Chadema Acheni Yoga Haki Haipatikani kilelemama Police Ni Wachache Wananchi Ni Wengi Inapotokea Hivo piganeni Kama Vurugu Na Zianzie Hapo. Mnasema Sana Zaidi Ya Kujitetea
Polisi hawana shida tatizo waliogongwa huwa wanajifanya wajanja sana na wanajifanya wanajua sana! Na kama wamemgonga sugu safi sana anajifanya anajua sana
Sasa naona wasafi tv mmeanza kupevuka niwapongeze akili sana kwahili mmeanza kuthubutu kuzungumza na kutenda haki juu ya haki na usawa wa watanzania, ongereni sana 👏👏👏hili jopo nzima la kipindi hiki
Tanzania ya MAMA ABDUL ndiyo hiyo sasa 😢😢😢 kila atakaye Sema kilicho tofauti na yeye ni kipigo cha mbwa wa msikitini😢😢 Yaani ninavyomchukiaga dalali KITENGE imagine kwa hili nimewasikiza ad wakamaliza wueh tumeumia kwa tukio hili jamani
Polisi wanatakiwa wajirekebishe swala la kupiga lipo, sana sana kwa raia wa kawaida ndio limezidi. Muda mwingine hata dhamana kupata ni wanachukulia ni kama hisani
Tatizo sio kupigwa tatizo waliotakiwa kuhojiwa ni wengine lakini viongozi wakuu waligoma na kuwakingia vifua, Wakapewa dk 40 lakini wakadharau hayo ndio matokeo ya ujuaji Tii sheria bila shurti uone kama jeshi la polisi litakushambulia bila sababu
LEO WAKWANZA MIMI NAOMBENI LIKE ZANGU JMN,,,KWANN LKN!????? DUNIA SOTE TUNAIPITA TU KWANN TUNAISHI HIVI LAKNI KEKI YA TAIFA NI.... SO IPO SIKU WAPINZANI NAO WATASHIKA NCHI NAO WATAGEUZA KARATA🙏🏽
Hapo ndo mhimili wa bunge pia unatokea msisahau na rais wa ,ila inasikitisha sana huu ubaguzi utatumaliza kwani walishindwa kulinda mkutano wakaona wapate night allowance na kusafirisha hao watu c wanalipwa maisha magumu ndg zangu mh
KTK JAMBO LA KUJIFUNZA WOTE MUNGU DHURUMA HAPENDI KUIUIMIZA NAFSI YA MWEZIO KWA KUMPIGA KWA KUMUUONEA TUJIFUNZE Na Nchi Zenye Vurugu Kizazi Chote Mpaka,Sasa Walianza Hivi,Mungu Aisaidie Nchi Hii.
Tusilahisishe tu polis hawana chama.hata spite chadema polis watabaki.vilevile wananchi tupevuke wanasiasa baadhi wanapandikiza chuki wanaongea.vibaya sana ccm chadema acheni sisi ni.watanzania harafu mm siasa ni vita ya bila.sababu yaan.watanzania hatupendani.tunatamkiana maneno mabaya hivi siasa ina.lengo.gan.duniani.siasa.ni.nyoka.yenye.sumu watanzania tuwe macho@@daudimaembe3360
jeshi la polisi ni la ccm sio letu tusidanganyane hii nchi kila kitu ni cha wana ccm ila chadema na wapinzani wengine na sisi tusio na chama chochote atuna chetu hii nchi
JOSEPH MBILINYI ANATAFUTA KIKI ANAKESI KWA RPC AMEMTOA MTOTO WA WATU MIMBA KAMPA KILEMA ANATAKA KUFICHA MADHAIFU YAKE KWENYE CHAMA.....CHADEMA SUGU NI MBABAISHAJI ANAKWEPA KESI YA JINAI INAYOMKABILI.....RPC NA RCO ANGALIA HILI SWALA
zanzibar mlitucheka sana siasa zetu ,mulituandikia vibaya zanzibar miaka yanyuma kwenye magazeti ,zanznzibar ,kwawaka moto ,zanzibar hakukaliki ,sasa sisi zanzibar ni ndio chuo cha siasa ,uamsho ,na mengi huanzia jwetu nyie mnamalizia tu sasa mmedandia gari kwa mbele hamjui mtendalo
Kitenge na wote hapo kumbukeni Lipumba alivunjwa mkono akaibiwa na saa yake mpaka leo mnashangaa kuvunjwa miwani, watu walipigwa Zanzibar polisi waliwapiga watu hovyo mtu kafunga mlango dukani mlango unavunjwa anatolewa nje anapigwa na kuvunja baiskeli na piki piki rudini maktaba.
