WAKILI MWABUKUSI WATUAMBIE ALIPO PAUL MAKONDA NI MTANZANIA MWENZETU NI KIONGOZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    UA-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

КОМЕНТАРІ • 6

  • @PeterJackson-kk3by
    @PeterJackson-kk3by Місяць тому +2

    Mwabukusi mimi nakuamini utafuatiria na kutuambia ukweli

  • @yosiaazaria-lt3eq
    @yosiaazaria-lt3eq Місяць тому

    Ingependeza sana kama tungepata taarifa rasmi tena kutoka kwenye vyombo vya serikali kwani wakisema ukweli kunashidagani

  • @evalinekassam5187
    @evalinekassam5187 27 днів тому +1

    Makonda tunamtaka aseme alipo au mmeficha wapi? Na kwanini mama yaani rais amenyaza hamsemí alipo roho zetu zitulie serekali gani hii isiojali hisia zetu mama una hekima sana rais wetu wewe unaipenda nafsi yako mwenyewe tuna

    • @evalinekassam5187
      @evalinekassam5187 27 днів тому

      Kwenye hili tuna tunamia sana hasa Arusha tuambie kama ametekwa tujue au Kuna Nini tujue mungu ni mkuu sana naamini uko hai mungu msaidie ameni

  • @manethmwiyanja2452
    @manethmwiyanja2452 Місяць тому

    mwenye Dhamana Ya kutuambia makonda ailiko ni viongozi wa juu makonda na magufuli ilikuwa hivyohivyo kama Kiongozi anaumwa mnapaswa kusema ili watu wenye mapenzi mema na kiongozi huyo wamwombee, kwani mkisema kuna nini?

  • @lugimpera
    @lugimpera Місяць тому

    Naimani makonda anasimu yake ya mkononi ,je ni nani ameshawahi kumpigia ?Na majibu yake yakoje?Naimani wenye namba ya makonda wanajua alipo,sisi wananchi mnatuumiza akili tuu.