MAMBO KUMI USIYOYAJUA KUHUSU BABA ASKOFU DR. MOSES KULOLA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 сер 2022
  • Christian Online Tumefanya utafiti kutoka vyanzo mbalimbali kuhusu Baba Askofu Moses Kulola na sasa tumekuandalia Mambo Kumi Usiyo yajua kuhusu Baba Askofu.

КОМЕНТАРІ • 7

  • @KibataDispensary
    @KibataDispensary Місяць тому

    Ameni sana mungu amtangulie

  • @evangelismchannel8810
    @evangelismchannel8810 Рік тому +1

    Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu kwa mambo haya tusiyoyajua kuhusu Bishop Kulola

  • @nathankulola8348
    @nathankulola8348 Рік тому +1

    Wajukuu tupooo... 🙏

  • @abrahamelias9665
    @abrahamelias9665 Рік тому

    Ubarikiwe mtumishi

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m 6 місяців тому

    Nampenda sana huyu mtu jmn natamani angekuwa hai. Siku nilipojua amefariki dahh nililia sana!! Hadi leo nikimkumbuka nabakia nalia kwasababu Moses huyu yuko Mbinguni tayari, vp sasa kwangu mimi, naingiaje katika ufalme wa Mungu? Nalia sana!!

  • @EdesiaKatamba-wv7bu
    @EdesiaKatamba-wv7bu 3 місяці тому

    Alikufa akiwa na miaka mingapi?

  • @silasnatir7915
    @silasnatir7915 Рік тому

    Nilisikia ushuhuda kwa wachawi walio pingana naye walishudia kua nimtumishi wa mungu kweli