Yaan aisee ngoma ya kitambo ila imenogaaa!mm naona wasanii wa zaman sasa uwe ni muda maalum ama mwafaka kupitia kwenye makitaba zao na kuturushia mangoma ya zaman wakiwa wanatoa video kali.maana ss wazee wa zaman tumesha kosa hata nyimbo za kusikiliza na kutazama
*P Funk Majani* - huyu jamaa aliidefine Bongo Flavour kwa kipindi kizima cha miaka kama kumi hivi kutoka 1995 hadi 2005. Siku hizi maproducer wanaiga tu midundo ya Naijeria na Afrika Kusini. Makamanda *Man Dojo na Domokaya* big up sana kwa hatimaye kutoa kideo cha huu wimbo. Muziki huwa haufi hata mliouimba mkishakufa. Kideo hiki kitafanya kazi yenu izidi kuishi milele.
Hii roho ya kuita mtu mwizi kwa sasa imeweka mzizi. Watu wapo tayari kuua bila kuangalia. Tuchukue hatua kwa MAOMBI, familia nyingi zinabaki wajane na yatima, tena kwenye umri mdogo. Tubadirike. Roho ya mauaji ishindwe kwa jina la YESU.
Nazikumbuka ladha za Bongo Records na P Funk Majani naona zile ladha tulizozimiss ndani ya miaka 10+ zinaweza kurudi Beats kali wanamuziki wakali mashairi makali.
Oya nyie watu hamjawahi kui disappoint bongo flavor nadhani wasanii wote wa kitambo wakirudi kama na idea hii mliyoifanya muziki wa bongo flavor utaheshimika maana muziki.utarudi kwa wenye muziki wao. Much love sana Mandojo & Domokaya
YAANI LONGTIME MLIKUWA MNAKAA NA KUFIKIRIA SANA NA KUANDIKA LKN HIVI SASA WASANII HAWA ROPWAROPWA TU.. HAO WANAOWABEBA KWENYE MEDIA HAWANA UWEZO WA KUANDIKA NGOMA ITAKAYOWEZA KUISHI KAMA HII.. NYINYI MLIKUWA MKISHINDANA KUTOA HITS DAH NIMEMKUMBUKA GODFATHER MAJANI HII
Aiseee daghhhhh hii NGOMA imenikumbusha Enzi hizooooo Nipo Zangu SHULE ya Msingi #MUUNGANO ndani ya Wilaya ya #TEMEKE huko I feel a Sorrow in my Soul😭😭😭😭.. Huu ndo Ulikuwa MZIKI bhana yaani hii NGOMA Naiimba yote #MWANZOMWISHO Keep the good 🎻 Music 🎻 alive 🇹🇿🇹🇿💯%
Bonge la surprise sikutegemea kukutana nahii. Safi sana! 🎬🔥 Nimekumbuka Walkman Radio yangu ya Cassette aisee enzi hizo mwendo wa batteries ndogo zikiisha unanunua tena, no kuchaji na umeme. Nilikua na Album nzima na hii ilikua favourite track. Alot of memories! 📝
Kuhusu ngoma hii uwa ni Hit miaka yote tangu ilipotoka hadi leo bado ni Hit tu sema hicho kichupa dah ushindi ni mwingi wana karibuni tena kwenye game.
Oyaa kuna kile kitu cha msela Usiponiskiliza utanielewa vipi heshima napendeza wamini na dhiki eti nikicheka wanadhani nipo frsh huko nilopotoka balaa jingi mkosiii nalia na mola kumbe wanga ndio wanamiksii sio hadithii za sungura na fisiii nomaaa sana hiiii ngoma fanya video
Shida kubwa redio steshen..tz hazipigi..nyimbo za.wasanii wazamani..pia wasanii..wa sasa hawathamini..wazamani ndio maana watanzania wengi hawawajui..wakongwe wa bongo fleva..
@@mandojonadomokaya sure, I remember one of my best friends who has already passed away that we used to listen the song together, he liked the song mostly.
