Sheikh kishki yuko sahihi, wala hajahalalisha zina watu hawana ufahamu, na ukiwa huna ufahamu ni shida kila jambo utapiga kelele na hata ukieleweshwa hutofahamu, kila kitu kina ubaya na ubaya zaid na kila kizuri kiko kizur zaid, na mfano huu kauanza mwenyewe Allah subhannahu wataallah, Kwa wenye akili ni wepes kuelewa, Pepo ziko nyingi sana lakini kila pepo ina ukubwa wake neema zake raha zake inapishana na mwenzake kwa darjah, na moto ni hivyo hivyo uko mkali na mkali zaid na ya ukali na hata thawabu zina darja kwa tendo hilo hilo moja, na makosa nayo yana darjah katika kulipwa hata kosa ikiwa ni la aina moja kwa wafanyaji, lakini ikiwa kichwa ni kibovu huwezi kujua, hata katika kutoa mfano sadaqa munaweza kutoa shilingi alfu moja moja watu 10 lakini malipo mbele ya Allah yakawa tafaut, kosa moja linaweza kuwa na hukmu mbili mpaka 3 tafauti kwa watendaje, kama kichwa ni kibovu utasema kosa ni kosa tu dhambi ni dhambi tu, darsa darsa ni muhimu sio kupayuka, kila jambo lina uzito wake na malipo yake hata kama yanafanana
Hakuna ijtihadi ktk uzinifuu huwezi ukasema Bora uzini na wanawake 10 kuliko kuzini na mwanamke wa aina flani je hiloo neno boraa umelitoleaa wapii ??? Uzinifu ni uzinifu tu hakuna Cha Bora Wala uwafadhali maana ni kuvunjaa amri ya mwenyezimungu tu 😢
Na ndio maana tunasisitizwa zana tujiepushe na riwayaa ambazo zinaenda kinyume na qur Ani matatizo yake ndio hayaaa unajikuta unafadhilisha uzinifu wa wanawake 10 Kwa mwanamke mmoja😂 kama si upungufu wa elimu kitu gani hapoo ?
@@abuually-ol2xcmsikilize vizur uyu shekhe utamuelewaa vizur, hivi unajua kwanin, mzinifu wa alie ndan ya ndoa hukmu yake tafaut n mzinifu asie kua ndan ya ndoa, sasa apo angalie ukubwa wa zinah, n alicho kimanisha
Ni muhimu maana Mimi hadi naangalia hii video icho kichwa Cha habari ndiyo kimenishtuwa apo,, nilitaka niskie kama ni kweli yeye ndiyo kasema hivo shekhe au vipi
Kichwa cha habari hakiko sawa, kuzini ni haramu tu pamoja uzito unatofautiana wa iyo dhambi Nashauri uondoe iyo ni bora zaidi/kwa maana hakuna ubora wowote kwenye zinaa
Maana ya kichwa cha habari kwa mtazamo wa haraka ni-: unaruhusiwa kuzini ila sio na mwanamke aliyetajwa.....kwa kuwa limetumika neno "kuzini na wanawake kumi ni bora kuliko"......Ndio maana wenye ufahamu wa lugha ya kiswahili wanapinga anuani ya mada... Ni mtihani ila Allaah atuongoze kwenye kumuelewa Sheikh anacho kusudia maana mitandao siku hizi neno Moja linaweza zalisha maneno milioni kulingana na fahamu za kila mmoja... Afuan
Sheikh asalam àlaykum , mi naitwa kassim Bakari Bindo kigamboni ungindoni dar " kuzini sio dhambi kwa mtu asiyeoa , ila ni dhambi kwa mtu aliyeoa au kuolewa "
Sheikh kishk , " Mimi nimezaa watoto 2 nje ya ndoa nikiwa na umri 17 , na Sina watoto wengine mpaka SASA , na nimepandikizwa ukimwi , JE? kassim Bakari Bindo kigamboni ungindoni dar
Wanao ona ni kosa kwenye kichwa cha habari, tatizo ni uwelewa wa lugha. Keuzeni mupeleke kwenye Mafhuml mukhaalafa. Kuna kitu bora na bora zaidi,kuna khatari na khatari zaidi. Hata mtume swala na salamu zinfikie aliulizwa. Ipi dhambi kubwa zaidi? Akasema: kumshirikisha Alla... Akaulizwa tena kisha lipi? Akasema kuzini na mke wa jirani yako. Je na hili lieleweke yakwamba kuzini na mwanamke asie kua wajirani yako sio dhambi? Lá huo ni uwelewa mbovu. Kuna kitu alikua anafundisha hapo.
