Da miaka inakimbia sana wakati hii ngoma inatoka nilikuwa primary school pale Magereza tabora ilikuwa kila jioni lazima niisubirie ipigwe kwenye tv isipopigwa nilikuwa najisikia vibaya 😂 na ukweli kuna baadhi ya mistari ndio miaka ya karibuni naelewa kiliimbwa nn mi nilikuwa napenda beat na wale wahusika wa kwenye video. Ila asanteni sana brothers kwa kutubariki na ngoma kali zinazoishi Respect.
Dah Old bongo fleva Music never die this song played when I was standard two 2001 till this I enjoy it with wonderfully message to those dad's left their families because hardship life.11/5/2022 still listening much love ma homie 🇹🇿
same feelings here 11 Aug 2022, I wake up with this song, I found myself involutary sing the song since I arrived at office so as I decided to enter youtube and search the song and her playing
Long time ghetto ukushini street moro town me n my homie Laulent shija,zero brain,mkristu boy, kt,dah thank dojo huu wimbo unanikumbusha mbali magum raha zote
Domo kaya katema nyongo kinomanoma, Sijui ingekuaje kama hii story ingekuwa imemtokea kweli...Daah sasa nimeamini kweli 'Mziki ni Hisia'. Huu wimbo BABKUBWA sana...Hivi najiuliza ashawai tokea muandishi wa habari akaufanyia Breakdown ya maana huu wimbo, Maana nyimbo za aina kama hii zinatakiwa zizungumziwe kwa KINA sana mpka Tunafahamu msanii anakuwa Exact feeling gani mpka kufkia kuandika mashairi KUNTU kama haya. Live longo MANDOJO NA DOMO. MUCH LOVE🇰🇪💥🔥🔥🔥🙌🏾💯
@@CoachHafidh Asante sana hii stori half of it ni true story na ilinitokea lakini utunzi wa kisanii pia umetumika kukamilisha story so imagination pia imetumika 🙌
*--توبوا إلى الله لأن بالصلاح والاسلام تحيا النفوس والقلوب وتب لتنجو من الوعيد repent to Allah in Islam because by Islam live the hearts and souls and repent to survive from the promise
*--توبوا إلى الله لأن بالصلاح والاسلام تحيا النفوس والقلوب وتب لتنجو من الوعيد repent to Allah in Islam because by Islam live the hearts and souls and repent to survive from the promise
Nani anasikiliza hii track 2024
Mm hapa march 2024
🔨💯
Still here March 25 2024
Still here April 14 2024.
Hapa
Ukiona hii comment, I like ili notification inirudishe hapa kusikiliza mziki mzuri
It's 2023 still listening to this Masterpiece 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Together here
Sitaki kukumbuka hizo enzi, nahisi ni km machozi yatanindoka
Together
yeah this song is a lifetime..
❤❤❤😢😢😢❤❤
Hello it's 2030
Huyu jamaa kaimba verse moja tu kwny hii ngoma.
Verse kali sana halafu ndefu mno salute nyingi kwa domokaya, very powerful 💪
Nani anasikiza hii track 2022
Mimi na sikilizia hiyo nyimbo always na kumbuka maisha baadhi za familia za kibongo muda wote inafanya nikumbuke East Africa
Even me
Mimi hapa
Tuko wengi.Hii na ile niaje collabo yao na Juma Nature,noma Sana and classic.
Tuko wengi
Eeeeh bana old is gold hii nyimbo mistari yake haitakufa milele maaana Ina ujumbe na melody tamu sana
twende mbele turudi nyuma huu mdundo wa guitar ni hatari sana, 2024 bado ngoma kali
Aliyepiga Hilo guitar 🎸 la base katisha 2024 still hot
Produced by Micca Mwamba MJ record 🔥
Nipo hapa 2024 tarehe 1 mwezi wa 2❤❤❤❤❤❤
Mkenya nipo mwenyewe tu, au wapo wakenya, kutoka mombasa tujuane, hizi ndo nyimbo tulokua nazo utotoni🔥🔥🔥
Nipo bro...wa Mombasa hapa😁
@@CoachHafidh Nakubali mwana, bamburi moja hii sijui wewe anga zipi
Ngoma inaishi na itaendelea kuishi kwenye watu waelewa.."
It's 2024 and we still here.