Watu siku wakichukia polisi hawataweza kumudutaifa lote vijiji tuu vipo zaidi ya 65000.mitaa peke yake zaidi ya elufu 5000. Polisi tunawo kiasi hiki cha kulinda vijiji mitaa yote.
Nashindwa kusikiliza mpaka mwisho naumia sana Mungu yupo
Tii sheria bila shuruti..no one is above the law
Hongeren wasaf mmechambua vema.....kikosi chenu kimekamilika
Chadema Acheni Yoga Haki Haipatikani kilelemama Police Ni Wachache Wananchi Ni Wengi Inapotokea Hivo piganeni Kama Vurugu Na Zianzie Hapo. Mnasema Sana Zaidi Ya Kujitetea
Kumbukeni wenzio wana siraha,
Wazee wa minyama Mungu awabariki mnafanya kaz nzr
Wasafi ....asanteni sana kwa uchambuzi makini....
Wasafi hakika leo Niko na nyie nimewapenda buree
Hii nchi hatuna jeshi la polisi hao ni green guard,taka taka kabisa.
Usiku uliendelea sana kunakaribia kucha
YOU'RE NOW BEST PUNDITS
Duh nchi yangu Tanzania
Wanaendelea kuwapa usugu lakini mungu anaupande
Mkitenda haki namna hii Mungu atawakumbuka ktk kazi yenu ya utangazaji
Katika siku ambazo nimeona hawa jamaa wameamua kufungua ni leo.... M! Nimeshangaa sana leo😢
■Utaelewa nchic
inaelekea wap mwaka kesho.😂 mama akiwa yupo benchi
Huko mlishavuka lini? Kivipi? 😢
Polisi Tanzania ni shida sana
Polisi hawana shida tatizo waliogongwa huwa wanajifanya wajanja sana na wanajifanya wanajua sana! Na kama wamemgonga sugu safi sana anajifanya anajua sana
@@ndogoroedson199 hujuii unacho ongea nyamaza ccm ww
@@ndogoroedson199upo sahih mkuu....Tii sheria bila shuruti..no one is above the law
Kumanyoko na kuma la mamayako msenge konyolo wewe@@ndogoroedson199
Waandishi ongeeeni tunalihesh jeshi ila wakivuka mipaka rahia atutavumilia iloooo tutapiga kelele nakupaza sautiii zetu
Sasa naona wasafi tv mmeanza kupevuka niwapongeze akili sana kwahili mmeanza kuthubutu kuzungumza na kutenda haki juu ya haki na usawa wa watanzania, ongereni sana 👏👏👏hili jopo nzima la kipindi hiki
Hii Nchi syo ya demokrasia
Tanzania ya MAMA ABDUL ndiyo hiyo sasa 😢😢😢 kila atakaye Sema kilicho tofauti na yeye ni kipigo cha mbwa wa msikitini😢😢
Yaani ninavyomchukiaga dalali KITENGE imagine kwa hili nimewasikiza ad wakamaliza wueh tumeumia kwa tukio hili jamani
Leo naona maajabu sana WASAFI kuchambua namna hii....😢
Polisi wanatumia kodi za wananchi kutesa wananchi......Je ni mpaka lini?
😢😢😢mama aoni?
Wasafi kweli wasafiiii
Ayayi! That was a waste of taxpayers’ money. It ended up costing them time and resources, which could have been better utilized elsewhere.