Habari inaweza kuwa sawa ila inategemea na mandhari husika taarifa ya shweikh ingekuwa sawa kamaeingekuwa ktk darasa lakini kwa siku za mkusanyiko ambao unatumia vyombo vya habari hapo tegemea upotevu
Zinaa itabaki tu kuwa zinaaa wala hakuna ijtihdi ktka jambo la zinaa maana andiko la wazii lipoo ndani ya qur ani lenye kuonesha uzinifu ni haramu kwahiyoo unapotwambia kunauwafadhali kwenye uzinifu utakuwaa unaanza kuchanganyikiwaa 😢
SOMENII NA KUWENI ELIMU MUNAOSIMAMIA KAZI YA USILAMU KWASABABU MUNAPOTOSHA JAMII NA AKILI ZA WATU WENYE UPEO MDOGO ... SAHIHISHA MAELEZO YAKO HAYAKO SAWA KABISA KUZINI NI MIONGONI MWA MADHAMBI MAKUBWA KWAIYO HAKUNA UNAFUU WOWOTE
Hawa mashekh wengine sijui hii dini wanaichukulia vipi hii dini zinaa ni zinaa tu hakuna nyepesi wala nzito Mtihani na balaa la waisilamu hivi sasa kila mtu sheikh matokeo yake ndio haya
unaonaje sasa mtu akachagua hiyo kuzini wanawake kumi baada ya kuhofia ukubwa wa kuzini mwanamke huyo. Dhambi inakatazwa sio kusema bora kufanya dhambi hii
Dah! Ni mambo yanayoharibu nidhamu na ustaarabu wa Uislamu - kueka Picha za wanawake mbele ya sheikh anayelingania ,hivyo si uache picha ya sheikh yenye adabu zake ,watu hawa hawana chembe ya dini nao wapaswa kulinganiwa ni aibu
Zinaa haina ubora iwe unazini na mwanamke au mwanaume gani zinaa ni zinaa! sijasikiliza hii clip lakini title ya hii video inatia kichefuchefu kusoma tu ina maana mmeshindwa kuweka title mzuri ya hii video! kwa wakati tulionao kwa title hii mnautia udoo uislamu.