Pa1 2024 weka like❤
Ngoma kali sana ,kuna kipande kinasema "sikusifi hizi kejeri"
Chuma hiki hakiwezi kupoa daima, hongera sana broo
Hawa ndio WANAMUZIKI wa kweli. Wanatunga, wanaimba na wanapiga vyombo vya muziki.
Hawa jamaa walikuw na kipaji kwel daah👏
One of the most lyrically conscious song ever written in Bongo Flava hIstory..Hats Off..
Mandojo ni fundi na sijui kapotelea wapi😓😓😓
2024 hii trak 🏆🏆🙌🙌
Its march 2024 still listening to this beautiful masterpiece from mandojo ft domo🔥🖐️
Dah!! Brothers kweli miaka inaenda hii ngoma nilikuwa shule!! Mungu awabarik kaka zangu!! Nyimbo zenu zitaish
Amen 🙏
@@Domokayakunikumbusha mbali sana walai 😢😢😢😢😢😢 maisha magumu sanaaa😢😢😢😢😢😢😢
Memories back in the days beautiful song... listening 2023
Verse moja tuuu ila ujumbe kila mstari this generation was blessed.
08.03.2024 WANAWAKE DAY
Da miaka inakimbia sana wakati hii ngoma inatoka nilikuwa primary school pale Magereza tabora ilikuwa kila jioni lazima niisubirie ipigwe kwenye tv isipopigwa nilikuwa najisikia vibaya 😂 na ukweli kuna baadhi ya mistari ndio miaka ya karibuni naelewa kiliimbwa nn mi nilikuwa napenda beat na wale wahusika wa kwenye video.
Ila asanteni sana brothers kwa kutubariki na ngoma kali zinazoishi Respect.
nani anasikiliza hii track 2024❤
What a song ... They don't songs like these nowadays, wote wanaishia na nyimbo za tambo na mademu.
Absolutely the most lyrical poetry masterpiece from bongo land😮❤
Sku understand mtoto wa jirani kukomaa sura
Wengine wamekonda mfano wa astaghafirulah 😂😂
From Nairobi Kenya... Siii hii ngoma ilikuwa Kali... Still a banger!!
Jamaa ni wakali wa storytelling... Hatari sana
We need song like this 2022 🙌🏾
2024 huu wimbo bado uko fireeeee
2023 and still runni' this song. Back in old day when hip hop Is real🎤
🙌
Duh bongo fleva imekufa jaman
One among the best track ever
Yembo yenye uahai na ujumbe Kwa kila mtu dahhhh nakusikiliza muda sana iliwatoto wangu wasijepitia maisha niliyo pitia
Asante sana 🙌
Bro ulipotea wapi nyinyi na mabanga fc@@Domokaya
Old is Truly GOLD😅🙌🏽, I wish siku zirudi Kama zamani😭
Life was so much better in them days wenit?
Surely 😢
Naikubali sana ngoma since day 1 naijua mpka nikawa natunga na verse zangu 🤣🙌🏾
😃😃
2024 STILL LISTEN THIS BEAUTIFUL SONG ya verse 1
Ngoma kali sana story nzuri naisikiliza 2024 /3/30
Kuna somo hapa kila jambo lina wakati wake
Dah! Hili PINI HILII✊👊!!!
Dah Old bongo fleva Music never die this song played when I was standard two 2001 till this I enjoy it with wonderfully message to those dad's left their families because hardship life.11/5/2022 still listening much love ma homie 🇹🇿
Thanks a lot man I really appreciate this 🙏 ,Thank you for the compliment
Much respect 🙌
01/06/2022
Ulisoma kimanga ?primary
same feelings here 11 Aug 2022, I wake up with this song, I found myself involutary sing the song since I arrived at office so as I decided to enter youtube and search the song and her playing
The realese of the song was 2005 not 2001
Hii ngoma irudiwe! MASTERPIECE
one of the best trackz and the best two story tellers
Respect 🙌
Goma kali na linanigusa coz yalitukuta kipindi hicho
Verse moja iliyoshiba. Timeless 🔥🔥🔥
Ngoma ya Dunia. Ye baba
E baba
@@Domokaya wazee kimya miss michano wazee na title za heshima
Yaani hadi Leo nasikiliza hii nyimbo tangu day one
Still watching and listening 30 may 2022
July 21,2022👊🏻🔥
This song never gets old
Long time ghetto ukushini street moro town me n my homie Laulent shija,zero brain,mkristu boy, kt,dah thank dojo huu wimbo unanikumbusha mbali magum raha zote
🙌
Mziki mzuri unaishi, kazi nzurii❤
Feel the track 🎶🎶, I feel the track
18/5/2024❤❤❤❤
Still my favorite. Respect sana👊🏽
It's literally🔥🔥🔥this track first listen it 2006 it's till my old-school best track I love
🙌
2024 listening and many years to come
Nipo hapa leo 2024❤❤❤
katika ngoma zinaongea maisha yangu hii ni moja wapo from way back
Dem days 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Mnajua saana, the best song of all the time
dude kali mnooo
🙌
Haitakuja jirudia kama hii...moja ya aina yake. 2022 may
Morden singer igeni mziki mzuri toka huku.kwa wakongwe....
