DAAA HUU WIMBO NIMETAZAMA TENA LEO 14/08/2024 BAADA YA KIFO CHA RAFIKI YANGU HAMISI MMANGA AMEFARIKI HOSPITALI YA MUHIMBILI KWA UGONJWA WA INI ALIFARIKI 13/082024 ASUBHI PAMOJA NA KIFO NA MAN DOJO.😭😭😭😭
HUU WIMBO NIMEUTAZAMA LEO 05-08-2020. BAADA YA KIFO CHA RAFIKI YANGU JUMA MSEMO ALIYEFARIKI 02-08-2020 SIKU YA JUMA PILI SAA 19:30 HOSPITAL YA MKOA SINGIDA NA KIFO CHA SHEMEJI YANGU ANAITWA NAOMI MKE WA DILEMWA ALIYEFARIKI 04-08-2020 SIKU YA JUMA NNE..
Brother madee video yako umeipata vizuri umeipigania isiende bure coz hayo ni mahaarifa kwako mungu akupiganie coz ushatengeneza hit nyingi tu ila hii ni ya dunia
Nawakumbuka sana Watu maarufu,Rafiki zangu,jamaa zangu,jirani zangu mliotangulia mbele za haki😭hasa nyie mlio Fariki mwaka huu 2021 Kaka yangu Ramadhani Zuberi Kaguo R.I.P
Rip baba wa tanzania j p m ndoto zako zmezma kama mshuma tuta yaenz ulio tuachia na tutatimiza ndoto zako mora akupe kauri dhabit na akukabidhi kitabu chako kwa mkona wa kulia
Like apa umeangalia baada ya mandojo 😭😭
Rip madojo recepect about this song leo kwako imetimia madojo 😭
Daah RIP Our President JPM, daima tutakukumbuka tunashukuru kwa maisha yako na Uongozi wako!🙏🏾💔🕯🇹🇿😭
Daah Man ndojo leo tunakuimbia wewe. R.I.P kaka.
RIP #Mandojo umeimba hii chorus now hupo nasi 😢😢😢 inshallah mungu akupokee
Like kama umekuja baada ya SalamanaSeneda
DAAA HUU WIMBO NIMETAZAMA TENA LEO 14/08/2024 BAADA YA KIFO CHA RAFIKI YANGU HAMISI MMANGA AMEFARIKI HOSPITALI YA MUHIMBILI KWA UGONJWA WA INI ALIFARIKI 13/082024 ASUBHI PAMOJA NA KIFO NA MAN DOJO.😭😭😭😭
RIP Joseph pombe magufuri 😭😭 2021
Daah
Rip
Daah ! Mandojo na wewe umeendaa Aisee 😢😢😢 SAD
Kama mmemuona like hap watu wanatoka mbalii
Madee aliimba sana hii ngoma! R.I.P president Magufuli
Nani kaja baada ya kuangalia interview ya salama na madee?
Mimi
Mm
Hapa
Mimi
Mimi
Naiskiliza leo 2024 baada ya kifo cha dida shaibu...😢
Huu wimbo nimetazama tena Leo 24/8/2024 nawakumbuka Sanaa wamefariki wote Aisee😭😭😭😭
Huu Wimbo nimeutafuta maskin badala ya kifo cha mandojo kimenisikitisha san kaka kafa kilatoli sana
I dedicate this song to sharo millionea /kanumba/, king zilla /mangwea💔💔💔💔🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kazi yake Mola.. Rest in peace Man dojo..
Zamani mlikua mnaandika na kuimba, lakini siku hizi kama yanga tu.......
President magufuli ndio kanileta huku tena 😭😭😭 rip hakika tutakukumbuka daima
Hiii ndo safari pekee duniani ambayo haihitaji nauli . Viza .Wala. paspoti
Kweri
Kweli life too shorty madojo r.i.p
Wimbo bora kabisa wa Madee, thanks for this song bro. Rest In Peace my dady we gonna meet again.
Daaa Hatimae Umeupata Najua Aliyekuletea Kapata Donge nono
Rip madonjo nimepinga huu wimbo kwa ajili😢😢😢yako
Nimeangalia bunge babu tale kaongea hadi nimekuja kusikiza wimbo
Endelea kupumzika mjomba wangu #samir
Tulikupenda ila Mollah kakupenda zaidi .tunakumiss tulitamani hata uanzee kusema but .. endelea kutusubiri ..sote twaja.#loveyouSamir
R.i.p baba yangu mzazi mungu akusamehe dhambi zako zote amina
Pumzikeni Kwa amani wapendwa wetu, 😢😢😢 2013 mchumba wangu kipenzi,2020 baba yangu mkubwa,2022 Babu yangu kazi yake mola Haina makosa 🙏🙏🙏
Kazi yake mola haina makosa, Rip mandojo
Dah,jani la Dojo limeamguka nalo..soo sad..tuliohudhunika pamoja tujuane
R.I.P MR PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI TUTA KUKUMBUKA DAIMA VIZAZI KWA VIZAZI
Mandojo leo umejirudia kwako😢😢rip
R.i.p mandojo
Mandojo twende
Madee kweli haya yote nimaisha Kuna ciku yatakwisha naliaga nikiskia hii Ngoma salut
Nimekuja kuutazama huu wimbo baada ya mke wa babu tale kufariki dunia Leo. Tarehe 28 mwez 6 mwaka 2020
I dedicate this song to the family of the legend,man dojo,RIP
Kifo Cha president mkapa kimenileta hapa RIP
HUU WIMBO NIMEUTAZAMA LEO 05-08-2020. BAADA YA KIFO CHA RAFIKI YANGU JUMA MSEMO ALIYEFARIKI 02-08-2020 SIKU YA JUMA PILI SAA 19:30 HOSPITAL YA MKOA SINGIDA NA KIFO CHA SHEMEJI YANGU ANAITWA NAOMI MKE WA DILEMWA ALIYEFARIKI 04-08-2020 SIKU YA JUMA NNE..
