MTOTO WA MKE MKUBWA |MAMA ANAKOSEA |HATUTESWI |MKE MDOGO HANA SHIDA |WAYAMALIZE NA BABA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 лип 2022

КОМЕНТАРІ • 67

  • @naimamohammad8870
    @naimamohammad8870 2 роки тому +4

    MAMA MDOGO HAKUPENDA KUTUMIA PESA ZA BI MKUMBWA , ALITAKA MTU AMPE SITARA , NIMESEMA HIVI KWA SABABU YY KAWACHA WATOTO WEKE KIJIJINI, HUYU BINT AKIPATA KAZI NINAIMANI WA TAPENDANA SANA WOTE NIMEONA NI WAKE WAZURI,,MWANAHARUSI INSHA ALLAH WATOTO NI WAKUMBWA , NYUMBA ISIKUTIE WACWAC SIZ , BORO AKUHESHIMU TENA ATAKUSAIDIA KAZI UTAKAPO RUDI UISHI KAMA BOSS MUM PLS PLS

  • @ashiaabdul887
    @ashiaabdul887 2 роки тому +6

    Hao watoto wanajua kuwa mama yao anamakosa ila wanashindwa kusema wanamuhofia mama yao

  • @naimamohammad8870
    @naimamohammad8870 2 роки тому +3

    ASALAM ALAYKUM , MASHA ALLAH HAWA WATOTO ALLAH AWAONGOZE NI WATOTO WAPOLE , PILI HONTEZI SANA KUKOSA KUINGILIA UHISIYANO YA WAZAZI WAO! NA HIVIO DIYO SHERIA YATAKIKANA NAWATAPAKI KUPENIDANA NA WAZAZI WAO !HATA MAMA YAO NI FITINA YA MAJIRANI HIYO (WIVU) ALLAH AWAONGOZE IMANI IZIDI KWAO AMIN AMIN

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 2 роки тому +4

    Mtangazaji mbona unauliza masuala ya uchonganishi badala ya kujenga?
    Unauliza mtoto atakaa upande gani ukijua wote ni wazazi wenye haki sawa kwa watoto!

  • @ushifenesi4168
    @ushifenesi4168 2 роки тому +6

    Wajina wangu mwanaharusi ...kuwa mpole huyu mbaba anaonekana mkimya pili uliamua kukaa oman..ulitaka afanyeje..ebu acha kudhalilisha mume wako yamalizeni kinyumbani

    • @zainabufeka87
      @zainabufeka87 2 роки тому

      Kabisa yaan kajikoroga mwenyewe asimdhalilishe mumewe niatal Sana tena mumewe mvumilivu sana

  • @timanyere9052
    @timanyere9052 2 роки тому +1

    Kafanana n babake huyu kijana,mzurii😘 ..baba toa Mke mdogo hapo banaaa

  • @roshanahmed331
    @roshanahmed331 2 роки тому +3

    Wee nae unamaswali ya kufosi ili kuonyesha bi mkubwa yupo sahihi alicho kifanya mnatuchosha

  • @roshanahmed331
    @roshanahmed331 2 роки тому +1

    Mna watt wazur mashallah wana jielewa ila bi mkubwa unajisahau sana kaa ufikilie Mara mbili kua pepo yako ipo kwa mumeo Leo umekufa lial azita kutete amuri kiama muhshimu mumeo jar family yako

  • @timanyere9052
    @timanyere9052 2 роки тому +1

    Yotee Tisa kumi babang toa Mke mdogo hapo kampangishie...jamaniii hizi kazi Huku uungane na mwedzako alafu uje umgeuke coz umejenga n Mkeo..kampangie huyo bint Wacha kudhalilishana

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 2 роки тому +2

    Hapa si vyema problem ya baba na mama kuingiza watoto baba nimuhimu kwao na mama pia nimuhimu hapo ni kutafuta chuki kati ya baba na mama. Kitanda usicho lalia hujui kunguni zake haya ni masuwala ya baba na mama tuu hayawahusu watoto

  • @jamilashabani1092
    @jamilashabani1092 2 роки тому +1

    Me nashauri tu uyu baba amtoe uyo bi mdogo,akamtafutie sehem nyingine.uwenda mgogoro utaisha

  • @timanyere9052
    @timanyere9052 2 роки тому

    Hapo kado Mzee yuafurahi nabusara ya mwanae

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 роки тому

    Mwenyezi mungu awajalie hii familia iwe pamoja yaarabi ameen. Hatuwezi kumuhukumu mwanamke kwanini hataki kuzungumza na mzazi mwenziwe kwa sababu kuna wanawake wana wake wana siri kubwa kuhusu bwana zao kuna wanaume wananyanyasa wanawake mpaka mwanamke kuamua kujitenga.

