SIMULIZI MPYA - RIGHT CHOICE / DEAR HEART

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 270

  • @ankojay_
    @ankojay_  7 місяців тому +117

    MOVIE NITAKUWA NAZILETA HAPA HAPA KWENYE CHANNEL YANGU HII YA ANKOJAY SIMULIZI

    • @MoshiMoshi-qy8dq
      @MoshiMoshi-qy8dq 7 місяців тому +11

      Mungu akubarik handsome wetu🎉🎉🎉🎉

    • @Linet-gu8jv
      @Linet-gu8jv 7 місяців тому +9

      Hongera sana leo mm nimekuwa wa 31

    • @Linet-gu8jv
      @Linet-gu8jv 7 місяців тому +12

      Naombeni like hta moja leo wadau wangu

    • @agnesagnes5288
      @agnesagnes5288 7 місяців тому +7

      HONGERA XN ANKOJ 2PO NYUMA YAKO MBK U2CHOKE MWENYEWE 😂❤❤❤

    • @Mupawarda-gj9qo
      @Mupawarda-gj9qo 7 місяців тому +6

      Nice ❤❤❤❤

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 7 місяців тому +6

    Aaaah,sauti wa kinara wetu anko j imekaa mkao,imetuliaaaaa,asante kwa ukaribisho

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 7 місяців тому +15

    Wawooo anko umetuamulia masimulizi kweli nikila leo Yani tunakuombea afya njema tuna kupenda bule🌹🌹🌹🏃

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 7 місяців тому +10

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤Ahsante Anko jay kwa kigongo kipya tunaenjoy,,bila kumsahau mwandishi wetu mahiri Babie love ❤️

  • @marry-dh9bm
    @marry-dh9bm 7 місяців тому +25

    waoooh ankojey unajua kufurahisha lakini wanafamilia wako hampendi kunipa like zenu nawaombeni ha kwa leo tu mtakuwa mmenisaidia sana

    • @سعيدة-ت8ذ
      @سعيدة-ت8ذ 7 місяців тому +3

      ❤❤❤🎉

    • @jambo_safari
      @jambo_safari 5 місяців тому +1

      "Baada ya kusuguliwa kidoogo mwili ukawa mweeeeeeeepesi" 😂

  • @reginarichard3349
    @reginarichard3349 7 місяців тому +4

    Dear Heart Mungu akuzidishie 🙏 ❤️ Shukrani sana ancle na Baby love Kwa hii story nzuri sanaa🙏🙏😍😍

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 7 місяців тому +9

    Pole dada Candy Mungu yupo na wewe!! Ipo siku.

  • @mercymathias
    @mercymathias 7 місяців тому +14

    Penda saan ankoy jay nipen like zang

  • @MariamJuma-o9z
    @MariamJuma-o9z 7 місяців тому +7

    Anko jay hii simulizi Waallah imenikumbusha wakati wangu so nice haki wanaume waxha tu ndioo Asante sana but for how l a cool much ❤🔥🔥🔥🔥🔥💯💯🙏shukran sana

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 7 місяців тому +6

    Ahsante bwana anko Jay simulizi ❤❤❤😂😂

  • @usterbae
    @usterbae 7 місяців тому +5

    Kazi nzuri sana ankojay tunakupenda sana❤❤❤

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 7 місяців тому +7

    Salute kwa dada wetu babie love na msimulizi Anko jay mapesa kwa kitu kilonyooka .yaani hamna kupindapinda❤❤❤❤

  • @YasintaHongela-j4s
    @YasintaHongela-j4s 7 місяців тому +11

    Babie love huwa na mambo mazito mno Asante Ankoj Tuko pamoja

  • @MishyYusuph
    @MishyYusuph 7 місяців тому +5

    Ahsante sana Anko kwa simulizi yetu hii nzuri, usisahau bado tuko pamoya, Ankoo much love ❤.

