Mkasi | S11E01 With Humphrey Polepole - Extended Version

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 18

  • @adampowell3560
    @adampowell3560 9 років тому +5

    Wow! I am impressed! Watu kama kijana huyu ndio tunawahitaji huko ngazi za juu serikalini. No joke. Thumbs up Humphrey!

  • @HKBW1
    @HKBW1 9 років тому +2

    Mr. Polepole ni mzalendo wa kweli na mwenye nia ya dhati ya kuleta mabadiliko ya kweli kwa manufaa ya Taifa la Tanzania. Namshukuru kwa kutokuwa na mfungamano na chama chochote cha siasa kwani sote tunapaswa kusimama kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu kwanza.

  • @benmabebajr.6551
    @benmabebajr.6551 9 років тому +3

    Wow...Huyu kijana kweli kajitambua. Anajibu maswali kwa ufasaha hata kama halijaulizwa vizuri. Hii ni hazina ya Tanzania, Mungu ambariki na yeye akawa sehemu ya maendeleo ya Tanzania kwa nafasi yoyote atakayohudumu.

  • @petermdoya3690
    @petermdoya3690 3 роки тому

    Nimerudia zaidi ya mara 50 kutazama

  • @axelb5578
    @axelb5578 9 років тому +1

    smart, wise and smart damn this dude should be a raisi of tz in 5 years

  • @acrestv8636
    @acrestv8636 6 років тому

    Nakubaliana sana na Comrede Polepole .... Asante sana kwa elimu hii comrade

  • @chrispineclement4164
    @chrispineclement4164 8 років тому +1

    positive minded! man is so brilliant

  • @ericapingi8354
    @ericapingi8354 3 роки тому

    Safi sana ndugu Mwendo kasi

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 4 роки тому +2

    Alphid bole bole nyinyi watang'anyika mutuachie wazinjibar tupumue means hatutaki muungano na nchi yoyote ile duniani mimi nilikusikia unasema do or die lazima muun'gano ukuwepo???na mimi nakuambia hata wazinjibar wakifa robo tatu lakini inshaallah Zinkibar lazima iwe Sovoreign State kama ilivyokua hapo b4 ok guys???freedom and war...

  • @AmonJohn
    @AmonJohn 9 років тому +2

    Huyu kijana ana akili hatari, anasema ukweli na hamwogopi mtu, Mungu amtangulie na kumlinda ...
    Tunasonga polepole ...

  • @sapalimichael629
    @sapalimichael629 9 років тому

    Dah Mr polepole yupo vzr ni Burma na haki akapewa nafasi nyingine sijawahi furahia kipindi kama hiki cha Mr polepole

  • @andrewsadiki9914
    @andrewsadiki9914 9 років тому

    Shukran humprey ujumbe umefika vijana wanaojitambuwa

  • @mboyajackson4574
    @mboyajackson4574 7 років тому +3

    Huyu sio mkweli, America wao wanaruhusu wageni watakaokuwa raia wa America kujiunga na jeshi, police, magereza, kufanya kazi na FBI,CIA,Secret Service, wizara mbalimbali, kugombea public offices kama state Governor (Governor wa California Arnold Schwarzenegger), state representative, judges, mayor, senate and many more. Kitu kimoja ambacho hawaruhusu ni kugombea urais tu.

  • @salumkhatib211
    @salumkhatib211 9 років тому +2

    Mm huyu ndie rais wng 2015

  • @salumkhatib211
    @salumkhatib211 9 років тому +1

    Anawapita wale wanaokwenda kusinzia kule mjengoni

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 3 роки тому

    Huyu polepole shoga wa siri tunajua