Ukiruhusu kusogelea mwanamke hata kwenda kusali misikitini tunaweka mashindano ya wanawake ya qur ani sauti mashule yakuchanganya boys nawanawake waislamu hatuna dalili tutengeneze imani za watu hijabu itasomeshwa yote tunaipita juu
@@allywaziry6419 anaweza kuwa muongeaji yuko sahihi lakini ufikishaji ukawa si mzuri kiasi cha kumfanya muovu kuona wepesi wa maovu yake haya hebu angalia kichwa cha mada kilivyoandikwa ni sawa au mradi wapate viewers? Alafu wengine sio kila tunaposoma dini tuwe madai hapana lengo kusoma dini ni ujue kutekeleza ibada zako na matokeo ndio haya
@@paulmushi2428 Tofautisha ndoa harali na ndoa haramu,ukisikia Waislamu tumeruhusiwa kuoa wake wengi husidhani kwamba tunachukua vimada tu au mademu kama kawaida yenu nyie, sio hivyo na kama kuna Waislamu wanajichukulia tu mademu na kukaa nao bila ndoa huo ni utaratibu wao sio utaratibu wa dini,Husiwe na ushabiki wa kijinga soma Quran kuhusu ndoa zetu na uwezi ukawa umeoa mke wako hata wewe Mkristo ulieoa mke wako kwa taratibu za kanisa lako,umelipa mahari yake kila kitu kimeenda kwa mingi ya Ukristo alafu aje Muislamu aseme unadhini atakuwa amekukosea adabu pakubwa sana ndiyo maana Mkristo akiwa kafunga ndoa katika dini yake kwa utaratibu wa Bibilia akisilimu na familia yake ndoa harudiwi kufungwa upya katika Uislamu hapo ndipo uelewe kuwa dini yetu inaheshimu sana ndoa za wasiokuwa Waislamu,pia mbona wanaodhini bila ndoa kwenu ni wengi sana katika mataifa mengi ya dini yenu wanazalishwa tu mabinti bila ndoa unakuta mwanaume wa Ktisto anao watoto 10 kila mtoto ana mama yake?Kama unabishi fanya tafiti,Sisi Waislamu tunaogopa kuzaa watoto bila ndoa kwa sababu hao watoto wanakuwa sio wako bali ni watoto wa mwanamke na upande wa mke ndiyo kwao na ndugu wa mama yake ndiyo ndugu zake na baba yake anaweza kumuoa binti yake wa nje ya ndo kwa sababu sio binti yake huyo!Shida una rohoo mbaya na Uislamu utaki kusoma nakuelewa !
@@paulmushi2428 Tupe aya inayoturuhusu kuzini katika Quran,Allah (S.W)katuruhusu kuoa wake zaidi ya mmoja kwa kufunga nao ndoa harali kwa misingi ya dini yetu ya Uislamu sio zinaa labda shida yako unashindwa kutafautisha kati ya tendo la ndoa na zinaa au ngono;Neno tendo la ndoa hili ni harali kwa waliofunga ndoa katika Misingi ya dini yao wawe Wakristo au Waislamu na ngono hili ni neno haramu ni kitendo cha kuingilia pasipo maagano ya Mwenyezi Mungu yaani ni kitendo cha kujirizisha nafsi zao lakini sio kumulizisha Allah na Wazazi wao katika dini zao na zinaa hivyo hivyo,neno uzinzi hivyo,umalaya hivyo hivyo,ufsika hivyo hivyo, uasherati hivyo hivyo ni vitendo visivyokuwa na hurali wa Mwenyezi Mungu na Uwezi wewe ukawa umefunga ndoa takatifu kanisani kwako Wewe na Mkeo alafu heti unamuomba mke wako tendo kwa kutumia maneno machafu kwa mfano unaweza kumwambia unaomba ngono au unaomba akupe zinaa au unamwabia akupe kauasherati kidogo au akupe kafsika iwapo utakuwa unatumia maneno haya katika ndoa yako harali basi ujue unaikufurisha ndoa yako kwa kinywa chako.Sisi Waislamu haturusiwi kuzini bali tumeamrishwa kuona Wake zetu kwa kuchumbia kwa wazazi wao na kutoa mahari zao bila kuangilia kwanza mpaka ndoa zifungwe Msikitini na ndoa ikikamilika hapo tayari ni harali kufanya tendo la ndoa na hata Mitume wote wa Allah walikuwa na zaidi ya mke mmoja, Mtume Mussa,Mtume Ibrahimu,Mtume Ayubu,Mtume Zakaria,Mtume Suleiman,Mtume Mohammad na wengine wengi na hakuna kiumbe chene damu hapa ardhini kinakuwa na mke mmoja nyie Wakristo hayo mafundisho munayatoa wapi?Mbona Mussa alikuwa na wake wengi na kwenye Bibilia munamkubari?Mbona Ibrahim alioa wake wengi na kwenye Bibilia mnamkubari na kusema ni baba wa imani?Mbona Suleiman katika Bibilia yumo na aliokuwa na wake zaidi ya 700? Na mnamkubari?Mwenyezi Mungu ndiye katuumba sisi wanaume anatujua vizuri katupatia nguvu nyingi za tendo la ndoa na matamanio makubwa ndiyo maana katutaka tuwaoe wake wengi ili tuweze kupata utulivu wa nyoyo zetu,Wewe ukazidiwe na beberu?Unazidiwa na jogoo?unazidiwa na wanyama madume wanakuwa na majike mpaka 15 dume moja?Ukisikia Muislamu wa leo ameoa wake 5 hapo unatakiwa uwe na wasiwasi kwa sababu mwisho ni wake wa nne na sio hivi hivi nimpaka muaji awe na sifa au vigezo vya kuwa nao awe na nguvu za kiume sawa sawa na awe na uadilifu nao sio kuwaoaoa tu.
