@@emmanuelmayunga1518hii itakuwa timu tishio sana maana Ina mipango endelevu na wachezaji wanajituma sana na kocha Yuko vizuri sana ila anatakiwa kuongezea ukali kwenye bumba vya kualia Ili wawe makini San ukitangulia kufunga lazima ulinde ushindi Kwa Hali na Mali.
Ayubu mzigoni 🔥🔥
Please coach help Chasambi ,he is one of the most talented player in Tanzania
for sure
Well comment
We wonder why why why fadlu Davis wants to Kill our best Young player chasambi why?
Mungu ijaalie simba yetu
Hakuna njia rahisi ktk mafanikio Sare ni sehemu ya matokeo ktk football
Vijana kama vijana hatariiii!🥰🥰🥰🥰
Hii simba naiyona kuja kuw tishio kubwa sana
Limd
Mungu ibaliki simba ishinde tarehe 19 zid ya Vs yanga
Ubaya ubwela mungu atabaliki
Hawa ni wateja wa yanga afrika tarehe 19 mnakula 20 mgawie wachezaji benchi la ufundi na Mo apate lake
Nguvu mojaaa
Jaman wasituchanganye sare siyo inshu watuache na simba yetu
Nani kaona kama mm kagoma,akimtwanga SGR kofi😂😂😂😂 kila la heri timu yangu ya simba katika mechi ya mtani simba nguvu moja
Ubaya ubwela Simba nguvu moja
UBAYA UBWELA
Sare sio shida shida ni imetufundisha nini
Ayubu❤❤❤😂😂😂
Manual Yuko wapi
Kwan cmba kutoa sare ni ajabu bacelona pia inatoa sare mbona hamsemi? Cmba ndio wanarogwa kwan uwongoo?
❤❤❤❤❤❤❤
Daa tunashukuru mungu ayub lakred amerejea
Tatizo kwamba nafasi za wageni zimejaa yaan Mpanzu kaingia nafasi ya mtu hapo kwahiyo lazima mgeni mmoja hapo apewe Thank you👋
@@issaibrahim8796mukkwaala byeeee take note
Kuna Kinzumbi bado
@@DavidSemu-gu6wp Kinzumbi hizo ni tetesi tu na kama bado atakuwa na kiwango kizuri Mazembe hawawezi muachia
Watu tutakuja kuwashangaza na hii Simba tuwaweke midomo wazi
Kwel kabisa hasa wale wachambuzi uchwara Oruma,Hans na Mkaraboko zuberi
@@emmanuelmayunga1518hii itakuwa timu tishio sana maana Ina mipango endelevu na wachezaji wanajituma sana na kocha Yuko vizuri sana ila anatakiwa kuongezea ukali kwenye bumba vya kualia Ili wawe makini San ukitangulia kufunga lazima ulinde ushindi Kwa Hali na Mali.
sana
Kwan wote hawa awajaitwa timu za taifa afu muanze Sema yanga wachawi
Ingekua kuendesha baiskel ndokushinda duh Wananchi tusingeongea: lkn sasa njon TU 19 mkutane na piddy dube! Awapiddy!
Wanajeshi wetu
Ellie Mpanzu
Mungu ijalie timu yetu ya simba 😊
Asie kubali kushindwa si mshindani
Ayub naona kapungua saf
Nitarudi kutoa comment tarehe 20
Mtaumiza miili yenu Bure,trh 19 mbili bila tunzeni hii post.
Ayubu
Si muwe mnanyamazaaa AISEEE kwani wachezaji watuwajuiii au ??? ACHENI ufalqqa
Mbona trh 19 mbali hawatacheza mchezo kabla ya hiyo mechi?
Nakubal
CHASAMBI AANZE MTALE atokee bench.
Wanaudhi sanaa kutoa sare na coastal Union
Kutoa sare ni jambo la kawaida kimpira hata liverkusen katoa sare na timu ilipanda daraja haya ni matokeo ya kawaida kabisa
Ulitaka atoe Sare na Nani?
That is football
Ndo maana kukawa na msemo wa tugange yajayo yaliyopita si ndwele. Wenzio tushasahau
Katoe sare na wewe kama unaona wamefaidi sana😂
Uyu ni mdogo wake mchome anajifanya ni Simba kumbe ni utopolo 🐸👈