Inasikitisha mno bro hata kama Marietha alikosea lakin hakupaswa kulipwa haya. Ila hatuwezi jua Kwan ili dhahabu ing'are lazima ipite kwenye moto. Marietha Mungu akuvushe salama❤
Kweli minaamini Vile watu wanasemeka wazazi wako wakiwa hai kila mutu atakupenda sana, lakini wakiondoka mwahii dunia mwenye alikuwa anakupenda atakuchukia ! Pole sana dada yangu Mungu ndiye anaye tetea yatima
Hakuna jambo linauma san km kupoteza wazazi ote kwa mpigo hii huuma san dah 😭😭😭😭 Shangaz shangazi hiv tunanini sie nawatoto wakaka zetu 😭😭😭 imekua vingum kusikia shangazi anaupendo 😭😭 nimelia kwel Mungu atusaindie wanawke🤲
Zatima ukipata maisha mazuli umutafute huyo mtoto Joanna maana ulimulea kwaupendo wa kweli na alikufanya utabasamu na alikupa ujasiri wa kupambana ❤❤❤❤❤❤❤❤ vilevile huyo dada wakazi atakuja kuumbuka ila huyo Mme wa shangazi yako lazima ashitakiwe na huyo shangazi yako pia.
Nilikuwa nimemixx love story yna jn nimetoka kuwazia kuskiliza love story iliyojaa madrama nacomedy eety Leo nameingia t kwny channel yabroo Lucas nikaikuta sijw aliota 😅😅kwamba kunashbiki yake kamixx ivi vit daaah broo ❤❤❤ mung. akubarki,,,,,,,
Huyu shangazi ni salama kweli au ni mchawi huyu kawaua kaka, wifi na mtoto ili azimiliki mali zao, kwani hiyo aliyonayo ni chuki ya kichawi, hata kulia kwake yalikuwa ni maigizo tu, kwanini hampendi mtu yoyote ampende huyo mtoto wa kaka yake😢
Mm😢😢😢😢😢😢nakumbuka mamayangu alikufa nikiwa 19yrs naalikufa akiwa mapajani kwangu 😢😢😢😢yan omba yasikukute yakufiwaa na mzaxi unakua kama mwehuu mana huamini kwaza sikuamini hadi siku mama anafukuwaa ndiniliamin mama kaenda😢😢😢 pole zatima ndo maisha
Yani huyoo shangaxi rip kabilaa hajakufaaa yani mwanamkee unamtesaa mtoto wakakayako 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢Mungu akuhukumu yani unampa mtoto wakakayako chakula chaumbwaaa sasa sinibora umpeleke kwa bibi yake
Huyu msichana nae,siangetoroka,alikua na lazima gani yakuishi na shangazi yake, heri angekua omba omba mtaani kuliko mateso yote hayo,uko kwenu lakini unakubali kua house girl,hii simulizi sio mpiya ni marudio,kuna channel nishaisikiliza,hio sio poa,
🤣🤣🤣 kumbe mahaba niue🤣🤣 ndiyo maana Verada alimchukia Zatima kwani alijua siri yake itabainika kiurahisi🤣🤣🤣 hakunaga siri ya watu wawili duniani, litabumbuluka soon
Pole sana kama una machozi ya karibu😭😭🙌🙌.. Bedroom Part 07 inakuja saa 12 kamili kukufuta machozi😢
Sante tutapoa Wacha tukupae🦻kwanza🧏🙏
Inasikitisha mno bro hata kama Marietha alikosea lakin hakupaswa kulipwa haya.
Ila hatuwezi jua Kwan ili dhahabu ing'are lazima ipite kwenye moto.
Marietha Mungu akuvushe salama❤
Shukran sanaaaa
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI asanteee sanaa kaka Toka nimeanza kufatilia simlizi ya merieta najifunza vingi god bless you bro
Inshallah merrianta wetu apumzike kulia
Wow kazi nzuri kaka listening from Kenya much love.