  • @MarieNgabo
    @MarieNgabo 7 місяців тому +11

    Mimi Jo Wa mwisho kabisa nipeni ata like Moja jamani

  • @Rummy4871
    @Rummy4871 6 місяців тому +3

    Leo nimejikuta nachekacheka tuuuuu
    Had naulizwa shida nn nikajib Anko j
    Jaman Anko J salute zako so kwa hii sauti nice story from babie❤❤❤

  • @Mungumwema-g9p
    @Mungumwema-g9p 7 місяців тому +3

    Ila nimejifunza kitu sana ukipigwa tukio ukibahatisha kutoka usirudi jmn watu tumepigwa na vyuma jmn uwiii yaan Kuna muda unaweza mpata mtu sahihi wakati moyo ulishachoka unajua upoupo tu moyo ulishavunjika mtu anangaika kufanya uwe na furaha lakini wew haumo yaan haumo Mungu tusaidie

  • @JaneSanga-b5n
    @JaneSanga-b5n 7 місяців тому +11

    Na me naomben like jamn

  • @mariam-yw3nn
    @mariam-yw3nn 7 місяців тому +13

    Mimi nimewahi leo hata like

  • @ReginaMwenzelatifah
    @ReginaMwenzelatifah 2 місяці тому +1

    Asante sana anko jay simulizi nzuri tena yenye mafunzo

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 7 місяців тому +6

    Walahi hii simulizi nitamu sana mwenyeameandika amejua kuipangilia❤🇰🇪🇰🇪

  • @vailethmwakipesile6698
    @vailethmwakipesile6698 7 місяців тому +7

    Baby love hongera San ❤❤❤anko jay

  • @carolinemwakagali3909
    @carolinemwakagali3909 7 місяців тому +4

    Jamani leo nmekuwa wa kwanza 🎉🎉🎉🎉 wow 👏👏

  • @NadzuwaGofwa
    @NadzuwaGofwa 7 місяців тому +8

    Ankojay mungu akuzidishie maisha marefu

  • @nchidabajuma9401
    @nchidabajuma9401 7 місяців тому +5

    ❤❤❤❤hongera mashabiki wa anko jay

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 7 місяців тому +9

    Wacha niseme nimekuwa namba 1🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AsghjuAljhygf
    @AsghjuAljhygf 7 місяців тому +6

    Tupo pamoja 🎉🎉🎉🎉

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 7 місяців тому +4

    Kazi nzuri kaka,listening from Kenya much love.

  • @TumuhamzaHamza
    @TumuhamzaHamza 7 місяців тому +3

    Nani anpnda anko jey always yuko kwenye umbea bnfsi npnda hyo aly yni uwa naenjoy nakuchka pkyngu kma mweu anko jey mungu azd kukubrki mtu wangu yani maupndo km yot❤❤🎉🎉🎉

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 7 місяців тому +8

    Katika maisha haya usimdharau mtu kwani hujui atakufaa vipi hapo baadae ,tena ishi na watu vizuri na uwaheshimu hata wale ambao wanaonekana kama hawana heshima ama hawafai kuheshimiwa kwani upo wakati watasimama na wewe na kukufanya kuwa wewe ni wamaa sana katika maisha yao

  • @emathumani2901
    @emathumani2901 7 місяців тому +5

    Nilishawaambia kuna mambo motoooo❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Fatmakarume-n1x
    @Fatmakarume-n1x 11 днів тому +1

    🎉 zawadi yako iyoo

  • @نظيفهخالد
    @نظيفهخالد 7 місяців тому +10

    Haya jaman wale wa uck tujuane hapa kwa Like hata 5 tu

  • @CeciliaChuwa-q2k
    @CeciliaChuwa-q2k 7 місяців тому +2

    Asante sana babilove nimeinjoi sana kweli tamaa mbaya sana mvumilivu hula mbivu

  • @hidayamanda-gk7nf
    @hidayamanda-gk7nf 7 місяців тому +3

    Mh ankojay leo kaamuwa kwakwer ❤❤❤

  • @NeemaLugoye
    @NeemaLugoye 7 місяців тому +5

    Watu hatuchekewi jamani? Sante sana Anko jay Mungu azidi kukutia nguvu Katika kazi zako nzuri zenye mafunzo.

