my problem is spending virtual money and impromptu purchases, this is big challenges but according to you i hope everything will be right soon. thanks so much my brother may God grateful forever for what you are deciding to educate your around society pull up.
Asante bro kwa somo zuri mi no. 4 inanisumbua sana na hata sasa imeniweka kweny mahusiono mabaya sana na watu. Nisaidie niweze kutoka huko na kuwa financial independent person
Jaman na namba 3 inanihusu kabisa ngoja nianze kuifanyia kazi alafu pia naona kama zote zinategemeana kiac Fulani . ahsante Kaka Joel naanza rasmi nitakupa mrejesho naamini his utakua mwaka wa mwisho kuteseka
Ahsante kwa somo, lako kaka umetufumbua macho mda mwingne unaeza semaa nmerogwaa kumbe mwenyewee wajiroga na pesa zakoo tabia hzo kweli watu tunazo yaaan kati ya hzo tatu n zanguuu apoo ila kwanzia leo aaaah bhana wacha niwe mbahiliii
Mimi shida yangu pesa yangu haikai kabisaa Kila nikipata mshahara najikuta familia yangu Kuna tatizo muhimu lazima litatuliwe na hii inatokana na kutegemewa peke yangu katka familia yangu Nashindwa kutimiza malengo yangu kwa mfumo huo Hadi inafika pahala nakopa ili niweze kutimiza mahitaji hayo Sasa nikija kupokea mwezi mwingine lazima kwanza nilipe Deni na kiasi kinachobaki Ni kidogo Sana Nishaur Nini nifanye Mana mswala yote ninayo tumia hizi pesa Ni muhimu
Maomabi dear ikishashika mshahara ombea sema pesa zangu haziendi Kwa mangonjwa,shida Bali ninachotaka kufanya toa sadaka pia hope will happinesses in your 🙂
Tabia 4 zinazopoteza fedha 1. impropt purchasing -manunuzi holela solution - kuwa na bajeti 2.Spending more than u earn - matumizi makubwa kuliko unachoingiza solution - namna ya kupanga bajeti , limit kiwango cha matumizi 3. Spending virtual money- kutegemea pesa pesa ambayo bado huna bado haijawa halisi 4. excessive borrow - madeni yaliyopitilza solution usikope pasipo ulazima see u at the top
Somo zuri sanaa kaka. Tabia inayo sumbua ni kutumia pesa zaidi ya kipato pamoja na kununua vitu ambavyo haviko kwa bidget. Hili ni tatizo sanaa Kiongozi. Asante kwa mafunzo mazuri!
Asante sana Brother Joel, Nina changamoto kubwa sana, nimekufatilia sana bro lakin sijui na kwama wapi, mm n Mjasiria Mali mdogo, Mungu ni mwema napata kiasi ila tatizo langu kubwa hvi sasa ni mwaka wa pili nafanya biashara na faida naiona kabisa lakni mtaji wangu haujawahi kuongezeka hata kidogo zaidi ya kupungua kila mwezi unapo fika katkat, nabaki kujipa moyo kuwa mwezi unakaribia nitapata nyingne na ninapo zipata mambo uendelea kuwa vile vile mpaka leo, .......2020 hii naomba nitumie furusa hii kshea na wewe mawazo yangu labda naweza toka kwenye hii khari.....
Tabia ambayo inanisumbua ni kununua bila mpangilio na kutoa pesa kupatia watu wengine nikiwa nazo mfukoni. Leo nimejifunza nitakuwa sitembei na hela ili kujiepusha na mnunuzi yasiyo ya lazima na kugawa pesa bila mpangilio. Nikiweza kufanya hivyo nitakuwa na uwezo wa kutunza pesa zangu. Asante sana kwa somo hili na mengine.