The way I love the way this man speaks with emphasis,only Allah knows...may Allah protect us atucaguwe katika alie warehemu
japo mimi ni mkristo ila mafundisho haya ni mazuri sana mungu awa samee wote ambao walisha tenda zambi hiyo ya uzinifu 😭😭
Sheikh kishki yuko sahihi, wala hajahalalisha zina watu hawana ufahamu, na ukiwa huna ufahamu ni shida kila jambo utapiga kelele na hata ukieleweshwa hutofahamu, kila kitu kina ubaya na ubaya zaid na kila kizuri kiko kizur zaid, na mfano huu kauanza mwenyewe Allah subhannahu wataallah, Kwa wenye akili ni wepes kuelewa, Pepo ziko nyingi sana lakini kila pepo ina ukubwa wake neema zake raha zake inapishana na mwenzake kwa darjah, na moto ni hivyo hivyo uko mkali na mkali zaid na ya ukali na hata thawabu zina darja kwa tendo hilo hilo moja, na makosa nayo yana darjah katika kulipwa hata kosa ikiwa ni la aina moja kwa wafanyaji, lakini ikiwa kichwa ni kibovu huwezi kujua, hata katika kutoa mfano sadaqa munaweza kutoa shilingi alfu moja moja watu 10 lakini malipo mbele ya Allah yakawa tafaut, kosa moja linaweza kuwa na hukmu mbili mpaka 3 tafauti kwa watendaje, kama kichwa ni kibovu utasema kosa ni kosa tu dhambi ni dhambi tu, darsa darsa ni muhimu sio kupayuka, kila jambo lina uzito wake na malipo yake hata kama yanafanana
Hakuna ijtihadi ktk uzinifuu huwezi ukasema Bora uzini na wanawake 10 kuliko kuzini na mwanamke wa aina flani je hiloo neno boraa umelitoleaa wapii ??? Uzinifu ni uzinifu tu hakuna Cha Bora Wala uwafadhali maana ni kuvunjaa amri ya mwenyezimungu tu 😢
Na ndio maana tunasisitizwa zana tujiepushe na riwayaa ambazo zinaenda kinyume na qur Ani matatizo yake ndio hayaaa unajikuta unafadhilisha uzinifu wa wanawake 10 Kwa mwanamke mmoja😂 kama si upungufu wa elimu kitu gani hapoo ?
