NAONA KUNA WATU WANASEMA SAUTI SHIDA, ILA MIMI HUKU INASKIKA, NA HATA NIMEPIGIA WENGINE SIMU WANASEMA WANASIKIA SAUTI, NAOMBENI HEBU JARIBU KUTUMIA SIMU YA MTU MWINGINE ALIEKARIBU YAKO HAPO KISHA MNIPE JIBU.. POLENI SANA
Yan mikatika kipengere kinanifurahisha nipale roma na wifi edna wanapokuwa na furaha nakipengere kinanikera nipale roma anapoongelea michepuko mbele ya edna inabid tukubar maana nguvu za Roma mimwenyewe siziwezi😂 haya tunaendelea tulipoi😊shia
😂😂😂 ooooh ... Niliwaambia wadau kua Buwen hatafanikiwa kwa lolote kwa Roma hata km Yuko Athena wake 😂😂 mambo ni🔥🔥 xx Edna kitumbua lzm kiliwe na michepuko soon wataka mbali xn tujuane hapa please...,bt kaka Lucas mbona sauti hakuna ama ni kwangu 2?? Pls tuambiane
Edin pore sana mwenzangu uyu Roma kama nimimi zamani nirisha fukuza Japo anagusauidia anakuzarawisha vyagutosha apaloho inaniuma nasiomimi atakama tunafundishwa kuvumiriya ngojayuone kitu kinagutuma unavumiriya kiasi ico marafiki watumishi apana👁👁👁
NAONA KUNA WATU WANASEMA SAUTI SHIDA, ILA MIMI HUKU INASKIKA, NA HATA NIMEPIGIA WENGINE SIMU WANASEMA WANASIKIA SAUTI, NAOMBENI HEBU JARIBU KUTUMIA SIMU YA MTU MWINGINE ALIEKARIBU YAKO HAPO KISHA MNIPE JIBU.. POLENI SANA
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI duuh ss wengine tupo peke etu hatuwez pata simu nyingine
Akuna mm nimejaribu Kwa watu watatu
😭😭😭😭
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI Mimi ata Kwa lafiki yangu nimejalibu kumbe nae shida ni iyo iyo
Mimi hapa pia uzuri niko na sm mbili sasa moja iko na sauti nyegine zzzzzzz
Mbona mnatufanyia ivi sauti
😅😅 nko na furahaa san plz kaka lucas like comment yngu mna nmwai san 🎉🎉❤❤ na uspo like itbd nfnyee maandamano npte like yko😅😅😅
Uwe acha tu
Kusema kweli simulizi zote za kaka lumbas hii ninaipenda Sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Sauti kwako inatoka???
😂😂😂😂yaan ww lucas umejua kutukomoa siosil achilia saut bas@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
Ruff ni mtoto wa bi wema kwa sababu kutokana na simulizi biwema alizaa na mchina
Mambo Yako 🔥🔥🔥🇴🇲 Yani nikikosahii simulizi ya Edna nakonda. Sana 🔥🔥🇴🇲🇴🇲
Leo nimekua namba 1 naomba like japo10 wadau
❤❤❤Team Roma muko macho Sana mm wamwisho nirudieni na likes ata 5 simulizi tam Sana nikutuliza komwe unaenjoy virivo💯🌹🏃
Sauti kwako inatoka??
Ipo kabsa@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
Hakuna sauti bado😢😢@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
Sauti kaka@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@@RehemasiryaKabahashaleo imetoka kwa mugao😂
Sauti ilikua hamna ila sasa imekaa vizuli haya kaka tuko pamoja mauwa yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Yan mikatika kipengere kinanifurahisha nipale roma na wifi edna wanapokuwa na furaha nakipengere kinanikera nipale roma anapoongelea michepuko mbele ya edna inabid tukubar maana nguvu za Roma mimwenyewe siziwezi😂 haya tunaendelea tulipoi😊shia
Mimi yangu Iko sawa kabisa sina shida na sauti tangu tuanze simulizi Niko na maua kwa kaka Lucas 🎉🎉
Nkadhani leo hamna .🎉🎉🎉 yako hayo kaka lucas kwa kweli una tufariji.kazk iendelee wadau
Mbn hamn saut au masikio yan2 😊😊😊😊
😂😂😂 kote tu
Watano jamani team Roma kumekucha 🏃🏃🏃 likes zenu 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
Team Roma hamna wivu mm n team Edina
Weee leo niko 10 bora aya mwenye kuweka like aniwekee ata 10 tu bas😮
Wa31 jaman Lakin hain sauti😂😂😂😢❤❤
Kweli nikajuwa nishinda ya sim yangu mpaka nimeifuta youtube makini Bado kumbe siko peke yangu
@@AnnaKayumba yaan ninajiis unyong kwl daaah
@@Salhah-v9h Yani Sina hata hamu ya kula😔😔😔
😂😂😂 ooooh ... Niliwaambia wadau kua Buwen hatafanikiwa kwa lolote kwa Roma hata km Yuko Athena wake 😂😂 mambo ni🔥🔥 xx Edna kitumbua lzm kiliwe na michepuko soon wataka mbali xn tujuane hapa please...,bt kaka Lucas mbona sauti hakuna ama ni kwangu 2?? Pls tuambiane
Lucus kwa nini mchepuko ya Roma inawivu kumdhidi Edna ❤❤
Lucas mm nimapenda iyo saut yko iko mwaaaaaah wacha nisikiliza edna vizuri❤❤🎉🎉🎉😅😅😅😂😂😂
Niko ndani sana
Kama utumbo sioo😂😂🎉
Luka Leo umejua kunitesa Kila dk naangalia jamn
Wa 4 leo nimewayi naomba mauwa jamani 🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉❤
Niko hapa kutoka Kanda ya kaskazini🎉🎉🎉
😊😊😊😊😊 40 part
❤❤❤my favourite
Apo sawa
🎉🎉🎉ante.kaka.lucas.kwa.muendelezo.huu.tuna.subiri.ya.jayo.nadhani.ya.nafurahisha.zaidi🎉🎉😂😂
Asante sana
Namba tisa😂😂😂 huku ❤ lakin kumaliza kuskiliza sasa hata kesho kutwa😂😂
Sasa mbn haina sauti jmnii au kwangu tu😢
Kumbe pia ww umeona eeeh😢😢
❤❤saut kwa bado
@@TeklaNdekeja ndio bado kwangu
Mmm aina sauti
Leo wa 73 kaka Lumbas Naipenda sana hii simlizi pongezi zikufikie
Eko sawa sahiiii ❤❤❤❤
Thank you.... kka lucas acha tuenjoy ❤❤🎉🎉
Jamani sauti hakuna
Nimejifunza yakwamba Dunia inawenyewe sisiwengine twapendezeshaduniatu.
