TABIA 11 ZINAZOZUIA MAFANIKIO - SEHEMU YA KWNZA (1)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 71

  • @rabiaramso1087
    @rabiaramso1087 5 років тому +13

    Tunaomungalia nanauka 2019 tujuane

  • @highzacknnko9685
    @highzacknnko9685 2 роки тому +1

    Somo limefundishwa Mwaka 2019 na sasa ni Mwaka 2022 Mungu nisaidie niyatendee kazi haya masomó

  • @ponsianamataka4607
    @ponsianamataka4607 Рік тому +1

    Kiongozi Nanauka nimefurahi sana kuipa hii. Ni kila siku ninakusikiliza na nimepiga hatua kubwa, tena nimewahamasisha wengi wakusikilize. Mungu akubariki sana.

  • @richardchota4167
    @richardchota4167 6 років тому +6

    Uko good sana keep on educating

  • @iragibarumi8435
    @iragibarumi8435 6 років тому +5

    Wow thank you so much. Br

  • @babalois7240
    @babalois7240 6 років тому +12

    Sir Joel,, nahis bado vijana wengi hawajui uwepo wako mkuu,Kiukweli Vijana wengi wanamawazo ya kutaka kufanikiwa,lakin elimu ya Ya jinsi kupalilia au kufikia hayo ndio Hawana kabisaaaaaaaaaa... Mungu atusaidie

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 роки тому +1

      Baba Lois nashukuru sana,tuendelee kushare na wengi ili wafuatilie zaidi

  • @dietrichkapufi5320
    @dietrichkapufi5320 5 років тому +1

    Kaka habari naomba mawasiliano yako ili niweze kupata kitabu chako linachohusu nguvu ya mwanamke nitashukuru sana Be blessed

  • @ernestmbwana8057
    @ernestmbwana8057 6 років тому +7

    Shukrani sana kaka Joel Mungu akubariki sana tunategemea video zenye mafunzo za kama hizi.#Uishi maisha marefu......

  • @eunicenawapendasanawatuwam2019
    @eunicenawapendasanawatuwam2019 4 роки тому +1

    upo vizuri kaka mungu akubariki unatutoa gizani

  • @AfricanFolktalesStories-2024
    @AfricanFolktalesStories-2024 5 років тому +2

    Mawazo hasi, malalamiko, kutokujali mda na kutokusema hapana!!!,, asee nimetoka na kitu, barikiwa bro☺

  • @mariambonela4389
    @mariambonela4389 2 роки тому

    Asante ndugu. Nimejifunza kitu

  • @husseinmwangi8517
    @husseinmwangi8517 6 років тому +8

    daah hivi ulianzaje nw ulpataje hii taaluma ya kuekezea jamii ktk nyanja zote

  • @yusufpaul1577
    @yusufpaul1577 4 роки тому

    Asante sana kaka joel nimekuwa nikifuatilia video zako kwa kwel zinafundisha

  • @eliudimwigi8368
    @eliudimwigi8368 6 років тому +5

    Ahsante sana Kaka.
    MUNGU akubariki sana sana!!.

  • @fundieddy3490
    @fundieddy3490 6 років тому +5

    Duh!
    Nimekukubali.

  • @neysanga
    @neysanga 6 років тому +5

    Kweli Mkuu mafundisho yako yamenipa hatua mpya

  • @mudysendekwa1850
    @mudysendekwa1850 6 років тому +4

    Good sana mkuu nakukubali kwa saikolojia unayo tupa

  • @amanbugemwe7093
    @amanbugemwe7093 6 років тому +2

    see u at the top....daaaah nakaelewa sana hako ka sentensi

  • @salomeelson7481
    @salomeelson7481 6 років тому +2

    barikiwa sana kaka unatubadilisha

  • @emmanuelwasike3780
    @emmanuelwasike3780 5 років тому +1

    Hongera sana kunielimisha

  • @marickzeno2655
    @marickzeno2655 6 років тому +1

    Nashukuru kwa funzo lako asante sana.

  • @erinesterick6507
    @erinesterick6507 6 років тому +2

    Good sana kaka Mungu azidi kukuinua

  • @linasmtui8717
    @linasmtui8717 5 років тому

    Kaka nilipoteza cm yangu ila kila nikiomba cm ya mtu wa kwanza kukutazama ni ww kk Joel, napenda sana kazi zako, by sweetbert mbowe,arusha

  • @hassaninimekupatasanakkash2135
    @hassaninimekupatasanakkash2135 6 років тому +1

    asante sana brother nimekupata sana ila mm nataka utufundishe namna yakuweka pesa mm sitakikuweka pesa bank wala ktka

  • @emakiwalwakwanzatz8204
    @emakiwalwakwanzatz8204 5 років тому

    Iko safi sana bro

  • @norbertsam5430
    @norbertsam5430 6 років тому +1

    Live long brother... Once I watch and listen your video clips I desire more and more to learn 4rom you, dah!

