Hatua Tano (5) Za Mahusiano

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 256

  • @alphanmartin6003
    @alphanmartin6003 5 років тому +1

    Nashukuru sana kaka joel kwa somozuli lenye mafunzo ndani yake nimesikiliza kwa umakini sana na nimejigundua kwamba nipo hiyo stage ya 3 the stability stage naamini mpaka sasa nitabadilika na nitasonga mbele zaidi na pia nazidikumwomba mungu ili niweze kuvuka hizo stage zote salama mwenyezimungu akubaliki kakaangu uendelee na kaziyako ya kuelimisha jamii kwa ujumla na uweze kufika mbali zaidi ya hapo AMEN.

  • @valentinembuke6939
    @valentinembuke6939 6 років тому

    nashukuru Mungu na wewe pia kaka Joel,power struggle imenitesa sana halafu nishaolewa ila Mungu ni mkubwa sasa nimevuka na nimeelewa,ahsante sana kwa somo

  • @Udindigwa
    @Udindigwa Рік тому

    Ujumbe Mzuri SANA Mungu Asimame Nawe Uzidi Kutujenga Unamchango Mkubwa SANA

  • @FrancisTossy-zy2tu
    @FrancisTossy-zy2tu Рік тому

    Aiseee daaaah Asante sana
    Mimi mahusiano yangu yalivunjikia kwenye stage ya 3

  • @mwl.sologotv8138
    @mwl.sologotv8138 6 років тому +2

    uko deep Sana brother everything you touch, you directly touch my life na maisha ya watu wengi. be blessed and keep moving forward to teach the mass. Nabarikiwa Sana.

  • @joharijuma8667
    @joharijuma8667 6 років тому +2

    Uwiiiiii yani ni bonge la somo nimejifunza kitu ambacho kimenishindaga miaka yangu yote ya mahusiano asante sana brother Joel
    Mimi nipo hatua ya pili ni balaa tu

  • @andrewkatte2656
    @andrewkatte2656 6 років тому +1

    Dah mahusiano nimeumia sana kiac cpend hata kuckia story znazoweza kunikumbusha hayo ya zamani na bd moyo wangu una makovu!

  • @aash4145
    @aash4145 Рік тому +1

    Hatua ya kwanzaaaaaa😂😂😂😂❤️❤️❤️❤️🌹🌹

  • @aaaavvvv4261
    @aaaavvvv4261 5 років тому

    Hakika sababu mahusiano mengi nmepita hayana mamunzi mazuri sababu akiwe mlevi ndio tuongea sana bila ulevi hamna chakuingea asante kwa maneno mazuri mungu akubariki

  • @anthonykimaro807
    @anthonykimaro807 6 років тому +2

    Asaantheeee my dear brother barikiwaaaaaaa Sana. Daah hizo hatua nimejifunza mengi apooo.. Mbili na Tatu apooo

  • @justinmmbando5386
    @justinmmbando5386 6 років тому +4

    Asante sanaa,
    Hapo kwenye power struggle stage
    Ndipo Nilipo poteza Mahusiano na mpenz wangu ila niliamuwa kuanza upya kumbe Ulikuwa ni stage nishakosea Tayari ila sitakosea tena maana huwa naishi kwenye ninacho jifunza.
    Asante Joel leo nakuja dukani #timizamalengobookshop# nakuja kuchukua CD alafu tunaonana tarehe 20 kwenye DARASA endelevu.
    Asante.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому

      Justine Mmbando hongera sana na karibu sana mafunzo ni tarehe 11

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому

      Hongera Justine,nakutakia kila la kheri

    • @justinmmbando5386
      @justinmmbando5386 6 років тому

      Joel Nanauka nilisahau asante tutafika hapo

    • @joshuajohn4670
      @joshuajohn4670 6 років тому

      Dj

  • @aminamassawe1768
    @aminamassawe1768 5 років тому

    Daaah hongera Sana kaka unatupa mafundisho mazur Sana...hiz stage kwa kweli niliishia stage ya tatu tukaachana kbx kwa sababu mtu alibadilika sana..na kwa Sasa Niko stage ya kwanza kbx sijui Kama nitafika hahahah namuomba Mungu kwa kweli

  • @emanueljonasmacha2843
    @emanueljonasmacha2843 6 років тому +1

    Mr. Joel nakushukuru sana umenifumbua macho sasa. Mungu akubariki sana kaka.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому

