JEMEDARI: WATANZANIA WASHAMBA | NIMEKAA NA VIONGOZI SIMBA YANGA NA AZAM KUNA USHAMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 тра 2024
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 34

  • @user-gg9np1hy2d
    @user-gg9np1hy2d Місяць тому +2

    Nenda ww kawe kiongozi muadilifu, mchambuzi unachambua majani au?

  • @malietamalieta9658
    @malietamalieta9658 Місяць тому +2

    muache ujinga wao wakina kilwa na aucho ata kwa nchi zao unakuta awaimbwi sio tz tu mkome kusema ushamba wakienda nje wakafanya vizr watapendwa uko uko mkomeeeeeeeeeee

  • @user-mr9xp5mr7i
    @user-mr9xp5mr7i Місяць тому +2

    Huyo Mwenye kifaduro anaongelea Gift Fred Kwanini asimtaje Che Malone anayepata nafasi kama lawi?
    Huyo Kifaduro Sijui Teja mstaafu

  • @noelymwakasege2428
    @noelymwakasege2428 Місяць тому +2

    Yani fei afanane na cham mh machambuz wetu hawa

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga Місяць тому +2

    Wachezaji wetu hawathaminiki Fesal anaimbwa na nani.
    Fesal alifunga timu ina wachezaji 7 acheni kuwapa nguvu wachezaji wazembe
    Wachezaji wa kawaida ni kina nani.?sasa hutaka tumtaje Aziz Key .
    Kibabaje na Lomalisa usifananishe kabisa.
    Unamtaja Engineer yeye ndie anaefuata wachezaji nje ni quality tu .Chirwa aliimbwa aana pia.yooote hayo ni Diara .Aziz key wasipate tuzo😂😂😂😂😂

  • @user-mr9xp5mr7i
    @user-mr9xp5mr7i Місяць тому +2

    We Ndio Mshamba Namba moja

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k Місяць тому +1

    Huo ni ukweli,tunateswa na ushamba,,achana na wanataka kusifiwa na hao unaozozana nao happy ndiyo kabisa,siku hizi wanajiita Chawa.Vijana wenye vipaji wamejazana hapa kinachotakiwa kuwezeshwa.Hawa mnaowashobokea leo wametengenezwa huko watokako.Usione kinaelea kimeundwa.Tuache ushamba.Hovyo sana.😊

  • @rahjah5882
    @rahjah5882 Місяць тому +2

    Mshamba mwenyewe

  • @johanesdeogratias5106
    @johanesdeogratias5106 Місяць тому +1

    Huyu jamaa, jana kalala baa anamkia leo kazin et!! Hiv lomarisa unamfananisha na kibabage,, kweel tumefkia huko, fei toto awe sawa na chama, pacome,au aziz key, aaah!! Sheeila elimon palangwiii

  • @user-rc9oz9yi3o
    @user-rc9oz9yi3o Місяць тому +1

    Watu anaumwa na Yanga mpaka wanakosa La kuongea. Hatukatai wachezaji wetu ni wazuri Lakin mbona Hao mnaowataja haendi kucheza nje na hata offar kubwa zinazokuja ni za wachezaji wa njee

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 Місяць тому +1

    Muulizeni anawachezaji wangapi anawasimamia mpaka sasa?

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 Місяць тому +1

    Ningesha miwani asiitaje Yanga? Amemtaja Gift makusudi ili Yanga aitaje!

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga Місяць тому +1

    Acheni kuwaharibu Wachezaji wa ndani.
    Makocha wa ndani nao ni shida.
    Wachezaji wa ndani wananashine kutokana na muunganiko wa wachezaji wa nje.wachezaji wa nje wametuzidi
    Enzi za kina Said Mwamba viwango vilikuwa juu.kwa sasa hakuna viwango kabisa

  • @user-gp2kh5pe1x
    @user-gp2kh5pe1x Місяць тому +2

    Ushamba ni neno gumu sana kulitumia,, wachambuzi kuweni na lugha ya stara,, ni ukweli usiofichika hawa wachezaji wa kigeni wameleta chachu kubwa ktk mpira wetu,, kipindi hiki hatuna wachezaji wazawa wenye viwango vikubwa sana,, waambie simba au yanga wasajili wazawa tu na tuone kama tutafika popote . Ukweli ni kwamba hatuna wachezaji wazuri kama zamani kidog hapo nyuma

