Mzee Wasira Afunguka Mazito Maandamano ya CHADEMA 'Nani Alitaka Kufa?'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024
  • #ijuesheria #maandamano #section4wakilitv
    Video : TBC Online

КОМЕНТАРІ • 132

  • @OdiloMagungu-uf5is
    @OdiloMagungu-uf5is 2 дні тому +4

    Huyu Mzee ni mpuuzi kabisa hafai

  • @JamesAbel-ig8wb
    @JamesAbel-ig8wb 2 дні тому +4

    Wazee wenzio wameishtukia ccm Bado wewe Wasira!!!!!!

  • @alexsakilu2650
    @alexsakilu2650 2 дні тому +2

    Huyu mzee ubongo wake umesinyaa haelew chochote anatakiwa aachwe alale

  • @MohamediBhaya
    @MohamediBhaya 2 дні тому +2

    Acha magumashi mdingi

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 2 дні тому +1

    Namuona mpoki amezeeka

  • @NeverWilliam-y1o
    @NeverWilliam-y1o 2 дні тому

    Kuna vitu najifunza kutoka Kwa Mzee wasila Mimi ni wadalasa la Saba lakini Huwa nashanga maneno ambayo Huwa wanatoa wanasiasa Huwa wana mzungumzia mtu mmoja tu ambae alikutwa kafa lakini Huwa wana ficha kuhusu walio potea wanakua kama hawaelewi kuwa kunawatu wana lala Mika kupotea Kwa watu

  • @Omarimakuka
    @Omarimakuka 2 дні тому +2

    Unaposema Samia must go hapo hakuna amani

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 2 дні тому

    Mzee wangu labda uzee umeingia ila uccm upo kichwan ila seeka kwa amani naona hauna jipya maana wewe unalindwa na polis na ccm hatuna la kusema.

  • @NdetiSanga-wl8ws
    @NdetiSanga-wl8ws 2 дні тому

    Ninachotambua Kuna amani ambayo inatokea ndani ya mtu kuwa na amani. Na kuna mtu anashinikizwa kukaa kwenye shinikizo ya kuwa na amani wakati hana amani hivi kwanza amani ni kitu Gani? Tafuta sosi ya neno amani.nafikili hatutamambui.neno amani

  • @LivinusMwinuka
    @LivinusMwinuka 2 дні тому

    Huyu akili imeshachoka mnamchosha mzee mwache apumzike.ndio Walio tufikisha hapa.

  • @TheonasKalyalya
    @TheonasKalyalya 2 дні тому +2

    Wewe ni mpuuzi sana huo ni ujinga

  • @bertinkimati2674
    @bertinkimati2674 2 дні тому +1

    Anasema Rais alisema 4R hazibasili Sheria lakini anasahau Sheria inaruhusu maandamano na polisi wanajua Hilo. Samia anajua wazi kuwa tuna Sheria kandamizi na zimepingwa hadi mahakama zimetoa wito kwa serikali kuzirekebisha ndio mnataka kuziita Sheria?

  • @jonathankessy9615
    @jonathankessy9615 2 дні тому +2

    Hovyo la mahovyo

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 2 дні тому +1

    Yaani humu hamnamo kitu! Ngoja nizime data kwanza!

  • @Teddy-z4i
    @Teddy-z4i 2 дні тому +1

    Muwe mnatafta wazee wa kufanya nao mazungumzo cio uyu mlala bungeni

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 2 дні тому +6

    Hiyo kauli ndio inayompa maisha maana hajiwezei kwa kazi yotote, uongo na uchwa ndio unafanya aishi hadi leo

    • @abdallahkihanza482
      @abdallahkihanza482 2 дні тому

      Hivi uchawa na ukuadi kunatofauti?

    • @hassanthabit3726
      @hassanthabit3726 2 дні тому

      ​@@abdallahkihanza482nyinyi mafara mnaubonge wa ndege
      Mzee ana akili sana

    • @AbrahamSekuze
      @AbrahamSekuze 23 години тому

      Huyu WASIRA acheni kumhoji ni chawa na kisiasa amechoka

    • @ShamteMohmed-ed2kk
      @ShamteMohmed-ed2kk 22 години тому

      Mzee yupo sawa kabisa

    • @jacksonsilaa415
      @jacksonsilaa415 19 годин тому

      Usawa upi huyo Tyson hana jipya ​@@ShamteMohmed-ed2kk

  • @EpiphaniaLukas
    @EpiphaniaLukas 2 дні тому +2

    Kajifunze Kwa wenye uzee mwema kama Warioba

    • @DiwaniMwafongo
      @DiwaniMwafongo 2 дні тому

      Hawa ndio legend CHAWA, the oldest of all chawaz!
      Wasira, the chimpanzee huna hoja
      ..

