Asante sana Muwekezaji Tajiri Mo. Furaha za wana Simba kwa usajili ulioufanya.....unaweza usione umewapa watu zawadi kubwa kiasi gani ya kufurahia club yao ya simba .....lkn juwa umegusa furaha za watu wa mpira hasa wapenzi wa club hii pendwa ya Simba. Yaani safi sana!
Umeuliza vyema kabisa,kwa sasa Mpanzu atacheza michuano ya caf ya shirikisho,itakapofika January mwakani wakati wa dirisha dogo la usajili viongozi watakamilisha usajili wa ndani ili sasa kushiriki ligi ya NBC
Asante sana Muwekezaji Tajiri Mo.
Furaha za wana Simba kwa usajili ulioufanya.....unaweza usione umewapa watu zawadi kubwa kiasi gani ya kufurahia club yao ya simba .....lkn juwa umegusa furaha za watu wa mpira hasa wapenzi wa club hii pendwa ya Simba.
Yaani safi sana!
Kama unafuraha kunizidi mimi gonga like hapa ❤💪🦁
Like za MPANZU zikae hapa atazipitia😂😂
Hii ndiyo Ubaya Ubwela Viva Simba Viva💪
Alie mchokoza boss wetu mo afanye haraka akamuombe msamaah mapema maaana hiisasa nibalaat simba sc 💪💪💪🔥🔥🔥🔥
Kabisaa
tena kimya kimya
Timu ya maisha yangu ❤❤❤❤
Karibu Msimbazi mchezaji we2 🦁💪
Mliofurahishwa na usajili wa mpanzu like za kutosha hapaaaaa
Eeeeeh mungu ibariki Simba nguvu Moja itimize maombi yetu ushindi mkubwa Kwa Kila wakati na Kila mechi Asante mungu
Amiina
🙏🙏
Amina
Amina, kwa jina la YESU.
I love you my simba sports club ❤❤❤❤❤❤❤
🎉❤❤❤❤
Nyuma mwiko wajipange. Ubaya ubwelaaaaa❤❤❤❤❤❤
Huu ni mwaka wetu wanasimba kurudisha furaha yetu iliyotoweka, Ubaya Ubwela daima❤❤❤❤
Mchomi roho inakuuma sana Elia atunae na tunatamba naeeeeee❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Simpendi huyo mtu
huyo mchome ni ana pipidiwa
@@Ajijji12kidudu mtu, watu wanauweza uchawa, Mimi hata post zinazomuhusu huwa sizifungui kabisa nikiona kwa nje napita zangu kule!!!😂😂🎉
Yule ni mbwa au afadhali mbwa ana akili anamzidi mchome
@@Ajijji12kabisa kunguni alafu ipo siku maneno exp atabaki na aibu
Inapendeza simba yetu❤
JAMANI CHAMA ANA AKILI SANA HIVI ANGEBAKI SIMBA ANGECHEZA NAMBA GANI
😂😂😂 Kiza kimeondoka, Maana alikuwa kama kashika roho zetu, wanasimba, hata huko alipo anajutia kuona Simba imepata vyuma 🎉🎉🎉🎉 haipoi, haiboi. 😅😅
@@carolinemasonga163Yani roho inamuuma
Kama unakubali chama letu bingwa like hapa
Pamoja sana simba nguvu moja
Material ya kiulaya ulaya mwepesi vibaya mnoooo🙌
Simba nguvu moja 💪
Tunae Ona lakini atuamini gonga like apo
ubaya ubwela simba raha❤❤❤❤😮😮😮
Hatariii
boss mo hongera sanaaa
Coastal Union mtachagua wenyewe kuzika au kusafirisha simba sc nguvu moja ❤❤❤❤
😅
Anafanya mazoezi kwani kaingizwa kwenye Unit ya kucheza ligi?❤
Ni Hyo siku utaskia susumizi kamuangusha tembo😂Azam tv burudani Kwa wote
@@SalimAbdallah-mi1wc sawa yangu macho na msianze kusema simba sc anabebwa 🤣🤣🤣🤣 coastal Union atapigwa kama ngoma
Yule cost ni dam yetu tutamchapa kwa pozi kama baba anavomwazibu mwanae, tusikaumizeee
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ Boss apokeee maua🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kwa linavyoonekana Tu NI jitu la Mali
Kama unaamini hivyo gonga like hapa
My team ❤❤
Simba ghafla imekuwa madrid🔥🔥🔥
Mwepesi kama.pepisi.ni.unyama❤❤❤
Woyooooo ❤❤❤❤🦁🦁💪🌹🌹🌹💕💕💕💕
Nice
Penda sana chama langu ❤❤❤
Big up mo dewji
coz simba's my life nimeamua kukoment kabla sijaangalia machine mpanzu ur wellcome bro🎉❤🎉❤🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
Ninafuraha kupitiliz❤❤❤❤
Thenx Mo❤
Kama wewe Simba kweli weka like
Mpanzu nguvu moja simba sports
Simba yetuuuuuuu
Hapo ilikuwa suala la mickson kurudi kwenye ubora wake na simba kufanya maajabu makubwa sana msimu ujao. Simba nguvu moja
Ewaaaaaa 💪🦁💪
Ubaya ubwela.Kuna watu wanateseka vibaya mno ila hawasemi😂❤❤❤
Safiiii!hii ndio tulokuwa tunaitaka wana simba,Piga kelele kwa simba yakeee!
