Thomas nae mpuuz ameshndwa hata kucklza mwenzie na almsubr miaka yote bla huduma wanaume wanatabia za ajabu sana makosa wafanye wao wakfanya wanawake ndio waovu hay ndio yalmgharim Deo.
Hapa viatuu viko tele kila nb mm navaa chahuyu aliechezewaa na huyo tajiri wakijiji halafu amemuachaa hii inauma asikuambie mtuu..huyu rama amemfanya mkewake amechelewaa kutibiwaa hakika huyu wifi atakakua nakisasi kweli kweli waombee apate mtoto lasivyoo hakuna amani hapo
Wakwanzaa jmn mbn sipati like za kutosha wadau 🎉🎉
😮🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤🔥🔥💃hii aina ya mapenzi kati ya Vena na Nice ni mpya🤣🤣🤣🤣
Ayaa mkujeee❤😊
Wow MashaaAllah mpya hiyo ya kiaru kulikoni shukran kaka Lucas ❤❤❤
❤❤❤🎉 mpya
Wa 2
Khaaaaaiiiii dakika moja tuu mkoo zaidi ya kumii dooooooooh mkoo vizuri watuu amfanyii kazii eh
❤❤weweeeeee kitu kpyaaaaa kwa hewani aiseee Lucas lumbas Mungu aibaliki kazi ya mikono yako🤲💖💖🙏
❤❤❤🎉🎉
Na yangu je😂😂😂😂
😅😅hicho kiatu
Wakwn̈za 😂😂
Kazi nzuri kaka listening from Kenya much love
Wa pili hapa uwanjani
Nimewai❤
Asante sana Kaka Lucas
Ila uliahidi kutuletea chichi part 2 mbona hujaileta
Itafute UA-cam utaipata iko umo weye andika tuu chichi
Wapili jmn❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Haya jamaniii KIATU HICHO KIATU LINANINI HAYA TUNASIKILIZA HAPA ILI TUJUWE ITAKUWAJE HICHO KIATU🎧🎧🪑🪑
Jamn ckuiz mm nakua WA mwishoni 😢 like zenu vpnz 🎉❤
Jamani mm naomba like zenu kila siku naweka mm tu😢
Kiatyu ety asante kaka lucas kwa kityu kimya❤❤❤
❤❤❤🎉🎉
❤❤
Kiatu kina ninini tena? Ngoja tuone🎉🎉🎉🎉
Kina na mambo yakeeeeeee
Asant San kak tuko pamoja
Wa kwanza❤❤❤🎉🎉
wa7❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
❤❤❤🎉🎉
🙏🙏🙏🙏🙏🙏@zenaathumani8144
Dah😢😢😢😢
Simulizi ya KIATU ni nzuri yenye kufundisha na kuelimishaa pongezi ziende kwa Lucas lumba ❤❤❤ pole sana Alex kwa kufiwa na wazazi inaumiza sana 😢
Nime wai Leo ataaa 50 badoooo
🎉🎉🎉
Kuchelewa ndio kufika kaka lucas lumbas 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
❤❤❤
Duuh kiatu kina nini jaman🎉🎉❤❤
Allah Akbar mwoto ungine unataka kuwaka sijui itakuaje?? Mwalimuwetu Ongera🎉🎉🎉💕💕💕
Wale wa kulike macoment na kuread tumeingia na kama hajapata like yangu usema 😅😅
Moyo wa dhahabi
@FatimaRamadan-s4f si moyo wa dhambi ni wa shetani
@@هايلينل 😀😀😀
Umasikini uraniwe Tomasi umekosea utakuja kujuta mujifunze kumusikiriza kiricomusibu mwenzio Tomas umeniudhi nibasitu😭😭😭😭🙏🏼🙏🏼🙏🏼nagushukru mwalimu wetu lakini usidufanyie karekamucezo Alex n'a Tunu yasiwafikie yariomukuta dada wa Tunu ntarudi badae
Kiatu tena akili zetu ziko kwa Deo na Watoto😃😃😃
wamwisho.
Kitu kipya haya twende nalo kiatu 🎉🎉🎉❤❤❤
🎉🎉
Mbona si bedroom ahh
😢
Ni tamu sana 🎉🎉
Chezeya alex😂
Hii KIATU inaonekana ni kiboko, asanteni sana Asiah na Lucas❤❤🌹🌹🥀🥀🎋🎋🔥🔥💃💃
Thomas nae mpuuz ameshndwa hata kucklza mwenzie na almsubr miaka yote bla huduma wanaume wanatabia za ajabu sana makosa wafanye wao wakfanya wanawake ndio waovu hay ndio yalmgharim Deo.
Kiatu changu kimefanya nn?😅😅😅😅😅
Kimenukia 😂😂😂
😅😅kinanuka
Nice simulizi kaka lukas
Hizi ligi zimechosha kushabikiya mwishowe ligi inabadilika mimi hapa niko mpenzi mtazamaji tu yangu macho🤓🤓🤓kufurahiya utamu wa ligi au simulizi😂😂😂❤❤
🎉🎉🎉🎉 kanzi nzuli lukasi lumbasi
Enheee haya sasa bro kiatu kinani!
Ok wacha🎧
Akuu sutaki kiatu changu tuu kina bana paka nashindwa pakupumulia vyao nitaviwazajee😂😅😊
Wakwanza jamani likes zenu 🙏🙏🔥🔥
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@EsterSayi-s1q 🙏🙏🙏❤️❤️🎉
Nimekuona
Niko ndani na sitoki ❤❤❤
@FaithPeter-j4w nakuona na mimi ciao 😘😘😘😘
Nice
❤❤❤🎉🎉🎉😂😢51
Sehemu ya pili lini ety
Kiatu cha iyna ni kizito mna hakivaliki 😢😢
Wallah sijui kwanini nachelewa ivi😢😢 anyway kikubwa imenifkia 🎉🎉❤❤
Wa 62 nawapenda ❤❤🎉🎉
Mama Toma nae amezidi ubinafsi tu, kumtafutia mtu mchumba bila kutumwa kwani ni gunia la mahindi hilo
Hii tabia ndio maana wanabebeshwa watt wacokuwa wao unamuamn m2 bla kujuwa nae anakuwa na Tamaa wanayaponza.
😮😮😮😮😮
😂😂
Wamwisho ila nimefka jamon nzur san jamn
Jmn tumalize kwanza bedroom 😞
Hapa viatuu viko tele kila nb mm navaa chahuyu aliechezewaa na huyo tajiri wakijiji halafu amemuachaa hii inauma asikuambie mtuu..huyu rama amemfanya mkewake amechelewaa kutibiwaa hakika huyu wifi atakakua nakisasi kweli kweli waombee apate mtoto lasivyoo hakuna amani hapo
👍🙏
Kaka Lucas ungetupatia mwendelezo wa bedroom kwanza😭
Muendelezootafadhali
Like kwangu jamani maana leo nmerauka😅😅😅
ila kaka Lucas ALEX sjuw kakufanyaje unampenda katika simulizi zako😅😅
Simulizi ikiwa na wausika wengi haipendez mana aieleweki vizur
😅😅hii simulizi naona wahusika wanajichanganya kama viungo vya biryani 😂😂❤Lucas mm nasubiri kijani iwake🤣
😂😂😂❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