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому

    Mashallah, watoto wazuri

  • @faridamohamed4677
    @faridamohamed4677 2 роки тому +3

    Hakuona sehem yakupeleka mambo ya ndoa yake ukaona uanike kwenye mitandao .kwaakil yako kukaka miaka 7 mwanaume anakusubir kakuheshm kuoa

    • @SafiyaJ-yw2vt
      @SafiyaJ-yw2vt 3 місяці тому

      Huyu mama ni mbinafsi miaka7 kukaa nje ya nchi loo

  • @faridamohamed4677
    @faridamohamed4677 2 роки тому +1

    Zahri kwa hl ungewaachia familia

  • @zainazaina9301
    @zainazaina9301 2 роки тому

    Kajiabisha sana huyu dada jmn looo

  • @nipautago8574
    @nipautago8574 2 роки тому +1

    Inaliza baba watu kadhalilika jaman

  • @binamutawa9637
    @binamutawa9637 2 роки тому

    Huwa mwanamke anamatatiza alitaka mzee akampeleke wap mke wake na yeye aliluhusu

  • @sarahadam4535
    @sarahadam4535 2 роки тому +1

    Najiuliza yameanikwa hivi mitandaoni ili iweje?..wachangiwe au kwa msaada upi

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 2 роки тому

    Hiyu mke wa kwanza ni muongo amejenga wote mpaka nyumba imeisha ndo akaondoka imeisha mal7z8ka nyumba

  • @allyadam7355
    @allyadam7355 2 роки тому +4

    Duuh! Haya maisha jaman jambo LA kifamilia linaletw mitandaon mpak watot wanahusishwa afu familia ya waislam

  • @annachales9623
    @annachales9623 2 роки тому

    Baba kafurahi sana kuwa na kijana mwenye busara sana

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 2 роки тому +1

    Watoto wanahekima sana warabu wanatunyoosha mpk miaka 7 mpk watoto wakubwa hivyo

  • @maimunaorry3640
    @maimunaorry3640 Рік тому

    Ww kwann umuzalilishe mwenzie hivyo kawaida ya mwanamke akipata pesa ndo alivyo hata haya huna

  • @fatmasaid9400
    @fatmasaid9400 2 роки тому +1

    Huyu mtoto hataki kuwa mbaya

  • @noorissa6036
    @noorissa6036 2 роки тому

    Jamani kwani wazee wa kusuluhisha hakuna mpaka kwenye mitandao mbona nijambo dog tu hilo kuelewana

  • @ndalusanzekassim5902
    @ndalusanzekassim5902 2 роки тому

    Zahiri maswali makali kwa watoto sidhani kama uko sawa. Maana utamfanya mama awachukie watoto maana watoto pia hawawezi ongea lolote wakati baba anawaangalia.

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 2 роки тому

    Huyu babu aonyesha jeuri jamani

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 2 роки тому +1

    Nimeskiza zote tangia mwanzo ila mke mkubwa anahofia vitu ambavyo ametuma kua vitachukuliwa na mke mdogo na pia hataki mke mdogo atumie jasho lake.. Bora huyo mzee akapangishe watt hao wakubwa atakua anawatembelea

    • @mwanakhatib5825
      @mwanakhatib5825 2 роки тому +1

      Janama huyu mke mkubwa sio Kama hampendi mume wake anahofia kutawaliwa kweye nyumba yake Cha msingi Rudi kwanza muyapange alafu utaenda Tena kumaliza mkataba wako bi mwana

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 2 роки тому

    Mzee anahak ya kujpoza miaka 7 hyo hakuna rikizo Kuja kusalmia ndio Maana wengne hawatak kujar kuwawezesha wanawake wengne cc 2kpata huwa ha2jar kabxa mtafutie makaz huyo b. Mdogo na b. Mkubwa mkabdh v2 vyake il uwe huru na hyo migogoro.

  • @nipautago8574
    @nipautago8574 2 роки тому

    Mwanamke wa oman anadharau na jeur hiyo pesa inamdanganya!
    Wote wanahaki baba na mama!

  • @louranrubea8799
    @louranrubea8799 2 роки тому

    Habari ndugu mwandishi, unamuhoji mtoto mambo ya ndani ya baba na mama mbele ya baba usitegemee mtoto atafunguka wakati baba yupo. kingine angalieni aina ya maswali kuhusu mahusiano ya baba na mama huyu ni mtoto chungeni maadiri.