      Emanuel Jonas Macha Ameen nashukuru sanaa

  • @johnkwela7326
    @johnkwela7326 2 роки тому +1

    Bro Joel umeniongezea kitu nashukur kaz yako njema mm nipo hatua ya pili

  • @veronicacharles4527
    @veronicacharles4527 6 років тому +1

    asante kwa hili somo coach sikubahatika kupata somo hili mwanzo ...hivyo stage ya pili mara nyingi uwa inanishinda kuikabili nikidhani mtu kabadirika kumbe ni lazima hayo yatokee ili tusonge mbele zaidi

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому +1

      Nashukuru Veronica,Nakutakia baraka zaidi

  • @allymkamba1115
    @allymkamba1115 5 років тому

    Mm naona nirianza vizurii uku mwisho nirpo mnunuria sm tu kabadirka

  • @neemajulius8790
    @neemajulius8790 4 роки тому

    Santee sana kaka kwa kuniongezea,, dea!! Mungu akujalie katika kaz zako

  • @restadeborah608
    @restadeborah608 6 років тому

    Nashukuru kaka kwa mfundishoo bt ya kwangu yapo stage 2,,ningeomba ushauri wako nawezaje kuvuka kwenye hii stage 2 n 3 ahante

  • @mariammariam2475
    @mariammariam2475 6 років тому +5

    Mungu anisaidie nipo kwenye atua ya kwanza kunamtu Nampenda sana ila yeye wakati wote yuko bize hiyo inanipa shida sana

  • @robertgwelela6581
    @robertgwelela6581 6 років тому +1

    Asante kwa msg nzuri .i will see you at the top.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому

      Robert Gwelela karibu sana Robert See You At The Top

  • @realitycomplexitygoo
    @realitycomplexitygoo 4 роки тому

    Allah akubariki Leo ndo nimeelewa mara nyingi nimeishia hatua ya pili Leo nimejifunza kitu kikubwa sana

  • @brhchannel6618
    @brhchannel6618 6 років тому +6

    Nice indeed Kaka Nipo kwenye Stability stage hapo.

  • @patelnay4124
    @patelnay4124 2 роки тому

    Ila naamini Sasa nikiingia kwenye mahusiano mengine,nitakuwa nimejifunza, asanteee sana, ubarikiwe Kaka Joel

  • @rosadatheodothburetha6334
    @rosadatheodothburetha6334 6 років тому +1

    Dah ahsante sana nimeanza kuelewa sasa. Sijawahi kuvuka hatua ya pili😕

  • @hajijumanne387
    @hajijumanne387 6 років тому +2

    Kiukweli unanipa material mazuri kaka asante kwa somo hili

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому

      Haji Jumanne nashukuru sana Haji

  • @aminamassawe1768
    @aminamassawe1768 6 років тому

    Mimi nilifikia hatua ya tatu nikaona niachane nayo kbx..ila kaka nimekupenda bure huwa unafundisha vzr Sana kiukweli tunaelimika...niliachia stage ya tatu kwakuw mwanaume wangu alibadilika Sana na mm sikueza kuvumilia nikaona niachane na mapenz Kwanza maana niliumia Sana Yan mnoo...mpk sahv naona Kama wote wako hivyo..ila nadhan kwasababu sijawahi kuumizwa ndio maana nimeumia Zaid...barikiwa kaka Joel

  • @lilykessy6284
    @lilykessy6284 6 років тому +5

    Kuna stage kuvuka si mchezo jmn!Unajua umepata mume/mke badae unagundua ni jambazi hyo stage inayofuata ni ngumu kukubaliana🙆
    Somo zuri sana yn🙏🙏🙏🙏

    • @khadijajuma7142
      @khadijajuma7142 6 років тому +1

      Lily Kessy 😂😂😂😂😂😂hiyo ngumu kumeza

    • @feithchilala6374
      @feithchilala6374 5 років тому

      Unakuja kugundua mtu mbinafsi muongo baraha story alizokuwa anakupa mwanzo anazirudia tena tena zikiwa zimebadikika

  • @worshipertv9968
    @worshipertv9968 6 років тому +2

    Asante kwa Mafundisho yako Kaka Joel kila napo kusikiliza lazima nipate kitu ntafata stage hizo ili mahusiano yangu yawe vizur

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому

      Safi sana Elias,nakutakia kila la kheri

  • @patelnay4124
    @patelnay4124 2 роки тому +1

    Yangu naona yametoka kwenye romance ,tukataka kuyarusha hadi kwnye commitment,,yalivunjikia hapo ,hayakuendelea😭

