WATOTO WA MKE MKUBWA |MAMA AACHIWE NYUMBA YAKE |MAMA MDOGO HATUTESI |BABA NA MAMA WAONGEE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 лип 2022

КОМЕНТАРІ • 107

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 2 роки тому +10

    Mtoto wakike amenifanya mim nilie wallah kwakwel 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Pole Mdog wangu yataisha tu kwa uwezo wa Allah 🤲😭😭😭

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 2 роки тому +10

    Yaan ni kujidhalilisha tu huyu Mama na kuwadhalilisha watoto wake😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Subhanallah watoto hawjauiw waseme nini😩ukiangalia baba wanampenda mama wanampenda so kwakwel unawapa mtihan mkubwa jaman 😭😭😭😭watoto wanaheshma Jaman Mashallah Mashallah Mashallah Allah awazidishie na wewe Mama rudi tu nakimtaji chako watoto wajiendeleze Nimda wakula matunda yenu kwa watoto wenu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭ILA KWA HAKIKA MAMA HUKUITENDEA HAKI FAMILY wifi ni sunna Ila wivu huo haujaruhusiwa kuweka mambo mitandaon😭😭😭😭

  • @asfarsham9556
    @asfarsham9556 2 роки тому +5

    Poleni ndugu zangu na msameheni mama yenu, pengine hakudhani kama muandishi atayakuza akuhojini nyote. Atajifunza kama watu wanatafuta story ni biashara hio.

  • @mariambakary4706
    @mariambakary4706 2 роки тому +9

    Huyu mama huku Oman atakua na mwanaume haiwezekani miaka saba hujaludi home Tanzania shida zake za kimwili anazimalizia wapi mimi nikimaliza mkataba lzm niludi Tanzania halafu nakuja tena Oman

    • @jamilasalim7165
      @jamilasalim7165 2 роки тому +1

      Umeona yeye kaganda huku kabisa kunauwezekano ni kemboi huyo

    • @olphamoraa6683
      @olphamoraa6683 2 роки тому

      Huyo ako kemboi miaka saba ni mingi sana mbona wengine tunangangana wote na ukimariza unarudi tu

  • @jasminishafii5478
    @jasminishafii5478 2 роки тому +3

    Kijana mtulivu mashaallah allah akupemkemwemaapobaadae

  • @yuriaudi9746
    @yuriaudi9746 2 роки тому +5

    Mwanahalus unayumb unatiha aibu ndug acha ushamb mam na bb majukumu yao kulea family unawatia sum watt wamchukie bb yao kwa kipato chako kidog hap ulipo ata mia una kumbuk ulipotoka na mumeo km alikuwa hana kz ungezaa watt wa 5 kwa huyo kak una zalau sana

  • @MrNdanguza
    @MrNdanguza 2 роки тому +2

    Aise kabila ya warangi wazuri sanaa inabidi nije dodoma nioe mtoto kwa kirangi😍

  • @timanyere9052
    @timanyere9052 2 роки тому +1

    Jamanii Dunia hii..mamang ulie Oman ulichopata shukuru..Rudi nyumbn ulee wanao...Alafu huyu baba mshukuru pia mana watoto amewalea Kwa maadili wapole sana masikin watulivu..japo huo mthiani umeingia kati yote nimajaribio...Wacha wivu namke mwadzako Rudi ulee familia Yako mamang

  • @munirahassan5013
    @munirahassan5013 2 роки тому +1

    Yaani ningekuwa na mtoto wakike ningempa huyu kijana , very bright yaan ana busara kuliko mtu mzima

  • @ahmadbadawi9664
    @ahmadbadawi9664 2 роки тому +3

    Huyo bint huenda analia kammiss mama yake,atakaaje miaka 7 bila kurudi kuona familia yake,ningekuwa Mimi angekuta wake watatu na wote naishi nao nyumba hiyo hiyo.