🎼🎵🎶Maaajani ya bustaaaani...,🎶🎵🎼 Daaaah! Mwanzoni mwa miaka ya 2000, Ifunda Tech. Sec. School, life ya boarding school hii ngoma ilikuwa gumzo sanaaaaaa. Salute wazeiyah
tuliokuja baada ya kifo chake like hapa. 😢
Dah
Kumbe mwamba anangoma kali kama hii duuh😢
Me ndo namjuwa leo mweeeh 😢@@youngzubelyzubely2288
Kwa kweli hii nyimbo nilikua nasikia lakin sijui kaimba nn
UNAFAKI HUO
Tuliopo hapo 2023. 👍 like
Ambao baada ya kusikia kifo tumekuja kuangalia rest in peace mandojo
Duh ya kitambo kipindi yusuph makamba alikuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam 😂😂 eti tukutanie "Jiji la makamba"🙌🏾
Hii nyimbo haipit siku bila kuiskiliza sio kwa kuwa kafa Yan naipenda kabla ya umauti
hata mimi
❤
Ok tell me
Heshima kubwa sana Ngoma haichuuji miaka nakumbuka hii nilikua shule ya msingi ila leo video imeirudisha km mpya safi sana
Salute zote
Asante sana 🙌
Yaan aisee ngoma ya kitambo ila imenogaaa!mm naona wasanii wa zaman sasa uwe ni muda maalum ama mwafaka kupitia kwenye makitaba zao na kuturushia mangoma ya zaman wakiwa wanatoa video kali.maana ss wazee wa zaman tumesha kosa hata nyimbo za kusikiliza na kutazama
@@mandojonadomokaya kakakaka mpoooo😢hili chozi nifurah aa safi snaaa mmerudiii mungu azidikuwainuwaaa Leteni nomaaa MASHABIKI tupooo wengiii huu ndiomzikiiiii duuu😃😃😃🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♀️🤸♀️💕💕💕💕
@@mandojonadomokaya aiseeee 😃😃🤸♀️😃🤸♀️😃🤸♀️😃🤸♀️🤸♀️🙏🙏🙏🙏🙏Safi sanaaaa
R.I.E.P kwa moja ya brilliant acoustic rap musician bongo imewahi kuwa nae.
Tiloirudia hii ngoma baada ya taarifa za msiba...tumuombee𝐌𝐚𝐧 𝐃𝐨𝐣𝐨
Tulio kuja kuangalia baada ya kusikia R I P mandojo tujuane hapa
Ndio kundi pekee Tanzania 🇹🇿 ambalo alijawai kuvunjika. Much respect Sana 🙏 mungu awabariki
Salute man
Asante sana
Na angalia baada yakusikia mwamba kavuta je Nikweli?💔💔💔💔🥲🥲🥲
Hata me nimeamua kuja kumsikilizia kama ni kweli?😢😢😢
Mwamba hatupo nae
Hata mie nimeambiwa hivi punde
R.I.P
Na mimi nimekuja hapa baada ya kusikia mwamba kavutishwa kamba😢
*P Funk Majani* - huyu jamaa aliidefine Bongo Flavour kwa kipindi kizima cha miaka kama kumi hivi kutoka 1995 hadi 2005. Siku hizi maproducer wanaiga tu midundo ya Naijeria na Afrika Kusini.
Makamanda *Man Dojo na Domokaya* big up sana kwa hatimaye kutoa kideo cha huu wimbo. Muziki huwa haufi hata mliouimba mkishakufa. Kideo hiki kitafanya kazi yenu izidi kuishi milele.
Sure
Kweli maneno yako bro
Ngoma haichuji Safi kazi nzuri 🔥
Aminia sn
Rip mandojo so pain kifo chake kimenigusa sana yani dah inauma sana kiukweli msanii mwenye ngoma nzuri zenye ujumbe mzuri
Ngoma ya miaka mingi Af kali Na chupa imekuja kuwa kali sasa wale wa nyimbo anaachia leo af video kesho wajifunze kwa mziki unaoishi kama huu
Eeeh baba salute sn
Hii roho ya kuita mtu mwizi kwa sasa imeweka mzizi. Watu wapo tayari kuua bila kuangalia. Tuchukue hatua kwa MAOMBI, familia nyingi zinabaki wajane na yatima, tena kwenye umri mdogo. Tubadirike. Roho ya mauaji ishindwe kwa jina la YESU.
HII NGOMA ILIKUA IKO MBELE YA MUDA KABISA 2002 mpaka leo bado bonge la ngoma
E babaa
Eeeh baba sure miaka mia nane
WATU WAMEMUUA DUHH ,,JAMAN MUWE MAKINI SANA NA BINADAMU NMEUMIA SANA
Nazikumbuka ladha za Bongo Records na P Funk Majani naona zile ladha tulizozimiss ndani ya miaka 10+ zinaweza kurudi Beats kali wanamuziki wakali mashairi makali.