  • @thadeusmateru1356
    @thadeusmateru1356 4 години тому

    Kwanini Raisi asikitishwe tu na kutekwa kwa Mh Kibao hali kuna wengi wamepiga kelele kupotea kwa vijana kama Soka Mbise zkipanya etc. Je hawa hawana haki ya kuishi. Mh Wasira hata siku moja hujaongea busara zaidi ys ushabiki kwa Ccm hata pale jambo liko wazi sana

  • @bensonmasunu3682
    @bensonmasunu3682 6 годин тому

    Eti watu wsnaokufa ni watu wa Chadema.
    Kumbe sio watanzania.
    Kila aliyeko CDM hsna haki ya kulindwa na kutetewa na Akina Wasira .
    Muulizeni vipi vijana wanaopotea hawako kwenye maandamano

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 2 дні тому +4

    ZEE zima CHAWA DUH!

  • @mundhirsaid1250
    @mundhirsaid1250 День тому

    Hawa CCM wanavyo ongea utafikiria hii nchi ni mali yaoo !!! Watu wamechoka na utawala wenu. Nyinyi wapuuuzi. Hayaa yote yamesababishwa na UOGA wa TANGANYIKA !!!! Tumechoka kutawaliwa na WATANGANYIKA. !!!!!! Nyinyi hamuna uwezo wa uchunguzi. Nyinyo uwezo wenu ni wiziii. CCM MIJIZIIIIIIIIIII.

  • @bensonmasunu3682
    @bensonmasunu3682 6 годин тому

    Nilitamani na ninatamani intrlijensia iwe inawahi kuzuia maafa ya wananchi.
    Kwa nini watu hufa na kupotea ktk utendaji wa inteliijensia?Hadi watu wadai haki kwa nguvu?

  • @JekobuNgwara
    @JekobuNgwara 7 годин тому

    Mzee pumzia utajibu nini kwamungu wachie taifa lakesho wanachotaka

  • @KiringoMtemi
    @KiringoMtemi День тому

    Lisu hadi leo hakuna uchunguzi wowote uliifanyika watu wamechoka na porojo zenu wauaji nyinyi wezi majambazi ccm na polisi nyote matapeli tu

  • @TheonasKalyalya
    @TheonasKalyalya 2 дні тому +1

    Mzee wasira hana busara yakiutu uzima yssni anakuwa ki ccm tu na hana maana

  • @EzekiaMtwale
    @EzekiaMtwale День тому

    Kiukwel tangu nmfahamu huyu Mzee enzi za tawala zilizopita pamoja na kupita wizara na nyadhifa nyingi sijawahi ONA mchango wake ktk Taifa letu!!!

  • @LucianSanga
    @LucianSanga 2 дні тому

    SOMA WAKUU Wakipungukiwa na Akili Nchi Huangamia Huyu Mzee wetu Kapungukiwa sana Haifai Kumu Uliza Chochote Mwacheni Apumuzike jamani

  • @SaidiPala
    @SaidiPala 2 дні тому +3

    We.zeee sema hajatekwa mwanao

  • @GodibethSafi
    @GodibethSafi 23 години тому

    Mzee uliwahi kuwa NCCR mageuzi 1995 ongea Kama mtu uliyewahi kuwa chama B

  • @JekobuNgwara
    @JekobuNgwara 7 годин тому

    Samahani webabu mchwa nao unachoka sifa sionzuli mbona sasa wewe ni baabu alafu unatamaa gombea bas

  • @BRUNOADELINO-rv8zt
    @BRUNOADELINO-rv8zt День тому

    Labda mi sijaelewa,mtangazaji kusisitiza maridhiano iv wanaridhiana Kuhusu nini?Maridhiano ya kitu gani.

  • @111dudi
    @111dudi 2 дні тому

    Kwa hiyo CHADEMA wamehalifu katiba . Mbowe.na Lissu Wawajibishwe

  • @Dutichgogo
    @Dutichgogo День тому

    Wewe usiwe muongo nyinyi waandishi maleemu kachukuli na polisi alafu kakutwa amekufa tumlaumu nani usilete siyasa pumbavu nyinyi

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 2 дні тому

    Katika mizee ya hovyo kwenye hili Taifa na michawa isiyo na msaada kwa Taifa letu kwa sasa
    Hili siku zote ni kutetea uovu sijawahi kulisikia likitoa ushauri wa kujenga Taifa letu tena kama mzee Waryoba na mzee Butiku!
    Hovyoooo kabisa!

