Iliwai tokea na kujutia kwa Mkapa inawezekana anashauriwa vibaya , au ni mikosi alliyonayo ktk taifa pengine kushiliki au kutenda makosa yasiyompendeza mwenyezi mungu namshauri ajiudhuru nafasi ya urasi
Hi bado tutandamana tu ata kmya kmya police hawajui sheria wananchi wap wakaseme..uko bungeni wabunge wakitoa hoja turia anapnga sasa wananchi wap wakaseme
Kidoogo naendelea kukiamini chombo chenu maana waandishi wengi sasahiv wa nchi yetu wanatia kinyaa ukisikia wakizisifia serikali na na maovu take utachoka, katiba imeeeka wazi kua Rai anakua na washauri wanaolipwa na Ila Sheria Ina sema pamomoja na ushauri wao pia Sheria hiohio Nina sema halamiki kuutumia huo ushauri anaweza shauriwa vizuri Ila anaweza kuuacha huo ushauri nakutumia akili yake huo ndio ubovu wa katiba na Sheria zetu,
Raisi yeye anashindwa kufikiri. Ana utashi wake au hana. Ni maamuzi yake Raisi mwenyewe na uwezo alionao kifikra na kiutendaji. Mnamtetea sana Raisi ambaye ameshindwa kuiongiza nchi hii. Washauri si viongizi kiongizi ni Samia Suluhu mwenyewe aubebe huu mzigo.
Tanzania kila mmoja anajua, hakuna anaejua sheria wala haki. Ni sheria ya Baharini samaki mkubwa anamla mdogo. Wajinga ni wengi sana. Polisi hawajui kazi zao, wanajiona magwanda yao njaa ndo sheria. Nchi yenye dhulma. Kwani Raisi bwege? Hapimi anachoambiwa? Au ndo ktk hao wajinga wenyewe. Anaendeshwa ovyo na anakubali. Rais si muadilifu. Uongozi unatakiwa uwe muadilifu
Usipokuwa makini vyombo vya habari vitakufanya umchukie ane dhulumiwa na ukampenda anaye dhulumu hii ni nuku my marcom x so ukijua athari za media propaganda machine utaelewa zaidi wanahabari ni wakoje Yan
Tatizo mama anafuata mkumbo wa washauri wake wajinga na machawa,wanaomshauri hovyo ili kulinda nafasi zao na ukaribu wao kwa raisi,kiukweli ni vituko na hata sisi watu wa kawaida tunaelewa serikali ya Sasa inajikita kufanya propaganda kandamizi,onevu sana.kulinda vyeo tu.ila wajue dawa ya wenye kiburi mwamuzi ni mungu.
Raisi kasema serikali yake Ina interegensia kubwa, na interegensia kubwa Ni bwana msiba bwana Yona wachalinze makonda na shehe mwaipopo, watu waio faa boblia inasema watu wazushi waongo wahaini wachochezi watu walio na moto wa kichawi kwenye nchi ili iungue, raisi akiwaamini hao nchi itateketea. Mie najifika kwenye handaki la Yesu
Wazee wa minyama mko vizuri. Ila mnatumia muda mrefu sana kwenye matangazo kuliko content, kumbukeni kipindi chenu watu wanasikiliza wakienda makazini, sasa unafika hadi kazini umesomewa tittle mbili tu za gazeti na longolongo kibao kwenye matangazo..Fupisheni matangazo, kipindi kitanogaa
Shukrani @Musa Kipanya umesaidia vizuri kusoma neno "psychology" ambalo lilimchanganya @Kitenge...na hata Zembwela naye akafikiri ni makosa ya kiuandishi lakini ni kwamba alijakosewa. "PSYCHOLOGY" linasomwa SAIKOLOJI .
Raisi ana akili za darasani hana maarfa ndiyo maana wana mugeuza wanavyo taka
Siku zote ya kuambiwa na changanya na nako ila rais inatakiwa achukue maoni ya wananchi ili tujenge taifa kuliko kuangali ya upande moja
Hawa jamaa sometimes wanakuwa critical, sometimes wanakuwa wapuuzi tu, sometimes yanakuwa machawa. Hawaeleweki mbwa hawa. Ndumi la kuwili.
Tuaitaji chaadema kuutanga maandamano ya nchi nzima zianzie kila kitongoji TUONE haw polisi
Prof. Yupo sahihi...Ni dhahiri Rais anahujumiwa. Kila kinachofanyika kina impact hasi kwake, kwa Nchi na Chama tawala CCM.