Ni kweli madeni yanaumiza na kurudisha nyuma maendeleo. Nimejifunza kitu katika somo lako nina imani nitafanikiwa kwani nimekuwa na changamoto hyo ambayo imekuwa ikitokana na baadhi ya sababu ulizoainisha katika somo lako. Ahsante
Asante kaka changamoto ulizoongea zote sahihi ila ya mkopo inanikomesha sana na kuzingatia na familia ninayo sasa sijui KUPANGILIA bajeti Mke mtumishi na mimi mtumishi pia lakini hatuendelei
Asante Sana . Changamoto ninazo Joel unapata watu kadhaa wanaomba usaidizi wa kifetha. Na kulingana na mapato yangu ni kidogo sana na unapata mtu anakulilia Sana ili umsaidie sa kwa ile roho ya utu unajikuta katika ile hali ya usaidizi sasa mara nyingi huwa najikuta Sina hella kabisa na huku Mimi mwenyewe nataka kujihudumu kimaisha . Kupitia hayo yote ninapo kuwa nataka mpangilio fulani ili niweze kijiendelesha najikuta am emty what will I do
mercy wanjiku kitabu cha The richest man in babylon anasema ukiwa unasaidia watu kwa namna ambayo wewe unazidi kuwa maskini zaidi,wote wawili mtaishia kuwa maskini
No 1 Bro Ni Shida Pesa Zikiwa Mfukon Tu Nkipita Mjin Kila Kitu Nataman Najikuta Narud Nyumban Cjui Hat Nmebak Na Kias Gan Nanunua Tu Bila Hat Kujua Imebak Ngapi
mh uko vxuriii kimeeeleweka na message sent and delivery sasa nakuomba somo moja uachiee mda ama siku yeyote jinci ya kuweka Akibaaa yenye mafanikio.. Ur jinius,,, GOD blesss u
mm namshukuru Mungu kwa elimu unayotupatia mm changamoto yangu ni tofauti nategemewa na watu wengi kuliko uwezo wangu nifanyeje,nimezaliwa familia ya kimaskini wakulima wa kipato cha chini nimebahatika kusoma peke yangu nimemaliz chuo mwaka huu najishughulisha ili niishi ndoto yangu tatizo kubwa ni familia nzima inaniangalia mimi na wazazi ni wazee na wadogo zangu bado hawajaweza kujitegemea nifanyeje kaka joel
Nimeipenda sana lecture yako na mimi kweli nna madeni mengi benki na za watu binafsi. Zinanipa dhiki na maradhi na sijui vipi ntazilipa. Naomba msaada wako unipe njia ya kutatua hili tatizo
bro nimejifunza meng izo njia nne zote nitatizo kwangu ila njia ya tatu inanitesa Sana para kabla sijaipata Inakuwa ishaisha name inanipelekea Kwenye njia ya nne maden makubwa.be blessed
Ah kiupande wangu changamoto kubwa inayonikabili ni kwamba mimi binafsi kila fation inayoingia naitaka sikubali kabiswa kupitwa natumia pesa nyingi sana kwenye mavazi
Hongera kaka mimi nakufuatilia sana ninapenda sana kazi yako. Ila mimi ninaombi moja unweza kupata nafasi ya kuelezea jinsi ya kuweka akiba inayozaa yaani investiment. Ninahitaji sana hiyo elimu kaka umeeielezea ktk video ya namna gani ya kupanga bajeti 50/30/20.
kwakweli ni somo zuri kwa watu wote linalo washauri watu wawe makini ktk mapato na matumizi.ushauri endelea uwezavyo kutoa ushauri kwani wapo wengi wanasaidika kupitia mafundisho haya,mungu akubariki sana!
Ahsante sana kakaangu Mungu akubariki kwa somo zuri nimejifunza mengi.
Asante kwa maarifa ambayo naona kadiri nafuatilia napata kanuni zaidi za kunijenga,,mungu akubariki uzidi kutupa maarifa zaidi
You are very teacher. Thanks my brother Joeli nauka
kiukweli video zako zinanifanya nihisi kuwa nimerudi shule.moja katika vitu vinavyonisumbua ni matumizi ya pesa yasio kwenye ratiba.thnx 4 dat
Tabia namba 1 inanitesa sana brother joel nisaidie
Asante Sana Bro Ubarikiwe.
Uuh.. Zoooteee zinanitia umaskini. Nabadilika sasa. Asante sanaa
my problem is spending virtual money and impromptu purchases, this is big challenges but according to you i hope everything will be right soon. thanks so much my brother may God grateful forever for what you are deciding to educate your around society pull up.