    • @idybwoytz8485
      @idybwoytz8485 Місяць тому

      Kaka huyuu jamaa na yeye ni mupumbavu huweziii kutu aminisha wakatii hawaendiii kucheza mbeleeeee

  • @browntv1119
    @browntv1119 Місяць тому

    Hawa ndo wakukamata

  • @HalidMuhammad-gi9qy
    @HalidMuhammad-gi9qy Місяць тому

    Kwa hio jemedari mama mzazi ni mahamba kweli na hata baba yako mmmh wewe ni mwendawazimu tena mjinga sana

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 Місяць тому

    Wachezaji wa ndani sio wazuri ndio maana akuna ofa yoyote kutoka nje ya nchi ikija ofa ni wale wachezaji wa nje tu wanahitajika tu,sasa tutaimba kitu ambacho hakipo wafanye vzuri nao waende nje wakaimbwe

  • @grasiuslongo6186
    @grasiuslongo6186 Місяць тому

    Mwamba anzisha team ili uwa promote wachezaji wako unaumia sana

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m Місяць тому

    Si unaona hata mbwana samata wanamtukana badala ya kumpatia heshima kweli watanzania ni washamba

  • @allyahmed3726
    @allyahmed3726 Місяць тому +1

    Wewe na wachezaji wako wa ndani ndio washamba… tamaa za kuuza match ndio zinawaponza hizoo

    • @StoryTellersTZ
      @StoryTellersTZ  Місяць тому

      Duhh

    • @user-gc1ez1yv4k
      @user-gc1ez1yv4k Місяць тому

      Jemedari usikate tamaa,wape elimu vijana wenzio,ni washmba hadi huruma,hawa hata wakioa wanataka mke amfulie nguo ya ndani(boxer)Binafsi wachezaji wa nje siwapendi,wazururaji wanaopewa heshima kwenye nchi ya washamba.

  • @seydouside4081
    @seydouside4081 27 днів тому

    Hivi Wende radio zao wanawasikia ..maana hamna hata Shuler ya awali ya mpira.hivi ulivyokuwa unachezea Maribor danadana na wewe ulikuwa unajuwa.kaka mpira kazi..na kama wanaweza wangechukuliwa nje ya nchi.uwezi kuzungumzwa bila kujuwa mpira..anzisha yakwako tuwaone wazawa.

  • @chabwasimanyori924
    @chabwasimanyori924 Місяць тому

    Shida mnataka kupaisha wachezaji ambao hamna kitu. Kwani tungekua na good players wengi si hata team ya taifa ingekua inasogea mbele?
    Yaani wewe nenda nchi yoyote uone kama unakua treated the same, what Ronaldo is paid ni sawa na wazawa wa Saudia? Kama saudia hawakubali kuwa na mke bila ndoa but Ronaldo yupo na mchumba tu. Shida ni kwamba mna wachezaji viwango vidogo lakini mnakaa hapo mnawapaisha ili mpate pesa nyingi Yanga na Simba. Acheni ushamba, kama ni wazuri watafutieni team nje kwani hamna passport?

  • @user-gg9np1hy2d
    @user-gg9np1hy2d Місяць тому +2

    Chuki tu huna lolote

  • @ramadhaningoda3524
    @ramadhaningoda3524 Місяць тому +1

    Na mama yake na baba yake ni watanzania sasa huyu akili zake zinawatukana mpaka wazazi wake

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 Місяць тому

    Huyu ni mshamba sasa km Feisal ametusaliti yanga tunampendaje fala ww

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga Місяць тому +1

    Avic Town na Yanga ni maendekeo.
    Sisi Yanga tukiimba wachezaji wetu nyie mtulie haiwahusu sana.
    Sio washamba wewe una shida sehemu .
    Hebu nipe History ya kina SAID MWAMBA kwenda Karikoo lindi

  • @Dula707
    @Dula707 Місяць тому

    We upo efm anza kumsifia shaffih dauda wa clouds fm hapo hapo,washamba ni nyie ambao kila kitu nyie mnaona hamkosei

  • @ramadhanseif4178
    @ramadhanseif4178 Місяць тому

    Washamba nyie

  • @Salumu-gs6rk
    @Salumu-gs6rk Місяць тому

    Hawa wachambuzi hovyo kabisa