  • @babalois7240
    @babalois7240 6 років тому +2

    Nipo kwenye ndoa Kwa miaka kadha sasa,Ila siku zote nilikuwa sijui kama kuna hatua nazipitia,But baada kusikiliza Somo la MAHUSIANO duuuu. .. Nimefanya tathimin ya safar yangu yote ya Mahusiano,Aisee naona kama stage Zote nimepitia na Sasa Tumekuwa na mahusiano mazuri sana na Mke wangu, NA SASA TUMEKUWA TUNAFANYA KILA KITU KWA PAMOJA ..NA NAONA MAFANIKIO MAKUBWA SANA.. AS A STRONG TEAM.
    @Baba LOIS

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому +1

      Justine Mrope hongera sana Baba Lois nawatakia kila la kheri

  • @cornelykanje7962
    @cornelykanje7962 4 роки тому

    Kaka joel samahani sana koz mimi napitia mahusiano magumu sana na mwenzangu ya kuhpmbana especially yeye ni mjamzito.

  • @petermdabwa173
    @petermdabwa173 6 років тому

    Nimejifunza Kwa mafundisho asante

  • @lucianotodeschini
    @lucianotodeschini Рік тому

    Niko hatuna ya 5,thanx bro

  • @mwanamkasihabibu9915
    @mwanamkasihabibu9915 6 років тому

    Mie nataman haya ya kwanza ijrudue nmejfunza hongera kaka

  • @janethezekiel4057
    @janethezekiel4057 6 років тому

    Mimi nipo kwenye hatua ya power struggle stage

  • @yohanamagele3633
    @yohanamagele3633 6 років тому

    Wow great advice

  • @mimaryismail8500
    @mimaryismail8500 5 років тому

    Asnt kaka Joel mie nko kwny hatua ya pili kaka ang

  • @abelhilonga1095
    @abelhilonga1095 Рік тому

    Eti sio mweusi ni mweupe mweupe mapenzi bana😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @GodahMartin
    @GodahMartin 6 років тому +1

    great information ka mkubwa!

  • @mabexemmaxea811
    @mabexemmaxea811 5 років тому

    Mmmh!! Kwel Mimi nilimwacha hatua ya kwanza tuu(romans stage), hata ya pili atukufika Bros....

  • @royalmirage2005
    @royalmirage2005 3 роки тому

    Thank you for good information

  • @mussajabiry3891
    @mussajabiry3891 3 роки тому

    Mm nipo power struggle

  • @lilianbenson5774
    @lilianbenson5774 4 роки тому

    Asante kwa kweli mada ya pili inanipa changamoto.

  • @rosashy5076
    @rosashy5076 6 років тому +1

    I preciate u kaka .u opened ur minds

  • @gorgonusshayo920
    @gorgonusshayo920 6 років тому

    Asanteeeeee . mi nipo stag ya 3 , but ya 2 nusura tuachane

  • @albertinemacimu1247
    @albertinemacimu1247 5 років тому

    Daaah mi nipo kwenye hatua ya tatu maana kila kukicha unakuwa mwenyemaamuzi kabisaaa. Hadi unasema nimekomea hapa na kuchukia kila mwanaume duniani ila nashukuru kwamba kidogo navuta mguu kwenye hatua ya nne

  • @eliasluwela8498
    @eliasluwela8498 6 років тому

    nice one I'm on the 1st stage br

  • @magmjuni5780
    @magmjuni5780 6 років тому +1

    Unatufungua sana Joel, tunaweza kukupata kwamitandao mingine?

  • @azizsaleemz4134
    @azizsaleemz4134 6 років тому

    Hongera bro kwa somo zuri

  • @mamafadila7806
    @mamafadila7806 6 років тому +1

    Nakukubali sana uko sasa

  • @babuudamki4339
    @babuudamki4339 6 років тому +1

    mmmhh aisee nilifika hatua ya pili yakanishinda

  • @safimusa1011
    @safimusa1011 5 років тому

    Duuuh!!! Kaka nanauka asantebkwa mosomo yako
    Mie napenda zana kuchart sana na partner wangu

