Naona mambo n moto cris anatoa siri Mimi apa mkenya kutoka Nairobi je nimechelewa lakn nimefika mnipe like atakama ni 10 mi nanza kuwapa maua🎉🎉🎉pia nawapenda nyote wasikilizaji wa Edina kama Mimi na wa❤❤❤❤
jamani wenzangu na mimi muko saudia je munakuwa na mudi yakazi bila roma na edna na michepuko kusema kweli mimi na enjoy sana iyi simulizi huwa sinaga mawazo nikiwa na iyi simulizi thank u mutunzi na musimuliyaji God bless 🇧🇮 na enjoy niki saudia
@@MwanatumuJumaa-rj4fgkumbe tuko wengi tulio na stress za nyanya wa kiarabu mungu atustiri Kwan akipaliwa tu na maji family nzima ikija juu shufi lashi heki 😊😊😊ithi sababu mungu atupe uvumilivu inshallah
Huyo Athena hawezi kuingilia mapambano ya Roma na Yan mbuwen maana yan mbuwen amekaidi maagizo ya Athena sasa na huyo Athena asijifanye muelewa lazima aangushwe na mwamba Roma Ramon😂😂😂😂
Edna ni uninhabited ama ni roho nzuri?, namuombea Edna Mungu amsaidiye kwa moyo wake mwema, na ampe tuu Edna uzazi na yéyé tuu amzalie Roma n’a Roma abari tu na Edna na Amina. Naomba like zébu Mimi niko mare Kanu👍👍💪🏾
Mm siezi kumpa maua mama Roma naona tu ni mnafiki, hiv angekua ni yy anayopitia Edna angevumilia, acha nife nikiwa single siwezi vumilia huu upuuzi na hata mtoto wangu sitakubali amumize mtoto wa mtu😢😢
Pia yeye hapendo mbali mtoto wake ndo anawachaganya kama unakumbuka mama roma ashawai mwambia roma aachane na michepuko but roma ndo anazidi kuongeza ,,,tuseme mama roma hana baya mbali mtoto wake ndo malayq
❤❤🇹🇿Jamani sijuw nimekua wangap ila upendo umepoa, jaman yan buwen mbona km zombi😂, hawa madem hawajierew, atahivo roma kanishinda tabia sikwakosa eshima uko familia tutakiwa tufamiane haya me niko mwanza kitangili karbuni ote ukiwa mwanza nicheki kupita hapahapa nawapenda❤💯🏃
Naitwa Haslan Karekezi. nimzaliwa waburundi baba angu Akiwa ni mnya Rwanda namimi Nawafatilia Nikita RWANDA KIGALI Napenda Sana Tena Sana Kazizenu Mbarikiwe
Okay asante kaka Lucas kwa mara nyingine tena tunashukuru xn kwa simulizi tamu.. nani anaamini Buwen atafanikiwa kwa mipango yake kwa wapenzi wa Roma Mimi nakataa hatafanikiwa kwa lolote
Huyu yan mbuwen asipo uliwa na Roma Athena hata muacha salama asha muonya naona kajizima data nahiyo sula yake ksma musukule Roma atamutenganisha kicwa na kiwiliwili😂😂😂😂😂😂😂😂
Wakwanzaa jmn mbn sipati like za kutosha wadau
Je wwe wawapa wenzio hizo likes
Naona mambo n moto cris anatoa siri Mimi apa mkenya kutoka Nairobi je nimechelewa lakn nimefika mnipe like atakama ni 10 mi nanza kuwapa maua🎉🎉🎉pia nawapenda nyote wasikilizaji wa Edina kama Mimi na wa❤❤❤❤
Wale tunao wahi harafu tunakuwa WA mwisho kumaliza kuskiliza like pamoja nami❤❤
Tupo
Tupo wengi😂😂 mm ndio namalizia saa hii
@@Kellyperry947 hata mm😅😅
Aaw1
Kama kuna simuliz inayo nparaha nihii naisikiza nikiwa Saudi Arabia shukuran kwako ww Kaka Lukas 🎉🎉🎉❤❤❤❤
Jaman naomben like hat moja2 nimewah kdog
Mimi nazikiliz simuliz nikiwa Burundi. Tumewez kufika sehem ya 38 kwapamoja. Allah akupe afya Kaka lumbas ili tufike sehem ya mwisho kwapamoja asante
Nipo Dar es Salaam,Riverside apa.namuonea huruma Yan Buwen 😂😂ni kama anamshika makalio Mwamba
Jamn mwamba Roma hiyo kazi n kubwa sana utaweza jamn wapenz wa Edna tumuombe mwamba Roma afanikiwe ju ni 🔥🔥
jamani wenzangu na mimi muko saudia je munakuwa na mudi yakazi bila roma na edna na michepuko kusema kweli mimi na enjoy sana iyi simulizi huwa sinaga mawazo nikiwa na iyi simulizi thank u mutunzi na musimuliyaji God bless 🇧🇮 na enjoy niki saudia