  • @bintmuhammad4913
    @bintmuhammad4913 2 роки тому +7

    Mke mkubwa ana makosa tena sana
    1. Masuala ya familia yako hukupaswa kuyapeleka mitandaoni kwanini msiyamalize kifamilia ? Ungewashirikisha wazazi wako sio dunia.
    2. Sheria ya dini kuowa mke wa 2,3,4 inamruhusu mumeo wala hahitaji eti umruhusu! Miaka 7 ni mingi sana kheri ya kuowa kuliko kufanya zinaa maskin unamdhulumu sana huyo baba watt wako ujuwe kuna hukumu ýa Allah siku ya kurudi kwake.
    3. Mke mdogo hana matatizo na amejieleza anapendelea muwe na maskizano na mume wenu na ukipenda kurudi muishi kwa amani.
    Kipi kilichokufanya mambo ya family kuyaanika mitandaoni? Kuwadhalilisha familia yako? Pepo ipo chini ya nyayo za mumeo kaa ukilitafakari hilo. Hizo riali zisikutie kiburi umekosea sana.
    Pia mzee hameni kwenye chumba cha mke mkubwa muachieni chumba chake na vitu vyake kwenye chumba hicho mulale chumba chengine na kitanda chengine pia.

    • @bindawood978
      @bindawood978 2 роки тому +1

      Maashallah,Bint Muhammad Una busara sana!

    • @hasnayahya1156
      @hasnayahya1156 2 роки тому +2

      Acheni kuongea mambo ya watu siri wanaijua mke na mume kuhusu maisha yao mpk inapelekea mke kuondoka mbali kutafuta ila yeye bi kubwa hakumkataza kuoa ila akakae mbali hajuikufanyakazi na kuhudumia familia mke mdogo kaja kaikuta tu nyumba hajui watu walihangaika usiku na mchana yeye kulala na kula basi akahangaike kama wezie suala la kumlelea watt sio wadogo hao kakuta washakua

    • @bintmuhammad4913
      @bintmuhammad4913 2 роки тому

      @@bindawood978 shukran

    • @shitamct6984
      @shitamct6984 Рік тому

      Hajakukuta kuna wanaume hata uwapeleke wapi ndio maana akawekwa polis hawa dawa yao ni sheria tu iwaoneshe jinsi ya kutenda haki aoe akijua wapi atamueka sio unafanya kazi mpaka saa nane usiku unaiangalia ya watoto yeye analeta mchezo tena huyo tupannje ya nyumba kabisa yalinifika ninahasiranao hao kuoa aoe wanne lakini ajue wapi wakae

  • @allymafita1985
    @allymafita1985 2 роки тому +1

    Dada yangu wa Uarabuni umekosea, huyo kijana kaongea uzuri kabisa Kwa upole kadhalika mama mdogo, baba, Usitake kuharibu saikilojia ya watoto Kwa mambo madogo ya kifamilia,

  • @bintmuhammad4913
    @bintmuhammad4913 2 роки тому +1

    Tena ulipaswa umshukuru sana mumeo kwa kuwalea wanao mpk kufikia hapo walipo sio kumfanyia vitimbi na kukasirika kwa sababu ameowa mke kamleta hapo ulitaka ampeleke wapi na mwenyewe anataka kuishi na wanawe pia. Hebu kaa utafakari kama ni wewe ndio mumeo kasafiri miaka yote hiyo si ungefanya vishindo akutumie talaka ili uolewe ustirike na wanao! Huyo mumeo nae ni binaadamu tena ana subra sana Allah awajaalie hekima na busara ndoa yenu irudi kwenye furaha na maskizano kama hapo awali ili wtt wenu wawe na furaha pia. Mpigie simu mumeo umuombe msamaha kwani Umemkosea na kumdhalilisha pia mitandaoni.