Nchi ya Giza Tanzania polisi wanatumika na ccm
Jeshi lapolis walitoa naul wapi ya kuwaludisha
Buffaloooo! Solder inthe hot tough Tanzaniaaaa!
Watangazaji.wasafi.mnafurahisha.asante.elimisheni.wananchi.tanzania.ya.leo
Jakika Kitenge na wenzio ktk kutangaza mmetutendea haki na kuwatendea haki wanachadema
Yani sikuhizi bila kuwasikiliza sijisikii raha
hii media sahv napenda sana kwa maana hamna uchawa mnazunguza vitu vya msingi
My poor country Tanganyika😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Ila mungu yupo naamini atajinu
Mpo vizuri
Polisi wanatakiwa wajirekebishe swala la kupiga lipo, sana sana kwa raia wa kawaida ndio limezidi. Muda mwingine hata dhamana kupata ni wanachukulia ni kama hisani
Tatizo sio kupigwa tatizo waliotakiwa kuhojiwa ni wengine lakini viongozi wakuu waligoma na kuwakingia vifua,
Wakapewa dk 40 lakini wakadharau hayo ndio matokeo ya ujuaji
Tii sheria bila shurti uone kama jeshi la polisi litakushambulia bila sababu
Oya sikieni ongezeni idadi ya magazeti mnajua sana kuyasoma.
MIMI CCM NTAFIA HUKO LAKINI KWA HILI KUNA BAADHI MNATUHARIBIA!!😢
Kazi yenye laana.
Unakubali sasa kuwa katiba yetu ni nzuri si munapigaka kelele eti hii katiba
LEO WAKWANZA MIMI NAOMBENI LIKE ZANGU JMN,,,KWANN LKN!????? DUNIA SOTE TUNAIPITA TU KWANN TUNAISHI HIVI LAKNI KEKI YA TAIFA NI.... SO IPO SIKU WAPINZANI NAO WATASHIKA NCHI NAO WATAGEUZA KARATA🙏🏽
KITENGE, UNAMFAHAMU JEFF KOINANGE!!
UNAKARIBIA KUENDANA NAYE LAKINI WEWE UNAKUWA NA KASI ZAID
Kwa mara ya kwanza naona ile point ya freedom of mass media kupitia wasafi
Police Yasu mwenyewe aliwambiaga police 10 kwa 1
Waongo hao semeni mavi 8 yanawadumbua
Msichukulie Mzaha Huyo Awadhi Haji Ni Jambazi... Nitashangaa RAIS SAMIA KUMWACHA... I SWEAR!
Kama polisi wanaweza kuambiwa baka huyu na wanafanya niumasikini na ujinga tu nadhani mh
Hili jamaa mbona halijui kutangaza aisee
Kwanini kichwa cha habari kimekaa kama kushabikia kilichotokea na kukifanya kionekane kawaida?
😂mbona kama mmelifurahia Sana ndugu watangazaji
Mbeya wajitafakali haki za binadamu
SERIKALI YA KISHENZI!!!
Tii sheria bila shuruti..no one is above the law
@@wekezauchumi7440we ndio mpumbbavuu WA mwishooo sanaaa
@@wekezauchumi7440kwani we unajua hawakutii c.c.m ni wafisadi tu
Mmeanza kurudi ktk akili zenu.wengine tulishaachaga hata kuwasikiliza ambavyo mmejifanya vilaza
.Sasa mmeanza kutufanya kuwakumbuka kuwa mpo
Polen sana ndugu zangu ingawa mimi si mwanasiasa lakin inaumiza sana.
Polisi
😂😂😂 Maulid Kitenge apenda umbea jamani afanya kuamka amka 😂😂😂😂😂😂
Huyu mama anawasha moto ambao kuuzima utamgharimu sana!