  • @ushindidaycare234
    @ushindidaycare234 Рік тому

    Nimeoenda

  • @chingejotham5976
    @chingejotham5976 5 років тому +1

    Huyu jamaa anajua sana

  • @mariamissaahmed7675
    @mariamissaahmed7675 6 років тому +2

    Nimependa sana video zako hasa za biashara Ningependa muongozo juu ya kutumia pesa za biashara kwa mahitaji ya nyumbani yote kabla biashara haijanawiri sana.Ni lini zaweza kutumika hivyo? Grandma from Mombasa Kenya.

  • @eliezermtokoma2057
    @eliezermtokoma2057 6 років тому +1

    asante saana kaka joel

  • @fevactv
    @fevactv 6 років тому +4

    Habari ya leo ndugu,naomba kujua taratibu za kujiunga kwenye group ya whatsup

  • @manenolugendo6396
    @manenolugendo6396 5 років тому

    Bro unatema madini sana Man

  • @lydiamathias990
    @lydiamathias990 6 років тому +2

    Thanks

  • @salminlukindo3899
    @salminlukindo3899 6 років тому +2

    Nakubali

  • @jameskalalu9375
    @jameskalalu9375 6 років тому +2

    ipo poa sana

  • @husnashariff9012
    @husnashariff9012 6 років тому +8

    Nmempenda sanaa juyu kaka

  • @fofomohammed6253
    @fofomohammed6253 6 років тому +2

    Nakukubali Sana kaka

  • @rubengerald4535
    @rubengerald4535 6 років тому +2

    Nimekuelewa kaka

  • @barick
    @barick 6 років тому +3

    Pamoja sana

  • @ofastationery4184
    @ofastationery4184 6 років тому +3

    we jamaa nakuelewa sana

  • @miserecordiuslema9493
    @miserecordiuslema9493 6 років тому +3

    Hahahaha maneno sumu kweli bana wapo kama jama moja nimekutana nae sio kabisa yeye hana jema kabisa dah yeye shida tuuu duh

  • @hadijajuma7823
    @hadijajuma7823 6 років тому +1

    kwann watu wanachukia bila tatizo ukiuliza nalinga ,najisikia .nikijitaza najiona wachini sana kuliko hats wao

  • @pambahamisi2450
    @pambahamisi2450 6 років тому +2

    nice

  • @ramadhaniathumani1601
    @ramadhaniathumani1601 4 роки тому

    True!

  • @sekerepatrice2863
    @sekerepatrice2863 6 років тому +1

    Kaka mm naomba mawasiliano yako

  • @saidbanga
    @saidbanga 6 років тому +2

    Ahsante

  • @joseefaidabutu6467
    @joseefaidabutu6467 5 років тому +1

    Hasante

  • @HafdhiAllig
    @HafdhiAllig 6 місяців тому

    WW NI ROLE MODO WANGU

  • @stanslausmjumanne1126
    @stanslausmjumanne1126 5 років тому

    Nahisi nachelewa kukipata kitabu cha timiza malengo npo tegeta nielekeze bro

  • @halimamwishehesaid3436
    @halimamwishehesaid3436 6 років тому +2

    Namba yako plz

  • @priscilerehemasongolo7233
    @priscilerehemasongolo7233 6 років тому +3

    Nimekueiewa k

  • @goldmaster6639
    @goldmaster6639 6 років тому +2

    ndio

  • @maryammaram2612
    @maryammaram2612 6 років тому +2

    🖒🖒

    • @genineimma5750
      @genineimma5750 6 років тому +1

      Thanks bro. Kama una magroup ya watsap plz tunaomba link tujiunge tujifunze zaid

  • @maryammeme2615
    @maryammeme2615 6 років тому +3

    Good

  • @mwanaharusialifakifaki8716
    @mwanaharusialifakifaki8716 4 роки тому

    Kaka mm nna shida kubwa na nahitaji ushauri wa kila siku kila siku maana hali yangu ni mbaya ya msongo wa mawazo nahisi km sina thamani duniani tatizo sina mtu wa kumuamini isipokua nimekuona wewe kaka .naomba namba ya sim kaka

  • @jameskalalu9375
    @jameskalalu9375 6 років тому +2

    ipo poa sana

  • @jacobrobertngwakwa1833
    @jacobrobertngwakwa1833 6 років тому +2

    Nakufuatiria sana kaka

  • @francismangula2715
    @francismangula2715 6 років тому +3

    nakubali

  • @manassehstarmedia.4837
    @manassehstarmedia.4837 6 років тому +2

    Nice