  • @mildrednasimiyu3524
    @mildrednasimiyu3524 3 роки тому

    napenda sana unavyo vundisha

  • @mrugamhono9451
    @mrugamhono9451 6 років тому +2

    Aisee nmependa sana nam nmepitia hayo ila nmefka ya tatu

  • @meshackadam1521
    @meshackadam1521 3 роки тому +1

    Kaka Joel kwa mm ninaona nipo kwenye hatua ya pili , lakini nahisi hatua ya kwanza sikuona kwa sababu nilikuja kutambua mwanzoni kabisaa mwenzang alikua anamahsiano na mtu mwingine ,

  • @ninirogers6997
    @ninirogers6997 4 роки тому

    Brother ubarkiwe xna kwa hili somo.
    Mm ni hyo stage ya pili kabisaa

  • @gloryasenga3441
    @gloryasenga3441 5 років тому

    Nimekuelewaa Sana Kaka

  • @tuntufyekapesa3901
    @tuntufyekapesa3901 6 років тому +1

    the best lecture ever

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому

      Tuntufye Kapesa thanks sana Tuntufye

  • @shaibumahanda6501
    @shaibumahanda6501 6 років тому +4

    Nipo kwenye struggle stage sema mwenzangu namuona kashaingia stability ila hapo nilipo nimeona kalbia mahudiano yafike mwisho lakn nilikomaa na mwezangu alikuwa ananiambia mbona nimebadilika sana??lakn naona kashaaza kunizoea nitaidalodii hii kwa ajilii ya kusikilizisha ilii iweze kutusaidia kuvuka hiii stage iliyongumu sana allah akubaliki kk joel

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому +1

      Shaibu Mahanda ahsante sana naamini itawasaidia sana

    • @shaibumahanda6501
      @shaibumahanda6501 6 років тому

      Mungu n mwema akielewa kama mm nilivyoelewa itatusaidia sana na kufanya tufikie maamuz sahihi kwa wakat sahihiii thank you brother joel

  • @doreenkanje7717
    @doreenkanje7717 6 років тому +1

    Bro thanx nimejifunza kitu

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому

      Doreen Kanje karibu sana Doreen

  • @nevilymaro2526
    @nevilymaro2526 4 роки тому

    Asantee sana

  • @aash4145
    @aash4145 Рік тому

    Ama kwel stage by stage, mapenz

  • @Unknow9473
    @Unknow9473 6 років тому +2

    Mungu akubariki sana

  • @alexdamian7869
    @alexdamian7869 6 років тому

    Daah hyo namba mbili inawatesa wengi .

  • @shanimwinuka9550
    @shanimwinuka9550 4 роки тому

    Asante bro

  • @immajmganga6158
    @immajmganga6158 5 років тому

    Uko vizuri kaka

  • @khamiskhamis5323
    @khamiskhamis5323 6 років тому

    We fundi 👍🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @EvalineSabato
    @EvalineSabato 7 місяців тому

    Inachukua muda gani kitoka stage moja hadi nyingine?

  • @raginauthor1881
    @raginauthor1881 6 років тому +1

    Niko hapa, nafuatilia somo

  • @deborahmakwega6420
    @deborahmakwega6420 2 роки тому

    Choose to love 4

  • @sarahkiango1340
    @sarahkiango1340 4 роки тому

    Jaman hiyo stage ya 2 inanicost

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 6 років тому

    Duh me mahsiano yangu huwa yansishia hatuwa yapili tu huwa napata tabu sana

  • @isaaclee5557
    @isaaclee5557 5 років тому

    Asee bro mimi cjawahi kumaliza hata hiyo atua ya kwanza naomba nipe ushauri hebu yan celewii hata nakwamaga wapiii

  • @yohanajoshua7881
    @yohanajoshua7881 6 років тому

    Ahahah n kwel Kabisa Romance stage

  • @aronrwebembera3306
    @aronrwebembera3306 5 років тому

    A'm me kwakwel Kaka Joel nipo ktk stage ya power struggle na inanipa wakati mgumu sana kwakwel na ndoa bado nifanyeje ??? Kaka Joel

  • @ninirogers6997
    @ninirogers6997 4 роки тому

    It reaches a time I feel like giving up

  • @titonimu4291
    @titonimu4291 3 роки тому

    Very good teachings

  • @hakiaman6859
    @hakiaman6859 3 роки тому +1

    Kiukweli mm sijui nipo kwenye stage gani mahana naona ya kwanza na ya pili zote zinaniusu kiukweli sijui nitafika Lin uko kwenye stage ya mwisho au niambie mtaharamu nilikosea labda nitafute mwingene ndo atakae nifikisha stage ya mwisho niwe free

