Lema Amshukia Mkurugenzi wa Babati Baada ya Kutaka Kuzuia Helikopta ya CHADEMA Kutua.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 чер 2024
  • Amezungumza haya kwenye mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliyofanyika leo Jumamosi Juni 28, 2024 mjini Babati mkoa wa Manyara ni katika ziara ya chama hicho ya nchi nzima.

КОМЕНТАРІ • 12

  • @RobertMaffa
    @RobertMaffa 9 днів тому +1

    Hongera chadema.

  • @user-cz5sd6ys8i
    @user-cz5sd6ys8i 9 днів тому +1

    Big up San mh lema,

  • @kagombaEnok
    @kagombaEnok 9 днів тому +2

    Wewe ni kichws kabisa yasn tunawahitaji akina Lema kama kumi tu nchi hii

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 9 днів тому +1

    Huyo naye mkurugenzi ovyo,au chadema mlitaka helkopta itue kichwani mwake,Lema punguza matusi husitue vyumbani mwa watu.

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 9 днів тому

    HEKO VIONGOZI HEKO WANANCHI ❤

  • @williamnyakasi2323
    @williamnyakasi2323 9 днів тому +1

    Tatizo letu Elimu hatuna

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 9 днів тому

    Big BRAIN

  • @AnnoyedFlowerPot-mr2ps
    @AnnoyedFlowerPot-mr2ps 9 днів тому

    Acha matusi toa sababu

  • @josephbundala1475
    @josephbundala1475 9 днів тому

    Waisrael au waarabu!! Hao ndio mtakaowaleta mkitawala?

  • @josephbundala1475
    @josephbundala1475 9 днів тому

    Unatukana sasa hivi, ukipata madaraka si utatuona nyani. Hopless meeting addressing. Tell us what your CHADEMA is going to do for Tanzanians.

    • @erestizacharia4758
      @erestizacharia4758 8 днів тому

      Kwanini mlikuwa mnawanyima uwanja chadema, wao sio watanzania?

  • @josephbundala1475
    @josephbundala1475 9 днів тому

    Unaongea kihuni kabisa!!!