  • @IsmailOmarDahir
    @IsmailOmarDahir 18 годин тому

    Mzee anachosema amani izingatiwe tusiige mawazo ya nje na nchi ina tusihukumu tumsikilize tu

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg День тому

    Mzee wewe ni tatizo pia mambo mangapi serikali huwa inasema inachunguza na hakuna majibu kwa miaka kadhaa?

  • @PeterMponeja-t4e
    @PeterMponeja-t4e 6 годин тому

    Nilikiwa lazima huyu mzee aongee upumbavu tu

  • @bertinkimati2674
    @bertinkimati2674 2 дні тому

    Huyu Mzee Huwa namshamgaa sana kwa. Umri wake anapaswa kuwa mkweli sana na asiyeogopa kukosoa pale kunapokuwa na uvundo kama huu wa juzi. Chadema walisema wazi kuwa madai yao ni kuona baadhi ya viongozi wanaohusika kuwajibika kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao . Na pili wanataka vijana wao walipoitwa polisi na baadae kutoweka waachiwe huru au Jeshi la polisi litoe majibu wako wapi. Sasa kujifanya kuwa anajua kusping Kuna mwarabia uzee wake.. mbowe aliosema akifa oombewe ni kwa sababu ya madhila wanayofanyiwa wapinzani.

  • @bonifacerobert2960
    @bonifacerobert2960 2 дні тому

    HUYU SIYO WA KUMWITA KUMHOJI. MWITENI MZEE WARIOBA. HILI DUDE HALIJAWAHI KUIUNGA MKONO DEMOKRASIA.

  • @HansChuma
    @HansChuma 2 дні тому

    Nduguzangu watanzania usikubar mwanasiasa akufanye mzigo wa MAVI yan akwambie njoo tuandamane noh you have to diside your self not some one else came no where pushing you to do yan hiv mtanzania ukitaka kuandamana andamana kwa manufaa yako binafs sio kwa hawa wanasiasa kutaka kuwatumia wananchi kwa manufaa yao binafs shenz kabisa mm sinauchama ila hua sipend kuona wanasiasa watanzania kutufanya kama magenda heka wkat tunaakili yakufikiria watanzania em tuamke Kama kutaka kuingia barabaran tuingie kwa sababu zetu binafs sio kwa sabubu watu fulan kukwambia tuingie barabaran japo hawa Ccm pia mieyusho kenya wananchii waliamua kuingia barabaran ila si shinikizo la wanasiasa upuuz tu

  • @mariaanthoniangowi9376
    @mariaanthoniangowi9376 2 дні тому

    Wewe usipotoshe ummahatuna imani nanyi. Wate daji ninyie, wachunguzi nyie m arufanya mazuzu golila wewe

  • @samsonrusagira5168
    @samsonrusagira5168 День тому

    Hawa waliokuwa wanapanga kuiondoa serikali madarakani polisi ndiyo waliotoa maelezo hayi iweje hawakuchukua hatua yoyote kuwakamata na kuwahoji kwa njama hizo wakati wana ushahidi wa kila jambo.

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 2 дні тому

    Upo vizuri mzee wetu lakini makenge wengi hapa watakutukana tu hawakubali ukweli lakini ukweli utabaki pale pale 🤣🤣🤣

  • @Kijana-wa-Tanzania
    @Kijana-wa-Tanzania 2 дні тому

    Sema Wasira ni mpuuzi kweli huyu mzee! Ujana wake kweli alikuwa machachari lakini utu uzimani amekuwa mpuuzi asiyejielewa kabisa.

  • @AllanLyombile
    @AllanLyombile 19 годин тому

    Umri na anayoyafanya ni vitu viwili tofauti kabisa, mtu mzima ovyoo.

  • @MayalakusekwaNkwabi
    @MayalakusekwaNkwabi 2 дні тому

    CCM ni wahalifu namba moja Wanatisha Watu, wanateka na kuua watu ni Siasa za Kishamba hakuna MAGADI Tanzania ni polisi wanatumika kutisha, kuteka na kuua watu

  • @AbdillahSalimu
    @AbdillahSalimu 2 дні тому

    Ila ukitoka hapo usihau kwenda kustahaf uwaachie na wengine hiyo chansi Ajira nichache mzee

  • @Jumasadala-c7y
    @Jumasadala-c7y 2 дні тому +1

    Umechoka acha uongo

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 2 дні тому

    Mzee huyo acheni kumuhoji atahojiwa na wakati uchawa ache angetekwa mwanae angejua vizuli kweli mukate wa ccm amekula sana

  • @DanielLikangaga
    @DanielLikangaga 2 дні тому

    Safi mzee maana waandishi wetu wengi si wadadavuzi wa mambo na kwa kifupi ni kwamba tunavyama vingi vya siasa je kwa nini kila siku chadema?

