyo huo huo

  • @سيييققق
    @سيييققق 2 місяці тому +4

    Nakupongeza kaka Kelvin kw hii movie nakubali congrats pia umejikaza sana ju ya kulea mtoto siwako

  • @winifridapaison3996
    @winifridapaison3996 2 місяці тому +2

    ❤ ila sasa jina la wimbo jamanii

  • @SaumuWanje
    @SaumuWanje 2 місяці тому +3

    Hongera sana ❤❤

  • @IreneMbeoma
    @IreneMbeoma 2 місяці тому +1

    Ivi nyiee mnakuja kuomba like au kutoa maonii ya move jamanii duuuh😮

  • @RahmaMutesi-s4e
    @RahmaMutesi-s4e Місяць тому

    Yani kelvin umenikosha nauyo mtoto mgongoni 😂😂😂😂Raha sana ❤❤❤Afu kwaiyo mitumba adi raha sana🎉❤
    TULIO MKUBALI KELVIN NA MTOTO WKE MKONO JUUU❣️🔐 ubarikiw kelvin na team yko yote 🙏🇨🇩

  • @123rehema-q9h
    @123rehema-q9h 2 місяці тому +2

    Kazi safi sana hongereni ❤❤❤

  • @ARABIMAARUFU
    @ARABIMAARUFU Місяць тому

    Kwel jamaa amemkosea sana saada

  • @thabitharange-vz2ru
    @thabitharange-vz2ru 2 місяці тому +6

    Umenikata ulimi nisiseme eti niwe bubu maumivu ya mapenzi usiyapima yananiatipu 😢❤❤wimbo mzuri sana hongereni ndugu zangu

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 2 місяці тому +2

      Itakuwa kaimba Malesa maana nasikia saut yk

    • @Malesa255..1
      @Malesa255..1 2 місяці тому

      @@jamilashabani8580yes wakwangu❤🎉

  • @Hellen-l9o
    @Hellen-l9o 28 днів тому

    Mashallah movie tamu ajabu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 2 місяці тому +1

    Hongera sana kelvin wewe ni mwanaume jasiri sana maua yako kaka 🌹🌹🌹🌹

  • @OmarNzohabonayo
    @OmarNzohabonayo 2 місяці тому +3

    Sijacelewa sana

  • @Huseni-p
    @Huseni-p 2 місяці тому +4

    Mbona hamsemi huu wimbo kaimba nani

    • @suraface
      @suraface 2 місяці тому

      Anaweza akawa Kelvin huu

  • @BlessingsSamweli
    @BlessingsSamweli 2 місяці тому +1

    Donta tv aiseee Mungu awabariki sana sana ❤❤❤

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 2 місяці тому +9

    Tena Lissa,,,umekosea mtukana mbwa ungempa kubwa lake huyo Baladhuli brown,,,,wanaume kama brown wauawe maana wanajijali wao tu mbuzi wa kafara wote

    • @maskiniHanamshirika
      @maskiniHanamshirika 2 місяці тому

      Mbna makasiriko kipenz😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @esterkimalio8846
      @esterkimalio8846 2 місяці тому

      @@maskiniHanamshirika anatia hasira,,,,,kamuacha mke kijijini kaja kuoa,,halafu mwenzie anataka kuolewa anamzuia huoni kama huwo ni ubinafsi

    • @NaomiWambui-gx2qd
      @NaomiWambui-gx2qd 2 місяці тому

      wanaume mbwa tu ,,pia mm nimepitia kama lisa,,mtu kaniacha na mimba ya 4 months na akaoa mwanamke mwenye mtt na amemzalia alafu akarudi kanizalisha mtt wa pili ,,sai ananona mavi kwake naumia😢😢sai niko uraibuni lkn moyo wavuja damu sina amani

    • @esterkimalio8846
      @esterkimalio8846 2 місяці тому

      @@NaomiWambui-gx2qd pole sana

    • @DeeDan-sj1mr
      @DeeDan-sj1mr 2 місяці тому

      Axante dada😂😂😂

  • @JerryWezzy
    @JerryWezzy Місяць тому

    Very nice good job ❤❤❤

  • @FaithMusili-xx1ml
    @FaithMusili-xx1ml Місяць тому

    This is so magazine very interesting movie ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @arikibok4735
    @arikibok4735 2 місяці тому +2

    Courage ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @estermpare4078
    @estermpare4078 2 місяці тому +4