Sema kuburudika hadi hiki kinyanya changu huniuliza ni nni hiki nasikiliza 😂😂😂
@@MwanatumuJumaa-rj4fg😂😂
@@TeklaNdekeja ukiwa huku kwa waarabu utanielewa tuu
@@MwanatumuJumaa-rj4fgkumbe tuko wengi tulio na stress za nyanya wa kiarabu mungu atustiri Kwan akipaliwa tu na maji family nzima ikija juu shufi lashi heki 😊😊😊ithi sababu mungu atupe uvumilivu inshallah
Niko ndani,nasikiza kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tupo pamoja Lukas lumbas na Hapa nipo kalyakoo Swahili na uhulu nafurahi kuwa mwanafamilia wako wa simulizi nzuli hongera sana😍😍😍
Hee jaman hamjawah kunipa hata like 1 kweli wadauu
Chukua hiyo dear
Yan Buwen ni handsome ☺️ 😁 nashangaa anawezaje kuwa na mbinu nyingi wakati anaonekana mdogo😅😅
Nashukru kwakufika hapa mm naiskiliziya hapa Riyadh 🎉
Jamani jamannimekuwa wakwanza leo woyoooo🦸🦸♂️💃🤸♂️
Tuko pamoja Lucas usichoke kutuletea mwedelezo ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Wakwanza jamani naombeni lke zenu wapendwa
Ahsante sana kaka Lumbas kwa burdan za Edn 38 nakusikiliza nikiwa Kigali Rwana
Nataman hii story ingekua sizoon tupate kumuona uyu mwamba roman mwenye madem lkn ana mbegu 😂😂😂...
Wa 4 team Roma mi na sikiliza niko kwenye ziwa maggiore 😂😂🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
Huyo Athena hawezi kuingilia mapambano ya Roma na Yan mbuwen maana yan mbuwen amekaidi maagizo ya Athena sasa na huyo Athena asijifanye muelewa lazima aangushwe na mwamba Roma Ramon😂😂😂😂
Kaka lucas nkuskiza nkwa Saudia ila nimkenya from kwale County nkupnda san na nfurai kutubrdsha lwa smlzi zako tamu na znye mafunz ❤❤❤🎉🎉🎉
Hi WA kwale mwenzangu
amin nakusikiliza nikiwa tanzania mwanza
Mh ila jamani leo nimekuwa wakwaza ila adi saivi amjanipa like ila sio poa😒🥺
Mambo nimatamu sana mie niko omani Anko Lucasi 🇴🇲🇴🇲 yani edna nitamu sana
Goodluck Shiyo. Pande za Dodoma huku . Mm ninaami wakwanza kubeba mimba anaweza kuwa Edna coz kuna chembechembe fulan zinaonyesha ana nguvu fulan hv
Mm nfatilia smuuliz zako zote naipenda san saut yako nko saud
Ata mm niliipenda sana i sauti
Edna ni uninhabited ama ni roho nzuri?, namuombea Edna Mungu amsaidiye kwa moyo wake mwema, na ampe tuu Edna uzazi na yéyé tuu amzalie Roma n’a Roma abari tu na Edna na Amina. Naomba like zébu Mimi niko mare Kanu👍👍💪🏾
Mshabiki tuombeni Sana Roma ashinde hii vita
Kenya unani bore nayo boss..ni volume yako ya bedroom...am from Saudi Arabia shagala oyoooooooooo
😂😂 ngumi sugunyo
Jamani amsinzihi Mimi macho kila mda ila na kuta tayari😂😂😂
from saudi simulizi inapenya kama... 😂😂
Nasikiliza nikiwa saudi Arabia, shukran kaka Lucas Lumbasi ❤❤❤❤
Mm siezi kumpa maua mama Roma naona tu ni mnafiki, hiv angekua ni yy anayopitia Edna angevumilia, acha nife nikiwa single siwezi vumilia huu upuuzi na hata mtoto wangu sitakubali amumize mtoto wa mtu😢😢
Pia yeye hapendo mbali mtoto wake ndo anawachaganya kama unakumbuka mama roma ashawai mwambia roma aachane na michepuko but roma ndo anazidi kuongeza ,,,tuseme mama roma hana baya mbali mtoto wake ndo malayq
Iyoni kwe li ina uma ila tatizonisisi wanawake kuchindwa kujiwekanafasi yauyoanaye acha
Mm kaniuzi Sana kwanini kumtenda Edina huruma😢
@@haluwaharuni4564 kweli kabisa
Hi na itwa shanari Husseni nasikiliza kutoka sudia Arabia. Nakupenda Bure 2 bro unaniliwaza wallahi.
