Huyu dogo n mshamba mapenzi nyau weee!! Anabadirisha wanaume utafikir chupi za kwenye breed😏😏 kenyewe kanafikir sifa kashamba ka kihaya haka kananiudhi Sana hakajui kujistri
Dah ivi achoki jmn ivi nn thaman ya uwanawake wake jmn kila cku mwanaume mpya uko ni kujishushia status yko mwenyewe km mwanamke jmn duh unakera unadhalilisha wanawake
Ebitoke daa unabadilisha wanaume kama shati kumbuka kuna ukimwi tuu
Ebitoke huna bahati ya kupata mwanaume kabisa
Yani ebitoke ana jini mahaba mana juzi kati alisema hatorudi kuweka mahusiano kwenye mitandao 🤣🤣🤣🤣
Umeamuwa ujichubue sindiyo, au mafuta ya mgando yanakung"arisha😜
😁😁😁😁
Umekuwa mzuri ebi,ulipendeza saaana ulipokuwa mweusi
Yaani hawa wamekutana pwagu na pwaguziiiii
Weeeeeeee Helen 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
@@airinsumeno2490 sa we wana maajabu ganiii... Hawakukosea kusema mungu anakupa wa kufanana na wewe..ndo hao sasa
😀😀😀😀
Ebitoke umejiharibu kwa kujichubua, hovyoo. Ulimganda Ben Pol akapita huyoo na kuelekea na Maisha yake.
Mimba imembsdilisha ajajichubua. Mtoto kagoma weusi
Kwanza waznzbar hawana nizamu ya kutembeaa na vigwagula..ww unajiuzaa kila sku drama ndo mwannaume gan uyu ovyooo
Mmh umenizidii tabiaa
Hajatuonyesha yule Mburundi (Chuma Chuma)
Kwaiyo uyo jamaa anajifanya staa anajificha pipa na mfuniko 😂😂😂😂😂😂
Ukiwapakia kwenye fuso wanamwagika 🤣🤣🤣
Jehovah....huyo ndiye mwanaume????
Minahisi ebitoke ana mapepo maana mwanaume anakaa nashida
Mhhh kalivyo kabaya
Huo anataka umarufu kupitia ebi huo wawapi sura imekomaa jamani duuu nachek😅😅😅😅
Hah
Kidem chenyewe kibovu uyu Dada kha
Uyuu ebitokee anagunduu tu
Ngoja uliwe tena hela
Huwa anawatoa wapi wanaofanana hivi😀😀😀
Miss you Eby long time
Ebi alikuwa na uweusi mzuri jamanii
Duhhh a a hangaika na wa baba huyu jmn. Khaaa
Uyu ni mdangaji nation kila sk kutambulisha wazinifu wenzie duh pole iv uko some were munanyama za chuma au jiwe
Huyo jamaa hata ukinip bure sichukuii, ebitoke kwan comedy ushaach na kitenge si alisema wew unapesa san .
Sije akawa km yusuf mlela
Mmmmh ww ebotoke hebu tulia sasa kila sk unabadili wanaume mmmh ww mtt tunataka ufanye kz
Unajuwa fupi, ndefu , za kawaida , nene , nyembamba , vibamia , yani kila aina jamani tulia na uyo sasa mnaendana
mh kinasa msukuma ilo kofii!!!
Mimi sina imani kama bwana ake antaka kutuchanganya watanzania tu
tushamsahau kwa tabia zake mbovu kashatubowa. hata kumtafuti hatutaki
Kumbe huyo Ebi hajielewi bure kabisa
Hivi Ebitoke ana wazazi?
Mgando umemshinda huyuuu arudii tuu bukoba au aendee usukumanii kwa huyo kinasa wako
Jamn jamn ebi una nn jmn,kila mwanaume du
Bitoke chenga nying tuu
Hana lolote kazi yake kulipwa pesa na yye kulipwa mana wanalfata kula hizo pesa kisha wanamkimbia alichora mpka tattoo hakufika mwezi
Na wote aliopitia wanafanana
Mbona mwanaume mchoki ivi🙊
Kaka kituko jmn af ebi anabadilisha Sana ma bwana
Hivo ile mimba ilizaa mwana vile?
Staa unakuwa na mwanaume personal kama wangu
Mbona anabana meno akisema au kalewa😂
Ndivyo alivyoumbwa🥱
I think ilipofikia it's good you live a private life. I say unavyowabidisha... Ni kama we una kasoro
Huyu dogo n mshamba mapenzi nyau weee!! Anabadirisha wanaume utafikir chupi za kwenye breed😏😏 kenyewe kanafikir sifa kashamba ka kihaya haka kananiudhi Sana hakajui kujistri
Shenz ww,nawe tukuone na hizo drama zako,humuwez kwa lolote kinachotuua wanawake ni kuoneana wivu
Mapenzi ya bongo bhana
Ebitoke APA kupatwa bwana
Jaamani jamani maneno yamenikosa
Mastaa wa Tanzania wote ni Malaya
Dah ivi achoki jmn ivi nn thaman ya uwanawake wake jmn kila cku mwanaume mpya uko ni kujishushia status yko mwenyewe km mwanamke jmn duh unakera unadhalilisha wanawake
Anajidhalilisha mwenyewe
SASA C ALIKUTONGOZA
😭😭😭😭 tusamehe muumba
Ila embitoke nimuzuli nikwasababu ya comed huwa tunaona nimubaya😀😀
Ebitoke mahaba ndi ndi ndi
Huyu dada yupo,alihacha comedy au?🤔
Huyu atafika mbinguni aneshoka
Huyu demu alishapotea
Shida ni mshamba alafu cjui angekuwa mali safi ingekuwaje makeup kibao
Ebi n mzr nyie
I think mtoto amepata mutu wa kmtmb