  • @leonardgembe4857
    @leonardgembe4857 2 роки тому

    mama alud kulea watoto wake kalibun atapata wajukuu yeye haliwazo ilo pia yeye ndiochazo chamatatizo yote hajieelewi uyomama

  • @annajoseph9955
    @annajoseph9955 2 роки тому

    Kazi kweli

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 роки тому

    Una wachoresha watoto wako wakiume wewe mwanamke unamatatizo je haukuona wazee wako waukoo wakakusaidia alafu una bahati umepata watoto wana heshima sana na tena una bahati bado Mungu amekupa nguvu yakufanya kazi sasa nyumba kitu gani, changa kibunda mwambie Zair akujenge nyumba nyingine wewe roho imeshupalia kwenye nyumba tu huna lolote mtu mchoyo

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 2 роки тому

    Vitu vingine siyo vya kuvileta mitandaoni,ona mnawapa watoto wakati mgumu kugongelea ndoa yenu😭😭😭

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 Рік тому

    Mkaka mzr ila baba kakosea lkn kwasababu kuna reo yupo kesho ayupo ss itakuaje??

  • @evalenad6256
    @evalenad6256 2 роки тому +1

    Check hii familia ilivyo. Hivi vitu visingetakiwa viwe online.!

  • @muhammadhussain449
    @muhammadhussain449 2 роки тому

    Unakaa.miaka.yote.iyo.unategemea.nini.

  • @muhammadhussain449
    @muhammadhussain449 2 роки тому

    Miaka.tisa.kweli.baba.wawatu.afanyeje.azini.au.muwache.akae.mzee wako

  • @muhammadhussain449
    @muhammadhussain449 2 роки тому

    Dada.acha.kutuzalilisha.tulio.kuwa.omani.unakaa.miaka.mingi.ulitegemea.nini.aKaren.bI'll kuowa.hee.mbna.sisi.tumeolewa.kila.tukimaliza.viza.tunaludi.likizo.kwa..warmer.zetu.umetaka.mwenyewe...ludi.likizo.ukamlizishe.mume.

  • @faridamohamed4677
    @faridamohamed4677 2 роки тому

    Hiyo nyumba tu acha wakae .rial isikupe kibur

    • @yasmeenaal4191
      @yasmeenaal4191 2 роки тому

      Kabisa yaan maana miaka 7 Omani sio mchezo

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 2 роки тому

    Mama wa watoto hana hekima hata mpk anafikia kusema mumeo wake mzembe je hapo mwanza hakumuona kama mzembe mpk kumzalia watoto 5 leo unashika rial

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 роки тому

      Hiyo ni dharau kubwa yote kwasababu anapata fedha

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 2 роки тому +1

    Kazi ipo

  • @timanyere9052
    @timanyere9052 2 роки тому

    Mi basi nimefall love na huyu mtoto.mnipe no zake ebuu nikale pesa za mamamkwe za Oman miee..

  • @heneryofficial638
    @heneryofficial638 2 роки тому

    M

  • @jamilasalim7165
    @jamilasalim7165 2 роки тому

    Kwani Hawa mwawaleta mara kangapi

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 2 роки тому

      Umeona eeeeh🤔

    • @sarahadam4535
      @sarahadam4535 2 роки тому

      Si wameona story ya vituko watazamaji watavutiwa wataangalia wengi

  • @naimamohammad8870
    @naimamohammad8870 2 роки тому

    MWANA HARUS TAFADHALI SANA HUYU BIBI MDOGO NAJUWA ATAKUHESHIMU SANA PLS , KWA HISANI YAKO UNGEJARIBU UMTAFUTIE KAZI OMAN DIYO MWISHI KWA UWEZO WA ALLAH, TENA MZEE WENU NI MTU MZIMA?

    • @zohoraramadan4540
      @zohoraramadan4540 2 роки тому

      Unamaanisha na mke mdogo aende omani??????

    • @naimamohammad8870
      @naimamohammad8870 2 роки тому

      @@zohoraramadan4540 Ningependa Mwanaharusi Amsaidie ! Maana pia ni mzazi ! Eee amtafutie kazi oman ! Kisha amkubali waishi pamoja kwa Ajili ya ALLAH , Huyu bint Alisema alitaka sitara awe kijana ama mzee bora sitara ! Hiyo pia nilifurahia sana ! Allah ametuambia tukae mbali na (ZINA )

    • @naimamohammad8870
      @naimamohammad8870 2 роки тому

      @@zohoraramadan4540 Naam ; diyo waeze kulea watoto na mume wao ! Maana huyu mume tayari ni mtu mzima kisha bb mdogo ana watoto wake! Wallah kama ni kwangu mbona kila jambo ilngekuwa sawa ! Nipate huyu SUNA ya MTUME WETU SAW 💕💕💕

  • @janemusumba820
    @janemusumba820 2 роки тому +1

    Huyu mama wa Oman ni mwongo anadanganya

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 2 роки тому

    Baba hana makosa,sasa ina maana huyu bado yuko omani?

    • @yasmeenaal4191
      @yasmeenaal4191 2 роки тому

      Hajarudi ana miaka 7 Omani

    • @zohoraramadan4540
      @zohoraramadan4540 2 роки тому

      @@yasmeenaal4191 astaghirulla yani wanawake tusome tujue hata wajibu wetu tu kwenye ndoa jamani .