"SIJAMSHTAKI RAIS HERSI SAIDI" MZEE JUMA MAGOMA AFUNGUKA SAKATA ZIMA LILIVYO KUHUSU KESI, KATIBA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2024
  • Mzee namwanachama wa Yanga Juma Magoma amefunguka mengi kuhusu sakata la kuushtaki uwongozi wa Yanga ulipochini ya Eng Hersi

КОМЕНТАРІ • 9

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 Місяць тому

    Mzee kaza hapo sawa utopolo chali

  • @habibukassam9702
    @habibukassam9702 Місяць тому

    Huyo mzee afukuzwe yanga na akibaki yanga tutaiomba serekari maandamano ya kenya yatahamia yanga njaa zake apeleke kwa mashoga wenzie

  • @Anord-mk1xu
    @Anord-mk1xu Місяць тому

    we mshamba kweli kama umetumwa kafie mbele uko toka apa kwan sisi siyo wana chama kawambie walio kutuma kua umeshindwa

  • @Veni584
    @Veni584 Місяць тому

    Mzee unachekesha, unataka watu 100 wote waende kwa mkutano, basi ukumbi utakuwa ni uwanja wa mkapa

  • @issaissa1361
    @issaissa1361 Місяць тому

    Ili zee limetumwa sio Bure kwenye maelezo anajichanganya acha njaa Mzee katafute kazi

  • @erastomsigwa7713
    @erastomsigwa7713 Місяць тому

    Ningekua jirani na huyo bwege angenitambua,,pumbavu kabisa

  • @deodatusmatwegula5364
    @deodatusmatwegula5364 Місяць тому

    Kama kweli ni mtetezi wa haki za wanachama mbona hatetei haki za wanachama wa mikoani? Au leja inasoma wanachama wa Dar es Salaam peke yao? Hebu hao wazee wapeni Under 20 waihudumie tuone. Yanga ilipita katika kipindi kigumu cha kutembeza bakuli walijificha. Leo Yanga iko vizuri wanaanza kuleta shida. Serikali hawa wanasababisha uvunjifu wa amani. Kwa nini wangojee kipindi hiki cha kuelekea Nchi kufanya Uchaguzi? Kwanini kila mgogoro wa Yanga huyu Magoma lazima awemo?

  • @BhutemiMapalala
    @BhutemiMapalala Місяць тому

    Jaami hao wazee wanatakiwa kurawitiwa ili hakri zao ziwakae sawa