Like zenu mashabiki wa kaka lucas lumbasi ❤❤❤❤🎉🎉
Kitu kipyaa 🎉🎉❤
Yaani mm namngojaa tu huyoo leilaa mwaisho wao
Anakuja saa 12 kamili
TEAMS LUCAS LUMBAS MPOOO 🎉🎉🎉🎉BLACK IS BEAUTY ASIKWAMBIE MTU 😂😂
Wa 4 n mm leo❤❤❤
Kweli minaamini Vile watu wanasemeka wazazi wako wakiwa hai kila mutu atakupenda sana, lakini wakiondoka mwahii dunia mwenye alikuwa anakupenda atakuchukia ! Pole sana dada yangu Mungu ndiye anaye tetea yatima
Hii familia nawahurumia sana, sijui watastahimili vipi kipigo cha Mwenyezi Mungu atakapowalipa hayo maovu yao yote wanayoyatenda kwa huyu mtoto yatima
Asant sana kak lucas kwa kitu kipya kaz nzur 🎉🎉🎉
Jomon leo wakwanza mm likee kwanguuu😊😊😊
❤❤❤🎉🎉👏
Kitu kipyaaa aiiii vile kimenikuta niko na Pepsi ya bariiiiid ngoja inipe campan ya kukusikiliza bro.🎉🎉
Hakuna jambo linauma san km kupoteza wazazi ote kwa mpigo hii huuma san dah 😭😭😭😭 Shangaz shangazi hiv tunanini sie nawatoto wakaka zetu 😭😭😭 imekua vingum kusikia shangazi anaupendo 😭😭 nimelia kwel Mungu atusaindie wanawke🤲
Hicho ni kikomo cha maumivu yote 😭😭😭
Ila ndg wa ubaban n hatareee kama ukpata hawana iman😢
Asante sana Lucas kwa simulizi hii mpyaa hujambo lakini mtani wangu 😂😂🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️ ♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
💕💕👍
Zatima tupeane pole tu ndugu yangu mi mwenyewe nimepoteza wote wawili roho inauma kweli jamani daaah 😭😭😭😭😭😭
Aisee jamani huyu shangazi ni mnyama mnyama mnyama daaah lakini mungu yupo tu 😭😭😭😭
@zenaathumani8144pole kipenzi Mungu akutie nguvu na amani yake ikutawale daima.
Zatima ukipata maisha mazuli umutafute huyo mtoto Joanna maana ulimulea kwaupendo wa kweli na alikufanya utabasamu na alikupa ujasiri wa kupambana ❤❤❤❤❤❤❤❤ vilevile huyo dada wakazi atakuja kuumbuka ila huyo Mme wa shangazi yako lazima ashitakiwe na huyo shangazi yako pia.
Amina Kaka Lumbas hata nami naungana banyi Kwa maimbi
pole sana Zakina kwa yote yaliyo kukuta matatizo ❤❤inaumiza sana kuondokewa na wapendwa wako wote 😢😢 shangazi mungu akulaani sana
Nime😂😂😂😂😂😂umiya ila uyu shagazi ana nikera mungu amsamee zatima🎉🎉🎉🎉uwe mvumilivu
Wao❤❤🎉🎉
Pole kabisa🎉
Nice simulizi
Nimewahi Leo♥️♥️♥️♥️♥️
Maua mengi kwa kaka lucas lumbasi❤️❤️❤️
Pole sana zatima
Pole sana Zatima yaani kuondokewa na watu watatu kwa pamoja
Wow acha tusikia mazuri ya zatima🎉🎉🎉🎉❤❤❤👌👌
Nimewahi leo ❤❤❤
Pole sana zatima😭😭😭inauma sana haki ukipoteza wazazi
Story hii imeniliza sanaa
Wow chombo kipya Zatima , shukran kaka Lucas ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Nilikuwa nimemixx love story yna jn nimetoka kuwazia kuskiliza love story iliyojaa madrama nacomedy eety Leo nameingia t kwny channel yabroo Lucas nikaikuta sijw aliota 😅😅kwamba kunashbiki yake kamixx ivi vit daaah broo ❤❤❤ mung. akubarki,,,,,,,
