Mambo Matatu (3) Unayohitaji ili Kufanikiwa Kibiashara

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лип 2018
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 107

  • @mgallason...5686
    @mgallason...5686 5 років тому +1

    no retreat, no surrender . . . ninafanya ubunifu na uzalishaji wa bidhaa, nina ndoto kubwa sana ya kufanikiwa na pengine nitaacha kazi niliyoajiriwa na kuenenda kwa imani ya kufanikisha ndoto yangu najiona mbali sana hasa nikisikiliza hizi hamasa unazotoa, barikiwa sana.

  • @user-bz5gk7gt1k
    @user-bz5gk7gt1k 8 місяців тому

    Nashukuru kwa somo lako hlinimelifanyia kazi na nimepata kitu furan ahsant

  • @jaqlinemsaki7263
    @jaqlinemsaki7263 6 років тому

    Habar yk kak asante sana kwa somo Zuri ninataka kufanya biashara napenda sana Muziki ninandoto sk moja nifungue studio kubwa ya kisasa najipanga kufanya hivo naomba ushauri wk naogopa sana kufirisika

  • @neemahonorath385
    @neemahonorath385 5 років тому

    Napenda sana biashara ya duka jaman yan naamin itanitoa cz nauzoef nayo na ninaipenda sanaa

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 4 роки тому

    Asant sana Mwalimu

  • @manenolugendo6396
    @manenolugendo6396 5 років тому

    Pamoja sana ndugu

  • @saumseif3815
    @saumseif3815 2 роки тому

    Habari za asubuhi kaka . Mm hili la pili ndio ninaliona sijakaa sawa na nahitaji kufungua biashara

  • @ramadhanishifta5940
    @ramadhanishifta5940 5 років тому

    Joel nakukubali sana

  • @cresensiandimbo4195
    @cresensiandimbo4195 6 років тому +1

    Thanks bro Joel ,tatizo ni kutambua passion watu tunaishi ishi tu hatujui hata passion zetu na ndio maana inakuwa ngumu sana kufanikiwa.

  • @josetadei9975
    @josetadei9975 5 років тому

    Asant san kk kwamafuzo mazuri nilicho jifuza mm unatakiwa upende unacho Fanya.

  • @felixjoel3210
    @felixjoel3210 6 років тому

    kwakweli joel nanauka nakupenda nakupenda mpaka nimekuwamlaibu wakukufuatilia hatua kwa hatua mpaka napindukiaa!!! ahsanteni sana wwe nakuamini mpaka napitiza am felix joel mikocheni,,!

  • @jaypolpzpwhitelion4661
    @jaypolpzpwhitelion4661 5 років тому +2

    Amini unacho kifanya

  • @judithnderitu6454
    @judithnderitu6454 6 років тому +3

    by the end of the day, needs God guideness. as foundation to everything.

  • @aaaavvvv4261
    @aaaavvvv4261 5 років тому

    Wawa nilisha faa moyo ila ntasimama tena kwa neno nzuri mungu akubariki sana

  • @mercywanjiku3740
    @mercywanjiku3740 6 років тому +6

    Am listening you from Kenya thanks for your advice

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому

      Thank you for following Mercy,Help me to share more to our fellows in Kenya

  • @hassansaidramadhan8940
    @hassansaidramadhan8940 5 років тому

    Shukrani sana kaka unanipa nguvu za ajabu sana
    Ninachangamoto moja kaka nahitaji unisaidie
    -nimeajiriwa saiv na nikijitathmini najiona kabisa kama napoteza muda mwingi kwenye hii kazi natamani kuacha kazi na kuanza kusimamia biashara yangu mwenyewe ila bado ninahofu

  • @hectorinadamasio9917
    @hectorinadamasio9917 Рік тому

    Mimi nataka kufanya biashara ndogo ndogo

  • @salmamasood2524
    @salmamasood2524 Рік тому

    Nianze upya naamini ilimiongezejuu

  • @rizikifumao3685
    @rizikifumao3685 6 років тому

    asante kaka kwa ushauri mzuri hakika unanifaa,mimi binafsi napenda afya za watu na nimeamua kufanya biashara yenye bidhaa za kulinda afya za watu
    Biashara ya mtandao

  • @AliM-di8dz
    @AliM-di8dz 6 років тому

    Nimekusoma, nitakutafuta nikirejea tz, ninapenda sana biashara ya duka kila nikikaa nawaza duka tu na mengineyo .