  • @feynation3739
    @feynation3739 2 роки тому +2

    Lazima wasipatane nani anaweza kuvumilia miaka7 yule mama mtu mzima ovyo kabisa ila watoto hawawezi kumuongelea vibaya mama yao yeye na akae hata miaka 10 lakin aache kumpa stress mzee wawatu

  • @jennifermdabi3716
    @jennifermdabi3716 2 роки тому +1

    Wewe mama fanya uje uwaone watoto,
    Angalia daughter wako analia kwa uchungu wa kutomuona mama kwa miaka 7, naelewa kuwa unahangaika kwa ajili yao ili waste wawe na maisha mazuri, lakini kumbuka kuwa wengine wanaweza wasifanye vizuri mashuleni kwa kwa kuku miss .
    Njoo nyumbani uwaone watoto tafadhali

  • @judithlejalearnmore2236
    @judithlejalearnmore2236 Рік тому

    Bibi indigo,No vywema umuache bwana wa marketer,Wewe bado udogo utapata wa rika lmao,Huyo mama ningumu kwamba atafute muume mwengine akaanze maisha namuume mwengine umri wake ni vyema akae na watoto wake na muumewe kama a wali

  • @irenembura8045
    @irenembura8045 2 роки тому +2

    Mashallah watoto wazuri na wanaonekana na heshima! Mama kawatia aibu. Baba kapambana na watoto. Hela zinasaldia lakini uwepo wako ndio muhimu. Kama Mama jitasimini miaka 7 hujaona wanao eti unatafuta pesa????? Tena Mumeo kakuheshimu saana!!!! Umedhalilisha familia!!

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 2 роки тому +2

    Huyu Arudi kwa WATOTO wake na Mume wake, aanze biashara! Mke mdogo anamlea Mzee nå WATOTO, mke mdogo apewe chumba chake. Akila chakula na watoto wako kuna shida gani?? Unazungumzia Chakula?? Shame on you, namtetea Mzee, Rudi kwa family yako. Mmeo Ni Mkulima. Acha Madharau we dada😓 Mtoto wa kike analia, unawetesa watoto wako 😥😭

    • @sophiamvungi3829
      @sophiamvungi3829 2 роки тому

      Tena arudi haraka atapoteza haki za watoto wake na yeye mwenyewe,huyu bimdogo apangiwe chumba na mumwe..aanze maisha Kama mwenzie alivyoanza.

  • @zayanaalmarjibi4254
    @zayanaalmarjibi4254 2 роки тому +1

    Kwani nyumba hio ina jina la nani?
    Kama majina ni ya wote mume na mke, nyumba igawanywe sehemu mbili kila mmoja achukue upande wake, au iuzwe kila mmoja ajue maisha yake, kwa sababu mke mkubwa ana jasho lake humo, hawezi kuwekwa mke mdogo kwenye nyumba walioshirikiana

  • @chai_r
    @chai_r Рік тому

    Hawa watoto wanaogpa kuzungumza mbele ya huyo mama mdogo na baba.

  • @queentoto3878
    @queentoto3878 2 роки тому +1

    Mke mkubwa ana roho mbya ndio kinacho msumbua

  • @gloriamsaki9109
    @gloriamsaki9109 2 роки тому +2

    Hivi huyo bibi mkubwa angetulia maana kazi anafanya kwa ruhusa ya mumewe na akimnyima ruhusa hawezi kwenda popote.Na pia watu wanaoa na kuolewa kujisitiri sasa huko Oman muda wote mnajisitiri wapi?Na kwa wanaume Ni ngumu kukaa muda mrefu.Ungemuheshimu tu hi mdogo akusitirie mume wenu au urudi nyumbani kwako.

  • @habbibtymonah6912
    @habbibtymonah6912 2 роки тому +1

    jamani mtoto wa kike anaona mama kaleta aibui tuu 😥😥😥😥😥

  • @aishajeanine3552
    @aishajeanine3552 2 роки тому +2

    Msikini anachokesha wtoto Poleni sana watoto wanahekima.

