DIAMOND AELEZA ALIVYOFURAHI KUZUNGUKA NA RAIS UWANJA MZIMA AKIPERFOM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 36

  • @Life_LensDiaries
    @Life_LensDiaries 26 хвилин тому

    Huwezi muelewa Diamond ukiwa Tanzania na hujawah kutoka ,,ila ukweli Tanzania tumepiga hatua sana sana ...keep it up Ccm ,keep it up Samia

  • @Cash-carcn
    @Cash-carcn 2 години тому +5

    Baba levo chawa international❤🇨🇩

  • @JellyRuba2022
    @JellyRuba2022 Годину тому

    UKOO WA WASAFI YAANI USAFINI 💥 ♥️ 🎉🎉

  • @MalongoSafari
    @MalongoSafari 8 хвилин тому

    Hongera

  • @HakuzwebirindaImmacule
    @HakuzwebirindaImmacule 2 години тому +1

    KUTOKA Zambia.Nasibu number1

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 3 години тому +2

    Chawa hongera sana kwa kuwa karibu na maokoto

  • @franklinjr996
    @franklinjr996 3 години тому +3

    simba Ni mmoja Tanzania

  • @Shadia544
    @Shadia544 Годину тому

    😂😂😂😂Ila baba levo jamaniii 😂😂😂simba Ia masimba dangote tunainjoi tuuu 😂😂😂

  • @Salemally645
    @Salemally645 25 хвилин тому

    Mondi akiwa Raisi na baba levo atakua nani?

  • @Mwigaa95
    @Mwigaa95 3 години тому +4

    Matendo anayofanya baba levo ni utoto mtu ambae ana takiwa kuwa bize sana na utafutaji na malezi leo hii ana beba mabango ka jinga vile yaani 🙆🏻😄

    • @ahmedyissa4777
      @ahmedyissa4777 2 години тому

      Ndo anatafuta ivoo mwenzio😅😅😅😅

    • @SabanaSipemba-v8j
      @SabanaSipemba-v8j 2 години тому

      Maisha ayako hvyo siku hz kaka

    • @ChireGriffin
      @ChireGriffin 2 години тому

      Mwenzako yuko kazini Wacha usenge

    • @jackmabirangacharles9398
      @jackmabirangacharles9398 Годину тому

      Yakijinga kwako lakini anacho pata yy anajua tuache wivu hivi ukimtazama Baba Levo una Mwona Mjinga ana
      Akili kuliko unavyo fikiria

  • @SKILLSTVONLINE
    @SKILLSTVONLINE 2 години тому +1

    Ajawa rais sema aliyekuwa rais na nimgombea wa urais 2025

    • @edgarivan6344
      @edgarivan6344 2 години тому

      Kwamba unataka kusema kwa Sasa nchi inajiongoza?

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 3 години тому +2

    Katiba mpya tume huru ya uchaguzi ndipo tutaanini kuwa ccm wanachaguliwa kwa miradi na maendeleo wanayosema.Bila hivyo sitakubali kuwa ni kweli wanachaguliwa na wananchi kwaajili ya maendeleo waliyoyafanya japo kuna viongozi wazalendo wa nchi hii wasiopenda kona kona wala usanii ndani ya ccm na hawapewi nafasi kwaajili ya kusimamia ukweli wao

  • @TumainiMbati
    @TumainiMbati 2 години тому +1

    Kazi ya machawa Kila cku nikusapoti hata kama nukibayab

  • @Salemally645
    @Salemally645 25 хвилин тому

    Vp Mondi akawa Raisi wa Tz?

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 Годину тому

    CCM ni ya Watanzania , ushindi 100% , CCM tengenezeni viwanja vyenu viwe vya kisasa pesa yenu itarudi .. , CCM wekezeni kwenye wana sayansi kule ngere ngere porini tutengeneze dawa za malaria, HIV, KIFUA KIKUU.. nk .. Tengenezeni Complex Hospital Dodoma kwa ajili ya mapinduzi ya afya na matibabu..

  • @ogdosho93
    @ogdosho93 2 години тому +1

    Harmonize vp na zile nyimbo zake za mziki wa mama😅

  • @pcmofficialtz
    @pcmofficialtz 2 години тому +1

    Ila Baba leo ni chawa jaman 😂😂😂

  • @Proffb_arts
    @Proffb_arts Годину тому

    😂😂tukimuuliz onesmo atsasem hv kwel😅😅😅😅

  • @issamustafa1565
    @issamustafa1565 3 години тому

    ❤❤❤

  • @IshmaelKelempu
    @IshmaelKelempu 3 години тому +2

    Mondi kama mondi

  • @godwingodwin2564
    @godwingodwin2564 3 години тому +1

    Naombeni like zenu mimi ndo kwanza ku comment 😂

  • @DINASSOUR
    @DINASSOUR 3 години тому +1

    Chawa pro max😂😂

  • @maniscamullah6282
    @maniscamullah6282 Годину тому

    AMETOKA NA BABA LEVO 😅

  • @rehemaabdalah1863
    @rehemaabdalah1863 2 години тому

    Baba levo😂😂

  • @allymwakomola4470
    @allymwakomola4470 3 години тому

    Nchi yetu Music 😅😅😅😅
    Imeshaisha😅😅😅😅 barabarani mbovu, maji matatizo

  • @PROFESSIONAL792
    @PROFESSIONAL792 53 хвилини тому

    ua-cam.com/video/s-Io7YBTdTg/v-deo.htmlsi=lnbkurNLGH7swQWW UMALAYA WOTE WA HUYU JAMAA HUU HAPA😂😂😂

  • @Omari3200
    @Omari3200 3 години тому +1

    Mimi Leo ndowakwanza

  • @TysonOdongo-y2x
    @TysonOdongo-y2x 3 години тому

    Lakin SI Kenya

  • @NgasaBoy-m6s
    @NgasaBoy-m6s 3 години тому

    Mondi kumbee ndoo mana nitajili

  • @ClassicUsed-jg6ri
    @ClassicUsed-jg6ri 3 години тому +2

    Wakenya ni wapumbavu hawajueleweiiii