ndugu yangu dhambi ni dhamb kweli ila hivu unajua kuna ukubwa wa dhamb na dhambi iliyo kua rahis kusamehewa @@abuually-ol2xc
@@abuually-ol2xcmsikilize vizur uyu shekhe utamuelewaa vizur, hivi unajua kwanin, mzinifu wa alie ndan ya ndoa hukmu yake tafaut n mzinifu asie kua ndan ya ndoa, sasa apo angalie ukubwa wa zinah, n alicho kimanisha
Masha Allah,Allah akuzidishie ume eleza vizuri sana
Inna lilallah wainna ilah rajiun Allah atusamehe madhambi yetu
Mungu akulinde na kila shari sheikhe wetu. Sahihi kabisaa
Kichwa cha habar so muhimu Sana muhimu ni kuzingatia tunayoambiwa na kuyafanyia kazi Inshallah
Ni muhimu maana Mimi hadi naangalia hii video icho kichwa Cha habari ndiyo kimenishtuwa apo,, nilitaka niskie kama ni kweli yeye ndiyo kasema hivo shekhe au vipi
Kichwa Cha habari ni muhimu maana mtu anaweza akasiamama nacho kama dalili
Waislamu siyo mda wkulaumiana huu kama mnaona kichwa cha habari siyo sahihi basi muelekezeni vzr cyo kuanza kutoa Kashif
Shukran sheihk umeongea hapo wako na tunawaona kweli
Ya Allah niepushe na zinah na unistiri
Allahuma amiiin
Amiin!!
Kichwa cha habari hakiko sawa, kuzini ni haramu tu pamoja uzito unatofautiana wa iyo dhambi
Nashauri uondoe iyo ni bora zaidi/kwa maana hakuna ubora wowote kwenye zinaa
Kabisa
Ata mimi niisangaa, hii bora
Fikiria ufafanuzi wake Zaidi utaelewa makusidio. Madhambi yanazidiana!
Shekh bakari mfano wa hapo ni kumkuta mtu anazini na mkeo kuliko kumkuta anazini na dada yako hapo utakuwa mkali upande gani
Hajasema ni harali bali analinganisha uzito wa zinaa kwa aina za zinaa
Ukali wako wewe ,sio unao ongelewa hapo mungu haangalii Ukali wako, mungu ana ana angalia kosa lenyewe
Kabisaaa kichwa cha Habari hakipo sawa shekh
Wenye kufahamu washafahamu bora uliza kuliko kutoa hoja yakupotosha mungu anajua yaliyo ndani ya nafsi zetu😢
Wa asirru kaulakum au jiharuubih inahughalimun bidhati suddur
Eeeeh Allah niepushie mbali na zinaa yarab
Allah atuepushe nazinaa ishaahla
Inshallah Ameen 🙏
Sheikh kishk , " mtu aaiyeoa au kuolewa hawazini ila wanafanya tendo la ndoa ", kassim Bakari Bindo
Kichwa cha habar hakiko sawa kabsaaaaaa
Mungu atusitiri zinaa inahalalishwa innahlilahi wainnah ilaihi rajiun sheikh kishki hapa kateleza ama vipi hebu nifahamishwe
Kichwa cha habari ndo hakijakaa sawa ila ukisikiliza maelezo yanayotolewa utaelewa. Allahu aghlam
Amin
Hapo kateleza hamna ubora wwte kweny zinaa, kwa kichwa cha habari hiko wakiona wazinifu watafurahi saan
Hajahalalisha zinaa uyo usimsingzye acha uwongo babu wew vip
Asalaam aleykhum warahmattulahi wabarrakattu haya mambo kwa ndugu zetu na wako mstari wa mbele kwenye sehemu za ibada..
Shkh Un wan yako haiko sawa
Maana ya kichwa cha habari kwa mtazamo wa haraka ni-: unaruhusiwa kuzini ila sio na mwanamke aliyetajwa.....kwa kuwa limetumika neno "kuzini na wanawake kumi ni bora kuliko"......Ndio maana wenye ufahamu wa lugha ya kiswahili wanapinga anuani ya mada...