Sasa kweli nakubaliana Lucas kuwa story imenonga kweli kweli!🎉🎉🎉
Nipishe niwahi🏃🏃🏃ooooh nimewahi kidogo napenda sana edna niko burundi asante lucas
❤❤🇹🇿Jamani sijuw nimekua wangap ila upendo umepoa, jaman yan buwen mbona km zombi😂, hawa madem hawajierew, atahivo roma kanishinda tabia sikwakosa eshima uko familia tutakiwa tufamiane haya me niko mwanza kitangili karbuni ote ukiwa mwanza nicheki kupita hapahapa nawapenda❤💯🏃
Kiranja mkuu: Leo umechelewa sana shots wangu🎉🎉🎉
😂😂❤ nakuisikiliza ndo niianze@@TamaAbdulazizi
Good Job kaka lucas asant jamani nasikiza ni kiwa Iraq ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Niko Bujumbura ila watuwaako kasi kuwahi simucezo Lukasi Ongera🇧🇮🇧🇮🇧🇮💐💐💐💐
Natamani zawa ya Roma siku ya harusi yao iwe ni kuachana na michepuko yote abakie na mkewe Edna tuu kwa kuwa atakuwa amevumilia yote
Tumuombee iwe hivyo
Naitwa Haslan Karekezi. nimzaliwa waburundi baba angu Akiwa ni mnya Rwanda namimi Nawafatilia Nikita RWANDA KIGALI Napenda Sana Tena Sana Kazizenu Mbarikiwe
VIP Mumbi Wa Naivasha ako Ndani, Nasikia from Ziwa Naivasha
Kuna mtu anaonja moto kwa ulimi 😂😂😂😂😂 minasikiliza simulizi hii nikiwa dubai nikiikosa kaz haziend
Edna ni nzuri sana
Mambo ni moto🎉🎉😂😂
Niko rada wakwanza in saudi
Yan Buwen ana sura mbaya kama roho yake🤣🤣🤣🤣
Naona kajaa vumbi cjuw kachakazwa na roma 🤣🤣🤣🤣😀😀
Wow nimesikiza kuchelewa jamani nasikiza ni Kiwa Saudi Arabia Riyadh ❤❤❤❤🎉
Nasikiliza nipo Uasayi
Naona Athena akirahisisha kaz ya Roma kwa kumuua Yanbwen kwa sabab, Yanbwen anavuka mipaka yake nakufanya Yale aliyokatazwa Athena
Ubaya ubwela yan bweni utakiona cha moto wewe yaani umemgusa simba masharubu yake shauriyako😢😢
Huyo yani Buwen anacho kitafuta ata kipata tuu😅😅😅😂😂
Asante san inanip furah na nikikosa naumwa niko oman 🇴🇲
Wa mwisho leo😅😅😅 nakupata nikiwa 🇨🇦
Natowa salamu kwako Kaka Lukas mimi nafuatiliya Tanguy sehemu ya kwanza hadi 38 sijapoteza hâta moja mimi Tsongo kutoka Goma town dr Congo
Lucas I am watching from Sydney Australie be blessed papa ❤❤❤❤
Sio kwa kusubiri huku kaka,Ila pokea 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tuko pamoja kaka Lucas ❤ nakupata nikiwa mbweni DSM
Daa,Roma ana mishe nyingi kuliko mfalme wa kawaida ni kama anatawala dunia nzima kwakweli 😂😂😂😂😂😂
Sijapenda Roma kunyandua Rose na Doris kwa wakati mmoja 😅