Asante bro kwa somo zuri mi no. 4 inanisumbua sana na hata sasa imeniweka kweny mahusiono mabaya sana na watu. Nisaidie niweze kutoka huko na kuwa financial independent person
Nabadirisha maisha yangu kupitia kila unachokitoa bro... Thanx so much bt ninaomba kuwasikiana nawew moja kwa moja kama hutojali
Jaman na namba 3 inanihusu kabisa ngoja nianze kuifanyia kazi alafu pia naona kama zote zinategemeana kiac Fulani . ahsante Kaka Joel naanza rasmi nitakupa mrejesho naamini his utakua mwaka wa mwisho kuteseka
Kaka habari..Hili somo lako limenigusa sana kwa maana hivyo vyote ulivyovitaja Mimi navipitia..hivyo ningeomba ushauri zaidi.Asante
Thanks nakukubali sana
Ahsante kwa somo, lako kaka umetufumbua macho mda mwingne unaeza semaa nmerogwaa kumbe mwenyewee wajiroga na pesa zakoo tabia hzo kweli watu tunazo yaaan kati ya hzo tatu n zanguuu apoo ila kwanzia leo aaaah bhana wacha niwe mbahiliii
hongera kaka tupo sawa na mm
Mimi shida yangu pesa yangu haikai kabisaa
Kila nikipata mshahara najikuta familia yangu Kuna tatizo muhimu lazima litatuliwe na hii inatokana na kutegemewa peke yangu katka familia yangu
Nashindwa kutimiza malengo yangu kwa mfumo huo
Hadi inafika pahala nakopa ili niweze kutimiza mahitaji hayo
Sasa nikija kupokea mwezi mwingine lazima kwanza nilipe Deni na kiasi kinachobaki Ni kidogo Sana
Nishaur Nini nifanye
Mana mswala yote ninayo tumia hizi pesa Ni muhimu
Maomabi dear ikishashika mshahara ombea sema pesa zangu haziendi Kwa mangonjwa,shida Bali ninachotaka kufanya toa sadaka pia hope will happinesses in your 🙂
Tabia 4 zinazopoteza fedha
1. impropt purchasing -manunuzi holela
solution - kuwa na bajeti
2.Spending more than u earn - matumizi makubwa kuliko unachoingiza
solution - namna ya kupanga bajeti , limit kiwango cha matumizi
3. Spending virtual money- kutegemea pesa pesa ambayo bado huna bado haijawa halisi
4. excessive borrow - madeni yaliyopitilza
solution usikope pasipo ulazima
see u at the top
Umesummarize vzr mkuu
Asante sana Mr Nanauka. Somo hili ni muhimu sana kwa kweli kwa kila anaependa maendeleo
Daah kweli nilikuwa nyuma ya pazia Good 👍job BRO
Somo zuri sanaa kaka.
Tabia inayo sumbua ni kutumia pesa zaidi ya kipato pamoja na kununua vitu ambavyo haviko kwa bidget. Hili ni tatizo sanaa Kiongozi.
Asante kwa mafunzo mazuri!
Nashukuru sana kwa somo mi tabia yangu ni kutumia pesa kabla cjaipata na nikipata inapitiliza tyu kwa madeni
Dr Joel,my problem it No 3.this time i will try to change it. Nice video n thank am humble.
nakushkuru sana kaka nimejifunza kitu ila iyo no 2 inanirudisha nyuma sana
Shukran sana, ya pili huo unaozungumzia Kutumia kiasi kikubwa ni yale ninaoogopa pia mimi. Ahsante kwa yote hayo
hiyo n tabia yangu Sana but umenifumbua macho nabadilika kuanzia sasa thanks Bro
Najifunza kuliko .....nakufuatiria sana boss
Amina kaka ubarikiwe ntajitahid uku namtanguliza mungu maan nashindwaa
Ni somo zuri sana , nimejifunza na ninaamini nitabadilika sana na kwenda sawa
Asante sana Brother Joel, Nina changamoto kubwa sana, nimekufatilia sana bro lakin sijui na kwama wapi, mm n Mjasiria Mali mdogo, Mungu ni mwema napata kiasi ila tatizo langu kubwa hvi sasa ni mwaka wa pili nafanya biashara na faida naiona kabisa lakni mtaji wangu haujawahi kuongezeka hata kidogo zaidi ya kupungua kila mwezi unapo fika katkat, nabaki kujipa moyo kuwa mwezi unakaribia nitapata nyingne na ninapo zipata mambo uendelea kuwa vile vile mpaka leo, .......2020 hii naomba nitumie furusa hii kshea na wewe mawazo yangu labda naweza toka kwenye hii khari.....
Safi sana brother mafundisho mazuri ni kuifanyia kaz tu!!! Yote yananiuzu mm!!!
good teachings,,,
Bro good work.i am burundian .vipindi vyako binasayidiya sana.aksanti.
Tabia ambayo inanisumbua ni kununua bila mpangilio na kutoa pesa kupatia watu wengine nikiwa nazo mfukoni. Leo nimejifunza nitakuwa sitembei na hela ili kujiepusha na mnunuzi yasiyo ya lazima na kugawa pesa bila mpangilio. Nikiweza kufanya hivyo nitakuwa na uwezo wa kutunza pesa zangu. Asante sana kwa somo hili na mengine.
