EDNA PART 40 | MASKINI RECHO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 141

  • @OmanBahla-i5g
    @OmanBahla-i5g 2 місяці тому +13

    Mpaka tunakaribia kuwehika kwa kumsubiria Edna😀🤣🤣🌹🌹🌹🙏

    • @LeahIbrahim-ib4ss
      @LeahIbrahim-ib4ss 2 місяці тому

      Yaan Mimi ndio siangalii kitu kingine nasubiria tu Edna naona simulizi zingine hazinikoshi😅😅sijui ndio nishaanza kuwehuka😂

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 2 місяці тому +6

    Mimi kama Mimi nachukua mfano wa Edna ❤❤❤big up to her

  • @SofiaKhamis-o1k
    @SofiaKhamis-o1k 2 місяці тому +7

    Nimewai na mm leo🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @EstherMlai
    @EstherMlai 2 місяці тому +14

    😂😂😂haya kulikoni michepuko imeanza kuhurumiwa jmn niliwaambia hawatafua dafu kwa Edna tuendelee kuskiza tujue yanayojiri humu ndani like zenu wapenzi wangu nawapenda xn ❤❤❤

  • @ReginaJumanne
    @ReginaJumanne 2 місяці тому +14

    Kama wee mwananchi gonga like Leo hatupoi mpak kielewa 💚💚🖤🖤💛💛

  • @MwajumaToh
    @MwajumaToh 2 місяці тому +3

    Hengela kaka.tuko pamoja na simulizi yetu pendwa❤❤❤❤❤❤

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 2 місяці тому +8

    Aminiiiiiii Asant kwadua 🇧🇮wadau Leo vipi mumekosa usafiri?😁😁😁😁😁😁🫂nawapenda ntakuja badae lakini Baba Lukasi Roma anazidi jamani yangu🦻🦻🦻

  • @jamilaabubakar8070
    @jamilaabubakar8070 2 місяці тому +11

    wa kwanza jaman naomba like zangu

  • @jasminmohagthari3730
    @jasminmohagthari3730 2 місяці тому +7

    Ayiiii wakwanza miee 40 🎉🎉🎉

  • @ZulfaSeif-p2s
    @ZulfaSeif-p2s 2 місяці тому +7

    Edna jamani tutakonda mana Siyo kwakusubilia huku

  • @PerpetualWanyama
    @PerpetualWanyama 2 місяці тому +5

    Jamn nime wai ak mnipe like

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 2 місяці тому +4

    Waooo, kweli Roma anajua kuchaguliwana vyuma vya nguvu 😂😂😂😂😂😂

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 2 місяці тому

      Hii ni ps kal

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 2 місяці тому

      @@TeklaNdekeja 😂😂 kabisa😂😂 inawachanganya wadada na wamama hadi sio poa🤣🤣

  • @siliminamachao3485
    @siliminamachao3485 2 місяці тому +8

    Naona kitu icho Edna ngoja tuskilize

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 2 місяці тому +3

    Finally Edna ndio huyoooo shukran kaka Lucas ❤❤❤❤

  • @MaimunaSudi-nv7zt
    @MaimunaSudi-nv7zt 2 місяці тому +1

    Kaka lucas lumbasi may allah bless you we are really enjoying 🎉🎉

  • @hadiaali5517
    @hadiaali5517 2 місяці тому +7

    Wa Kwanzaa aaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @vailethmwakipesile6698
    @vailethmwakipesile6698 2 місяці тому +3

    Naielewa sana hii store 😊😊😊😊

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 2 місяці тому +26

    ❤❤oyooo Edna wetu hewani jamani njooni ote tulio miss pita likes tuendelee na🔥🔥💪wa Roma kitubua naelim kwawingi Lucas Asante Sana tunakupenda Sana mpendwa wetu mungu niwema tutaitimisha pamoja🌹🌹🏃