Aminia sn mwamba
Oya nyie watu hamjawahi kui disappoint bongo flavor nadhani wasanii wote wa kitambo wakirudi kama na idea hii mliyoifanya muziki wa bongo flavor utaheshimika maana muziki.utarudi kwa wenye muziki wao.
Much love sana Mandojo & Domokaya
Respect 🙏
Salute sn man eeeh baba sure
Hizi ndo zilikua nyimbo sio hayo matusi ya watoto wa siku hizi. Big up sana kwa Majani the Bongo fleva father of all times.
Aminia sn ma niger
Daaaa nimekuja kuhakikisha ni yeye kweli daaaa rest in peace mandojo
YAANI LONGTIME MLIKUWA MNAKAA NA KUFIKIRIA SANA NA KUANDIKA LKN HIVI SASA WASANII HAWA ROPWAROPWA TU.. HAO WANAOWABEBA KWENYE MEDIA HAWANA UWEZO WA KUANDIKA NGOMA ITAKAYOWEZA KUISHI KAMA HII.. NYINYI MLIKUWA MKISHINDANA KUTOA HITS DAH NIMEMKUMBUKA GODFATHER MAJANI HII
Kwel kabis eeeh baba
Aliye direct hii video anajua sana.
Salute
DAAH GONE 2024 🙏
Daahhh,,, those days aiseew miaka imepita ila ngoma iko vile vile kweli vya kale dhahabu,,, big up kwenu mandojo na domo kaya bila kumsahau pifunk
Asante sana
Salute zote
One of my best songs those days
Asnt
From school to old life goes on.Respect forever
Aminia sn
Usiipime Io vibe ki Easti kweli 🔥🔥🔥🔥big up upendo kutoka Kenya.🇰🇪
Aminia sn mwamba from Kenya eeeh baba
Asante sana 🙌
Brother's nawakubali sana💯💯💯💯💯💯 napenda sana ngoma yenu ile ya wanoko wanoko featuring Jay dee
Asante sana 🙌 tuko pamoja
Aminia sn
P funk... 🔥
Dojo na domo 🔥
Ezra brown EZ 🔥.
KAZI NZURI SANA.. BADO NI KUBWA
E babaa
SIFANYI MALIPIZI ILA JIFUNZE ADABU oyaaaaa big respect
Aminia sn salute
@@mandojojoseph1665 Nakubali mkubwa tupo p1 tunasapot good music
Yaani hata mrudie video za ngoma zenu zote bado tutaangalia tu.... Living Legends
We appreciate 🙏
Pamoja sn mwamba zinakuja
R.I. P Dojo-Sending my condolences to the FAM🇹🇿from 🇺🇸
Nilishawahi imbia mtot hii song😁😁🙌🙌
😃😃🙌
Kuna songs zimetoka mwaka jana ila zishafuja but these old golds still shines maaan 🙌🏽
🙌
Eeeh baba salute
Aiseee daghhhhh hii NGOMA imenikumbusha Enzi hizooooo Nipo Zangu SHULE ya Msingi #MUUNGANO ndani ya Wilaya ya #TEMEKE huko
I feel a Sorrow in my Soul😭😭😭😭..
Huu ndo Ulikuwa MZIKI bhana yaani hii NGOMA Naiimba yote #MWANZOMWISHO
Keep the good 🎻 Music 🎻 alive
🇹🇿🇹🇿💯%
Much love and respect 🙏
Ludini kwenye music ndugu
Nikupe nini & Dingi nazikubali sana. ❤❤❤❤❤
17/4/2023
Video kutolewa baada ya miaka 18 kupita,ok siyo mbaya maana OLD IS GOLD 👏👏👍
Sure kabisa
ngoma zisizochuja ndo hizi......nyimbo kama imetoka juzi tu
Salute sn
Vitu Kama hivi tunataka brother zetu..co mnakuwa kimya Sana..🙏🏼🤝
Sure man vinakuj vya kutosha
Sawa tunavisubili kwa mikonomiwil
Kweli ule msemo old is gold#NIKUPE💥💥💥💥💥💥💥
Sure
All time Banger!
Bonge la Ngoma 🔥🔥🔥
👊🏿👊🏿👊🏿 Legends, Siku hizi wakina tuna WASAFI wanaimba UTUMBO tu..