Anaitwa fundi na ndo nyimbo ya taifa wote wanaimba lakini madee kashafunga kitabu cha nyimbo kwa sasa kila mtu hii nyimbo inamuhusu mda wote
Rip mandojo,,pumzika kwa amani
Asante madee kwa utunz Bora hii nyimbo ni bora mda wote wakati wowote wameimba weng Ila imetugusa Sana hii ni nyimbo ya taifa
Brother madee video yako umeipata vizuri umeipigania isiende bure coz hayo ni mahaarifa kwako mungu akupiganie coz ushatengeneza hit nyingi tu ila hii ni ya dunia
Madee hapa uliimba sana ukipata SMS ni musa niko nairobi sawa nilikua naishi manzese hapo kwa mzee ayubu
nigongee like Kama umemuona Bab tale
Daaaa ina mahana mkapa ndo kashaenda
Abudu bonge cku yake ikajulikana,,daah! Rip Abdul Bonge
Ata abdi bonge siku yako aijulikanu duh r.i.p abdul bonge
Big Dad President .. noma sana
Tumepoteza watu wetu mhimu dungu jamaa na marafiki kikubwa kuwaombea dua tuu
Hii video kali sana,still watching2022, Rip my brother..still missing your presence..
R.I.P my father dah hii nyimbo inaniumiza sana
Kifo cha shamy wa tale ndo imenifanya kuja huku
Daaah mandojoo😢😢😢😢😢
Hizi aidia umezifungia kabatini saiv unaimba Kama ushapiga hela vile embu jitathmini mashairi haya na haya mepesi ya birthday 🎧🎧
Haina makosa ukueli #msomali ktoka mombasa #salamu kwa Mr madee
Nimekuja kuona hii video baada ya kutoka kuangalia mahojiano na salama Jabir
ila majan hz instrumental cjuy ulikuw unazitoa wap
Nawakumbuka sana Watu maarufu,Rafiki zangu,jamaa zangu,jirani zangu mliotangulia mbele za haki😭hasa nyie mlio Fariki mwaka huu 2021 Kaka yangu Ramadhani Zuberi Kaguo R.I.P
Daaah dadeeki ndio maana ukunifatilia kumbe Kuna chawa kaisha kula iyo 350 daaah chuma naikubali
Naaam anachukua amtakae na kumwacha amtakae. ANACHOMAZA JUA NA KULIZAMISHA RIP MAGUFURI
Jamaa! Mandojo nibonge lakiungo kwenye sanaa!
Czani kama nitaja kumsahau mwanangu 😢😢
Rip baba wa tanzania j p m ndoto zako zmezma kama mshuma tuta yaenz ulio tuachia na tutatimiza ndoto zako mora akupe kauri dhabit na akukabidhi kitabu chako kwa mkona wa kulia
Kolasi imeimbwa pouwa sana imenogesha wimbo huu, big up mandojo&domokaya
Na ndo ameenda ase😢
Innalilahi wainalillah rajiun 😭 Mungu akupe makaz mema inshaallah My president john pombe maghuful😭17/3/2021
Aamin
Umeupata sio mshukuru Salama Jabir
R I P dk John Magufuli 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Hiz ndo nyimbo kwanza zinaujumbe mzito
Delicate this for mandojo #RipMandojo2024
Zaman kulikuwa na wasanii wanatunga nyimbo ambazo zinaishi mda wote sio Hawa vilaza hatuwaeli R,I,p mama
Anko magu tangulia Baba tutakumiss sana
Chill na Sky brought me here
Ebana nipo fom one
Rest in peace mandojo
I live to remember my beloved dad and my fiancee...Dunia tunapita😢
Goma mliua sana, RIP Dojo😢
R.I.P KWA WOTE WALIOTANGULIA😔
Kumbe wimbo uliupata
Dah kwel muosha huoshwa
Mandojo na domo kaya mafundi wa chorus.
Haijawahi na ni ngumu kutokea uandishi wa wa wimbo wa kuomboleza kama huu...utaishi milele #Very Emotional 🙏
Hii nyimbo itaishi Milele ,asante Made na Mandojo na Domo kaya
Kifo cha mke wa babu tale kimenikumbusha huu wimbo.rip shammy
Ulifanyia kitu kikubwa sana THE TALE FAMILY. mwenyezi akupe unavyotamani
RIP brother dojo
Naiskiliza hii nyimbo baada ya post ya Roma
rest in peace DOJO.... 😭😭😭
To my president
Nguvu ya media
Very sad mandojo home boy😭😭😭😭
Daaaah tale alikua bado mdogo sana
Daaaa mwamba kaondoka
Me too na SNS akiwa interviewed na SKY
Huu wimbo utaishi milele na milele na milele
Huyo editor arudie picha inapishana na maneno
Hatimaye umeipata mzee
Nimekuja huku baada ya kifo cha Gadna
hatimaye umeipata...bless sana kaka
Wimbo Bora wa wakati wote wa majonzi
Bongo taja hela tu utaletewa hata chawa gunia
Sio kweli
Nimekuja baada ya kuangalia inteview ya madee na sns