Uyo roma anatiya asira yani minyanduo tu edna ashamshinda kumyanduwa
@@jamilanahimana-wc4nd 🤣anakera tena sana, wakat wa edna bado mpa wafunge ndoa ya kanisa
Kabisa 😂😂😂😂 jambo la kwanza la mwanamke anachotafuta kwa mwanaume wake ni ulinzi 😂😂😂
Jaman nmecherewa naksikiliza kutoka dsm
Mkuu Lumbasi unarekodi kwa sauti ya chini sana jaribu kupoteza sauti kidogo tafadhali
Uyu Edna uyu Sio bule kalogwa uyu we kuweza
Kwanini isingekuwa movie jmn mm nasikiliza nikiwa 🇴🇲
Achezee tuu namichepuko lkn asimchezee Edina
Okay asante kaka Lucas kwa mara nyingine tena tunashukuru xn kwa simulizi tamu.. nani anaamini Buwen atafanikiwa kwa mipango yake kwa wapenzi wa Roma Mimi nakataa hatafanikiwa kwa lolote
Ubarikiwe bro Yani nilikua nimeboeka mno ❤❤
Yani naifatilia nikiwa apa Saudi Arabia makofi kwako unatia watu motisha sana sana❤❤❤
Huyu yanbueni anaota ndoto ya mchana kulala na athena 😂😂😂😂
Bismillah😢 baby minah
Mungu akuweke
Je kuna uwezekano usimul8aji wa kucas lumbas Athena alishawai kuuona kabla na lucas yupo kwenye marudio tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😊😊😊😊😊😊😊jamani kuna watu Wanatisha sula zao kaaa😂😂😂😂 kaka leo umesha hongela umeniacha nicheke
Niko omani nimekuw64❤❤
Niko kagera wilaya ya Karagwe.
Nasikiliza Niko kigali❤
Nik na ww mwanzo mwisho kaka luca from pembaaaaaaaa 🤗🤗🤗
Naisikiliza nikiwa saudia❤❤❤
Nikitokea Dsm pamoja sana
Lucas mauya wako🎉🎉🎉🎉 kwako simulizi tamu
Tanga one hiyo 🎉🎉🎉
Yaani huyu yanbueni simpendi 😂😂😂😂 hadi basi tew
Nipo geto dodoma ❤
Niko nyuma kama mkia ila tuko pamoja kaka Lucas shabiki wako kutoka Abudhabi 🤗😍
Sijachelewa sana 🎉🎉🎉🎉❤
Kumbe Yan Buwen ndo huyu 😂😂😂
Ameeen🙏🙏🙏mimi.na.una.nisumulia.nikiwa.saudi🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅
Lucas unazinguw 😂kwaiyo Mama zetu wanajuw waume zetu😅😅
Nakupa vyema kabisa kutoka pande hzi
Toka RDC ❤
Ameen Ameen
Huyu yan bweni ana sura baya kama roho yake😅😅
Mmmmh afazali Roma kuliko Yan buwen weee hiii sura jaman 😊😊😊
Mbona mzuri tuu jamani
@@MwanatumuJumaa-rj4fg weee kwa kiranga changu siwez hat kuomb namb yake 😏😏
Huyu yan mbuwen asipo uliwa na Roma Athena hata muacha salama asha muonya naona kajizima data nahiyo sula yake ksma musukule Roma atamutenganisha kicwa na kiwiliwili😂😂😂😂😂😂😂😂
Naona amejoka kuishi anafata kifo
Nimeipenda hiyo
Nafatiliya sumulizi hii nikwa saudiArabia
Oman 🇴🇲
Niko rdc congo nord-kivu beni