  • @safiaabubakar1120
    @safiaabubakar1120 6 років тому

    Thanks Joel Nanauka

  • @mariambeauty4884
    @mariambeauty4884 6 років тому

    wanifurahisha mbayaa😂😂

  • @goldmaster6639
    @goldmaster6639 6 років тому

    baba nipo hatua ya kwanza yani Romans stage na ninamalengo na imani kwamba tutatafuna stage zoooote kikamilifu kwasababu
    God anapenda tunacho kifanya

  • @jamesford5219
    @jamesford5219 4 роки тому

    Mimi mahusiano yangu yamevunjika juzi,nafkiri yamevunjikia hatua ya 2,maana nlikuja kugundua mpenz wangu hakuwa na future yoyote,pia ni mbishi sana na ananijibu anavyotaka,apo nikijaribu kumrekebisha anakuja juu,ckuwa na jinsi mahusiano yalivunjika,

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 роки тому +1

      James Ford pole sana,naamini kuna kitu umejifunza.Unaweza kutafuta pia video yangu nyingine niliyoelezea hatua tano baada ya mahusiano kuvunjika.

    • @jamesford5219
      @jamesford5219 4 роки тому

      @@joelnanauka pamoja sana mkuu

  • @kfastak
    @kfastak 5 років тому

    Duh! Mimi mwenzenu hata sielew nipo hatua yangap ...!

  • @maryraphael7810
    @maryraphael7810 6 років тому +3

    mmm,asante sana,nimejifunza kitu,niko stage 2,,

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому +1

      safi Mary hongera kwa kujigundua

    • @maryraphael7810
      @maryraphael7810 6 років тому +2

      sijuti kukujua kupitia online, umenifunza mengi,Mungu tu atakulipa kwa namna ya kwake yeye anavyojua,sasa hivi sintapata shida huko mbeleni kwenye mahusiano/ndoa yangu,maana nimeshatambua

  • @dicksongadson2223
    @dicksongadson2223 3 роки тому

    mi.nipo atua ya kwanza lakin inanipa changa moto sana nifanyaje??

  • @rafikiinitiativemotivation8007
    @rafikiinitiativemotivation8007 6 років тому +1

    Nipo ktk Power struggle

  • @georgewilliam7319
    @georgewilliam7319 6 років тому +1

    thanks papaaa...

  • @christianmaterials4175
    @christianmaterials4175 6 років тому

    Choose to love (marriage) hadi muda tunafanya vitu as a team.
    Kila kitu ulichoongea hakuna ambacho sijapitia. Na vyote ulivyosema ni vya kweli.

  • @GodfreyMkodo
    @GodfreyMkodo 6 років тому +1

    Blessed bro

  • @samwelxamy2170
    @samwelxamy2170 6 років тому

    True ..

  • @jenifertati677
    @jenifertati677 6 років тому

    Hio hatua ya pili mbaya sana ndio inayonitesa mm kwa sasa

  • @IshushoTv
    @IshushoTv 5 років тому

    Joel duuuh umenikaza mimi. Niko. Kuma usiano ya (5)

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 6 років тому

    100℅ 100% 100% 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Joel

    • @farhatsinda5977
      @farhatsinda5977 6 років тому

      Mimi Niko kwenye stability stege tangu mwezi wa March Ila ninaona kama ninajilazimisha kuendelea na huyu mwenzangu, tunamali nyingi ila ninahisi kama naweza kwenda na mali hazina nafasi ndani ya roho yangu kwakweli kaka umenifundisha kitu kikubwa maishani mwangu ila cjui kama nitaivuka hii stage

  • @mariaemilian5839
    @mariaemilian5839 6 років тому

    Mwalimu hauna group

  • @hakiaman6859
    @hakiaman6859 3 роки тому

    Kiukweli unatujenga bhana

  • @gerardamos5689
    @gerardamos5689 4 роки тому

    Romance stage kaka

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому

    Ahsante

  • @ruttajames1263
    @ruttajames1263 5 років тому

    Kaka mm npo hatua ya Pili asante nimejifunza

  • @emmanuellaizer4548
    @emmanuellaizer4548 6 років тому +2

    shukrani sanaaa;;;;~

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 років тому

      Emmanuel Laizer Karibu sana Laizer

  • @sophiambunda1507
    @sophiambunda1507 4 роки тому

    Habal bro npo iyo ya 3 maucano kwangu n changamoto