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 2 роки тому

    Yaani hii Story nimewahurumia watoto, wako kwenye wakati mgumu sana😭😭,

  • @zeinababdulla8137
    @zeinababdulla8137 2 роки тому

    Pesa ni mtihani mbaya tu usipojuwa kuutumia.na nintihani mzuuri ukijua kuzitumia.

  • @SamsungGalaxy-kx2zj
    @SamsungGalaxy-kx2zj 2 роки тому +3

    Hakika kijana kaongea vizuri sana kitu cha kusikitisha na kushangaza mama kawaweka katika maukafu mbaya sana hii ya onyesha mama ataka kumdhurumu mume wake kwa kudanganywa na alie mfikishia ujumbe wa uwongo na mshikaji alie mpata mpya

    • @Awatee
      @Awatee 2 роки тому

      Hahah eti mshkaji kazi ipo

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому

      anayetaka kumdhulum ni huyo mzee kwa nn amuingize kwenye nyumba ya mwezio mzee ndio ameshauriwa na waty aweke mkeo mdogo hapo

    • @user-fs7xc2bb5d
      @user-fs7xc2bb5d 2 роки тому +1

      @@heyumi2340 anataka kudhulumu kivipi kwan yeye wa kwanza kuishi na wanawake 2 nyumba kama anataka suruhu arudi ndugu wapo wakae wayazungume nyumba mmoja Wanakaa hata 3 sio 2 tu labda kwa wakristo lakin waislam sio ajabu

    • @ahmadbadawi9664
      @ahmadbadawi9664 2 роки тому +1

      @@user-fs7xc2bb5d mwambie huyo Dada heyumi,nimefuatilia sana comments zake yaonyesha anafurahia mke mkubwa kuwa mbali na mumewe miaka 7,watu wanaoa mathna na walala kitanda kimoja achilia mbali chumba kimoja,sembuse nyumba moja bhana.

    • @user-fs7xc2bb5d
      @user-fs7xc2bb5d 2 роки тому +1

      @@ahmadbadawi9664 Kwanza atambue bimkubwa hamtaki mume laiti kama angekuwa na imani asingelileta huku angehusisha familia yake angekuwa na nidhamu ndoa nini asingekurupuka kwa hiki alichokifanya yaani amejidhalilisha sana kaka yangu achana na hao wanao tetea ujinga mwanaume kavumilia sana kukaa miaka hiyo yote kwa wanaume wa sasa hivi mwezi haufiki kama anaruhusiwa kuoa baada ya kumzika mkewe itakuwa mke hayupo miaka yote anataka kutunganyia habari sisi waislam tumeruhusiwa kuolewa habari za mke mmoja kwa wakristo na sasa hivi hata wao wana zaidi ya mmoja na wanaishi nyumba wapo wengi wanakaa nyumba moja sio yeye wakwanza

  • @mariamgodfrey53
    @mariamgodfrey53 2 роки тому +1

    Ugomvi uliopo kwa bi mkubwa ni kwanini huyo mwanamke ameletwa hapo sidhani kama ana ugomvi mwingine huyu bi mkubwa na baba nae hana uwezo wa kumpangia nyumba bi mdogo hapo kazi ipo sisi tunasubiri mrejesho siku bi mkubwa akirudi kutoka Oman.

    • @kdeghtnzanea7187
      @kdeghtnzanea7187 2 роки тому

      Nikweli hakuna ugonvi utakao endelea km bi mdogo wakimtoa hapo kweny nyumb y bi mkubwa

  • @omarhome2260
    @omarhome2260 2 роки тому

    🤔🤔🤔

  • @bimkubwashaali5947
    @bimkubwashaali5947 Рік тому

    Mambo mengine ilibidi wasiulizwe watoto yanaweza kuleta shida kwa upande wao kwani inabidi wasiwe upande wowote

  • @beatricefredilick1646
    @beatricefredilick1646 2 роки тому

    Miaka saba haupo nyumbani eti maisha yapo hats bongo endelea kuishi omani Huyo mzee ana hitaji LA mwiili una makosa bi mkubwa

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 2 роки тому

    Yaani huyu mwanamke anadai nyumba ?! Wakati amezaa! Nyumba ni ya watoto! Hivi ulivyoyaanika mtandaoni ndiyo sawa?! Anawatia watoro ukiwa bure! Miaka 7 ukae Oman ulitegemea mume akae tu! Bado kakuheshimu! Sasa unaleta drama! Nyumba kaburi tu!

