🔴LIVE : LISSU, LEMA, HECHE, MSIGWA, PAMBALU NA ASKOFU MWANAMAPINDUZI WANAONGEA MUDA HUU MANYONI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 46

  • @mpinabaharia2247
    @mpinabaharia2247 3 місяці тому +2

    Heche yupo more informed with fully information. Anafaa kushika nafasi ya juu ktk Chadema

  • @Noelkitoi
    @Noelkitoi 3 місяці тому +4

    Mama Samia amefanya Tanzania kuwa kampuni ya mawaziri na kikwete tukemee ccm sisi kama chadema

  • @zebidamakwasa5206
    @zebidamakwasa5206 3 місяці тому +1

    Viongozi ngazi za juu mpaka chini woootee MUNGU NI MWEMA SANA, MUNGU AWAFUNIKE NA DAMU YA YESU ALIYE MSHINDI NASI TUTASHINDA KTK YESU ALIYEUSHINDA ULIMWENGU

  • @SelemaniKajole
    @SelemaniKajole 3 місяці тому +4

    Tema cheche lisu

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 3 місяці тому +3

    ni nchi pekee ambayo tunaweza kuwa wanyonge na masikini kwa sababu ya watawala wazembena wasio na uadilifu na kuuza rasilimali kwa wageni badala ya kujengea wazawa uwezo wa kujitegemea katika ujenzi wa uchumi wa nchi.

  • @zebidamakwasa5206
    @zebidamakwasa5206 3 місяці тому +1

    Sema sema kiongozi Henche watemee Cheche ccm msizibe masikio fumbueni masikio yanawachoma sana CHADEMA ooooyeee

  • @Noelkitoi
    @Noelkitoi 3 місяці тому +2

    Naombeni Uhuru wa wanabari ccm itawauwa

  • @EidAlnadabei-uc4cb
    @EidAlnadabei-uc4cb 3 місяці тому +1

    Mh dua Hii mbona haifahamiki kairusharusha shekhe

  • @Focusm-se2sd
    @Focusm-se2sd 3 місяці тому +4

    Safi sanaaaaa

  • @zebidamakwasa5206
    @zebidamakwasa5206 3 місяці тому +1

    Wana CHADEMA tunaanza na MUNGU nawapenda sana MUNGU awabariki tunashinda kwa kishindo

  • @BenardBwakitare
    @BenardBwakitare 3 місяці тому +4

    Mungu ni mkombozi

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 3 місяці тому +1

    Kwa tundu lisu sauti imepotea tena

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 3 місяці тому +1

    RAIA WA TANZANIA TUELIMIKE NA TUBADILIKE SISI SIO WA VIWANGO VYA UMASIKINI TULIVYONAVYO WATANANIA WENGI

  • @MataighaTiro
    @MataighaTiro 3 місяці тому +1

    Safi sana

  • @JamesMatondo-fk4bh
    @JamesMatondo-fk4bh 3 місяці тому

    Hongera sanaa❤

  • @KhalfanJuma-ii4fk
    @KhalfanJuma-ii4fk 3 місяці тому +1

    Twende mpk kieleweke

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 3 місяці тому

    Safi sana zefania

  • @zebidamakwasa5206
    @zebidamakwasa5206 3 місяці тому +1

    MSIGWA SEMA MWANANGU MUWAADABISHE CCM TUMEWACHOKA ZAMANI SANA WATOKE WAENDE ZAO

  • @mashakalukinda2350
    @mashakalukinda2350 3 місяці тому

    makamanda safisana nawapenda sana kwa kuwanyosha hawa maccm

  • @ThomasKaungo
    @ThomasKaungo 3 місяці тому +1

    Leo ni Leo wanaume

  • @SebastPolepole
    @SebastPolepole 3 місяці тому +1

    Makamu mwenyekiti wangu maiki hiyo husikiki vema

  • @DausonShensherwa
    @DausonShensherwa 3 місяці тому

    Kweli mpende akupendae( chadema ccm aitupendi

  • @GodwinIssack
    @GodwinIssack 3 місяці тому

    Mtanzania Makini na mwenye Weledi hawezi mchagua mtu ye yote anaetokana na ccm! Ccm ni jini nyonya Damu ya wa Tanganyika na wa Tanzania!😢

  • @deodathsilayo3639
    @deodathsilayo3639 3 місяці тому +1

    Heche anafaa kua kiongoz was juu wa chamaa

  • @emmanuelimasele846
    @emmanuelimasele846 3 місяці тому

    Mbona lema hajaogea au hayupo

  • @YahayaKishakwi
    @YahayaKishakwi 3 місяці тому +1

    Aya semeni tena chadema wakristo tu

  • @EvaristiUhako
    @EvaristiUhako 3 місяці тому

    Police wanakula somo la kikokotoo wanacheka tu

  • @batulemwamwaja6524
    @batulemwamwaja6524 3 місяці тому +1

    IJUE NA UTUMIE NGUVU YAKO.

  • @TumainiNaweda
    @TumainiNaweda 3 місяці тому

    Mheshimiwa lisu hiyo mayki haisikiki

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 3 місяці тому

    Sauti hajun matupuja uhondo

  • @zephaniachibaya2894
    @zephaniachibaya2894 3 місяці тому +4

    Mheshimiwa TUNDU LISU Naomba katika ziara zako usikose kuja DODOMA WILAYA ya KONGWA KATA ya SONGAMBELE huku serikali ya CCM imetudanganya kuwa watajenga Barbara wakapiga NYUMBA zetu X nakutudanganya kua watatoa fidia kumbe niuongo mikubwa kabisa nimwaka WA nne sasa Yangu watudanganye

    • @walterngowi5835
      @walterngowi5835 3 місяці тому

      Duuh Songambele msalimie ngenge kama bado yupo 😂😂

  • @LucasCharles-vm5ig
    @LucasCharles-vm5ig 3 місяці тому +1

    Duuhhh

  • @EliyaLukumay-tf9ev
    @EliyaLukumay-tf9ev 3 місяці тому +1

    😭😭😭😭😭😭😭

  • @geraldeliona7657
    @geraldeliona7657 3 місяці тому +1

    Winga😅

  • @watuwamungutaifalamungu.6108
    @watuwamungutaifalamungu.6108 3 місяці тому +1

    😅😅😅

  • @SaidShabani-s4o
    @SaidShabani-s4o 3 місяці тому

    Naona ujinga mtupu hapo na ubaguzi na udini upumbavu mtupu umetawala hapo

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 3 місяці тому

      Udini upi wakati imani zote wapoo aliyefungua mkutano kisiasa na dua ni Muislaam na tumemsikia pia askofu

    • @GodwinIssack
      @GodwinIssack 3 місяці тому

      Mlaanika na mwendawazimu kama wewe huwezi ona la la maana, kwani jalalani na jehanam ni makazi yako.

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 3 місяці тому

      @@GodwinIssack una uhakika gani kama wewe siyo mlaanika kauli zako tu ni dhahiri umelaanika

    • @GodwinIssack
      @GodwinIssack 3 місяці тому

      @@Kwelihukuwekahuru wewe ni mwehu mwana ibilisi shetani

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 3 місяці тому

    Safi sana zefania

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 3 місяці тому

    Safi sana zefania

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 3 місяці тому

    Safi sana zefania

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 3 місяці тому

    Safi sana zefania