Utunzi makini, waimbaji watulivu, studio bora! Kwa mara ya mwisho, wimbo huu ulirekodiwa na Kwaya ya Mt. Monica, Sinza, miaka ya 1990. Nakiri kwamba nyie mmeuimba vizuri, kwa kiwango bora zaidi. Mbarikiwe!
Kazi hii ni nzuri. Mmeutendea haki wimbo huu. Hongera sana Mpiga Kinanda Nereus, waimbaji, pamoja na Wadau wote mliohusika. Mungu azidi kutoa baraka zake ili kazi ya injili isonge mbele.
Another new hit 🎯 song in the world 🎉❤❤❤
Big up @bro Mutongore, @Dada angu Despina na @St. Padre Pio choir. Kazi ni nzuri sana 🎉🎉❤❤😂
@@emmanueldkulwa1824 Nakushukuru sana ndugu yangu. Mungu akubariki saana
Ile yangu Furaha kuu. Nakuomba Yesu ukae Moyoni Mwangu Daima. Hongeren sana wimbo Mzuri sana Tafakari ya Mbinguni🙏🙏
Hatari saaaaaaana❤❤❤
wimbozurii mnoo..
Bravo❤
Yesu Ni Mwema kila wakati ❤
Kazi nzuri sana,Mungu awabariki nyote
Hakika Yesu ni mwema. Hongereni Kwa kazi hii👏
Jesus is good n always good
Kazi nzuri sanaa. Mbarikiwe
Utunzi makini, waimbaji watulivu, studio bora!
Kwa mara ya mwisho, wimbo huu ulirekodiwa na Kwaya ya Mt. Monica, Sinza, miaka ya 1990.
Nakiri kwamba nyie mmeuimba vizuri, kwa kiwango bora zaidi.
Mbarikiwe!
@@AnsbertNgurumo tuiunashukuru sana. Uzidi kubarikiwa...
Wonderful performance
Kazi nzuri sana hii , hongereni sana 👏👏👏👏
Hongereni sana kwa kazi nzuri
Kazi hii ni nzuri. Mmeutendea haki wimbo huu. Hongera sana Mpiga Kinanda Nereus, waimbaji, pamoja na Wadau wote mliohusika.
Mungu azidi kutoa baraka zake ili kazi ya injili isonge mbele.
Yesu ni Mwema hongeren wana Padre Pio
napenda kupata download allowance, nataka kuidownlodad.
Unaweza download.
@@mutongoreprostudiosSioni kwa kudowload naona kuna "Save" tu 😂😂 lile neno "download" lenye mshale unaoruhusu kudownload halipo.
@@danieldotto3877 Download app inaitwa snaptube inapatikana google alafu utaweza kudownload vizuri
Wimbo mzuri,hongereni sana
Hongereni sanaaa kazi nzuri Sana mbarikiwe
I am blessed by this song courtesy of radio waumini,barikiwa sana B
illy Ndeda
Nice song
my farvorite at last
Hongereni sana kwa kuinjilisha, mpo vizuri sana.
Blessing song ...Thank-you