  • @thobiaslikeve6222
    @thobiaslikeve6222 2 дні тому

    Vyombo vyetu chagueni wazee wa kuhojiana nao ambao wanauwezo mkubwa wa kufikria.

  • @MadodoMartini
    @MadodoMartini 2 дні тому

    Waandishi mmekosa mtu wa kuongea nae..., mwambieni huyo akalale maana alilalamika mmemharibia usingizi

  • @DanielLikangaga
    @DanielLikangaga 2 дні тому

    Alafu Hawa waandishi wanakupotezea muda mbona wanakuuliza maswali kama hawaja soma kata kipindi tafazarii

  • @dottomatola5905
    @dottomatola5905 День тому

    Khasira ukaa kwenye kifua Cha mpumbavu poleni mlio kasirika

  • @NixonJohnson-r4m
    @NixonJohnson-r4m 2 дні тому

    Mamba zee ....atakufa na ujinga wako naomba mungu aniepshe na hilo ...

  • @eliasmedutieki7578
    @eliasmedutieki7578 2 дні тому

    Mi namheshimu sana huyu mzee kwa umri wake ila kwa kweli hayupo sawa hapo mnamaliza mb zetu tu

  • @JacobJamesMasangula-oo6pt
    @JacobJamesMasangula-oo6pt 23 години тому

    Sioni hapo swali la maana kutoka kwa waandishi, hao ni machawa wote.

  • @rbmdavies88
    @rbmdavies88 2 дні тому

    Dhambi hii itatutafuna kama blue imegeuka kuwa nyeusi daaah kazi ipo mungu tusaidie ili ikweli utuweke huruuuu

  • @MadodoMartini
    @MadodoMartini 2 дні тому

    Unaongeaaga nini mzee, ndio maana Tawala wa Awamu ya tano uliwaambia mkapumzike, maana anwafahamu..

  • @istambulahmed6664
    @istambulahmed6664 День тому

    Huyu mzee anaongea point tupu lazima tumuunge mkono.

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 2 дні тому

    Mzee unafaa kwa maojiano safari nyingine wakuite wew unajua sanaa maisha marefu wasira

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 2 дні тому

    Mizee.isiyo kuwa na busara kama Hilo li wasira halina jipya Hilo

  • @rizyoneboffi3662
    @rizyoneboffi3662 2 дні тому

    Ngoja itekwe familia yako na kuuliwa ndio utajua chadema walikuwa sahihi au la

  • @mussamohd4414
    @mussamohd4414 2 дні тому

    Tujifuze kuhurumiana kwaza ndy tubaki namapez ya vyama

  • @nisetasiziraeli542
    @nisetasiziraeli542 Годину тому

    Uhuru unakuja kesho

  • @bonifacerobert2960
    @bonifacerobert2960 2 дні тому

    Utamaduni wetu ni woga eti? Wakati umefika, woga baas!

  • @ibrahimmrisho4087
    @ibrahimmrisho4087 2 дні тому

    Mzee umepitwa na mda hivi kweli wewe haujui kwamba watu wanapotea

  • @DanielSinavangi
    @DanielSinavangi 2 дні тому

    Ccm waachieni vijana tangia nipo chekechea jamani pumzia mzee

  • @EzekiaMtwale
    @EzekiaMtwale День тому

    huyu Mzee AKILI imechoka!!!