    Sipendiii uyuu sadaaa anavyoongeaaa ananitiaa hasiraaa

    • @gynarjaneth400
      @gynarjaneth400 2 місяці тому

      Kama mie2

    • @bennamush4616
      @bennamush4616 2 місяці тому

      Kama Mimi pia Ila ndo sauti yake kapewa naMungu hatuna namna

  • @ElishaMusinder
    @ElishaMusinder 2 місяці тому +3

    Nawa kubali sana

  • @vickyogeto1245
    @vickyogeto1245 2 місяці тому +2

    Nyuki ujafanya poa haki kwa sada

  • @CeciliaCeciliamuparose-zt6tx
    @CeciliaCeciliamuparose-zt6tx 2 місяці тому +2

    Hiii nayo unaumiza sana aky wanaume😢😢😢😢

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 2 місяці тому +1

    Tokea kenya 🇰🇪 hii vilam inatuwelimisha sn🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @to00ofh
    @to00ofh 2 місяці тому +1

    jamani bado ya Sita tumeipenda sana

  • @rajabokio
    @rajabokio 2 місяці тому +8

    Wakenya mko wapi like zenu muhimu

  • @khamiskhamis1205
    @khamiskhamis1205 2 місяці тому +5

    Oya Kelvin ukosawa babake hongera sana kamanda

  • @aishadakio7237
    @aishadakio7237 2 місяці тому +1

    Hongereni sana ❤❤❤❤

  • @Mercyline-y9k
    @Mercyline-y9k Місяць тому

    Waaa wanaume kulithika ni ngumu

  • @ChristinaAman-b3s
    @ChristinaAman-b3s Місяць тому

    Kazi nzuri mbarikiwe wapendwa big up sana mnatoa elimu ,na mnaelimisha

  • @BINTmohammed-fu9gp
    @BINTmohammed-fu9gp 2 місяці тому +3

    Wanaume Bana dah!

    • @olicej7837
      @olicej7837 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂 matapeli wakubwa hawa daaah😂😂😂

  • @MamanEstherEsther
    @MamanEstherEsther 2 місяці тому +1

    Ongera kwa kazi zenu vijana❤❤❤❤❤❤❤

  • @WinnieShirma
    @WinnieShirma 2 місяці тому +1

    Hongereni sana❤

  • @ElishaMusinder
    @ElishaMusinder 2 місяці тому +3

    Mimi wa kwanza

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 2 місяці тому

    Movies nzuri sana 😊😊

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 2 місяці тому

    Kaz nzuri lissa upo good sanaaa

  • @jacquelinemuthina
    @jacquelinemuthina 2 місяці тому +2

    Wakwaza from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪,,,gogeni like 🎉🎉

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r 2 місяці тому

    Bonge bonge la movie,ata kushnda mtoto wa boss ya ku delay,step dad moves fast wth speed,apewe maua yke❤,mi m🇰🇪

  • @NuruKapati
    @NuruKapati 2 місяці тому +1

    Kazi nzuri

  • @mariamabdulla7868
    @mariamabdulla7868 2 місяці тому +1

    Safi san nmeipenda from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 naenjoy nkiwa 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 2 місяці тому +1

    Nice movie ❤❤❤🎉🎉

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 2 місяці тому +4

    Hii movie naikubali sana mpaka naona ni fupi🔥🔥🔥💯

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 2 місяці тому

    Congratulations guys kwa kazi mzuri sana 🇰🇪

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx 2 місяці тому +1

    Kazi safi team kelvin

  • @magangakingu
    @magangakingu Місяць тому

    ❤❤❤🎉🎉nawapenda sana

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 2 місяці тому

    Tamthilia akiwepo Kelvin na Loveness. Cwachi kuifatilia kwakweli.

  • @JanethMwacha
    @JanethMwacha 2 місяці тому +1

    Niliisubr muda mrembo 😍🥰

  • @jacobmvanga4564
    @jacobmvanga4564 2 місяці тому +5

    😢😢 jamn huuwimbo unanikumbusha mbari nitu mieni jamni

  • @Bintabubakar-id2so
    @Bintabubakar-id2so 2 місяці тому +1

    Kaz nzr san Asanten san ❤❤❤❤

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 місяці тому +1

    Kelvin baba furaha maskini unamuleleya Broun anajuwa vizuri lakini akutese tu wewe nami siku angekuja kumucukuwa nisinge mumupa😂