Hizi mara paka mate pitisha kwa chini
.ni majanga matupu
🙌🙏 respect
2022 bado nasikiliza iih nyimbo🎬🎼 iiih nyimbo mama yangu anaipenda san😊
Nananananaaaaa
Vipaji!
This track reminds me back in the day ❤️❤️
I used to shoot blanks when i first heard this track...and now am all grown
Nyimbo yenye uhai wa maisha yote.😍
🙌
Blood hell I'm not tired of this song big yourself brothers
Duuh hatari huu ndio uliitwa mziki
Nipo hapa April 2024 tujuane
Big up yourself mandojo and domokaya. One of the best story tellers. Much love from 🇰🇪
🙌🙏 respect
Sana jiran 🇹🇿 ur right
Domo kaya katema nyongo kinomanoma, Sijui ingekuaje kama hii story ingekuwa imemtokea kweli...Daah sasa nimeamini kweli 'Mziki ni Hisia'.
Huu wimbo BABKUBWA sana...Hivi najiuliza ashawai tokea muandishi wa habari akaufanyia Breakdown ya maana huu wimbo, Maana nyimbo za aina kama hii zinatakiwa zizungumziwe kwa KINA sana mpka Tunafahamu msanii anakuwa Exact feeling gani mpka kufkia kuandika mashairi KUNTU kama haya.
Live longo MANDOJO NA DOMO. MUCH LOVE🇰🇪💥🔥🔥🔥🙌🏾💯
@@CoachHafidh Asante sana hii stori half of it ni true story na ilinitokea lakini utunzi wa kisanii pia umetumika kukamilisha story so imagination pia imetumika 🙌
My all time song,Bless you Rasta @Domokaya
Huu sio wimbo👌🔥🔥🔥🔥perfect. Song....anyone heree#May2024???😊
*--توبوا إلى الله لأن بالصلاح والاسلام تحيا النفوس والقلوب وتب لتنجو من الوعيد
repent to Allah in Islam because by Islam live the hearts and souls and repent to survive from the promise
Aseeee tumewamiss
This song gives me goose bumps like everytime I hear it. Nilisikia mwanzo 2008
🙏 it must be taking you long way back
Much love and respect
Took me through a storm , mad tune ⛽️⛽️⛽️
The who played as main character him did the best in this video
Waiting for it's remix 😉
🙌
I still listen to this track mostly..its my all time favorite
Much love and respect 🙏
@@Domokaya I honestly want to make song like that
Chuma hicho
Hio verse ya kwanza ni noma sana,ndefu nzur
Wimbo ulikiwa fire kinoma kitambo sanaaa 2008 moja hiyo❤❤
2024🎉🎉🎉I gotta remember
beats hits hard than my pop's belt..💪
Still watching June 2022.
this song will live forever
🙌
Sure 🙌🏽
Sure 🙌🏽
@@Domokayanaomb yakoo baba
Itaishi generation na generation
Respect 🙌
Though better too late than never!! Mlichelewa kuweka hii kitu on ur account!! Much respect Dojo & kaya fell**
Better late than never 👊
My ring tone song ever......
Feel the truck
Ndani ya daraja mbili
good music ever
Nakukubali sana mwamba since day one #VIP_GYM_Egyptian
Mwanangu unajua saana zaidi ya hawa wauza sura
Respect my brother from🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Respect 🙌
Ngoma inaishi
Awa jamaa nawapnd mpak kesho yaani
*--توبوا إلى الله لأن بالصلاح والاسلام تحيا النفوس والقلوب وتب لتنجو من الوعيد
repent to Allah in Islam because by Islam live the hearts and souls and repent to survive from the promise