😎😎😎😠😠😠
Salute
Mandojo 👊🏿👊🏿👍🏾👍🏾🤝🏾🤝🏾
Bonge la surprise sikutegemea kukutana nahii. Safi sana! 🎬🔥 Nimekumbuka Walkman Radio yangu ya Cassette aisee enzi hizo mwendo wa batteries ndogo zikiisha unanunua tena, no kuchaji na umeme. Nilikua na Album nzima na hii ilikua favourite track. Alot of memories! 📝
Hahahaha sure man
E babaa long time 🙌
Naomba serikl ichukue hatua kwa wotee waliohusika nlkua smjui huyu lakn imeniuma
Respect sana,pigeni machupa ya ngoma zote halafu muanze kula hyo mipunga ya social network
Kabisa mwamba
Nlikua nazisikia nymbo na naziimba video meangalia baada ya kifo chake.. RIP
Hakuna ata nyimbo moja diamond ameimba inapita nyimbo hii
Ilikuwa ni lazima U-Comment hivyo???
Aminia sn
@@reginaldmwemezi6746 ndio mkuu au wewe waonaje?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
@@japharynduko6139 Man Up
From Burundi bujumbura 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 bado naupenda huu wimbo
Asante sana 🙌
Salute sn
Hatimae tumepata video hongereni Kwa kuto kuogopa kufanya angali ni miaka mingi imepita ama Kwa hakika wakat sahihi ulikua ni sasa 🙌🙌👏👏👏👏👏👏👏
Aminia sn
Salute ninja
Nilikuwa nasubiria kwa hamu sana wazeee yeah baba
E baba
Wozaa
Wozaaa
Nipo msiban na watch wimbo huu, rest easy dojo
Upo Manyoni?
Unaposikia PFunk, sikiliza tu beat hunahaja ya kusikiliza mziki wenyewe, maana lazima beat ibebe wimbo wenyewe
Dah Kwa kweli raia wanakosea sana kujichukilia Sheria mkononi wameuwa mtu asiye na kosa😢Rip
Big up Kwa brothers old is gold mziki unaoishi salute Kwa P majani
Walio mfanyia mambo ya ajabu uyo makaka nayeye auwawe tu yan mpk nimelia
Kuhusu ngoma hii uwa ni Hit miaka yote tangu ilipotoka hadi leo bado ni Hit tu sema hicho kichupa dah ushindi ni mwingi wana karibuni tena kwenye game.
Aminia sn
Huu ndio mziki ambao ume miss kwenye industry ya bongo flavor 👍🏽🎶
Eeeeeh baba
Oyaa kuna kile kitu cha msela
Usiponiskiliza utanielewa vipi heshima napendeza wamini na dhiki eti nikicheka wanadhani nipo frsh huko nilopotoka balaa jingi mkosiii nalia na mola kumbe wanga ndio wanamiksii sio hadithii za sungura na fisiii nomaaa sana hiiii ngoma fanya video
E baba 🙌
RIP. NAni mwengine kaja baada ya RIP?😢
Still watching in 2025
Let's support our own brothers,so they can get what they deserve (I'm talking about money through viewers). Keep on working hard Mandojo na Domokaya💪
Asante sana 🙌
Sure man tunaitaji sn saport yenu mashabiki wetu eeeeh baba salute zote wadau
Nilikuwa cjuwi kabsa mandojo doleo nimekuja kisiliza nyimbo zake ilawaadishi wanafiki sana mtu mpaka a afarki dom post
Hizi ala na mpangilio mzuri wa mashairi n midundo ndio ilikuwa heshima ya Bongo fleva. Legends are back!
Salute sn
For sure 🙌
Kitambo sana Enzi zetu izo sio sasa miaka ya NYEGEZI ujinga mtupu NYIMBO inaitwa NYEGEZI😅😅😅
Weacha tu brooh
nyimbo ya zaman video mpya.. old is gold
nafikir hiki ndio kikikua kinaitajika gooood job chap
🙌🙏
Let's give P funk his flowers before he dies, HE is the god of Bongo sound
Bonge la kichupa mmetisha sanaaaa👍
🙏🙌
Asnt sn
Sifanyi malipizi ila jifunze Adabu mpenzi ❤
Nimependa sana wameonesha ukomavu wa kazi yao inanguvu kama ilipoka wakati ule
🙌
Salute sn
Shida kubwa redio steshen..tz hazipigi..nyimbo za.wasanii wazamani..pia wasanii..wa sasa hawathamini..wazamani ndio maana watanzania wengi hawawajui..wakongwe wa bongo fleva..