Ni kweli madeni yanaumiza na kurudisha nyuma maendeleo. Nimejifunza kitu katika somo lako nina imani nitafanikiwa kwani nimekuwa na changamoto hyo ambayo imekuwa ikitokana na baadhi ya sababu ulizoainisha katika somo lako. Ahsante
Asante kaka changamoto ulizoongea zote sahihi ila ya mkopo inanikomesha sana na kuzingatia na familia ninayo sasa sijui KUPANGILIA bajeti
Mke mtumishi na mimi mtumishi pia lakini hatuendelei
Respect to you author nanauka
aaaaa hii kila kitu nnachoona nataka tabia hii nnayo. Mungu nijaalie ukinaifu nijue bajeti namimi
Gooder sana mwanauchumi wangu sana me ni ya kwanza mkuu
Ahsante Sana kaka Joel umekua msaada na Coach Wang ,mm changamoto yang ni imprompt purchasing
Ahsante sana mwalimu kwa somo nzuri
Ubarikiwe sana na Mungu kwa masomo mazuri. Tangu Jana nilipoanza kupata vipindi vyako nimejifunza mambo mengi
hapo ni changamoto kubwa katika maisha yangu napenda vitu vizuri kwahiyo kikipita mbele yangu lazima ni buy
Nakukubali sana brother...big up
Ahsante Kaka nami pia tajitahidi
Asante,nishachukua hatua toka nianze kukusikiliza nimepiga hatua.
Nakuelewa sana mwalimu
Napata mengi nahanza kubalika kwa sasa
Asante Sana . Changamoto ninazo Joel unapata watu kadhaa wanaomba usaidizi wa kifetha. Na kulingana na mapato yangu ni kidogo sana na unapata mtu anakulilia Sana ili umsaidie sa kwa ile roho ya utu unajikuta katika ile hali ya usaidizi sasa mara nyingi huwa najikuta Sina hella kabisa na huku Mimi mwenyewe nataka kujihudumu kimaisha . Kupitia hayo yote ninapo kuwa nataka mpangilio fulani ili niweze kijiendelesha najikuta am emty what will I do
mercy wanjiku kitabu cha The richest man in babylon anasema ukiwa unasaidia watu kwa namna ambayo wewe unazidi kuwa maskini zaidi,wote wawili mtaishia kuwa maskini
No 1 Bro Ni Shida Pesa Zikiwa Mfukon Tu Nkipita Mjin Kila Kitu Nataman Najikuta Narud Nyumban Cjui Hat Nmebak Na Kias Gan Nanunua Tu Bila Hat Kujua Imebak Ngapi
Asante sana, ,ñakuelewa vzuri
I real enjoy your speech
Mungu azidi kukuinua Mwalimu bola katka maisha yangu
Kaka nakushkuru sana nimejifunza hapo sehem ya tatu pameniumiza muda mrefusa
Hiyo namba 1 hiyo mm ni mzigo miaka sasa nikikosea tu nipitepite hela namalizia huko
mh uko vxuriii kimeeeleweka na message sent and delivery sasa nakuomba somo moja uachiee mda ama siku yeyote jinci ya kuweka Akibaaa yenye mafanikio.. Ur jinius,,, GOD blesss u
Ni kweli uyasemayo. Mi nna mawili yanayonikabili ambayo ni excessive borrowing and spending more than aern
ASANTE SANA mwl.Joel. Umenisaidia kuhusu kutumia fedha Bila bajeti. Pia kutumia kwa vitu visivyo vya Lazima
mm namshukuru Mungu kwa elimu unayotupatia mm changamoto yangu ni tofauti nategemewa na watu wengi kuliko uwezo wangu nifanyeje,nimezaliwa familia ya kimaskini wakulima wa kipato cha chini nimebahatika kusoma peke yangu nimemaliz chuo mwaka huu najishughulisha ili niishi ndoto yangu tatizo kubwa ni familia nzima inaniangalia mimi na wazazi ni wazee na wadogo zangu bado hawajaweza kujitegemea nifanyeje kaka joel
kweli kabisa kwanzia leo nitabadilika nimependa somo lako brother
Asante sana bro
Mimi natoka Kenya lakini nakufutilia Sana mafunzo yako Joel umenitoa mbali Sana nashkuru Sana mungu akuongesee maharifa kwa mafunzo...
thanks brother umesomeka
Jaman mm ugojwa wangu ni namba 2
Asante sana brother kwa taaluma yako nzr ubarikiwe sana. Mm njia ya 3 na 4 ndio changamoto yng kw xx ktk maisha. Je! ni2mie njia gn kujikwamua?
