Tatizo kila kitu unaona kama mashindano.. Mimi mkikuyu na naziongea lugha zote hizo na mwanangu pia Ata ongea lugha zote izo pia. Lugha inasaidia kuhifadhi asili ya mtu sio mambo na kushindana ipi iko juu ya nyengine.
hii video ni nzuri lakini mmeifanya nusu hiyo ndiyo kasoro kubwa basi imalizeni kabisa tuione yote na siyo nusu kama vile ilivyo sasa,pili hatujawahi kumwona prof.alamin mazrui kwenye video lip yoyote na wala hatumjui kwa vizuri kama vile ali,tuwekeeni video zake basi kwa maana video ndio kila kitu.tatu tunaomba yeyote mwenye picha za mzee sheikh alamin mazrui aiweke ilitumwone na tumjue maana tunamsikia tu lakini hatujawahi kumwona.
"One who travels thoughtfully adds another dimension to life." Thanx Prof. Mazrui for this info, and to soccernext for the upload.
Peace.
Asante Mwalimu
Jadilio na wazo zuri sana, kila lugha ya kiafrika inahaki kuwa huru
goood
What is the name of the song in the intro ?
Zoa zoa by mwanaidi shaabani
Rip
kiswahili kiko juu kushinda kikuyu.
Tatizo kila kitu unaona kama mashindano.. Mimi mkikuyu na naziongea lugha zote hizo na mwanangu pia Ata ongea lugha zote izo pia. Lugha inasaidia kuhifadhi asili ya mtu sio mambo na kushindana ipi iko juu ya nyengine.
@ShutterDe DON kuongea lugha yako sio ukabila wacha fikra ndogo.
@ShutterDe DON wewe ongea kichagga
mwisho kabisa narudia tena iwekeni hii video yote imalizieni ili tuone mawazo yake na ya mwanawe alamin mazrui pia

He is scary