    • @Kellyperry947
      @Kellyperry947 2 місяці тому +2

      ᴮᵃⁿᵃ weee😅😅😅

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 2 місяці тому +3

      @@Kellyperry947 rose kifaa hicho

    • @Kellyperry947
      @Kellyperry947 2 місяці тому

      @@TeklaNdekeja ˢᵉᵐᵃ ʲᵒᵐᵇᵒ😋😋😋🤣

    • @YasintaHongela-j4s
      @YasintaHongela-j4s 2 місяці тому +3

      Sawa ila hamfikii. Edina kwani uzuri. Wa mtu ni tabia ninamkubali sana Edna

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 2 місяці тому +3

      Ndio Edna nizaid kwanza ajieshim sana

  • @Fatum112
    @Fatum112 2 місяці тому +5

    ❤❤❤kweli kabisa anko lucas usemayo maana ss wa saudia mahusiano hayadumu kwa sababu hiyo

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 2 місяці тому +6

    Lucas mk2choka hata 2kwepo mnatoka nnje😂😂😂

  • @lucywangesh4208
    @lucywangesh4208 2 місяці тому +3

    Lucas am not feeling well bro but tuko pamoja ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 2 місяці тому

    ❤❤❤❤Yani Edna nitamu mnoo MashaAllah Anko Lucasi Ahasante sana Kwa mwendelezo wa Edna Mambo nimoto naic rufii ndio mtoto wa bi wema natamani. Edna amchukuwe rufii akakae nae nyumbani kwake❤❤❤🇴🇲🇴🇲

  • @khadijahamisi6558
    @khadijahamisi6558 2 місяці тому +5

    Rose kafnyje tena uwii😀😀😀🙏🙏😍🔥🥰😘

  • @IreneFuraha-y6z
    @IreneFuraha-y6z 2 місяці тому +3

    Nice simulizi kaka lukasi

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 2 місяці тому +3

    Kaka lucas sio kweli kusema roma hafurukut ilehali anauzi kl saa anakera sana huyo mtu wako mwambie ajilekebshe lasivo nyoka hatalamba unga sku zote😂

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 2 місяці тому +7

    Wapili jamani team Roma likes zenu 🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 2 місяці тому +1

      Jamani huyu roma ananisikitisha sana jamani yaani sijui kwanini anafanya hivi kwa edna tulikua tukisema Ed Wa x kwa ankojy mpenda wanawake daaah Roma kazidi jamani lo

  • @LeahIbrahim-ib4ss
    @LeahIbrahim-ib4ss 2 місяці тому +2

    Kaka lucas t uletee na picha ya sophia alivyo mrembo kama edna 🥰🥰

  • @Monica-p3k
    @Monica-p3k 2 місяці тому +6

    Sjakuelewa jaman naomba like zenu

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 2 місяці тому +6

    Rose rose rose kafany nn tena jmn kaachwa au🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Holiness-to3wp
    @Holiness-to3wp 2 місяці тому +3

    Mmh rechol anataka kuonja utamu wa roma je roma atakubali kweli

    • @سيدا-ص1ز
      @سيدا-ص1ز 2 місяці тому

      Hawa wanawake sijuwi wanashunda ngani yani mtu akepewa nsanda basi mpaka ampe kitumbua

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 2 місяці тому +4

    cjachelewa sana wadau

  • @MwajumaToh
    @MwajumaToh 2 місяці тому +2

    Kweli edina anakazi unafikili loma atamuacha ila uvumilivu unamwisho

  • @ChristinesifaRuwa-jx4qw
    @ChristinesifaRuwa-jx4qw 2 місяці тому +3

    Huyu Neema liwazo, ni mtu mzima ovyooo

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 2 місяці тому +1

      🤣🤣🤣 hilo ni kubwa jinga,Liambie hilo lisijisahaulishe Bure 😂😂😂😂

  • @aishasalim-9036
    @aishasalim-9036 2 місяці тому +3

    Tuseme hii Edna ni Season 1 Episode 40 maana c kwa Raha hizi... Season 2 ithakuwa moto😂

  • @AthanaziaAugustine
    @AthanaziaAugustine 2 місяці тому +4

    Kaka Lucas tunaomba picha ya Roma

  • @FestoMasunga
    @FestoMasunga 2 місяці тому +2

    Mboga zumaridi ndani ya Edina 😂😂

  • @zuhuraomar-dw4hg
    @zuhuraomar-dw4hg 2 місяці тому +3

    Wow rose beautiful kuliko doris

  • @ChristianElias-u2j
    @ChristianElias-u2j 2 місяці тому +4

    Uwiiiiii na roseee ni kisuuuu kaka lukaa

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 2 місяці тому +2

    Acha michepuko ianze kujichuja kwani hata wao wamemganda Roma mnoo

  • @SarahKwekwe-dt9zx
    @SarahKwekwe-dt9zx 2 місяці тому +3

    Namba ya michepuko yaongezeka😢😢😢😢😢

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 2 місяці тому

      @@SarahKwekwe-dt9zx na bado,hata Eddie wa kwenye X haoni ndani kwa Roma ingawa Roma anaviruka vitumbua vingine🤣🤣🤣