  • @sophiahassan-kn7ov
    @sophiahassan-kn7ov 7 місяців тому +5

    Bby love wetu tunampenda 🎉🎉🎉🎉

  • @husnamwinyi8295
    @husnamwinyi8295 6 місяців тому +1

    MashaAllah mtunz uko vzur hongera babie love msumlzi nae uko juu y hewan Anko Jay mungu azdi kukubrki

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 7 місяців тому +16

    NIMEWAI LEO AISEEEE NIPE LIKE HATA TANO NITASHUKURU XN..ANKOJAY BARIKIWA XN ❤❤

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 7 місяців тому +2

      Pamoja🌹🌹🌹🏃

  • @JessyPrincipal
    @JessyPrincipal 7 місяців тому +3

    Whoooozaaaah 🕊️🕊️ Leo nimewahiii

  • @emathumani2901
    @emathumani2901 7 місяців тому +8

    Hata kwenye move tumejaa huko

  • @apolinalydia6830
    @apolinalydia6830 7 місяців тому +9

    Anko jay hizi siku una tu nyima sana huondo 😢

  • @madawakemikali776
    @madawakemikali776 7 місяців тому +2

    Lol! Candy that's great.....mbona kama ni stroy yangu jamani....ila dunia tunayoishi watu wema ni wachache mnoo...

  • @mourine-o3
    @mourine-o3 7 місяців тому +8

    Anko mwenye sura yake mjini,🎉🎉🎉🎉🎉

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 7 місяців тому +2

      Katika ubora wake kijana wa watu hana mbaa mbaa mbaaa

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 7 місяців тому +2

    Jamani jamani mungu ni mwema siku zote kwa kila mtu hapa Duniani

  • @NadzuwaGofwa
    @NadzuwaGofwa 7 місяців тому +12

    Babie love huna baya mungu akubariki

  • @AnethKabogo-so1qw
    @AnethKabogo-so1qw 7 місяців тому +9

    Wakwanza like zangu naombeni

  • @saumuhamisi9285
    @saumuhamisi9285 7 місяців тому +6

    Tunasikiliza Ankojay ana movie simati. Thank you

  • @NancyMmbone-gh9kg
    @NancyMmbone-gh9kg 7 місяців тому +3

    Anko jay twakupenda sana,simulizi zako ni tamu, movie zako ni tamu,,sauti zako ni tamu na bilashaka wewe nimtamu❣️❣️💋💋

  • @maseleenaesleen8149
    @maseleenaesleen8149 7 місяців тому +4

    Huyu ndo ankojay tuliyemzoea xx wakutupakulia vitu 😂😂❤❤

  • @LyidiaSilayo
    @LyidiaSilayo 7 місяців тому +2

    Nimempenda sana candy ni mwanamke na nusu kwanza ana msimamo mathubuti ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @ZeynepZyna
    @ZeynepZyna 5 місяців тому +3

    Namimi nasubiri wakati wa mungu ufike maana sio kwa haya ninacho pitia l love you Lucas nimetubu mimi

  • @MutoniwaseMamyblaq
    @MutoniwaseMamyblaq 7 місяців тому +6

    Leo nimekuwa wakwanza

  • @fatumahaji-ei5hk
    @fatumahaji-ei5hk 7 місяців тому +3

    Pamoja anko wetu

  • @shaklamwai7868
    @shaklamwai7868 23 дні тому +1

    Asante anko jay ❤

  • @OrnellaLweso-r7o
    @OrnellaLweso-r7o 7 місяців тому +1

    Asante sana anko jay kwA simulizu tamu yenye mafunzo mengi ndaniake mungu akubariki sana anko wetu akupe maisha marefu sana thank you so much ❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏

  • @AngellaNdambuki
    @AngellaNdambuki 7 місяців тому +2

    Nimechelewa sana❤❤❤

  • @FizzaNdikumana
    @FizzaNdikumana 7 місяців тому +3

    Wakwanza jameni 🎉

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 5 місяців тому +1

    Nice story be blessed anko Jay wetu kipenzi thank youuuuuuu so much 💞❤❤❤🎉🎉🎉

  • @joyfayla12
    @joyfayla12 7 місяців тому +4

    Wakwaza leo jamani 😢

  • @ThurayaAlsuwedi
    @ThurayaAlsuwedi 7 місяців тому +1

    Very nice Kwa video unclejay

  • @Amina-rg2xb
    @Amina-rg2xb 7 місяців тому +2

    Hongera ank jay

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 7 місяців тому +2

    Tupe mazur ss tuinjoi ako jay ❤❤

  • @BethMdoe
    @BethMdoe 7 місяців тому +4

    Ni vzur tu anko

  • @SofiaKhamis-ol1bn
    @SofiaKhamis-ol1bn 7 місяців тому +1

    ❤❤🎉🎉🎉🎉nimewahi pia kiasi

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 7 місяців тому +3

    Candy huyu kweli akili zake anazijua mwenyewe

  • @VictoriaFuka-iz6fi
    @VictoriaFuka-iz6fi 6 місяців тому +3

    Ankojay no one anaeweza kukufikia kwenye kusimulia str una act like wahusika wenyewe i really like ur story

  • @AAa-it7nx
    @AAa-it7nx 7 місяців тому +6

    Narudi badae namalizia Davina maana imefika mwisho

  • @زينزوادي
    @زينزوادي 7 місяців тому +1

    Tunakupeda baba usijali❤❤❤❤

  • @nuriatqueen5575
    @nuriatqueen5575 7 місяців тому +11

    Sijacelewa 🪑namimi 👩‍💻leo jamani naomba like zenu please 😊💛🫡🫡

  • @AishaHussein-w5c
    @AishaHussein-w5c 3 місяці тому +3

    Hii simulizi nizuri ya mwandishi Babie love❤ Dear Heart nafurahi uko sikiliza simulizi anko jay nime penda sauti yako king 👑nafurahi uko wamweye Familia ya anko jay na zani Ina simulizi yenye mafunzo migi 🎉🎉🎉

  • @Shadia544
    @Shadia544 7 місяців тому +25

    Haya jamaniii DEAR HEART 😢 HAYA HUYO CANDY KAFANYANINI TUNASIKILIZA HILI LIKE 10 TUNAOPENDA MOVIE ❤

  • @Cynthiaigiraneza-qd8lr
    @Cynthiaigiraneza-qd8lr 7 місяців тому

    Anjo umetisha nimecheka sana simulator nzuri sana

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 7 місяців тому +2

    Huyu ni mwanaume wa kwanza ktk simulizi nilizosikia za anko jay kukaa karibu na mwanamke na asimchokonoe,,asimpekeche,asimkoroge,asimjegeje

  • @Reemysidimaojo
    @Reemysidimaojo 7 місяців тому

    Mungu akubarki sna sis mungu akuzidishie roho ya utu lnshallah 🎉🎉,ankojay Asante kwa simuliz tama na ya mafundushi

  • @firotemanirakoze4505
    @firotemanirakoze4505 7 місяців тому +5

    Tupo pamoja Ankojay leta hizo movies tutakusapoti

  • @FatumaHamisi-sr6yj
    @FatumaHamisi-sr6yj 7 місяців тому +3

    Wakwanza leo mapema dear heart ❤️🪑🎧

  • @Polite901
    @Polite901 7 місяців тому +2

    Hahahahahahha, Anko Jay wewe, yaani nimecheka sana,na ukitazama Tena nipo single jamani😂😂

  • @janetkazungu7795
    @janetkazungu7795 7 місяців тому +7

    Nimewahi leo nipeni likes zangu ❤

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 7 місяців тому +2

    Wengine awana moyo kama uwo wakwako🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 7 місяців тому +1