Shida nyimbo nyingi sana siku izi.watoto wa 2000 hawajui izi
Legendary ....
I miss you so much mnanikumbusha mbaliii
Aminia sn mwamba
Kubwaaa sanaaaaa
🙏
Whoever gave the idea of making the video did justice to the song, to bongo flavour and to these talented guys🔥
That is for sure ,🙏🙌 bring back the vibe... good and sad memories as well
Salute
@@mandojonadomokaya Why Sad memory??
@@mandojonadomokaya for sure
@@mandojonadomokaya sure, I remember one of my best friends who has already passed away that we used to listen the song together, he liked the song mostly.
Daah mandojo RIP😢😢😢
when Bongo fleva was real....mmenikumbusha mbali sanaaaa....we real miss you guys..
Aminia sn
Bonge ya pumbu!!!! noma sana hit song miaka 💯 #dojo&kaya
Salute zote
🎼🎵🎶Maaajani ya bustaaaani...,🎶🎵🎼 Daaaah! Mwanzoni mwa miaka ya 2000, Ifunda Tech. Sec. School, life ya boarding school hii ngoma ilikuwa gumzo sanaaaaaa. Salute wazeiyah
Pamoja sana 🙌
@@mandojonadomokaya 👍🏿🙏🏿
Eeeh baba sana mwamba
Oya mwamba dojo hatuko naye tena 😢😢😢
Daaah kumb ndo huyu aliueimba huu wimbo machoz yanatoka
Nilikuwa mdogo sana nikiwa nafatilia hizi ngoma pale moro abood fm.
Bonge la throwback.....🙏🙏🙏
Come back niggas. Hii ndo tafsiri ya Music
Aminia sn
👏🔥👊inafaa Mzi shoot video nyimbo zenu zote ,wanock nock,taswla,dingi,nenda...
Sure zinakuja
Dah aho walinzi kuma lao
Du mandojo nitakuja hata niangalie tu kabuli lako broo imeniuma sana sana du
Any one on it March 2023?? Hit like buddy
Heshima kwako P funk majani , au Baba Paula
Anastahil heshima kubwa
Mimi sio msanii ila namuheshimu Sana huyu mtu ktk tasnia ya bongo fleva ana mchango mkubwa sana
Mmetuheshimisha saaana bravo👏👏Sana mabraza endeleen kutoa huo unyama wa zaman Bila Kusahau mlioimba na Jay Dee
Asante sana 🙌 Respect sana
Duh....inakumbusha kitambo sana hii ngoma...
Big up...!!!!@@@@%$%%%
Salute
🙏
Baba Paula alitisha sana🥰
Nom sn
Hebu fanyeni na video ya Wanok nok nadhani Itakua poa Sana!
Soon E baba 🙌
Dah! Hii Ngoma Nipo Dogo Sana Nakumbuka Kipindi Hicho Mmefika Mbeya Sokoine Ikabidi Nitoroke Home Nije Kushuhudia Show 💪🏼💪🏼💪🏼
Daaah Memories 🙌
@@mandojonadomokaya Naamini Ngoma Zote Zotafanyiwa Videos Kwa Muendelezo Wajomba 🙏🙏💪🏼💪🏼💪🏼
Kwisha ua harmonize diamond hata mafalm kiba ua wote mandojo domokaya for life
Salute sn maniger eeeh baba
Digala na dojo fanyeni mpango wa Wanok nok, Nizikwe Hai bila kusahau Nenda.
Zinakuja mwamba
Mmeipa ngoma uhai tena. Kama mpya. Big up…..
Sahihi kabisa
Asante 🙌
Sichoki kuiangalia hii Classic track,much respect Dojo& Kaya beat Kali kwa kweli mmenikosha sana my dawg
Aminia sn man
Daah bonge la kichupa,nakumbuka niko tanga kipindi hicho nasoma shule ya msingi Gofu Juu ,umekumbusha mbali sana wallai
Aminia sn eeeh baba
🙌
inabd mshoot zote upya kaka naamin mnazirudisha upyaaa sokoni🔥🙌🏾
Soon
InshaAllah 🙏
Sure
Jamani wasanii wakongwe inafaa wawe na youtube channels zao na video za kileo, ila masong yale yale, huu mziki umetukuza mazee