wewe jamaa unaakili kweli mhhh,Mungu akubariki coz unatutoa kwenye darkness situation
Asante Sana najifunza mengi kwako kila siku
Asante kaka..mim nlikuaga hapo matumizi bila mpangilio
Ahsante mwalimu haya nichangamoto ya watanzania walio wengi endelea kutufundisha usikate tamaa
Your speark truth bro,i am from Arusha
Asante.....Nimesaidika sana
broo mi nikipata ela haikai sjajua shida
Yaani vipindi vyako vinanibadilisha kweli.....Sante sana sana
true mr Njoelnanauka
Yaah mkali upo vizur na umeeleweka saf sana unatuelimisha
I’m horrable with money nikipata tu naspend I’m learning a lot asante kaka
salma luhombero sawa salma,hongera sana kwa kutambua hili na naamini utafanya marekebisho haraka
Ninamengi sana ya kuvurikiwa mipangilio na ninamshahara mkubwa lakini siishi vizuri kabisa
Bwana mkubwa Joel Elimu yako ni nzuri sana ila jitaidi kuandika izo title kwa kiswaili Asante
Nimeipenda sana lecture yako na mimi kweli nna madeni mengi benki na za watu binafsi. Zinanipa dhiki na maradhi na sijui vipi ntazilipa. Naomba msaada wako unipe njia ya kutatua hili tatizo
Brother masomo yako very strong sana. Umenitoa sehemu moja kwenda nyingine. Mimi nakopa sana nisaidie mawazo.
baba nimekuelewa vizuri sana ila namba moja inaniusu kabisa ujakosea
Duh we jamaa ni kiboko anaekufatilia halafu asibadili maisha basi akutafute akueleze tatizo lake huenda analo tatizo la siri nakukubali bro
Mbona ukiwa bahiri Sana ili mipango yako ya maisha ikamilike watu wanakukasirikia wanasema una roho mbaya halafu wanakutenga
bro nimejifunza meng izo njia nne zote nitatizo kwangu ila njia ya tatu inanitesa Sana para kabla sijaipata Inakuwa ishaisha name inanipelekea Kwenye njia ya nne maden makubwa.be blessed
Nalipenda somo lako kwani lina mwongozo mzuri
all you talk it fact big up Mr.
Mungu akubariki sana brother, hizi tabia zote nimekuwa nazo , lakini namshukuru Mungu nitaanza kubadilika
"Usitumie pesa ambayo bado hujaipata" huu ni waraka kwa nafsi yangu. asante ndugu.
Kaka Pascal karibu sana Pascal
hii kama imenihusu Mimi nitachukuwa hatua
Kaka Pascal imeniusu namimi kbs
Da bhana nimekukubr sana iyo tabia yakwanza yan inanitesa sana
sanai samson pole ila uzuri umeshajua namna ya kushughulika nayo
Nashukuru sana kaka ila mm shida yangu ipo kwenye kutopanga bajeti naomba unisaidie
Ah kiupande wangu changamoto kubwa inayonikabili ni kwamba mimi binafsi kila fation inayoingia naitaka sikubali kabiswa kupitwa natumia pesa nyingi sana kwenye mavazi
Asante sana bro kwa somo zuri, mm hyo imprompt purchesing inanisumbua sna
mariam Masatu pole mariam,Pambana nayo uishinde
@@joelnanauka hi kka yng
God job nataman nipate mawasiliano ili tushauriane kwa mengi zaidi plz brother
Nimekuelewa Joel umenifundisha kitu. Aksante
Ziko vzur sana ,zimenigusa sana
Brother somo zuri sana ila simu nazo huwa zinawasha ukiziweka fedha
Ahdante saana kaka
Hongera kaka mimi nakufuatilia sana ninapenda sana kazi yako. Ila mimi ninaombi moja unweza kupata nafasi ya kuelezea jinsi ya kuweka akiba inayozaa yaani investiment. Ninahitaji sana hiyo elimu kaka umeeielezea ktk video ya namna gani ya kupanga bajeti 50/30/20.
Mwaikambo Frank hongera kwa kufuatilia Mwaikambo,nitaifanyia kazi
kwakweli ni somo zuri kwa watu wote linalo washauri watu wawe makini ktk mapato na matumizi.ushauri endelea uwezavyo kutoa ushauri kwani wapo wengi wanasaidika kupitia mafundisho haya,mungu akubariki sana!
Asante sana Joel n.a. 1 inanihisu
Uko saw brother bless
Umenierimishasana mungu akubariki
Braza tabia ya kukopa ndio imerudisha nyuma sana wafanya kazi tena ni advance salary.......