Bola wanajeshi mtusaidie vibalaka hivi wanatuonea watanzania yani nikimkuta asikali anapigwa nitafulahi na mimi namuongezea kumdunda
hiki sasa ndio chombo cha habar co vingine vipovipo tyu maaana ya muandishi ni kujitoa sadaka kwajili ya nch au raia
Hapo ndo mhimili wa bunge pia unatokea msisahau na rais wa ,ila inasikitisha sana huu ubaguzi utatumaliza kwani walishindwa kulinda mkutano wakaona wapate night allowance na kusafirisha hao watu c wanalipwa maisha magumu ndg zangu mh
Katika media nafiki ni hii apa bongo yan awaipendi chadema we fatilien utagundua 😂😂😂
Ebwana hata ulaya ukileta uzushi maafande wanakurukia vilevile,hawa jamaa wanatafuta shari,lakini hapa sio kenya 🤔unachezea halafu sana tu.
NDUGU KIPONDO SIO TANZANIA TUU MPAKA ULAYA KIPONDO KIPO AMERICA KIPONDO KIPO HIVI HAMSIKILIZI MABO YA NJE YANAVYOKWENDA HUKO?
KUMBE KAZI NDIO IENDELEE ILEEE NA INAENDELEA
Mama yupo kazini
ako kazi aje? saitani wewe
Walimlusha ili iweje sasa mbona awa watu wamekuwa hawaheleweki jamani khaa!! Aya wammalizie walizike
Bado hata nyie waandishi wa habari mtapigwa ngoja tuu utaona maana wengi niwanafiki
KTK JAMBO LA KUJIFUNZA WOTE MUNGU DHURUMA HAPENDI KUIUIMIZA NAFSI YA MWEZIO KWA KUMPIGA KWA KUMUUONEA TUJIFUNZE Na Nchi Zenye Vurugu Kizazi Chote Mpaka,Sasa Walianza Hivi,Mungu Aisaidie Nchi Hii.
Mkitoka tu kwenye Reli hatuwasikilizi, MUENDELEE hapohapo
Mtu anakaa Moro unapelekwa arusha 😊😊
Tusichekee haya mambo
Tusipo kua makini Tz civil war itatokea maana itafika muda Raia watachoka kunyanyaswa
Tuombe saana Mungu atuepushe kwa hili😢
Si wanategemea police?
Tii sheria bila shuruti hakuna aliye juu ya sheria@@daudimaembe3360
Tusilahisishe tu polis hawana chama.hata spite chadema polis watabaki.vilevile wananchi tupevuke wanasiasa baadhi wanapandikiza chuki wanaongea.vibaya sana ccm chadema acheni sisi ni.watanzania harafu mm siasa ni vita ya bila.sababu yaan.watanzania hatupendani.tunatamkiana maneno mabaya hivi siasa ina.lengo.gan.duniani.siasa.ni.nyoka.yenye.sumu watanzania tuwe macho@@daudimaembe3360
Utawala dhalimu wa CCM inatumia polisi kudhalilisha upinzani
Wasaf I tunawapenda achanen na hiyo maada
Upendo gani sasa huo, mnawapenda kwa sababu zipi?
Nguvu kiasi! Inapimwaje?
Jameni ndugu zangu, tusilewe amani bali tuzingatie kwa njia na garhama zoote, Lissu, Mbowe na CHADEMA wao ni nani kuitafutia taifa leo fujo na vurugu?
Fujo zipi kila kitu kiko kikatiba kufanya mikutano ipo kisheria sio hisani katiba inaruhusu
jeshi la polisi ni la ccm sio letu tusidanganyane hii nchi kila kitu ni cha wana ccm ila chadema na wapinzani wengine na sisi tusio na chama chochote atuna chetu hii nchi
Sisi Raia hatuongei afadhari ukimbizwe na chui ila sio.police wa Nchi akukamata
Ila polisi wa Tanzania wanatia hasira unaweza kuuma godoro kwa hasira😡😡😠
Kabisaa aseee😢😢😭💔💔💔
INASIKITISHA SAANA 😭💔😢
@@zuleyvendor6577 haya Maisha hayapo Ivo wanakosea saana aseee
@@zuleyvendor6577 upo pande Gani rafiki angu mie nipo Mbeya
@@zuleyvendor6577 kama Hutojali Naomba Nisaidie Unitumie Namba yako nitakucheki Kwa Whatsapp rafiki 🙏🏽
Wanajeuri sana hao jamaa,Polisi wametumia guvu kiasi kuwakamata.
