JE, NI YAPI MASHARTI YA KUKAMILIKA KWA TALAKA TATU? SHEIKH KISHK

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 33

  • @aishakhalfan4940
    @aishakhalfan4940 4 роки тому +3

    Masha Allah Abu Ibrahim Allah hazif

  • @AbdillahAli-o3l
    @AbdillahAli-o3l 2 місяці тому

    Tuna shukuru mungu kwakukupa haliyauzima mpaka ukaweza kutupa tarisa hili kwamana talaka mbili nimoja

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 Рік тому +1

    MashaAllah shkh

  • @saidmuhibu1306
    @saidmuhibu1306 4 роки тому +1

    Maa shaa allah sheikh Allah akulipe kila LA kher

  • @khadijaiddi4887
    @khadijaiddi4887 4 роки тому

    Maa shaa Allah jazakAllah kheir sheikh

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 2 роки тому +2

    Alihamdullah 😭😭😭😭😭

  • @SusanSammy-z5v
    @SusanSammy-z5v 3 місяці тому +1

    Je nauliza kwa hivyo talaka mbili kwa pamoja itakuwa ni moja

  • @saumubakari676
    @saumubakari676 Рік тому +6

    Assalam aleykum mm mumewangu ameniacha talaka 3 ila kwa kipindi tofauti ila talaka ya kwanza aliniandikia karatasi ila ya pili na ya tatu alintumia sms yatalaka na kunipigia cm tu kua je umeona mzigo wako je talaka izo zimeswihi

  • @shaidshamiri9534
    @shaidshamiri9534 4 роки тому +1

    Mashaallah💟💟💟

  • @didaamohsin6594
    @didaamohsin6594 4 роки тому

    MASHA ALLAH..

  • @Mrmweta
    @Mrmweta 6 місяців тому

    Baarakaallahfiik

  • @Abdul-p6r7p
    @Abdul-p6r7p 25 днів тому

    Shehe kishki ukimuacha mke Kwa talaka 3 Kwa pamoja unaweza kumrudia mana ni sawa na moja

  • @suatdemir343
    @suatdemir343 2 роки тому

    Selamın aleyküm allah razi olsun🤲🤲amin🇹🇷🇹🇷

  • @Ayubu-oj9kn
    @Ayubu-oj9kn 9 місяців тому

    Asamu aleikum Mme wangu ametoa bira kuniambia je nisahihi

  • @mauaally1126
    @mauaally1126 2 роки тому +1

    Mtihan maana wapo wanaosema tatu ni tatu wengine tatu ni sawa na moja

  • @malmal5714
    @malmal5714 Рік тому

    Mume wangu alinipa talaka mbili bila ya mimkujua. Alipo niandikia kwakaratasi alikua ameadika tatu kwa pamoja !!!eti alikua amesha Toa izo zingine Ila Mimi sikua najua nimeachika talaka mbili tayari bila ya mim kujua

  • @FatumaZuberi-q5j
    @FatumaZuberi-q5j 10 місяців тому

    Mashàalh hivi shee mume akiandka taraka Moja niliichan mwenyew yapili kaandka kanipa kanipokonya je hapo naziesabu taraka mbili au

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 4 роки тому

    Mashaallah

  • @HazinaSaid-ze8lk
    @HazinaSaid-ze8lk Рік тому

    Alhandulilah😢😢

  • @minaziparasu3352
    @minaziparasu3352 2 роки тому +1

    Ibnqayium anasema ukiwa nahasira talaka haipiti umeshawah kuskia mtu anawacha akiwa nafurahaa.lbnutaymia anasema tatu nimoja umesikiawapihio ww namwalimu wako kaa chin itafakari vzuri aya mafuhum namakusudio yake mpaka mwalimu wakisalaf lmamu hambal anasema3 nitatuu3. Ss tusiokua na ilmu munatupeleka pabaya na mukonadhima yakujibu

  • @fatmanassor8804
    @fatmanassor8804 4 роки тому

    Assalam alaykum warahmatullah Allah awalipe kher

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 роки тому

    Hawa wa zama zetu ndio mtihan wangepewa 100 wangezimaliza

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 3 роки тому +1

    Jifunze quran kusom kuandik gusa picha yang hapo kama hautojli

  • @alcatelmselem7057
    @alcatelmselem7057 2 роки тому

    Kweli

  • @iddyhiace4756
    @iddyhiace4756 3 роки тому

    Je nimeweka nia ya kumuacha mke Wang sijamshirikisha mi nikaandika talaka tatu kwa Mara moja nikampa na kumwambia kuanzia Leo we sio mke Wang kwa sababu 1,2,3

  • @sabrinapogal9463
    @sabrinapogal9463 4 роки тому

    Asalam aleykum sheikh jee kama mume alikupa talaka hakusema idadi na ukakaa eda ya miezi mitatu ikamalizika na hakukurudia hii itakuwa inahesibika moja

  • @ramadhanbabmane6158
    @ramadhanbabmane6158 8 місяців тому

    Je akikuacha taraka moja alafu akakurudia Kisha akakuacha mala ya pili taraka 3 inaswihi?

  • @alcatelmselem7057
    @alcatelmselem7057 2 роки тому

    Naomba namba yako malim wangu maaana nimepata mtihani huku mke ammerizia maelekezo ila baada mda kwenda tumepata kizazi ila mke anasema kwa kurejea kua nisha muacha talaka tatu kwa umoja na ndoa imeisha anasema mke kiufupi amenichika kwaiyo nataka kujua kizazi tulichopata ni halali yanguu ?

  • @shaidshamiri9534
    @shaidshamiri9534 4 роки тому

    😘😘😘😘

  • @mwanakhamis4121
    @mwanakhamis4121 3 роки тому

    Wallah nimepewa tatu dabo sijafanya chochote kile mtihani

    • @mamymaryammamy4875
      @mamymaryammamy4875 2 роки тому

      Mimi hivo hivo kumbe talaka 3 ni moja waturudie waume zetu

    • @rashidabdul-aziz3399
      @rashidabdul-aziz3399 2 роки тому

      @@mamymaryammamy4875 tatu ina kua moja duuh weye ustadh ukasome na hiyo sio sababu kuwa wanaume hawana breki elfu salathini kwa pamoja ukipew unakua elfu kumi shekhe