Wapenzi mnimba vizuri kuwamwili wetu ni hekalu la Roho Mt. Sasa acheni kunajisi kwa kuweka nnywele zabandia tafadhali. Mnanifirahisha sana kwa sauti zenu tamu sana.🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️♻️♻️♻️✨️✨️
Kaka utunzi wako una ujumbe mzito hasa kwa vijana.#jitume na huu pia ni bora zaidi. ❤❤❤❤ Your major thematic areas are the emerging and trending issues. Sasa leta utunzi juu ya fikira na madawa ya kulevya. Vijana wengi wanajitoa uhai sana ....tutie moyo na nyimbo zako pia kaka
Finally nimeupata Huu wimbo God bless those voice
@@irenewanjiru8635 hongera na karibu sana
Hongereni kwa kuinjilisha vyema❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Amin❤
Kaka mwita ntakutafuta weekend hii tukale nyama choma😂😂...hii ni ya motooooooo
Sauti nyororo
My favorite channel ❤❤ napenda utunzi wako Isack be blessed ❤🙏🔥
Hongera sana kaka kwa ujumbe mzur ❤❤❤❤❤❤
Asante sana
Isaak wewe nakupenda bure tu kakangu ❤❤❤❤
Asante nakupenda pia
Ooh waoooo.... amazingly beautiful.
Ujumbe mzito sana.... asanteni sana.
Ni tafakari tosha...mwili wangu ni hekalu❤
Daaah Mungu akuzidishie zaidi na zaidi daima taranta yako izae Sanaa kaka mwita nyimbo imenibariki sana 🙇🙇🙇
Blessed mwalimu Izack Mungu azidi kukuongoza vema ufanye kazi ya Mungu vema
Amina sana mkuu
Fantastic 😍
Wapenzi mnimba vizuri kuwamwili wetu ni hekalu la Roho Mt. Sasa acheni kunajisi kwa kuweka nnywele zabandia tafadhali. Mnanifirahisha sana kwa sauti zenu tamu sana.🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️♻️♻️♻️✨️✨️
Kazi Nzuri sana tuzidi kuukuza music wetu injili ifike mbali watu wapate kufunguliwa wapate habari njema ya wokovu 🙏
very nice good job kaka mungu atukuzwe Kwan muziki mtakatifu
Voices 👌🏻👌🏻n the song iko lit on fire 🔥🔥🔥 injili ienee visit our parish
Wow
kazi nzuri muziki mzuri
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 splendid!
Safi saana. Mumeimba vizuri saana . 👏👏
Asante saanaa
Sweet and beautiful 🎉
Thank you! 😊
Amina wimbo nzuri sanaa ahsant kwa kutuinjilisha vyema🎉
waoo hongera sana PRO STUDIOS CHOIR, wimbo mzuri kazi nzuri sana
I am on the chorus, the harmony is awesome keep it up.
Thanks for listening
Nimebarikiwa na ujumbe pamoja na uimbaji went Mungu awabariki
Hongereni sana , Tunashukuru kwa ujumbe mzuri kupitia wimbo
Umeluka miamba ..milima na mabonde nihakiyaki kumtukuza yeye pekee
Kabisa kaka
4:03
Baraka baraka sana juu yenu.
💯.
Mwaka 2024 Pro mnatukimbiza sanaaa 😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
Ndio kwanza kumekucha
Kwakweli
Mbarikiwe sana,utume uliotukuka,endeleni kutuinjilisha 🔥🔥🔥
Hongera sana Pro studios mnatishaaa
Tunalushukuru sana
Kazi safi kaka Mwita...
Amina sana kaka
Kazi yamikono yenu na ibarikiwe na kuwabariki wale wote wanao waskiliza🎉❤
Mźiki mtamu sanaaa....hongereni
I'd wish to sing a Mwita song.....I just love them all....God bless your talent ❤
Kazi safi sanaa jamni Mungu azidi kubariki kazi yako
Amina sana
❤nice composition
God bless you all
Bass❤
Hongera KAZI Iko poa
video pia nzuri sana hongereni
Shukrani saaana
Ya moto 🔥🔥🔥
Kazi nzuri
Shukrani saana
Enokwi abhe hamwe nabhwenyu bhanto bheito,eghaasi inchiiya❤❤
Wonderful❤❤❤❤❤
Thank you! Cheers!
Amina sana 🙏🙏
❤❤❤one for the god
Waoooo❤
Mungu awabariki Sana kwa KAZI nzur ya kumtumikia mungu
Kibao kitamu. Hongera mtunzi, Mwita na waimbaji wa Pro studios
Amina 🙏mkuu
Kaka utunzi wako una ujumbe mzito hasa kwa vijana.#jitume na huu pia ni bora zaidi. ❤❤❤❤ Your major thematic areas are the emerging and trending issues. Sasa leta utunzi juu ya fikira na madawa ya kulevya. Vijana wengi wanajitoa uhai sana ....tutie moyo na nyimbo zako pia kaka
Amina kaka tuombe Mungu atupe kibali
Sio tu vijana hata wazee na wale ambao sio vijana ,maana Mungu anapenda usafi wa moyo ,
Kazi bora sana
Kuimba raha sanaa, mbarikiwe
Amen
Wow ❤❤ nabarikiwa na nyimbo zenu Mbarikiwe
Ubarikiwe zaidi na zaidi
@@mutongoreprostudios AMINA
Nice.
This choir❤️❤️❤️🙏🙏🙏
Safi sana
❤
Glory Glory 😇😇
Yaani inani bariki sana
Babaa hii hatari sanaaa
Good job
Usiunajisi.🙏
Waooooo waooooo... What a great song wana Pro. Wah
❤❤
Amazing ❤❤❤🎉
Kazi nzuri sana
Kazi nzuri sana