WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO MGOMO WA WAFANYABIASHARA, AZIELEKEZA MAMLAKA "WASIKILIZWE NA KUTATUA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 30

  • @TangaMashewa-qe8kk
    @TangaMashewa-qe8kk 3 місяці тому +14

    chalamila hafai uwongozi kabisa anaongea ubabe hafai kabisa

  • @JohnMrema-dq8iz
    @JohnMrema-dq8iz 3 місяці тому +7

    Casimu majaliwa anastahili kuwa raisi wa muungano wa Tanzania pindi mama atapotoka madarakani Ana utu Sana Ana kauli Sana respect kwake namungu ambariki

  • @peterilimwa5754
    @peterilimwa5754 3 місяці тому +12

    gen z itakuja tu mpk tz ndio mtaelewa

    • @shammhagama2527
      @shammhagama2527 3 місяці тому

      Sio kwa nchi hii, watanzania tunajijua wenyewe 😅😅

  • @danielkessy
    @danielkessy 3 місяці тому +5

    Hizi faini kubwa zinatengeneza mazingira ya rushwa, wekeni faini zinazowiana na kosa la mtendaji ili zilipwe serikalilini kuepuka rushwa

  • @Xuxu-f7j
    @Xuxu-f7j 3 місяці тому +14

    Subirini tu nasisi tuchafukwe

  • @luciasteven3314
    @luciasteven3314 3 місяці тому +3

    😂😂SIKU YAJA KILA NAFIS ILIOLAZWA ITAAMKA KUTOKA USINGIZIN. YAJA NAIONA

  • @victorernest7702
    @victorernest7702 3 місяці тому +2

    Chalamila kasema kama mnafunga fungeni tu 🤣🤣 taifa langu hili lakin 😂😂

  • @muksinimbaruku1233
    @muksinimbaruku1233 3 місяці тому +2

    Chalamila hana sifa ya kuwa mkuu wa mkoa ata mwenye kiti wa kijiji, labda mjumbe wa nyumba kumi. Uchawi upo maana kuna watu wapo very smart wanafanya kaz za promotion mitaani alafu kwenye nafasi kama hii anapewa huyu mwehu

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 3 місяці тому +5

    Kassimu unafaa sanaa sema upo chini ya sheria ndo maana unakua huna kauli

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 3 місяці тому +2

    Sio mara yakwanza kutoa maagizo mnatuonasisi hatuna akili

    • @ce-08
      @ce-08 3 місяці тому

      Shida kassimu Hana kaul ya mwisho anaweza akata alaf nyumba ya pazia wengne wakagomesha ila angekuwa yeye ndiyo final say tungeenda sawa

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 місяці тому +1

    jmni Waziri mkuu anaongea kirahisi mno kuhusu shida na kero za w/biashara wetu hapa nchini. mbona lakini kiuwepesi hivi na watu wetu wanaumia jmni?

  • @novatht8377
    @novatht8377 3 місяці тому

    Bado sana hii kitu

  • @FakiiLimbimbi
    @FakiiLimbimbi 3 місяці тому

    Safii

  • @raphaelkorio2435
    @raphaelkorio2435 3 місяці тому

    Kila nikitaka kuja kuwekeza Tz nafsi inanisita. Kama kauli ya Chalamila ndo ivo.

  • @ngusawales2039
    @ngusawales2039 3 місяці тому +1

    Mm naomba kujua watanzania wenzangu kati ya waziri wa fedha na wazir mkuu yupi mwenye mamlaka zaidi ???? Maana kama wazir mkuu anaagiza mgogoro uishe utatuliwe kila sehemu alafu wazir wa feza anakataa yupi mwenye nguvu? Ama ni nini? Naombeni majinu watanzania wenzangu ambao mnajua kuliko mm!!!!

    • @UrassaPaschal
      @UrassaPaschal 3 місяці тому

      Katiba inayopambanua kuwa yoyote atakae zingua adhughulikiwe hakuna na mawaziri wanachaguliwa na Rais hivyo mpk yeye aamue na pia ni Kwa vile nchi inaendeshwa Kwa matamko na utashi wa namba moja sio katiba....umeona Kenya hata Askari kuwazingua raia asifikiri Askari wao ni wazembe hapana ila Sheria kanuni na taratibu katika katiba(namna ya kuiongoza nchi) na wanaitii japo kuna changamoto bado lkn Sisi tumezidi wakubwa hawaguswi😢

    • @hawaally2308
      @hawaally2308 3 місяці тому

      Waziri Mkuu ndio boss au Mwkt wa mawazir

    • @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
      @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 3 місяці тому

      Mwingulu.....hamieni Burundi

  • @HodiMhandi
    @HodiMhandi 3 місяці тому

    Mnatoa majibu ya kisiasa kama kawaida, Yani Hilo jumba sehem yenu ya kusemea uongo wenu

  • @HodiMhandi
    @HodiMhandi 3 місяці тому

    4:57

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk 3 місяці тому

    Yaani mnawakwazs halafu mnasema mnatujali... Hamna hatutaki tena nyie

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 3 місяці тому

    Biashara ni ngumu jaman unalipa kodi zote alafu bidhaa hizo unazouza mtu kafungua banda anauza kwa bei anayotaka angalieni izo mambo

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 3 місяці тому

    Tz siasa imezidi lengo nimgomo wa wafanya biashara wewe unaongea pasipo suruhisho lawao duuu

  • @mvugushikavugushi
    @mvugushikavugushi 3 місяці тому

    😂

  • @victorphilipo
    @victorphilipo 3 місяці тому

    Sasa mwiguru amekataaa maombi Yao wafanya biashara wanataka majibu siyo siasa wewe timiza wajibu wako