❤❤Wapili leo Ninaham na like🤣🤣 Lucas sante pia mtunzi nawakubali💖👌 vtu mnatupatia vitam🥳🙋
❤❤❤🎉🎉👏
Ee Mungu walindie wazazi wetu 🙏
Thank you so Brother ❤❤❤❤❤❤❤❤
Nimewahi leo
Hongera🎉🎉🎉😊
Laaa Zatima pore sana nimeria mpaka basi nami niriaona kwama wakambo 😭😭😭😭Lukasi umenikumbusha mbari Allah akupe umuli🎉🎉🎉🎉
Mimi pia maisha yangu kama vile movie 😢 nasubiri hatma yangu n mimi niwatolee simulizi ya maisha yngu!!!ekta hafi😊
Nice simulizi kaka lukas 🎉🎉
Huyu shangazi ni salama kweli au ni mchawi huyu kawaua kaka, wifi na mtoto ili azimiliki mali zao, kwani hiyo aliyonayo ni chuki ya kichawi, hata kulia kwake yalikuwa ni maigizo tu, kwanini hampendi mtu yoyote ampende huyo mtoto wa kaka yake😢
Pole sana
Nimelia sana kwakweli 😢😢😢😢😢
Kaka Lucas asant sana rinasubir ya sehemu ya bili
Inaumaa sana jamani
Nimeliaa yani nawaza watoto wangu ndio wapitie hayaa mans ndugu tulokua nao sio watu wema wengine mungu ametuonesha mapemaa kabla hatujafaa
Jamani nimewai namm Leo niliwamc sn vipenzi namda sn nimesikiliza vitu vya bro
Mbona mungu kakupa nes na ukakataa sibora ungeenda kuangalia maisha huko kwanza na mtoto wako pengine ungempata
Mungu atutunze tulee watoto mpk wajitambue dah!😢
here we goo🔥🔥🔥🥰🥰
Aki nimeliaa mno Hadi kichwa kinaumaa jaman
Mm😢😢😢😢😢😢nakumbuka mamayangu alikufa nikiwa 19yrs naalikufa akiwa mapajani kwangu 😢😢😢😢yan omba yasikukute yakufiwaa na mzaxi unakua kama mwehuu mana huamini kwaza sikuamini hadi siku mama anafukuwaa ndiniliamin mama kaenda😢😢😢 pole zatima ndo maisha
Pole😢
toroka dear utakufa
Lucas tunaomba simulizi bed room party 8
Hii story imenitoa machozi kwa kwel mashangazi mashangazi jaman
Mashangazi wengi hua ni wabinafsi sana wanajali watoto wa ndungu zao wakiwepo lkn wakiondoka ndio hutoa 😢😢😢😢 makucha yao😢😢😢😢
Wa 7
Zatima ni mtoto njinga sana
Inauma sana
Ukitaka kujua watu wana chuki kwenye mioyo yao angalia ukifiwa na wazazi wako hata kama ni walikuwa maskini ila walikuwa wanakuheshimu
hao walezi wake malipo yatawapata hapa hapa Duniani
🎉🎉🎉❤❤❤
Niko naskia bed room mbona inahuzunish😢zatin kitu kipya tukopamoj mwanzo mwisho❤❤❤
💞💞🤝
@TeklaNdekeja ❤❤🤝
JAMAN LEO MAPEMA SAANA PLEASE USIMSAHAU JULIETA WETU SAA9 TUMEMMIC😅😅
Anakuja saa 12 kamili😊😊
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI sauwaa luca wetu
Haya jamaniii ZATIMA KAFANYANINI TENA TUNASIKILIZA HILI TUJUWE ILIKUWAJE HAYA TUNASIKILIZA HILI TUJIFUNZE 🪑🎧
Yani sio sili hii simulizi imenitoa machozi
