GAMONDI KUONDOKA YANGA!, UONGOZI UNA CHANGAMOTO, HAWAMTAKI, KLABU KUBWA ZINAMTAKA, AENDE SIMBA SC

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 32

  • @hashimsalum7025
    @hashimsalum7025 4 місяці тому +3

    Mnaushaidi gani kama bado hawajafanya mazungumzo, acheni chokochoko.

  • @ErastoOmari-ij1zs
    @ErastoOmari-ij1zs 4 місяці тому +1

    Kama Kagoma Kusaini
    Ashikiwe Panga?
    Kama wamezungumza Mlitaka Uwambiwe?
    Kaondoka Nabi Mlisema Hivyohivyo?

  • @jumanneenos2481
    @jumanneenos2481 4 місяці тому

    Gamond aondoke tu kila siku anampanga Mzize,
    Nyie mnamjua Eng. ???? Anamleta Arteta shenzi zenu.

  • @AllyKiduka
    @AllyKiduka 4 місяці тому +2

    Nyinyi nyote akili zenu zote mkizichanganya hazimfikii injinia wehu nyiiiiiii

  • @protasmalala7559
    @protasmalala7559 3 місяці тому

    Hapo Simba ndio mnapata pa kusemea..

  • @iluvjesus313
    @iluvjesus313 4 місяці тому

    Watangazaji wanashida hawa, yaani wanatafuta kila kasoro ili mradi tu Engineer aonekane si lolote si chochote..
    Hawahawa waliitetea simba kwenye sakata la Kibu Denis..
    Walisema kama mchezaji hataki kukaa na wewe utafanya nini..
    Lakini leo wanajifanya kushangaa viongozi wa Yanga kutompa mkataba Gamodi

  • @mawazomdemu5169
    @mawazomdemu5169 4 місяці тому

    Yaani huwa napenda kuwasikiliza ,ili nipate vitu fulani kuwa watu tuna akili tofauti na uwezo mdogo waku ng'amu mambo.(Swali hivi nyie hapo ndio mliopendekeza Gamondi kuajiliwa na Yanga?)

  • @hamis0083
    @hamis0083 3 місяці тому

    🎉nyinyi ndo makobe was mfelejin amjitambuyi tuacheni na Tim yetu

  • @gaspeldaniel1140
    @gaspeldaniel1140 4 місяці тому

    Hii redio inaviraza wengi sana tena ni Makolo Hayana uchambuzi ila ni chuki yameweka mbele kuliko mpira

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 4 місяці тому +1

    NDIO MAANA NINASEMA WACHAMBUZI WA KIBONGO SAA NYIE MNA VIRUS KICHWANI WACHA UJINGA WENU INJINIA HERIS HAWEZI KULAUMIWA KWA SABABU HATA GAMONDI HUKUMPA WEWE.

  • @seydouside4081
    @seydouside4081 3 місяці тому

    Kunawatu walikuwa na mkataba wakaondoa kumuangalia mkewake hajarudi..

  • @SharifuBakari-tr7hd
    @SharifuBakari-tr7hd 4 місяці тому +1

    Nyie wapuuz sana aisee kwani kocha Yuko pekeake hapa Africa? Wapuuuuuuuz nyie

  • @selemanikazembe9134
    @selemanikazembe9134 4 місяці тому

    Hivi coach mwenye mkataba wa mwaka mmoja unamtathmini lini?unamtathmini baada ya ligi na ndio wakati wa kumpa mkataba .

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 4 місяці тому

    Nyinyi mnaumwa nini? Walipomleta mlimujua?

  • @FrankJembe
    @FrankJembe 4 місяці тому

    gamond mwenyewe amesoma alama za nyakat anajua kua msim ujao wanyama wanakuja kivingine

  • @SharifuBakari-tr7hd
    @SharifuBakari-tr7hd 4 місяці тому

    Wew kipara km unamtaka injinia sema t akupelekee moto

  • @JovinPeter
    @JovinPeter 4 місяці тому

    Hawa washakua wachambuzi wa mchele

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 3 місяці тому

    Habari zenu za uongo wapuuzi nyie

  • @gililwise
    @gililwise 4 місяці тому +1

    Mgonjwa wewe mambo ya Yanga hayakuhusu.

  • @shabanmbaga3917
    @shabanmbaga3917 4 місяці тому +1

    Nyie mnajuaje kwamba hawajafanya mazungumzo nae na ishu ya mtu kusain nimpaka apende mwenyew huwezi kumlazimisha

  • @philemonkatondwa8275
    @philemonkatondwa8275 4 місяці тому +1

    Wanafiki wakubwa nyie

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba 4 місяці тому

    Viazi,

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 4 місяці тому +1

    Huyo mwenye bichwa kama papai nakipara ngoto

  • @laurianjoackim2091
    @laurianjoackim2091 4 місяці тому

    Hii redio inamachok weng san haw ndo walisem gamond awez kutupa mafanikio leo hii wanasem viongoz wet wakulaumiwa watakuw wanapumuliwa haw wachambuz ten wakom kumzungumzi Rais wet kweny redio ya pamoj n tim yet wazungumz timu nyingin atutak

  • @AllyKiduka
    @AllyKiduka 4 місяці тому +1

    Sio uzembe haka kareldio ni kamipasho tu kama wanaeake

  • @WakiliAbasi
    @WakiliAbasi 4 місяці тому

    Kama anaenda aende

  • @mwanangusana
    @mwanangusana 4 місяці тому

    Akiondoka miguel angel gamondi tunamshusha murtaza mangungu 🤣🤣🤣 na ubingwa tunachukua ....hii yanga ukijua kupanga namba ubingwa uo apo

  • @aziziatumanially424
    @aziziatumanially424 4 місяці тому +1

    We akili hauna je kama wamefanyanae n gamond ameamua kuondoka.. we akili Huna unamuongelea engener hivyo ili hari uo ubig kocha unaoutaj hukuwahi kuutaja kabla hajaletwa pale uache unafiki wa kujidai unamjua gamond kuliko yeye aliyemleta pale sisi yanga tupo na uongoz wetu popote walipo tupo... kama kaze tu uzuri ni wa team yetu sio yeye tuuu peke yake pale ata aende mkwasa mambo ni moto huo huo

  • @boazmgeni.4655
    @boazmgeni.4655 4 місяці тому

    Huyu ngoto Mwongo sana mbinguni ata pasikia 😂

  • @tumainielmremi7912
    @tumainielmremi7912 4 місяці тому

    SIONI KAMA HUYU MCHAMBUZI ANA AKILI TIMAMU. UNAJUAJE KAMA YANGA HAWANA MPANGO NAYE. NI PAEFECT KWAKO SIO KWA SIMBA.

  • @AbassAbdalla-e7j
    @AbassAbdalla-e7j 4 місяці тому +1

    Nyie wachambuzi mnauelewa gani na yaliyopo yanga,mbona wagombanishi au makolozbwanj nyie

  • @SharifuBakari-tr7hd
    @SharifuBakari-tr7hd 4 місяці тому

    Aliondoka Nabi mukasema hvyo hvyo kwahy atakuj mwingne mkali zaidi