  • @safimusa1011
    @safimusa1011 5 років тому

    Kujenga imani kwa watu sijui nifanye nn

  • @AliM-di8dz
    @AliM-di8dz 6 років тому

    Nitakuhitaji kwa vitu vidogo , mengi sana nimekufatilia kuhusu uendeshaji Wa biashara nashukuru nimekuelewa,

  • @patrickmsuya6780
    @patrickmsuya6780 6 років тому

    nataka nifanye biashra ndugu yangu niambie nifanyaje

  • @francismangula2715
    @francismangula2715 6 років тому

    businessman natokea dodoma oil mills najifunza sana tokea kwako thanks alot naain nitayafanyia kaz zaid katika kukuza kiwanda changu.AHSANTE

    • @michaeljordan2558
      @michaeljordan2558 6 років тому

      l real appreciate my brother.... God give you longlife.you make me to realize what life is

  • @fatmarashid2469
    @fatmarashid2469 6 років тому +4

    Kweli kabisa,if you have passion,you do it with love..! No 1 huwa nashida, nakuwa na passion and I feel exited af baadae inapotea,cjui napuyanga wap Kwenye namba 2 wateja Wangu wanaelewa kuwa "I am my first customer and I enjoy being" .......

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому +1

      Fatma Rashid hongera sana Fatma,naamini utafika mbali sana

    • @hadijaramadhan880
      @hadijaramadhan880 5 років тому

      ahsant Sana nimekuelewa

  • @mercygatari6239
    @mercygatari6239 5 років тому

    Am listening from Kenya,shida yangu ni kutojiamini

  • @elishazebedayo2343
    @elishazebedayo2343 6 років тому

    Nashukuru nimejifunza kitu kipya toka kwako,heshima yako mzee

  • @agnesssamwel7307
    @agnesssamwel7307 5 років тому

    Mimi kujiamini bado ni tatizo

  • @edmundngalawa8412
    @edmundngalawa8412 6 років тому

    Nimekupata mkuu.. Mm napenda sana kucheza na kuku

  • @chiomanonso274
    @chiomanonso274 5 років тому

    Kujiamini bado

  • @elizabethjohn3098
    @elizabethjohn3098 6 років тому

    Asante kaka Mimi nimekuelewa vizuri Sana
    Mimi napenda sana biashara ninayo ifanya nauza kwa kujiamini kwa sababu naipenda

  • @undisputableboe3890
    @undisputableboe3890 6 років тому +2

    kumbe naeza fanya kitu kikubwa sana kwenye maisha yang napenda sana fresh juice nimesha chungulia fursa kaka asante sana

  • @zabibounzeyimana703
    @zabibounzeyimana703 5 років тому

    asante sana nataka kufanya biasha na nitamani sana ila sijaona wapi pakuanzia kwasababu kile ninaco benda mimi sina mtaji wakutosha ili nifanye iyo biasha sijuwi unanisaidiya aje

  • @ommymapenzi8586
    @ommymapenzi8586 5 років тому

    Shukuran bro kw mamb mazr

  • @reginakarema8584
    @reginakarema8584 4 роки тому +1

    PASSION: Do what you love, love what you do.

  • @abdornephotidas3848
    @abdornephotidas3848 6 років тому

    Nimelielewa somo ahsante! Mr. Joel

  • @marthamhapa8171
    @marthamhapa8171 6 років тому +5

    Kaka nataka kufanya biashara

  • @bassananah9319
    @bassananah9319 6 років тому

    Uwe unaanza ata na salam basi

  • @MwagalaJr
    @MwagalaJr 6 років тому +1

    yes,
    nipo darasani hapa, naendelea kujifunza.
    let's meet at the top

  • @alextibamanya5229
    @alextibamanya5229 6 років тому +1

    Nimekuelewa broh! Hapo mm naona ni passion ndo ninanisumbua,asante sana broh.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому

      Alex Tibamanya naamini umeshajua kitu cha kufanya sasa

  • @salmamasood2524
    @salmamasood2524 Рік тому

    Mimi nimekutwa ninapassion ya kufanya biashara ila niko natafuta nii

  • @MwagalaJr
    @MwagalaJr 6 років тому

    in three things natakiwa niifanyie kazi 2 ,kuongeza kujiamini Jataka Huduma ninayoitoa.

  • @bunah4263
    @bunah4263 6 років тому +1

    Ni kweli kabisa bro 👏👏

  • @salmamasood2524
    @salmamasood2524 Рік тому

    Kaka Joel kikweli Mimi nilkua nafanya b 2:08

  • @shelangwaalex7
    @shelangwaalex7 6 років тому +1

    Tayari nimekwishaanza bro but naona kua sitofika ninapoitaji ila thanks kwakuzidi kutupa nguvu yavitu tunavyo vifanza god bless you bro!!