Iliwai tokea na kujutia kwa Mkapa inawezekana anashauriwa vibaya , au ni mikosi alliyonayo ktk taifa pengine kushiliki au kutenda makosa yasiyompendeza mwenyezi mungu namshauri ajiudhuru nafasi ya urasi
Hi bado tutandamana tu ata kmya kmya police hawajui sheria wananchi wap wakaseme..uko bungeni wabunge wakitoa hoja turia anapnga sasa wananchi wap wakaseme
Na yeye ni mtazamo yake kama nyie mnavyotoa mitazamo yenu inayoegemea upande wa serikali pasipo kuchambua kwa hali halisia
Vilaza ndivyo walivyo shauliana
Kidoogo naendelea kukiamini chombo chenu maana waandishi wengi sasahiv wa nchi yetu wanatia kinyaa ukisikia wakizisifia serikali na na maovu take utachoka, katiba imeeeka wazi kua Rai anakua na washauri wanaolipwa na Ila Sheria Ina sema pamomoja na ushauri wao pia Sheria hiohio Nina sema halamiki kuutumia huo ushauri anaweza shauriwa vizuri Ila anaweza kuuacha huo ushauri nakutumia akili yake huo ndio ubovu wa katiba na Sheria zetu,
Wamechambua nini kuhusu kile alichokisema professor Mbele?
Social psychology imemshinda kusoma😂😂😂
Kitenge😂😂😂😂😂😂😂
Yaani tunawashangaa Sana!!
Wasafi mnaanza kupoteza ethics ya chombo cha habari.
Kwann
Raisi yeye anashindwa kufikiri. Ana utashi wake au hana. Ni maamuzi yake Raisi mwenyewe na uwezo alionao kifikra na kiutendaji. Mnamtetea sana Raisi ambaye ameshindwa kuiongiza nchi hii. Washauri si viongizi kiongizi ni Samia Suluhu mwenyewe aubebe huu mzigo.
Washauri hewa hao ipo day kitanuka tu
Wajina Bora angesikiliza ushauri wa wananchi kuliko hawa washauli wake
Kumbe kakitenge haka jui hata kusoma kiingereza
Psychology imemsumbua😂😂
😂😂😂😂
Hii ni redio ya comedy? Maana siielewi ndugu zangu
Saiv imeanza anza kujirekebisha kidogo zamani huwezi kutamani kusikiliza
Tanzania kila mmoja anajua, hakuna anaejua sheria wala haki. Ni sheria ya Baharini samaki mkubwa anamla mdogo. Wajinga ni wengi sana. Polisi hawajui kazi zao, wanajiona magwanda yao njaa ndo sheria. Nchi yenye dhulma. Kwani Raisi bwege? Hapimi anachoambiwa? Au ndo ktk hao wajinga wenyewe. Anaendeshwa ovyo na anakubali. Rais si muadilifu. Uongozi unatakiwa uwe muadilifu
Usipokuwa makini vyombo vya habari vitakufanya umchukie ane dhulumiwa na ukampenda anaye dhulumu hii ni nuku my marcom x so ukijua athari za media propaganda machine utaelewa zaidi wanahabari ni wakoje Yan
Tatizo mama anafuata mkumbo wa washauri wake wajinga na machawa,wanaomshauri hovyo ili kulinda nafasi zao na ukaribu wao kwa raisi,kiukweli ni vituko na hata sisi watu wa kawaida tunaelewa serikali ya Sasa inajikita kufanya propaganda kandamizi,onevu sana.kulinda vyeo tu.ila wajue dawa ya wenye kiburi mwamuzi ni mungu.
Kikwete aliwahi kusema yakuambiwa changanya na zakwako
Raisi kasema serikali yake Ina interegensia kubwa, na interegensia kubwa Ni bwana msiba bwana Yona wachalinze makonda na shehe mwaipopo, watu waio faa boblia inasema watu wazushi waongo wahaini wachochezi watu walio na moto wa kichawi kwenye nchi ili iungue, raisi akiwaamini hao nchi itateketea. Mie najifika kwenye handaki la Yesu
Wangekua na intalejensia wangejua mbowe kalala wapi😂
Na yeye ni mtazamo yake kama nyie mnavyotoa mitazamo yenu inayoegemea upande wa serikali pasipo kuchambua kwa hali halisia
Wazee wa minyama mko vizuri. Ila mnatumia muda mrefu sana kwenye matangazo kuliko content, kumbukeni kipindi chenu watu wanasikiliza wakienda makazini, sasa unafika hadi kazini umesomewa tittle mbili tu za gazeti na longolongo kibao kwenye matangazo..Fupisheni matangazo, kipindi kitanogaa
😂😂😂 habari ni nzur ila Kitenge na Babu leo mmh!😅