"BABA ALINIAMBIA MIMI NDIYE NIMEMUUA MAMA - AKANIFUKUZA BAADA ya MAZIKO" - AUNTY LULU...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024
  • "BABA ALINIAMBIA MIMI NDIYE NIMEMUUA MAMA - AKANIFUKUZA BAADA ya MAZIKO" - AUNTY LULU...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 28

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Місяць тому

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @jeskashilinde8875
    @jeskashilinde8875 Місяць тому +2

    Kwahayo maelezo yako tuu zahir umeokaka🎉🎉 Mungu akuinue kwa viwango vya juu

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Місяць тому +1

    Pole Sana aunt lulu kalibu sana kipenz changu 😢pole sana kwa yote

  • @user-mt6nu5hs8q
    @user-mt6nu5hs8q Місяць тому

    Mshikirie sana mungu.

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 Місяць тому

    M/Mungu akutunze dada yangu

  • @charlesrweyemamu8352
    @charlesrweyemamu8352 Місяць тому

    Mungu akubariki Kwa ukweli wako na abariki juhudi zako za kuleta watu msalabani

  • @user-be7ql8lh2f
    @user-be7ql8lh2f Місяць тому

    Hongera umechagua jambo jema

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 Місяць тому

    pole sana dada, jamani

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 Місяць тому

    Usije kwenda kuangusha watumishi mungu asije kukupiga

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Місяць тому

    Huyo zai ndiyo kajichubua hivyo daaa lntakillah. Muogope mungu acha kujichubua

    • @edithaeugeni9695
      @edithaeugeni9695 Місяць тому

      😂😂😂😂😂Kwanza Ncheke mie jamanii mkorogo m mbaya hyo lulu ana kazi ya kuficha mkono mmoja uliyo goma mkorogo 😂😂😂🙌

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl Місяць тому

      @@edithaeugeni9695 🤣🤣🤣🤣

    • @edithaeugeni9695
      @edithaeugeni9695 Місяць тому

      @@HanifaOman-oo4pl we mwangalie vizuri hana amani kabsa namikono yake utasema kaazima😂😂😂😂😂

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official Місяць тому

    Interview nyingine majanga hakuna kichwa wala miguu,we Dada ulijua kuharibu majina yawatu Angela sijui anakuonaje duh Mungu akudamehe

  • @ZawadiMwaipwisi
    @ZawadiMwaipwisi Місяць тому +1

    Mungu akutunze zaidi lulu uzidi kumtumikia yeye.

  • @Naju645
    @Naju645 Місяць тому +1

    Sasa walokole ndio wanavaa hiv au sikuhiz mnaenda nawakat

    • @mgm-q1k
      @mgm-q1k Місяць тому

      Dear mimi si mlokole lakini kwa ufahamu wangu, huyu dada kaingia kwene wokovu karibuni, hivo sio rahisi akabadilika asilimia 100 kama unavotaka. Mpe muda, mueleweshe kwa upole, hatua aliopiga ni kubwa jaribu kumuinua kwa kile chema alichoweza kukifanya kuliko kumsimanga kwa kidogo alichokosea.

  • @atupakisyemapuli8637
    @atupakisyemapuli8637 Місяць тому

    Mimi nakubaliana na Huyo Binti kuokoka siyo lazima upitie shida. Mimi niliokoka bila shida yoyote nikawa na miaka 20, sina shida yoyote kimaisha wa kiafya. Mtangazaji wokovu ni Neema

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 Місяць тому +2

    Eti mlokole labda wamchongo

  • @jennet6484
    @jennet6484 Місяць тому

    Muombe msamaha angela ulimuandama sana

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 Місяць тому +1

    Umevaa kama wavuta ngada

  • @Naju645
    @Naju645 Місяць тому

    Kinachokutesa nilaana ya mamaako bi shost pole omba Sana huku kwetu kuna mtu alimtamkia mamaake manenoo mabaya mamaake akafa Mtoto paka Leo anateseka Lulu Lulu unatatizo jichunguze mzazi hakosei punguza lawama Kwa wazazi utazidi kudhalilika

  • @Goofyahh-t2b
    @Goofyahh-t2b Місяць тому

    Punguza kipako da zari mbona ulikua na rangi nzuri tu

  • @DM_15
    @DM_15 Місяць тому

    Hua adabu kabisa wewe ni wakumtamkia babako hana kizazi hio ilikua zaidi yatus kwa babayako. Kitu unatakiwa kujua babayako hatkua naimani mbaka siku anafariki. Kwakumtamkia hivyo. Itamtesa ndani kwa ndani. Hata akikusamehe kwa macho ya nyama lkn unatakiwakujua mwanaume yeyote akitamkiwa huwa ina muuma kutoka ndani kabisa. Hatabilia inasema waheshimu baba na mamayako.

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 Місяць тому

    Ila zari jamanii syo kwakujichubuwa huko jamani alafu ghafla tu 😂ila jamani kiukwelii Dada zari hyo mkorogo siku ukidunda zumaridi anasubri