Ndoto yangu imetimia simba hatr san yaan welcome elia mpanzu ubaya ubwelaa
Mashine ya kazi sipati picha akianza kusukuma ⚽rasmi kwenye mechi
nafulaha kuwa na kiungo kama Elie mpanzu tumpe hongela bos wetu MO DEJ lini ataanza kucheza
nitafurai kinoma❤❤❤❤❤❤❤❤mwaka uu watu wata tukimbia
Tunategemea atakuwa bora sana
Mleteni na Faisal❤❤❤
Mzee Masatu anasema Mo anyang'anywe begi la pesa😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Karibu mpanzu kwenye mapambano yaubaya ubwela Simba nguvu moja
Gonga like hapa kama umemuelewa mpanzu.
Simba nguvu moja ubaya ubwela 🦁
Simba❤
Simba nguvu moja
Daah nina furaha sana sema furaha yangu itazidi ntakapo muona Feisal salumu
Faisal choko tuu yule akae huko huko Azam hatumtaki unyamani
Elie mpanzu oyeeeeee hii ndio Simba bwana tena dume
❤❤❤🎉🎉
Pànshzuuuuu
Ubaya Ubwela 🦁🦁🦁🔥🔥🔥
Bosss katisha
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ubaya Ubwela 🔥 🙌
⚽
❤❤❤❤❤
Uyu mpanzu nilisoma nae namjua vizuri anajua boli kinoma Tena kipindi Bado tuko shule alikuwa golikipa
Mpanzu
Kama unafura kama mimi gonga like tujuane hapa
Simba govu Moja kalibu mwamba
Yaan tunangulia kupata magori mawili tunashindwa kuongeza tunasawazishiwa yote mawili Simba inaumiza sana cjui wachezaji wanaingia uwanjan wamebeti G/G ya draw
SIMBA ya mpanzu! Hapa SIO SIMBA tuliyokuwa nayo ya saidoo huu ni moto mwingine KWENYE soka
❤❤❤
Kwa kwanza kucomment
mnyaman kumenoga sasa
Hii imekaa poh sana
Udugu umala, ubaya ubwela. Undugu umeisha, ubaya umerejea. Hatucheki na vyura
❤💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Wa kwanzaa
Nipe like kwa ajili ya mpanzu
Hallo simba yamoto
Simba ubaya ubwela
Raha zetu zinazid kuwatesa wao😂😂😂😂😂😂
Tunahitaji kuwaona kwenye Gim kama tunavyowaona Edwin balua na M Hussein kwenye Gim
Naipenda simba mpaka kufa kwangu,ata nikifa naomba bendera iwepo
😂😂😂😂😂
unyama mwingu
HATARI
Nguvu moja
Sawa ubay
NDUGU WANASIMBA LAZIMA TUWE NA MASWALI SIO KUPENDA LIKE TU .MIE IAM ASKING,KAMA ANAFANYA MAZOEZI ANAFANYA MAZOEZI YA KUCHEZA LEAGUE AU FEDERAL?
Umeuliza vyema kabisa,kwa sasa Mpanzu atacheza michuano ya caf ya shirikisho,itakapofika January mwakani wakati wa dirisha dogo la usajili viongozi watakamilisha usajili wa ndani ili sasa kushiriki ligi ya NBC
Mashallah Allah Akbar umenisuza mutima wanga pokea maua yako 🎉🎉🎉🎉@@AdamChambo-mf4ek
❤️ALHAMDULILLAH❤️hili ni nuclear bom linasukwa hapa khatar kwelikweli UBAYAAA UBWELAA 🇹🇿 🇦🇪
Mchome atulie kama moja ubaya unaanza kuwaingia yeye na wenzake
Mama mama mama side kama side mbona huyu sasa anakuja kuongeza malalamiko😂😂
Samahann wana simba wenzangu nilitaka kujua je sasa uyo mpanzu ataanza kucheza sasa ivi au adi drisha Dogo lifunguliwe nilitaka kujua hilo
Duh nimefurahi sana jaman..ubaya ubwela
Simbanguvumoja
Hv atacheza mechi ya utopolo na makundi caf?
Nimemuona Kagoma moyo wangu kwatu
Wa wapi
Mimi na ombi kwa kocha faldu lardaki chasambi achezeshwe
Nafurai mpaka sijielewi