Ni mtihani ila Allaah atuongoze kwenye kumuelewa Sheikh anacho kusudia maana mitandao siku hizi neno Moja linaweza zalisha maneno milioni kulingana na fahamu za kila mmoja... Afuan
Kwel kabisa ila zinaa yoyote ni dhambi hakuna unafuu kwa mmja wala kumi hiyo haiko sawa
Allahu akbar allah atunusuru na hilo dhambi la uzinfu maaana ndo limetawala ulimuengu wa leo
Duh Mola tunakuomba utuepushe na zinaaa😢😢😢😢
Amiin
Amiiin😢
Lahaula walaakuwatha yarabb tuepushe na gonjwa la zinaaa
Huyu shekh apewe maua yake bismilah warahman rahm
Eeh Allah tujalie nas ambao bado atujaanza kuwa na familia zetu ili tuwasimamie watot wetu
Ameen mwaya 😘
Astaghfirullah Astaghfirullah, tuepushe yarab
Sheikh asalam àlaykum , mi naitwa kassim Bakari Bindo kigamboni ungindoni dar " kuzini sio dhambi kwa mtu asiyeoa , ila ni dhambi kwa mtu aliyeoa au kuolewa "
ADMIN jitahidi kichwa Cha habari na maudhui viendane basi ..hii Chanell ni kubwa Sana
Mbna ndicho sheikh alochokizungumza akhy wangu
Wazinifu watabeza tu hapa mara kichwa Cha habari hakipo sawa 😂
😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂me napita tu ahahaha
Faham zetu kama wanaadam ziko tofauti so kwa utambulisho wa darsa hii itawapotosha wengi nakuienda zinaa, hivyo mwenderezo wake
Mwenderezo wake uondoeni haraka
Allah atustiri na zinaaa
Sheikh kishk , " Mimi nimezaa watoto 2 nje ya ndoa nikiwa na umri 17 , na Sina watoto wengine mpaka SASA , na nimepandikizwa ukimwi , JE? kassim Bakari Bindo kigamboni ungindoni dar
Huo ni mtihan mzito sana.
Wanao ona ni kosa kwenye kichwa cha habari, tatizo ni uwelewa wa lugha. Keuzeni mupeleke kwenye Mafhuml mukhaalafa. Kuna kitu bora na bora zaidi,kuna khatari na khatari zaidi. Hata mtume swala na salamu zinfikie aliulizwa. Ipi dhambi kubwa zaidi? Akasema: kumshirikisha Alla... Akaulizwa tena kisha lipi? Akasema kuzini na mke wa jirani yako. Je na hili lieleweke yakwamba kuzini na mwanamke asie kua wajirani yako sio dhambi? Lá huo ni uwelewa mbovu. Kuna kitu alikua anafundisha hapo.
Alie andika kichwa Cha habr ndo anae makosa mana alivo Anza sheikh tofaut na alicho kiandika muandish hapo juu
Allah atuepushie na zinaa zinaa huleta ukafil
Solomon alikuwa na wake na vimada 1000
Bado alikuwa ni Mtumishi wa Mungu
Na unadhani Mungu alikuwa anafurahia alipokua akizini nao? mwisho ulikuaje?
@MariaShehemba watu hawawezi ongezeka kwa kuzaa watoto wawili. Dunia ina hitaji watu
Wanaume waowe Idadi kubwa ya wanawake
Allah atu epushe na hili zambi 😭
Atupe ufahamu molawetu tuwembali nazinaa
Ewe ya lab tuongoze pamoja na ambao umewaongoza na utujalie mwisho mwema 13:03
SubhanaAllah 😢😢😢😢😢.
Sheikh kamwaga unga.
Takbir
SubhanaALHA 😢 Pana nipa kelema Sinto faham Jeni hapo
Sikiliza maudhui usiangalie kichwa Cha habari hujasoma kiswahili vizuri itakuwa umepata F
𝔹𝕦𝕚𝕝𝕕𝕚ñg' 𝕥𝕙𝕖 𝕟à𝕥𝕚𝕠ñ
𝕜𝕚𝕧𝕚𝕡?
𝕜𝕧𝕡?
UPOONA MAKOSA KWA NDUGU YAKO KTK IMANI,..MPE UDHURU KISHA TAFUTA NAMNA BORA YA KUREKEBISHA
Acheni kuhararisha zinaa,, dhambi ya zinaa Iko pale pale hata kama umezini na nani.