  • @DanielLikangaga
    @DanielLikangaga 2 дні тому

    Saafiii mzeee mm naunga mkono maneno Yako utamadini wa watanzania ni Amani

  • @shaibhamdun5225
    @shaibhamdun5225 День тому

    Mzee wetu uko vizuri. Ahsante

  • @EzekiaMtwale
    @EzekiaMtwale День тому

    ay huyu nae anaona anaongea points!!! ujinga kwel

  • @MasudSalum-o4o
    @MasudSalum-o4o 2 дні тому

    Watangazaji gani mnaoshindwa kuuliza maswali

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 2 дні тому

    Wakazi inaonekana akili alitoa kwa Mama sio kwahuyu mzee

  • @onesmohmasuka3720
    @onesmohmasuka3720 2 дні тому

    Huyu hakubaliki kabisa. Anamharibia rais wetu

  • @NiazonBukoke
    @NiazonBukoke 2 дні тому

    Hili zee nalo la wap kwan, au ndio lile lakusinzia bungeni

  • @renatuskweyamba6460
    @renatuskweyamba6460 День тому

    Napoteza mb apa ngoja ntoke kabisa

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi 2 дні тому

    Mzee mwenyewe kama nyani sasa ataongea nn chamaana

  • @NGOMELE1976
    @NGOMELE1976 2 дні тому

    Hatutegemei wazee kukosa busara kwa sababu ya umri wao.
    Hatutegemei wazee kukosa maarifa.
    Hatutegemei wazee kuwa waoga wa kusema ukweli
    Hatutegemei wazee kuwa wajinga.

  • @SaidiPala
    @SaidiPala 2 дні тому +1

    Kama muliwatishia wangekujaje.musinge wazuia

  • @malindimalindimerinyo1632
    @malindimalindimerinyo1632 2 дні тому

    Uzushi ni ushahidi ???? hicho nikisingisio tu

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 17 годин тому

    Wanawake wanahuruma aiseeee

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw День тому

    Mzee yuko vzr hazina ya nchi

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 2 дні тому +1

    Hii MIJAMBAZI ishapita na wakati, inaporoja ipewe fupa linong'one

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 2 дні тому

    Hovyo tuko na Lisu mtaumbuka sana zamu hii

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 2 дні тому

    Sura tuu kama lizee lisilo kuwa na busara

  • @NgareliChacha-d2p
    @NgareliChacha-d2p 15 годин тому

    Wew acha uogo wako 😎😎

  • @athumanidilunga7770
    @athumanidilunga7770 День тому

    Kama mpuuzi nenda kaandamane mpuuzi

  • @juliusmsegu3347
    @juliusmsegu3347 День тому

    Mzee aliyezeeka na ujinga wake

  • @thomskawinner4692
    @thomskawinner4692 2 дні тому

    Kumbe mzee chawa tu 😂😂 mjinga kabisa

  • @ElishaMwakajila
    @ElishaMwakajila 2 дні тому

    Umezeka.vibaya.hatahekima.hauna

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 2 дні тому +1

    Chawa mzee yupo kwenye samli kisha sahau ccm walivomfanya mpaka akakimbilia chadema, sasa yupo patamu kawa mpambe wa ccm

  • @matiredms917
    @matiredms917 2 дні тому +2

    Wewe unaonesha kiwango cha UCHAWA NA UZUZU wa hali ya juu.

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 2 дні тому +2

      Wewe ndiyo zwazwa anae unga ujinga wenu ndiyo anafaa, akiwapinga chawa unaujuwa uchawa, wewe pia ni chawa wa wajinga hawa.msijidanganye kuwa mnaungwa mkono na watz sivyo, hilo ni lenu chadema tu. Pumbavu nyinyi.

    • @hassanthabit3726
      @hassanthabit3726 2 дні тому +1

      Hao mafara wanadhani TZ ni mafara. CHADEMA pumbavu lema watoto wake na mzee wapo nje. Waganga njaa wanaburuzwa

    • @matiredms917
      @matiredms917 2 дні тому

      @@hassanthabit3726 Hassan uwe na utu ndugu yangu. Siku moja Mola atakupitisha wewe na familia yako ktk mazingira ambayo hawa wanaolalamika sasa wanapitia. Ukisimamia ukweli utapata thawabu kutoka kwa Allah. Mungu akupe hekima ya Suleiman kutambua huyu mtoto anayepiganiwa na hawa mama wawili( CCMnaCHADEMA) ni wa nani.

  • @KharuniNganason
    @KharuniNganason 2 дні тому

    Ukizeka akili nazo hovyo

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 2 дні тому

    Upewe maua yako mzee umejibu vizuri na kwa busara wew ndio tunu yetu ya taifa maisha marefu

  • @yassinkimolo2943
    @yassinkimolo2943 16 годин тому

    Mzee wa hovyo

  • @BarakaSimon-xy9mp
    @BarakaSimon-xy9mp 2 дні тому

    Mzee ni brainwashed

  • @danielmwanjali2449
    @danielmwanjali2449 22 години тому

    Ni chawa huyu

  • @wilifredmollel9690
    @wilifredmollel9690 2 дні тому

    Wape somo watawala

  • @SalustianSalla
    @SalustianSalla 2 дні тому

    Huyu Mzee ata contribute nini katika siasa za nchi hii. He is spent up force, is almost an imbecile!?