Huyu shangazi ni chanzo cha vifo vya ndugu zake wala siyo siri, ana roho ya kishetani sana ni mchawi kabisa huyu
🎉🎉🎉
Yani huyoo shangaxi rip kabilaa hajakufaaa yani mwanamkee unamtesaa mtoto wakakayako 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢Mungu akuhukumu yani unampa mtoto wakakayako chakula chaumbwaaa sasa sinibora umpeleke kwa bibi yake
Inauma sana inanikumbusha baba yang ety inauma sana sijui kwann kifo yaan daah😭🥺
Rinasubir ya bili
Jamani jamani hata wangu wa karibu kweli shatani Hana watu weingi asente Lucas lumbas
Ww ni mjinga
Kweli zatima unaniliza sana yamani hata mama mdogo alitupa mti na jongoo wake hakuwa na uchungu hata na mtoto wa dadaake
Uzuni kwakweli😢
🎉🎉🎉🎉
Hey humu ndani mnakesha😂😂😂😂
Km Mim nimezidi🙄
Walai 😅😅😅😅@@TeklaNdekeja
@@TeklaNdekeja😅😅wew nisipo ona comment yako simulizi ainogi
🎉❤❤❤
Kaka Lucas jmn naomba ep ya 7 ya bedroom 😪
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤
❤❤🎉🎉🎉
😢😢❤
Kaka😂😂😂😂
Aa❤❤❤
Mhh! 😭😭
❤❤❤😂😂🎉🎉5
😮❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Bedroom part 10
Dah😢😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
😢😢😢
Zatima mupuuzi kweli eti kuteswa kisa kuambiwa kufanyakazi zanyumbani ndiomana sitaki wanangu wawe namarafiki wa hovyo. Ila huyu shanganzi nishetani jamani khaaaaaaa
❤❤❤ ni utoto ulikua😢
@TeklaNdekeja ila usipo kuwa makini watoto wanaweza kuiga tabia za wenzake.
@Evelynmoreen3655 usemaro nikwel unajua hlo nimeliona jlan kibnt Cha 2007 kime hama nyumbani sababu za uzembe na uhuru wa kupita kias
@@TeklaNdekeja ndohivyo wazazi tunatakiwa kuwa karibu na watoto ilituwaeleweshe maana maisha haya yana mengi.
😭😭
❤❤❤🎉🎉
Kwa kweli leo nimewahi🎉🎉🎉🎉❤
Zatima yote anastahili
Ki vipi?
@@avelinabaluhya2804😅😅umewahi kuuliza swali nilitaka kuuliza
Huyu msichana nae,siangetoroka,alikua na lazima gani yakuishi na shangazi yake, heri angekua omba omba mtaani kuliko mateso yote hayo,uko kwenu lakini unakubali kua house girl,hii simulizi sio mpiya ni marudio,kuna channel nishaisikiliza,hio sio poa,
Channel gani hiyo na ni lini?
@RithaIsaya aah we,🤣🤣hapo mwanzoni lakini mwishoni wamebadilisha maneno kidogo
🤣🤣🤣 kumbe mahaba niue🤣🤣 ndiyo maana Verada alimchukia Zatima kwani alijua siri yake itabainika kiurahisi🤣🤣🤣 hakunaga siri ya watu wawili duniani, litabumbuluka soon
😂😂😂😂😂😂😂 ila bora ufadhili mbuzi maana utamunywa supu kuliko kufadhili mwanadamu sasa huyo veranda atakamatwa na mama mwenye nyumba mwenyewe 😂😂😂😂😂
@Evelynmoreen3655 mtu mwenye roho mbaya huwezi kumbadilisha kwakumpaka rangi kwakwel😂😂
@@avelinabaluhya2804 kweli kabisa 🤣🤣🤣
Pole sana Zatima
❤❤❤
❤
❤❤❤🎉🎉🎉
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