Sahih kabisa...Tii sheria bila shuruti..no one is above the law
Wapigwe tu wanajifanya wako juu ya sheria
JOSEPH MBILINYI ANATAFUTA KIKI ANAKESI KWA RPC AMEMTOA MTOTO WA WATU MIMBA KAMPA KILEMA ANATAKA KUFICHA MADHAIFU YAKE KWENYE CHAMA.....CHADEMA SUGU NI MBABAISHAJI ANAKWEPA KESI YA JINAI INAYOMKABILI.....RPC NA RCO ANGALIA HILI SWALA
Wee mama mtu mzima ovyo, kwani hilo lilikuwa linahusiana vipi na mkutano kwa watu wote? Wee kenge tuu
PONGEZI nyingi kwenu kwa kuwajibika ipasavyo kama waandishi.
Hao jamani waamuue liability wafaidike
Police in Tanzania they are bully, this behaviour is not exesity
Haha 😂 😂 😂. Umeandika nn tena Mwandiga? Tumia kiswahili pumbu ww.
😂😅
Use kiwahili mpuzi ww content ikokwa kiswahili 😂😂
@@SaneMwezi mwambie pumbu huyo aongee kisukuma. Anaitwa Mwandiga.
"Exesity " sio Exosity au andika sox kabisa.
Vichaaa wamepewa nch
Polisi tunawalani sana kama mliwapiga Viongozi wa chadema.Kwa hili waziri wa ulinzi jihudhuru mara Moja.Huu ni unyama kabisa.
Hando😂😂😂😂 pipiopi piping piop
Wamepigwa?
Ubaya ubwela miyangu. Uuwwiii!!
Kitenge kwani ulizani jeshi la polisi ni wauguzi au wachungaji,ninyi mlitaka waubiri neno
Polis tz hawana weledi na kazi zaoo
Wangeacha vijana wakae wazungumzie mambo yao na kama hao viongozi wa kisiasa walikuwa wanania ya kuzungumza na wananchi wangetafuta siku nyingine
Kesi ya Binti inaendelea kuzimwa Tena Taratibu😆
Yule malaya watu hatupotezi muda kumfuatilia malaya😂😂
Police n mbwa wa ccm
zanzibar mlitucheka sana siasa zetu ,mulituandikia vibaya zanzibar miaka yanyuma kwenye magazeti ,zanznzibar ,kwawaka moto ,zanzibar hakukaliki ,sasa sisi zanzibar ni ndio chuo cha siasa ,uamsho ,na mengi huanzia jwetu nyie mnamalizia tu sasa mmedandia gari kwa mbele hamjui mtendalo
Jeshi la polisi mkoa wa mbeya washitakiwe na kuwajibishwa
Mnachotafuta mtakipata
Kitenge na wote hapo kumbukeni Lipumba alivunjwa mkono akaibiwa na saa yake mpaka leo mnashangaa kuvunjwa miwani, watu walipigwa Zanzibar polisi waliwapiga watu hovyo mtu kafunga mlango dukani mlango unavunjwa anatolewa nje anapigwa na kuvunja baiskeli na piki piki rudini maktaba.
Mtavishwa sketi nyinyi
Watu siku wakichukia polisi hawataweza kumudutaifa lote vijiji tuu vipo zaidi ya 65000.mitaa peke yake zaidi ya elufu 5000. Polisi tunawo kiasi hiki cha kulinda vijiji mitaa yote.
Ninyi ni waandishi kweri kweri
Polisi sasa wameanza na madereva tena aiseee uhakiki walihakiki wao sasaivi tena hawautaki uo uhakiki ila nchi hii
Hii nch
Nusu nch