Zinaa ni zinaa tu
haja halalisha tatizo hamuelewi
Je allah ana sema wala tazilu waazitan wizira ukhura na Kishki anasema tofauti?
Tupe hotuba za kupandisha imani shekh kichwa cha habari ni madhambi tu
Anasema Kwel Watu wana zini sna Kwel acha wakatazwee
Kichwa cha Habari na Maudhui yenyewe hayaFanani 😢
Iko sawa kabisa kwasababu Kuna watu wanapenda zinaa watapenda kujua 😅
Habari inaweza kuwa sawa ila inategemea na mandhari husika taarifa ya shweikh ingekuwa sawa kamaeingekuwa ktk darasa lakini kwa siku za mkusanyiko ambao unatumia vyombo vya habari hapo tegemea upotevu
Subhanallah
Yani kila kitu kinatoka kwa wazazi kinaanzaa kwa wazazi wetu 😢😢😢😢😢
Ewee Allah tueushe na itiqadi za kiwahabi 😢
Kichwa cha habari cyo sahihi hyo muandikishaj nae binaadam Ila sheikh yupo sahihi anasema n dhambi na haramu
BWANA YESU ASIFIWE WATU WA MUNGU
Ammin yaarabb
KWAIYO KUZINI UINAKUBALIKA IKIBIDI, HAWA MASHEIKH WETU BANA
Kama ni hivyo hange Sema zinaa... napia angesema inaruhusiwa hangesema ninafuu katika dhambi. Madhambi ndio yako katika dharaja nyingi
Innalilah wainnailahi rajiun rekebisha hiyo kauli hueleweki
Tukikatazwa tusifanye tunafanya ,lkn kichwa cha habari tu kinawatoa jasho tusikilize kwanza kisha ndiyo tuseme,maana ?????
Tumuombe allaha atukinge na zinaaa
Wanawake gani hao ?
🙏🙏🙏🙏🙏
takbir
Zinaa itabaki tu kuwa zinaaa wala hakuna ijtihdi ktka jambo la zinaa maana andiko la wazii lipoo ndani ya qur ani lenye kuonesha uzinifu ni haramu kwahiyoo unapotwambia kunauwafadhali kwenye uzinifu utakuwaa unaanza kuchanganyikiwaa 😢
Ondoa kichwa cha khabar kichwa cha habari cha dhalilisha uisilamu
SOMENII NA KUWENI ELIMU MUNAOSIMAMIA KAZI YA USILAMU KWASABABU MUNAPOTOSHA JAMII NA AKILI ZA WATU WENYE UPEO MDOGO ... SAHIHISHA MAELEZO YAKO HAYAKO SAWA KABISA KUZINI NI MIONGONI MWA MADHAMBI MAKUBWA KWAIYO HAKUNA UNAFUU WOWOTE
Hawa mashekh wengine sijui hii dini wanaichukulia vipi hii dini zinaa ni zinaa tu hakuna nyepesi wala nzito Mtihani na balaa la waisilamu hivi sasa kila mtu sheikh matokeo yake ndio haya
Zinna ni zinna please don't give people choice
Wabakaji wote iwafikie popote walipo katk huu ulimungu
hili ni gojwa la kila mtu
Zinaa ni zinaa tu.. Na uharam wake uko palepale
Ata Kuna hadithi mtume anasema kuzini na wanawake kumi wambali nibora kuliko kuzini na mwanamke mmojatu wajirani yako
Ata kiski alipo anzia amezunguza kama ilivyo andikwa kwenye kicwa cha habari 🇲🇿.
𝕞𝕒𝕟𝕤𝕙𝕒𝕝𝕝𝕒𝕙
Nikweli kichwahicho sivizuri kusema nibora kuzini nawanawake kumi kuliko huyu
unaonaje sasa mtu akachagua hiyo kuzini wanawake kumi baada ya kuhofia ukubwa wa kuzini mwanamke huyo.