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому +1

      Shelangwa Alex mapambano huwa hayakomi usikubali kukata tamaa

  • @fatmamasoud6461
    @fatmamasoud6461 3 роки тому

    Asante Kaka lkn mm Nina passion yang ambayo n upishi n Nina mpang w kufungua bekar 2023 kw xx nasom chuo huku natafut mtajiil cjui nawezaje kuaminik

  • @asnaabububu2297
    @asnaabububu2297 3 роки тому

    Brother mm apa naomba unisadie jambo la tatu kati ayo ulosiosema nakuomba Mungu abarik kaz yako unayofanya

  • @sheillahchisika8414
    @sheillahchisika8414 6 років тому +3

    Nimekupata mi napenda sana akina kaka wengi ni rafiki zangu huwa sielewani na akina dada kwa hivo nimelipata funzo lako

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому

      sheillah chisika umetisha,naamini ukipata wazo lako la biashara utanitaarifu pia

    • @sheillahchisika8414
      @sheillahchisika8414 6 років тому

      Joel Nanauka Nitakutarifu kwa sababu penda xana darasa lako

    • @hashimiddyhawadhi4305
      @hashimiddyhawadhi4305 6 років тому

      jinsi gani unaweza kuwafikia wateja ili kuweza kununua bidhaa au kutumia huduma yako

  • @franklumbili4556
    @franklumbili4556 6 років тому

    nafanya kazi y ufugaj kuku wa kizungu
    ila passion yang ni kufungua duka nitagungua mwz 10
    karibu

  • @simonfredy2324
    @simonfredy2324 6 років тому +2

    Nashukur Sana kiongozi.......nakubali Sana uwezo ulionao...... Na products unazotoa.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому +1

      Simon Fredy ahsante sana Simon,tuendelee kujifunza na kushare na wengine

    • @simonfredy2324
      @simonfredy2324 6 років тому +1

      Joel Nanauka nina muda wa siku mbili toka nianze kukusikiliza brother .....Lakin contents nilizopata ni kubwa Sana kiasi Kwamba najiuliza nilikua wap kabla kupata chakula cha ubongo kama hiki......yawezekana nisingekuwa hapa nilipo licha ya kuwa msomaji wa vitabu....Lakin pia sitak nijutie yaliyopita ila nafurah kupata mwongozo mpya....nashukur Sana.

    • @simonfredy2324
      @simonfredy2324 6 років тому +1

      Mpaka sasa watu nilioshare nao kazi zako wanaenjoy sana.......nitashare na wengine wengi zaidi kuhakikisha kazi zako zinawafikia.... Ahsante pia.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому +1

      Simon Fredy nashukuru sana kwa kushare na wengine tuendelee kujifunza zaidi

  • @user-fv2sn7js7g
    @user-fv2sn7js7g Рік тому

    Jamaniiii mbon ulitunyima namba yako kwaniniiiiii

  • @jasminesaid6358
    @jasminesaid6358 6 років тому

    kaka kuna biashara naipenda sana ila inakua na vikwanza kila ninapo anza kuifanya kwa sasa nafanya kazi amby siipendi lkn imenifanya nikajenga nyumba na naifanya mpk sasa lkn ninacho kipenda bado nataman kuifanya sijui nifanyaje

  • @joseefaidabutu6467
    @joseefaidabutu6467 5 років тому

    Asante

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 6 років тому

    Najivunia biashara yangu

  • @thelastbornchannel8073
    @thelastbornchannel8073 6 років тому +1

    My best channel

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому +1

      miza siwingwa thanks Miza tuendelee kushare na wengine pia

  • @ahz6907
    @ahz6907 4 роки тому

    Nitajuaje passion yangu?

  • @yohnafanuel6489
    @yohnafanuel6489 6 років тому

    Nashukuru xna brow me kuhusu passion yangu naifahamu vzr na pia najiamin kuwa na weza kufanya kile nikipendacho na nikafaniiwa japo kwa nilipo asaiv sio passion yangu nipo 2 kwa kutafuta mtaji wangu kisha nifanye kile nipendacho na ninacho amin kuwa naweza pia kufanikiwa kwa hicho

    • @neemalino4220
      @neemalino4220 5 років тому

      Joel shukrani kwa somo zuri na mungu akubariki

  • @samirsahl5022
    @samirsahl5022 6 років тому

    Mimi bado sijaweza kuondoa aibu katika kile nn inacho kiweza yaani katika talent yangu

  • @jiwekichwa2857
    @jiwekichwa2857 5 років тому +1

    My passion is to produce something.