  • @mwajukaungi649
    @mwajukaungi649 2 місяці тому +4

    Nimwkuombea usiku kucha usifikirie na leo kuacha kuachia roma

  • @ZenaidaDaniel-r9d
    @ZenaidaDaniel-r9d 2 місяці тому +4

    Kuwahitu kunipa like ahaaa🤣🤣🤣

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 2 місяці тому +7

    Wa 17 like zngu jmn tumesbr mpk.nakata tamaa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f 2 місяці тому +6

    Wakwanz ❤❤❤😂🎉🎉🎉😢

  • @DorryDorcaspendo
    @DorryDorcaspendo 2 місяці тому +4

    Umepunguza Lisa 😊🎉🎉🎉❤

  • @RahimaHamisi-z3i
    @RahimaHamisi-z3i 2 місяці тому +3

    ❤❤❤Wawooo

  • @ChristianElias-u2j
    @ChristianElias-u2j 2 місяці тому +4

    Kaka Luka napenda Roma anavyokuw anamuita Edna dah ingekuwa mm hata nahasira nikiitwa tyu hvyo ooooohh bby wife naenjoy

    • @Eldaheliya-zl5to
      @Eldaheliya-zl5to 2 місяці тому +2

      😂😂😂😂 hasira zinaisha ghafla

    • @ChristianElias-u2j
      @ChristianElias-u2j 2 місяці тому +2

      @@Eldaheliya-zl5to au n mm tu jaman

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 2 місяці тому +2

      Nice anampenda2❤ ila ankela si kidogo

    • @ChristinesifaRuwa-jx4qw
      @ChristinesifaRuwa-jx4qw 2 місяці тому +1

      😂😂

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 2 місяці тому

      @@ChristianElias-u2j 🤣🤣🤣babywife ndiyo very special, wewe yeye anatikisa ubongo wa mfalme Pluto hadi anajipanga akitaka kumbembeleza🤣🤣🤣🤣🤣

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 2 місяці тому +2

    Mhhm 😂😂😂😂😂 jamani hii zawadi ya Roma sijui vipi jamani 🤣🤣🤣 khaaa na haya maamuzi ya mfalme 😂😂

  • @FaithNdenge-k9i
    @FaithNdenge-k9i 2 місяці тому +2

    Twende nalo hadi mwisho❤❤❤🎉🎉🎉

  • @ZenaidaDaniel-r9d
    @ZenaidaDaniel-r9d 2 місяці тому +5

    🤣🤣afande KWEKA 😅😅

  • @lizzygabriel9601
    @lizzygabriel9601 2 місяці тому +3

    Lucas leo umetupunja😢

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 2 місяці тому +2

    Sasa huyu Neema Luwazo ndo nini mtu mkubwa bule eti kuonea wivu Edna kwakubebwa na Roma nawakati yeye nimuchepuko tu jamani amakweli Roma anaro kwahiyo michepuko yake maana mimi nilisema lazima itauwana wao kwa wao kwakutaka kira mtu kubakia na Roma,eeeeeeh dunia simama nishuke mie😂😂😂😂😂

    • @MariahMariahmambo
      @MariahMariahmambo 2 місяці тому

      Wanajisahau😂😂😂😂pole kwao

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 2 місяці тому

      ​@@MariahMariahmambo yani sijuwi kwanini wanataka kumuweka Edna roho juju kira wakati😢😢

  • @Rehema-co4xi
    @Rehema-co4xi 2 місяці тому +3

    Rose mrembo hata Doris hamfikii

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 2 місяці тому

      Umeonae kwel kwa michepuko hyo ps

  • @YusraBadru
    @YusraBadru 2 місяці тому +6

    Jmny❤❤❤

  • @mwanasiti83sete63
    @mwanasiti83sete63 2 місяці тому +3

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 2 місяці тому +2

    😂😂😂mheshimiwa Senga anaongozwa na hasira na kuwa kama mpumbavu bila kuwaza mambo ya msingi 😂😂😂