  • @margrethrhobi3973
    @margrethrhobi3973 2 роки тому

    Kosa la Mwanaume Ni kutumia kitanda na chumba Cha bi ' mkubwa na kumdanganya bi mdogo kwamba wameachana.

  • @zinabal-dubae3551
    @zinabal-dubae3551 2 роки тому

    Hivi ukae unafanya kazi unamenyeka unasomesha watoto umejenga na umetia ndani kila kitu ndani ya nyumba leo kaoa analeta mke chumbani kwako haiwezekani

  • @beatricefredilick1646
    @beatricefredilick1646 2 роки тому

    Hao sio watoto niwatuwazima wanjua zuri na bays asiwazungumzie

  • @neemamkambwahamisi4718
    @neemamkambwahamisi4718 2 роки тому

    Polesana hadi ameshindwa kuongea maskini anauchungu sana uyo wakike.

  • @zinabal-dubae3551
    @zinabal-dubae3551 2 роки тому

    Nyumba iuzwe wagawane pesa

  • @aeshamrange6540
    @aeshamrange6540 2 роки тому

    Watt wanaakili sana tu ila mama yao ndo box

  • @salmamohammed4904
    @salmamohammed4904 2 роки тому

    Vipi amuweke mwanamke Kwa miaka Saba na mwanamke akae Tu na pia kampa ruhusa mwenyewe pili wamejenga wote sasa sehemu ya Mzee mkeww anaweza kukaa huo. Mara watt wanateswa sasa hao hapo wanasema wenyewe alikuwa anatikisa kibiriti . Na dhahir ww mwanamke kama wewebungefanya nini .pili usimsjikilie aondoke pekine itakua kumharibia ndoka huyu mdogo na mwenyewe alitaka stara

  • @janemusumba820
    @janemusumba820 2 роки тому +3

    Huyu mama wa Oman ni shida mbona watoto wako sawa

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 2 роки тому

    Unajua Zahir mara nyingi watoto wa kike ndio huwa wanateswa na hawapewi mda wa kujisomea wanarundikiwa mikazi hivyo aulizwe vizuri ataongea tu.

    • @sikukuuchuo3093
      @sikukuuchuo3093 2 роки тому

      Hiyo n fikra take sio mama wote wanatabia hiyo

  • @hawaloyi4219
    @hawaloyi4219 2 роки тому

    Acha ushamba mkataba miaka miwili nenda kaone watoto na Mme wako kam2lize rud unadha yagetokea haya yote ushamba2 na wakat tiket yenyewe huchagii ata mia Kwanza kwenye denge raha

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 2 роки тому

    Huyu mke mkubwa wanaroho mbaya nyumba amejenga wote basi nyumba iuzwe wagawane pesa ili mume aende na mke mdogo andie naye maana aramtesa sana atakuwa hana Paula anasema uwongo huyu mke mkubwa hata huyu mtoto wa kiume anazungu ukweli anasingizia wanateswa si umeona wanasema hata hawateswi ila hataki tu hiyu mke akae hapo pia anawaibisha watoto

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 2 роки тому +2

    Uyu mama hana Roho gumu😂🤣😆😆 miaka 7 hauji hata kuona watoto?? Niyatari watoto wana mu miss sana ni basi wana jikaza pesa hazizidi watoto😃😃🤣🤣