Dhambi inakatazwa sio kusema bora kufanya dhambi hii
Dah! Ni mambo yanayoharibu nidhamu na ustaarabu wa Uislamu - kueka Picha za wanawake mbele ya sheikh anayelingania ,hivyo si uache picha ya sheikh yenye adabu zake ,watu hawa hawana chembe ya dini nao wapaswa kulinganiwa ni aibu
Mwandishi badilisha hiyo kichwa cha habari, hakuna zinaa bora kuliko nyingine
Muandishi yuko sahihi ila wewe ndio hujaelewa
Pose me ajuda I am from kenya
kwa sababu mumeharamisha ndoa ya mutaa , ambayo maswahaba watukufu waliifanya , kwahio hamna namna hapo
Salafi hamjui kusoma mna mashakayenu tu
Zinaa haina ubora iwe unazini na mwanamke au mwanaume gani zinaa ni zinaa! sijasikiliza hii clip lakini title ya hii video inatia kichefuchefu kusoma tu ina maana mmeshindwa kuweka title mzuri ya hii video! kwa wakati tulionao kwa title hii mnautia udoo uislamu.
Wewe hakuna zinaa ya afadhali usipotoshe watu kwa uchache wa ilmu yako
Ukiruhusu kusogelea mwanamke hata kwenda kusali misikitini tunaweka mashindano ya wanawake ya qur ani sauti mashule yakuchanganya boys nawanawake waislamu hatuna dalili tutengeneze imani za watu hijabu itasomeshwa yote tunaipita juu
Mungu atulinde na hiyo dhambiiiii
😂😂😂😂. Yaani hawa masalfi mambo yao y viojaa vitupuu wallahi
HUYO SIO SALAF! YEYE MWENYEW ANAJISEMA KUA HAYUKO KTK USALAF FUATILIA UJUE SALAF N NANI SIO KILA UMUONAE NA NDEVU N SALAF
😢😢
Hiyo ndio anuani yenyewe vp mwandishi abadirishe !
Nisaidie hata wewe maana mi ndio naonekana nmedanganya Wakati nimeandika kilichozungumzwa 🤣
Kuzini ni kuzini tu na ni dhambi kubwa ifuteni hio video
Hakuna zinaa bora!!! Zinaaa ni haramu
Ni kweli
Nurdin kawaida yake ni kupindua maana au ilmu yake ni ndogo
The miss understood religion siwafundishaji wala wasimamizi wa kazi ya dawa
Umeongea hovyo, kwann umeidondosha dini yako hivyo? Miss understanding religioun Ndio kitu gani
u Sound like ur Faith is gone Already,..
@@allywaziry6419 anaweza kuwa muongeaji yuko sahihi lakini ufikishaji ukawa si mzuri kiasi cha kumfanya muovu kuona wepesi wa maovu yake haya hebu angalia kichwa cha mada kilivyoandikwa ni sawa au mradi wapate viewers? Alafu wengine sio kila tunaposoma dini tuwe madai hapana lengo kusoma dini ni ujue kutekeleza ibada zako na matokeo ndio haya
Uislamu na kuzini mmehalalishiwa kwa kuwa na wake wengi!! Sasa mnalalamikia nini kwa kichwa cha habari? 😅
Wewe Una unachokitafuta,, "ushasema kuwa na wake wengi" kwa maana ni wake wa ndoa sasa unafananishaje na zinaa? Achana na yasokuhusu
@@ZuberiSaid-m6v Kelele ya nini Sheikh kesha kupa ruhusa ya kuzini na baadhi ya wanawake shida nini?😅
Weweee c ndio mnafanya bila ya aibu
Sas anakuomnyeni kwa kukwambieni
Bila hivyo vyooote hivyoooo ni zambiiii ni kama darja za pepo😊