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 2 місяці тому

      Na sasa ameona umuhimu wa Roma nawakati yeye yupo kwenye vikao visivyo na maana😂😂😂😂

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 2 місяці тому +2

    Hivi hawa wanawake wanataka kumutoa Roho Edna sasa Rachael ndo nini tena kusaidiwa tu na Roma anataka kufanya nini tena khaaaa Lazima Edna akaze moyo maana naona michepuko inaongeze kwamwendo kasi😢😢😢😢😢😢

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 2 місяці тому

      @@Evelynmoreen3655 🤣🤣🤣hata wakiongezeka kwa kasi ya 6G bado malkia ni mmoja tu, maana anaongea ukweli mtupu kuwa hawezi kuwa na mke zaidi ya mmoja na hawezi kubadili tabia wala kumwacha Edna🤣🤣🤣

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 2 місяці тому

      @@avelinabaluhya2804 mimi nashangaa jinsi wanavyo jiachia kisa wamesaidiwa inakera sana

  • @HappynessDamian-gl1iw
    @HappynessDamian-gl1iw 2 місяці тому +4

    Leo nimewai kidogo

  • @candidekaneza8587
    @candidekaneza8587 2 місяці тому +6

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 2 місяці тому +3

    ❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @salmarajabu1626
    @salmarajabu1626 2 місяці тому +3

    Asante kaka Lucas ❤

  • @AshantyMudis
    @AshantyMudis 2 місяці тому +6

    🎉

  • @SarahJackson-nt1mp
    @SarahJackson-nt1mp 2 місяці тому +3

    ❤❤❤❤❤

  • @YasintaHongela-j4s
    @YasintaHongela-j4s 2 місяці тому +3

    Lucas umetisha mno hata mi naamini Hilo fimbo ya mbali haiui nyoka

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 2 місяці тому +3

    Sas ww recho umalay uwo sas ndo nn yaan wanawke wa humu wakisaidiw tu na roma wnatk wampe kitumbua na ndo wanakuw washampnda wnakera kma nn wnajal hisia zao tu cyo za edina😡😡😡

  • @JoyceMusolo-mw9sq
    @JoyceMusolo-mw9sq 2 місяці тому +3

    Rais SENGA alimkataa mtoto wake Roma, Bali atakuja kumkbal mda s mref

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 2 місяці тому +1

      Hata hapo kishaonekana kubwa jinga mbele ya watu na babake

  • @GogoO-mb5fq
    @GogoO-mb5fq 2 місяці тому +3

    👏💪🤣🤣

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 2 місяці тому +5

    hata nami mnipe likes plz❤

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 2 місяці тому

    Muzehe muzima Neema Luwazo eti anataka kutolewa out khaaaaa Team Edna kazi tunayo maana michepuko imesha anza minuno kwa mwamba Roma na wivu kwa dada yetu Edna 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 2 місяці тому

      @@Evelynmoreen3655 lazima aone wivu,siunajua alikuwa anatafuta hela kwa mstaafu Kigombola,sasa ndiyo ameshazipata anatafuta mapenzi sasa kwa kijana ndiyo anapagawa sasa🤣🤣🤣

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 2 місяці тому

      @@avelinabaluhya2804 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nahizo wivu zake sasa kama binti vile

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 2 місяці тому

      @@Evelynmoreen3655 🤣🤣kipofu kauona mwezi 😂😂 ameijua tamu sasa kwa Kigombola hakuionja ya hivyo🤣🤣🤣pole yake anadhalilika mkubwa mzima🤣🤣

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 2 місяці тому

      @@avelinabaluhya2804 mi naona mwisho wa siku waha michepuko watakuja kuuwana wao kwa wao mi yangu macho 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 2 місяці тому +3

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @سيدا-ص1ز
    @سيدا-ص1ز 2 місяці тому +1

    Mnaweza sema roma nimalaya lkn wanawake wenyewe wanajileta kwa roma na wanaume kukataa kutumbua sirahisi sana maana hao hisia zao ziko rahisi sana