  • @salmamohammed4904
    @salmamohammed4904 2 роки тому

    Huoni na wewe kama utabebabjukumu Kwa mungu

  • @kizegherama7102
    @kizegherama7102 2 роки тому

    Huyo bi mkubwa moyo wake uko Na chembe chembe ZA uchwawi mshamba Wa nyumba .watu Wana ghorofa .sembuse pesa ya kuosha vyombo.jee ungekuwa mkubwa Wa Bandari .si ungeua mume.ushindwe shetani mtu .ww

  • @umranim5854
    @umranim5854 2 роки тому +2

    Huyo mama ndio mkorofi kaidhalilisha familia yake ana onekana kawivu kapo 😂

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge 2 роки тому

    ZAHIRI UNAPO ULIZA WATOTO SIO KUWACHIMBA HADI YANDANI WATOTO WANAKOSA GANI? HUO UNIUCHONGANISHI KATI YA WAZAZI NA WATOTO? HUYO BIMKUBWA ANGEYACHUKUA KATIKA FAMILIYA NASIO MITANDAONI.

  • @aishamaganga5304
    @aishamaganga5304 2 роки тому

    My sister. Wivu unakusumbua ulfikili mumeo ataoa mzee? Kapata mke mbichiii!!h endelea naku osha vyoo. Hzopesa za Oman miaka zote jengea wanao! Sifa mtu mzma kudhaliliasha family yako kwenye mitandao😏😏

  • @lisauroble31
    @lisauroble31 2 роки тому

    Mtoto kike kaniuzi ssna unalia nini jamani huu siuchimbi

  • @rahoumabdi6949
    @rahoumabdi6949 2 роки тому

    0

  • @pilimusa3217
    @pilimusa3217 2 роки тому +5

    We mama we mbona unaidharirisha familia yako. Enh. Muogope Mwenyewe Mungu.
    Kama humtaki mumeo mwambie akupe talaka Ubaki na waarabu wako, kuliko kuwadharirisha hivi.
    Mume ungemtaka usingekaa miaka 7 bila kurudi.

    • @jamilasalim7165
      @jamilasalim7165 2 роки тому

      Kabisa kemboi huyo anatosheka huko aliko

    • @rahmamshiraz2223
      @rahmamshiraz2223 2 роки тому +2

      Kama yy nimwanaume ange tafuta pakumuweka uyo mke wake siyo nyumba ya mke uku watu wanaumia kwa sababu ya watoto wake siyo uyo mwanaume

    • @jamilasalim7165
      @jamilasalim7165 2 роки тому

      @@rahmamshiraz2223 Ni kweli lakini ukumbuke mwanaume siku zote ndiye anayeongoza familia nyumba Walijenga wote sio ya mke mkubwa tuu huyo baba anahaki ya kumuweka mke mdogo Kwa hiyo nyumba alifanya vibaya alipo muingiza chumba Cha mke mkubwa Mimi nilifanyiwa hivyo lakini tulikaa kifamilia na kuya zungumza yakaisha na ilikuwa vyumba viwili tuu ndipo Mimi nikaamuwa kutoka kuja warabuni Sasa nimejenga kwaku wangu nikawatafutia mfanyi kazi na bado ninajenga na katika mradi yangu hakuna pesa ya bwanangu iliingia Hapo ma tunaelewana tu hata yeye ndiye ninaye mtumiya pesa na sanasana watoto wamke mkubwa Wana kala kwangu

    • @aminaali792
      @aminaali792 2 роки тому +3

      Kosa la mwanamke jamani huyu baba ameshavumilia kukaa bila mke kwa muda mrefu lakini na uwezo wa kumuweka mke wake mwengine hana na uwezo wake ni kukaa nae hapo hapo na wanae pia…huyu baba hana makosa kabisa ila huyu mwanamke kama kilichomuondoa ni shida ya maisha basi astahmili maana hakuanza yeye kukaa kwenye shida ila watu wanastahmiliana na pia yaani huyu mama anamoyo wa kukaa na wanae mbali kwa muda wote huo halaf hata nia ya kurudi kwake hana🙆🏻‍♀️😳hata hivo wanae wameshakuwa wakubwa tena haoni kama anakosa mapenzi na wanae na mume wake pia Subhannah ALLAH hili swala ni la mwanamke ndio anamakosa na si baba ALLAH ataleta amani kwenye hii familia ila watoto na huyu baba wanaomesha ni watu wenye heshma sana 💫🤍