    Waooooh Anko J mapesa japo nmechelewa ila siyo mbaya ngoj tusikilize Anko hataki tulale 😂😂😂

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 7 місяців тому +2

    Baby love ktk mambo yako na kinara wako anko j,simulizi wapate huku huku you tube shenzi zao wanaokutaman kijana wa watu mwenye yake

  • @HappykariaKaria
    @HappykariaKaria 7 місяців тому +6

    Mbon candy na rahim wa meet us😊

  • @ivymuna553
    @ivymuna553 7 місяців тому +10

    Wakwaza leo like zenu wapenzi ❤❤

  • @anunalamin6472
    @anunalamin6472 7 місяців тому +2

    Mhhh anko j bana ati utelezi😂😂

  • @RehemasiryaKabahasha
    @RehemasiryaKabahasha 7 місяців тому +3

    😂😂😂 Ila anko ww unajua kutufurahisha khaa sikwakujisifu uko, I wish one day ututembelee mombasa mashabiki zako

  • @Elizabeth-cz9ys
    @Elizabeth-cz9ys 7 місяців тому +8

    Leo umeamua

  • @KaviraDivine
    @KaviraDivine 7 місяців тому +7

    Atimaye nikuwa sa 78 dhaaaa ila kwa lissa nigekuwa wa mwisho

    • @agnesagnes5288
      @agnesagnes5288 7 місяців тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣 walai Binti Lisa nitamu aiseeee

    • @KaviraDivine
      @KaviraDivine 7 місяців тому

      @@agnesagnes5288 na ndomana nikesha mara tatu siwezi kuwa kwanza

  • @anoldminja8901
    @anoldminja8901 7 місяців тому

    Ankojay umetisha...yaani ni mwendo wa kuenjoi tu

  • @rhamarahma1188
    @rhamarahma1188 7 місяців тому

    , 😂😂😂😂ila Anko🎉🎉🎉unaweza

  • @jokhajj
    @jokhajj 7 місяців тому +2

    Babie love❤❤

  • @mumbikibathi7036
    @mumbikibathi7036 7 місяців тому +3

    Mumbi Wa Naivasha ako Ndani Ndani

  • @PhoebeWafula-d6c
    @PhoebeWafula-d6c 7 місяців тому

    Hii tamu jamani simulizi hii tamu sana jamani akojay mapesa part2kama hii achiya ❤❤

  • @jamilanahimana-wc4nd
    @jamilanahimana-wc4nd 7 місяців тому +2

    Uyu candy na rahim ni meet us😂😂😂😂 asante san anko jay

  • @NancyKahindi-t2v
    @NancyKahindi-t2v 7 місяців тому

    Much love from this side ❤❤

  • @JosephineRobert-s8m
    @JosephineRobert-s8m 7 місяців тому

    Nimeipenda kwakweli ishi na watu vizuri uvae viatuu

  • @prettyjenny-b2j
    @prettyjenny-b2j 7 місяців тому +1

    Mambo ni moto

  • @Rukiaikrima
    @Rukiaikrima 7 місяців тому +4

    Nyiee hawa ni wale wapendanao wa meet us au basi natania tu jaman😂😊

    • @Ukhtytifah
      @Ukhtytifah 7 місяців тому +2

      😂😂😂Nikajua mm tu ndo nimewafikiria kina meet

    • @ZenaidaDaniel-r9d
      @ZenaidaDaniel-r9d 7 місяців тому +1

      🤣🤣hata mm niliwaza hivo maana nilivosikia hayo majina 🥰🥰🥰

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 7 місяців тому +1

    Nkt anataka kendi ajitunze yet yeye anataka kuoa bibi mwengine huu ni ushetani gani jamani😢😢yani ata hakujali mtoto wake na mpenzi wake

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 7 місяців тому

    Hatariiiiii,hatari hatariii nyumbn kwa Roman