  • @TyT-h5l
    @TyT-h5l 2 місяці тому +3

    Rose kafanyaje Jaman

  • @saumurajab7542
    @saumurajab7542 2 місяці тому +2

    ❤❤❤❤🎉

  • @Salma-id4yl
    @Salma-id4yl 2 місяці тому

    Edna.uko.na.kazi.mwaya😅😅😅😅🎉🎉🎉🎉🎉

  • @furahamasha7192
    @furahamasha7192 2 місяці тому +3

    ❤❤❤❤❤❤

  • @fadhaluhembwe
    @fadhaluhembwe 2 місяці тому +3

    Muanatuchanganya sana

  • @SylviaBoisabi
    @SylviaBoisabi 2 місяці тому +3

    Wow 😳❤❤❤❤❤❤

  • @OdethaTesha
    @OdethaTesha 2 місяці тому +6

    Rose kafanya nn

  • @bahatifransis9019
    @bahatifransis9019 2 місяці тому +3

    cha chelewa bana

  • @Mapenzisafari-lj1mo
    @Mapenzisafari-lj1mo 2 місяці тому +4

    😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉❤

  • @sakinapili1569
    @sakinapili1569 2 місяці тому +4

    ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @malkiaishungisa6668
    @malkiaishungisa6668 2 місяці тому

    Kumbe ulikosea Rose badala ya Recho

  • @ZenaidaDaniel-r9d
    @ZenaidaDaniel-r9d 2 місяці тому +6

    🤣🤣hapo kwa ZUMARIDI nimecheka kama mjinga 😃😃😃

    • @Eldaheliya-zl5to
      @Eldaheliya-zl5to 2 місяці тому +2

      Umecheka kama mm jamani nikasema sasa zinazidi katoka wapi tena

    • @ZenaidaDaniel-r9d
      @ZenaidaDaniel-r9d 2 місяці тому +2

      @@Eldaheliya-zl5to 🤣🤣Yani huy Lucas ngoja utasikia MWAMPOSA 😃😃

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 2 місяці тому +2

      @@ZenaidaDaniel-r9d 🤣🤣🤣🤣🤣 aah Zumaridi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ZenaidaDaniel-r9d
      @ZenaidaDaniel-r9d 2 місяці тому +2

      @@avelinabaluhya2804 🤣🤣Yani huyu Lucas 😅😅😅

  • @LeeYanOm
    @LeeYanOm 2 місяці тому +3

    Rose kimemkuta nini tena,ila Roma bhn ok nami ntapanda baiki na 😊

  • @FalidaRahma
    @FalidaRahma 2 місяці тому +4

    Rose ni mremb jamn

  • @hafsasaid9666
    @hafsasaid9666 2 місяці тому +3

    Asante lucas roma

  • @marykabuto
    @marykabuto 2 місяці тому +4

    Mmmh hapoi

  • @MwanaMpole-mo5di
    @MwanaMpole-mo5di 2 місяці тому +3

    Present sir

  • @MmNm-ww1xw
    @MmNm-ww1xw 2 місяці тому

    Edna watafanya harusi lini

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 2 місяці тому

    Bismillah kumekucha❤ Mapenzi ya mbali tuna zimiyana sim😂😂😂

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 Місяць тому

    Hiii kitu tamu ala rooma michepuko 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @OchuAbdalah
    @OchuAbdalah 2 місяці тому

    Jamani roma ni mchafu sana hachagui hata wakulmla uchi wake haunek aibu anamzalilisha edina bola edina aendelee kumkazia tu bola angeenda kuchukulia mbali kuliko wafanyakazi wa mke wake

  • @rachelpanga5023
    @rachelpanga5023 2 місяці тому

    Jaman mm napenda hela 😂😂

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 2 місяці тому

    Bismillah❤ Minah baby yake roman

  • @FatmahHgfy
    @FatmahHgfy 2 місяці тому

    Hiiyaleokali vampa ametisha adinaogopa kulala

  • @SofiaKhamis-o1k
    @SofiaKhamis-o1k 2 місяці тому +6

    Nimewai na mm leo🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 2 місяці тому +4

    ❤❤❤

  • @haluwaharuni4564
    @haluwaharuni4564 2 місяці тому +3

    🥰🥰🥰

  • @zuhramwavyoni8400
    @zuhramwavyoni8400 2 місяці тому +3

    ❤❤❤❤

  • @zuhramwavyoni8400
    @zuhramwavyoni8400 2 місяці тому +3

    ❤❤❤