  • @sophianyambura-ou9kg
    @sophianyambura-ou9kg 2 місяці тому +1

    Kevu roho nzuri,

  • @MwanaminaMwambembe
    @MwanaminaMwambembe 2 місяці тому

    Si muachie hio pat 6

  • @AliceKarembo
    @AliceKarembo 12 днів тому

    Borni na kelvin kwa maongezi yenu ya kutiana moyo yananigusa wangapi wanakubaliana likes zenu basi

  • @FatumaBakari-c3l
    @FatumaBakari-c3l Місяць тому

    Kelvin unyama n mwingi❤❤❤

  • @MwadawaMayengo
    @MwadawaMayengo 2 місяці тому +1

    Kazi nzuli sana

  • @SimaiJunior
    @SimaiJunior 2 місяці тому +1

    Nice 🎉🎉❤❤😊

  • @DivineIngabire-lj3sr
    @DivineIngabire-lj3sr 2 місяці тому +1

    Kiukweli nataka brown awumbuke kwa kelvin anamulelea mutoto nayey anahangalia

  • @PhilbertHabonimana-o1z
    @PhilbertHabonimana-o1z 2 місяці тому

    Ibla umefanya makosa kabisa kumuacha sada

  • @SwabrinaamoohSwabrinaamooh-e3r
    @SwabrinaamoohSwabrinaamooh-e3r 29 днів тому

    Jina ya wimbo jaman 😢

  • @JaelOkoth
    @JaelOkoth 2 місяці тому

    Hivo hivyo loveness usimlegeze kama kimanzi

  • @Sitiabdhallah
    @Sitiabdhallah 2 місяці тому

    Hongera kwenu wanadonta pokeeni maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @موكاء-ظ9ج
    @موكاء-ظ9ج 2 місяці тому

    Nawapenda buree ❤❤🎉🎉🎉

  • @EuniceJoel-m9i
    @EuniceJoel-m9i 2 місяці тому

    ibra na yy kwa kubembeleza hajambo😂 ila hayo ni maneno na kwenye kanga yapo🤣🤣🤣

  • @TabuBaya-mr4lx
    @TabuBaya-mr4lx Місяць тому

    Mtupee huo wimbo na si tufurahi bamoja

  • @DianaDiana-ej6fn
    @DianaDiana-ej6fn 2 місяці тому +6

    Jina LA huo wimbo tafadhali 🙏🙏🥰.

  • @KelvisEkta
    @KelvisEkta 25 днів тому

    Ila jamani love anajua ukweli usemwe

  • @MelinaMerlins
    @MelinaMerlins 2 місяці тому +1

    Much love from kenya ❤❤❤

  • @FestusWere-ni4rf
    @FestusWere-ni4rf 2 місяці тому +1

    Weee SADA amenitisha

  • @clémchoux
    @clémchoux 2 місяці тому

    Kv pole sana ume zaaa mtoto wa juwa

  • @MwanalimaMwalimu-c4m
    @MwanalimaMwalimu-c4m 2 місяці тому +5

    Mimi niwa ishirini ❤❤😂😂 team storing 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦 like kwa mpigo

  • @AmaniNangerembe
    @AmaniNangerembe 2 місяці тому

    Good nice one job brother Kelvin 🎉🎉❤

  • @RizikiChamwela
    @RizikiChamwela 2 місяці тому +1

    Wooo❤❤❤❤

  • @PitaMarwa
    @PitaMarwa 2 місяці тому

    Kuba babeke uyu Demu

  • @to00ofh
    @to00ofh 2 місяці тому

    jamani Hamukaki kutupa ya sita tupeni jamani tumependa sana

  • @AnithaNahimana
    @AnithaNahimana 2 місяці тому

    Asante sana muko poa

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 2 місяці тому

    Mashallah ❤mungu abaliki sana kazi zenu mbona amtumi linki jamani 😢

  • @SalomeKawogo
    @SalomeKawogo Місяць тому

    sipati picha part ya saad angekuwa shanaizer au tina

  • @bettymbeyu8746
    @bettymbeyu8746 2 місяці тому

    Leo sijachelewa sana😊

  • @fatoooma123
    @fatoooma123 2 місяці тому +3

    ❤❤❤

  • @ryansaro9647
    @ryansaro9647 2 місяці тому

    Kwan pete iliisha jaman na penzi la mtoto wa boss na dada wa kazi

  • @paulowilliam3319
    @paulowilliam3319 Місяць тому

    yaaani mtu kacheza ana Mtoto bado unasema eti bikra hapo mmeharibu radha move