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому

      @@rahmamshiraz2223 umeonaee kubwa hataki mke mwenza akae pale kwann na chakula wanakula kwa kupitia mke mkubwa

  • @mwanakihange8445
    @mwanakihange8445 2 роки тому +1

    Somo yangu Mwanaharusi umejua kudhalilisha familia yako watoto wanaulizwa maswali hata kujibu hawawezi,huna dini kabisaaa, ungetafuta jinsi ya kutatua tatizo kuliko kujianika mtandaoni

  • @mwanakihange8445
    @mwanakihange8445 2 роки тому

    Aache wivu huyo mama

  • @juneydeatakujadaimondomar5549
    @juneydeatakujadaimondomar5549 2 роки тому

    Mh uzaifu upo kwa mwanamme huyo hajuei mambo ya ndani

    • @asiachengula5743
      @asiachengula5743 2 роки тому +4

      Mmmh basi Kwa nn hakuondoka mda mrefu mpaka watoto 5!! Angeendelea kuvumilia kama mwanzo au udhaifu umeanza Leo!!!

    • @azizamohamed7692
      @azizamohamed7692 2 роки тому +4

      Watoto wa Tano anaudhaifu gani labda udhaifu wa upole lakini kwenye sita kwa sita Yuko vizuli tu bi mdogo kaolewa tu Ata Saba ajamaliza kabebeshwa mapacha babu Yuko vizuli 😂😂😂

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 роки тому

      @@azizamohamed7692 kabisaaaaaaa, huo ndo ukweli 👌👌udhaifu, udhaifu gani huo na kaongeza mke na kapata na watoto pacha hawakuwa ridhki, jmn viumbe wazito humu🤔🤔

  • @jamilasalim7165
    @jamilasalim7165 2 роки тому +2

    Mama yenu kakemboi anadosheka hukoaliko ndio mana amekaa mda wote huo hata sisi tuko nao Wala hata hawafikirii kurudi nyumbani mtu ana kala warabuni miaka kumi naakirudi Wala Hana chochote

    • @minnahloveiove1074
      @minnahloveiove1074 2 роки тому

      😀😀😀😀😀😀ss pesa wanafanyia nn wanafanya kazi bure mana kwa warabuni miaka zaidi ya 10 c unarudi na hela ya kutosha tyu

    • @mwanaimaabdallah7825
      @mwanaimaabdallah7825 2 роки тому

      Mm sinawez kurud na pesa na mpaka Nina mwaka 11 lkn wazaz wangu wanakaa pazur Alhamdulillah

    • @jamilasalim7165
      @jamilasalim7165 2 роки тому

      @@minnahloveiove1074 Wajuwa mtu akishakemboi Huwa anafanya kazi apenda ether afanye ama amue kukaa ukumbuke nyumbani akona watoto ashamuachia mama yake ana hangaika na watoto yeye anakula starehe huku tunawaona tuu Lisa ashabata mwanaume mwengine yule wangumbani ashaanza kumdharau na kutompenda

    • @jamilasalim7165
      @jamilasalim7165 2 роки тому

      @@sukariyao6537 Wana udhi sana

    • @nickolatharwelamila776
      @nickolatharwelamila776 Рік тому

      Kabisa kukosa akili mimi niko uku miaka 5 na kila likizo huwa narudi kuona watot wangu ,uyu mama anahskili kabisa kwanza uyu mzee anaakili sana katunza watts vizuri mashaallah