  • @alphamenson3784
    @alphamenson3784 6 років тому +3

    niko HS right now but napenda sana siku 1 nije kuwa kama wewe bro Joel dats why am tryna the best i can to stir up ma potential, can yo be ma mentor bro?.....all the way up from Mbeya City

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому +1

      Keep it up utafanikiwa na utafikia tena unaweza hata kufanya makubwa zaidi ya ninayofanya \...Kila la kheri tuendelee kujifunza

    • @alphamenson3784
      @alphamenson3784 6 років тому +1

      Joel Nanauka Thank you so much brother

  • @loanpautanimwashilindi2573
    @loanpautanimwashilindi2573 6 років тому

    Bado sijajua sana passion yangu ni ipi, maana katika vingi ninavyovipenda sijui kipi ni top of all , yaani nikijua hapo tu ,kwingine ni rahisi kwendelea , Help me here first

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 6 років тому

    Asante kwa #elimu

  • @cheyowilliam1387
    @cheyowilliam1387 3 роки тому

    Nafanya biashara ya kuuza mbao lakin nimefel baada ya mwenzangu aliyekuwa tunaaminia kutoniamin tena, nifanyeje ili nirudi tena kuuza mbao mana biashara hii naipenda san ndg naomba ushaur 0766374964

  • @annymdg7647
    @annymdg7647 6 років тому

    I'm really interested to start b/s bt the only problems not kuwa how Will I start the business (hardware)it's challenge to me nipe ushauri

  • @stephanokiluwa7716
    @stephanokiluwa7716 6 років тому +1

    passion yangu ata siijuagi kwakweli

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому +1

      Endelea kujifunza na hivi karibuni nitaweka video ya namna ya kujua passion yako utajifunza zaidi.

    • @stephanokiluwa7716
      @stephanokiluwa7716 6 років тому

      Joel Nanauka Thenks sana kaka

    • @judithpaul9013
      @judithpaul9013 5 років тому

      Joel Nanauka kweli hata mimi huwa napenda kujua passion yangu lakin cfahamu

  • @Cyper255
    @Cyper255 6 років тому +3

    Joe Nanauka naomba uwa broke hao wanne walio dislike👎 hii video

  • @simonmichael2297
    @simonmichael2297 4 роки тому

    Naitaji san mawzo yko kwenye biashara yagu y maua maan ninamtaji mkubwa san wa wateja wanao hitaji bidhaa yangu ya maua! Plz bro

  • @molegend2672
    @molegend2672 6 років тому

    Alaa kumbe

  • @hasanabel7345
    @hasanabel7345 5 років тому

    Thanks a lot what can u do to increase and minimize the profit of the business

  • @amudimbegalo4969
    @amudimbegalo4969 6 років тому

    J mimi nifundi na nina kiduka changu cha spare ila sioni faida zaidi pesa nyingi naoja inaishia kwenye matumizi nifanye nini ili nikuze biashara yangu kwa kidogo nacho kipata

  • @tausisalum465
    @tausisalum465 5 років тому

    Mm nahitaji kuanza biashara ila sijiamini

  • @abasikiwope2307
    @abasikiwope2307 6 років тому

    mimi ni mfanya biashara mdogo wa duka lavyakula ila nina wazo ifikapo mwixho wa mwaka 2018 niwe ninaza na duka la cement na niwenaweka na tofali sasa naomba ushauli kutoka kwako plz

  • @aidanbugufi6200
    @aidanbugufi6200 6 років тому

    nataka kuaza biashala

  • @ibrahimsalvatoryclement8574
    @ibrahimsalvatoryclement8574 6 років тому

    Joel nanauka,mm napenda kufanya biashara lkn mtaji wangu nimdogo sana nifanyeje?naomba ushauri wako mkuu.

  • @christopherjumanne2714
    @christopherjumanne2714 6 років тому

    Ahsant

  • @nassorali3088
    @nassorali3088 6 років тому +1

    kaka mm pansion mm sina kwenye biashara ninayoifanya

    • @esperancykasogela2892
      @esperancykasogela2892 6 років тому

      Joel unisaidie namna ya kuweza kuongea na wateja kuwa na confidence

  • @abdallahmaulid5577
    @abdallahmaulid5577 6 років тому

    Bro how can i contact you in persal?

  • @ismailbanga8849
    @ismailbanga8849 5 років тому

    mimi ni mmiliki wa Power film Entertainment company, naitaji kufanya movimoja na wewe na kuomba tuwasiliane na ili ufike ofisini kwangu tufanye kazi pamoja .0762 099 049

  • @elimelamerii2342
    @elimelamerii2342 6 років тому

    Joel, kuna mtu hajui passion yake ni ipi!!,
    Unamsaidiaje kufahamu passion yake??

  • @benedictorerasto7520
    @benedictorerasto7520 5 років тому

    Naitaji kitabu kaka nip tabora 0688418424

  • @hectorinadamasio9917
    @hectorinadamasio9917 Рік тому

    Mimi nataka kufanya biashara ndogo ndogo

  • @abasikiwope2307
    @abasikiwope2307 6 років тому

    mimi ni mfanya biashara mdogo wa duka lavyakula ila nina wazo ifikapo mwixho wa mwaka 2018 niwe ninaza na duka la cement na niwenaweka na tofali sasa naomba ushauli kutoka kwako plz