Woow leo nmewai ako number 2 ❤❤❤❤
Mambo ni moto fire 🔥🔥🔥🔥
Asante upo vzr sana
Ukianza sauti hakuna lakini ukifika robo sauti iko.
Weee3 hapa Sasa n Roma n EDNA EDNA n Roma👍👍👍👍👍👍🎉🎉🎉🎉
Mungu wangu
Jamani kaka luka weitoe uweke upya atusikii amna sauti uwiii😅
Mm mwanzo sauti ilikua aitoki nikatoka nikaenda tik tok kidg alafu nimeludi tena sauti ipo haya twende kazi🎉🎉🎉
Jaman kalike hat kamoja2
Sauti iko sawa.
Aloooooooooo wadau mupo natike karibu sigukimbia uko🎉🎉🎉🎉🎉🎉 shukura Lumbasi💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
Mim natamani vitumbua vyote vya roma viliwe isipokuwa edna
Rufiii ndiye mtoto wa bi wema😍
Bismillah Minah baby yake roman nachelewa sana siku hizii😢😢😢
Ruffi ni mtoto wa bi WEMA
Shukran kaka Lucas Lumbasi ❤❤❤
🎉❤❤🎉
LUCAS LUMBASI wetu sauti yako haina shinda papa tunaku sikiliza vizuri sana like zangu kwako Lucas 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Wauuuu😂
Sauti vip
Wacha nianguke nayo kikenya Asante Lucas 😂😂😂❤
Hi simuliziiii km jua kali tuuuu ina mambooo yoteeeeeeeee dah tumefika kwenye upinde😂😂😂😂
Kweli 😂mtu akifinya apo kwa clear catche sauti inakuwa safi kabisa shukuran Lucas
😂😂😂😂😂😂 roma amenichekesha kweer leo jamn
❤
Jamani huyu Roma na Edna wanafurahisha 🤣🤣🤣, blandina alizaa kichaaa😂😂😂
Edin pore sana mwenzangu uyu Roma kama nimimi zamani nirisha fukuza Japo anagusauidia anakuzarawisha vyagutosha apaloho inaniuma nasiomimi atakama tunafundishwa kuvumiriya ngojayuone kitu kinagutuma unavumiriya kiasi ico marafiki watumishi apana👁👁👁
Kawia ufike🎉🎉
🎉🎉🎉
Usijali tuko pamoja mpaka mwisho
🎉🎉 Lucas maua yako😊
Mbona hamna sa
Mbona kwangu haitoi sauti jamanii😢😢😢😂😂😂
LUCAS ROMA❤️❤️❤❤ngoja kwanza
😮♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹simulizi njoo utamu kolea💃
Hii part ya 39 ninzuri sana hata leo asubuhi nairudia tena kuisikiliza
🤣🤣huyu mwamba anawahulumula kama kuni🤣🤣🤣
Mbon hakuna Sauti jamani
Hata. Kwangu hakuna sauti
Ll@@FatumaRamadan.Mwalim
Sauti ni yahades wazaman
😁❤❤❤🎉🎉🎉😁
Kutucheleweshea Edna jamn ndo nn luka
Mbona hamna sauti😢😢😢😢
Kwahi story omar ananirahisha😂😂😂😂 kumfatafata roma
Jamani mbona leo sauti inanitesa ivyo😢😢😢😢
Anko Jay Jamani eti ukimpa mpenzi wako zaidi akiikataa wewe tumia😃😃😃 sasa hapo unachochea moto au????
Mbona akuna sauti
Lucas tunateseka kwasababu ya saut😢😢😢😊
Mashaal asant ❤❤😂😂😢😢🎉🎉🎉
Acha tu nichelewe tu make jana nime kuwa wakwanza kabisa ila nimenyimwa like
Mbona hii Haina sauti
Nimewai lkn saut 😢
Duuh leo imekuaje kwani
Noyon inagawa sana inapita burefu
Mbona kwangu haina sauti
tusaidie jamn kaka
😂😂😂😂 Roma kanishinda jaman
Roma nawanawake wote hao lkn ikifikia kwa Edina anakua mdogo kama kidonge cha portion mwishoo naona atawaacha wote
Maombi kwa edina na familia yake
Haina sauti jamani🎉🎉❤
❤❤❤❤❤❤❤❤
Jmn huyu lufi nae mbona naona analeta kichefuchefu
na mimi inaskika
Ondoa shaka mimi nipo hadi mwisho hata kama itafika mia
Kwangu pia Haitoi Sauti 😢 Jamani Cijui kwanini😢