VIDEO: JOEL MASTER Alivyotaka kuzirusha NGUMI na mshindi wa CHEKA Tu.
Вставка
- Опубліковано 27 жов 2021
- ...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#JoelMaster #ChekaTu - Розваги
coy mzungu Yuko vizuri mwanangu🎉🎉❤
Joel master mkorofiii😂😂😂
😂😂😂the guyy mkorof n uchkeshaj wake 🤣🤣❤️
Wooooo
Hahahahahaha dah nimecheka ety dj...ah baunsaaa niteteeniiii😂😂😂😂aza boi azingatiwe kushikwa😂😂😂😂😂🙆jmn
Kumbe ni swaga nikajua ngumi za ukweliukweli
nyieee jolmaster fundii...😁😁
Cheka tu hakuna mfano 😁😁😀😀😀
Ila eliud ni fire🔥
Gooood🎉🎉🎉🎉🎉
Mbeya noma
Jo master hawez fua dafu kwa leonado ata siku moja ase jo mchumba tu hana uchekeshaj wowote
Mzeee nakubali Joel mimi
Nalipenda li joh master😋😂😂😂😘😘😘
😂😂
Jol master mi nakukubali sana ety
Naipenda sana iiikitu kucheka tuuu
*NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO JE UTAVUMILIA KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO KUSHOTO NAAMINI MTAUPENDA 💥🎶🎶🎶💥*
Hatari saana jamani ! Mnajua jamani
hiii battle sio yakukosa aisee.
Saangapi inaonekana
Kuna mtu kasema ZINGATIENI KUNISHIKA😭😭😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🎉Noma saw
Hawajui
Good ideas
All the best joh
Nampigia Bibi Sas😀leonardo
Nice
Joel master ni hatarii hauwezi mfikiaa
Jamani kwani ita kuwa box au vichekesho na shindwa kuelewa
Mmmh.. Nawasiwasi na hiyo kesho km hamtowadispline Hawa watu
Ni kweli kabisa wanaweza kuropoka maneno ambayo pengine yakatokea ya gigy
Wat wakorofiii et kasmama Leonard wamekuj n maboadguard😂😂
Mumetisha
Jaman kunbe ndo ilivokuwaga
🤣🤣🤣 na subiria halleluya na herihudi
Joel masta
Duh
😀😀😀😀😀
Dj niteteeni kunishika....😅😅
Jol master ndo kira kitu anajua sana hana makuu na mty
Mc lukinga wapi
Lukinga ndo mtu wangu.
Kwani mlikuwa mnaongelea nn mbona anatumia mda mwingi kumsemea mwenzie?
Hahahaha naona maiki ya Millard imeondoka chap
Churchill ipo bongo now
Hahahaha Joe master rrrrrr
I cant wait 2 see Battle la jolly na Leonardo
Naanzaje kukosa
Ndaro ni wa leonardon
Kumbe Comedian nao wana Kiki zao Nani ameelewa huu mchezo ?
Nimeachwa sijaelewa hataaa.... No nini hicho
Not a serious misunderstanding just joke
Wakaguliwe hao kesho...wanaweza wakabebana na vitu vya hatari...yaani hata wakivaa mashat ya mikono mirefu wakaguliwe... Wasiwasi wasiumizane tuu
hivi hizi mic ni za elf tano tano ?mbona mnazidondosha ovyo ?
😂😂😂
Joel master ni hatar sana
Eliudiiii
COY umetengeneza bomuuuuuuuuuuuuuuu
Eliud 😂😂😂😂🙌
Mm
Joh maste mr ukorofiii uo ukorofiiiiiiiiiiii nimesema ukorofiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Ila kuwashindanisha hawa naona kaama haijakaa vzuri sana..ni kama hawa wakubwa wanaweza wakashushwa bila CHEKA tu kuelewa hilo..hahahha
Uyu coy anawaaribia wenzie brand zao, jamaa wamstukie, awa washindi wa cheka tu Ndo wanafaidika kujikuza
Eti ngoja Nimpigie bibi 😂😂😂 leonard
Mbona mnatumalizia mb zetu kwa michambo kama wanawake
Wachekeshaji wangen mkal n leornado na ndalo tu walobaki hawana kitu 😂
Kesho sangapi na chanel gani
Saa moja na nusu,, Wasafi TV
😂😂😂😂eliud bwana
ISHA FANYIKA. AU LAA
Hahahha mtaniuaa
hamna wakumfikia joh
Hii wametengeneza kama fujo kutia hamsha hamsha kwakwer kesho sio powaa
deocratus yuko wap jaman
Yuko watu Baki
Mbavu zangu tu mie
Aza boy eti zingatieni kunishika hhhhhh
Nisawa jeshi tumeshapoa
Eti mabaunsa niteteeni😂😂😂
Wajitahid
😂😂😂😂
Ovyoooo bila kiki hamfanyi kazi
Nosense
Kulashuma hisho 😝😝
Nimechekaaa🤣🤣🤣🤣nikajua ngumi kweli🤣🤣
Mipasho tu mmemaliza mb zangu tu
Eliud 😂
Achen mbwembwe nyie
Mbona hamn live jaman leo mnatukosea jaman
Joel wakuache
Mc eliod
😂😂😂😂😂😂
Hahahaha
😂😂
Azaboi ni chizi 😂
Zingatieni kunishika🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂akh...ila bado watanzania mko chini sanah kw ucheshi... kenya is on 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Matukio mnayaandaa wenyew
MNATUONA SISI MAKOLO NA KIKI ZENU
Wallah
Wameeandaa attention hawa.
Jamani kwani show Linii kwelii Hii battle
Ijumaa
Kesho watakua live wasafi TV
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Upuuzi tu huo na kiki za kitoto tu
🤣🤣🤣🤣🤣Daaaaaaaaaah
Jo master fund wewe 😅😅
Hi ugomvi umetengenezwa ukiaangalia vzur hapo unaona jins mabaunsa walivyo jpanga maana walikua mbali baada ya joly masta kuingia stejn,,kiufupi huo ugomvi tumepigwa😅
Wameact
Kwa iyo ulitaka wauwane
@@karimchindema9823 kumbe hujaelewa nlcho kzungumza
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