MSWAHILI NI NANI | MJADALA | SIKU YA KISWAHILI DUNIANI MOMBASA, KENYA 2022

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 7

  • @wanyenyawilly1441
    @wanyenyawilly1441 2 роки тому +1

    Nimefurahishwa sana na maelezo ya huyu Prof. Chimera aliyekuwa mhadhiri wangu katika Chuo Kikuu Cha Pwani.

  • @AdulKiga
    @AdulKiga Рік тому +1

    Yani kama watanzania saf sana tena mm ni matanzania

  • @vincentmutiso6476
    @vincentmutiso6476 2 роки тому +1

    Kongole mhadhiri wetu Dr.Taib ,kwa ufadhili wako tunakienzi na kukikuza Kiswahili .

  • @jumaothman2092
    @jumaothman2092 5 місяців тому

    Swadakta babu mimi nipo zanzibar unasema kweli hasa watu wa mwambao ni wenye kiswahili

  • @binabeidsalim6380
    @binabeidsalim6380 Рік тому +1

    prof. chimera muhimu kwa siku hii iliowekwa duniani ya kiswahili kujuwa waswahili ni nani
    basi ni muhimu alikuwa umtaje lakini hamuwezi kumtaja mswahili ni nani na yuko
    hakuna kiswahili kilioanza unguja

    • @jumaothman2092
      @jumaothman2092 5 місяців тому

      Mwamboa wote wa Afrika mashariki ukianzia kismayu mpaka sofala zamani sana ulikua ni yote zanzibar na bara ilikua sio ama bara ya Kenya au ya Tanganyika

    • @binabeidsalim6380
      @binabeidsalim6380 5 місяців тому

      @@jumaothman2092si jina la Zanzibar pekee lilotawala mwambao wa pwani ya Afrika mahariki .bali kuna majina mengi yalitawala
      Yakiwemo Azania,Banadir na Zanzibar .
      Musijipe nyie wazanzibari kuwa ndilo nina pekee na huyo prof.chimera ajuwa sana lakini afita ukweli